Тёмный

🚨Uchambuzi Wasaffm,Taarifa za Elie MPANZU Kutua Simba,Msemaji wa As vita Afunguka, kunaofa ya Simba? 

mtanange tv
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@eliashagai7920
@eliashagai7920 13 дней назад
Njaaa mbaya Sana,mwacheni mpanzu ale Bata Msimbazi
@SteveKalugula
@SteveKalugula 10 дней назад
Kweli
@KorneliCpiran
@KorneliCpiran 13 дней назад
Siba itakuwa ya moto
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 13 дней назад
Wewe unachangia sh. ngapi ili kuvunja mkataba wa mpanzu, mayele na fei ?.
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 13 дней назад
Jamani motuletee huyu Mesi
@ramadhanimohamedi1397
@ramadhanimohamedi1397 9 дней назад
Huyo mwamba akitua simba kazi imekamilika wengi ndo kiu yetu
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 13 дней назад
Kinawauma chama wenu na kii wetu vipi nani kinaye muuma
@user-fq5nl6hs8u
@user-fq5nl6hs8u 13 дней назад
Wabongo munalaumu tu toen ela
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 13 дней назад
Eheeee eeeee eeee eeee Jinga Moja wewe
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 13 дней назад
😢😢😢😢
@KorneliCpiran
@KorneliCpiran 13 дней назад
Moo ni bos
@user-xd7hs1ri5i
@user-xd7hs1ri5i 13 дней назад
Duuuu hii Simba tia tia maji tu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 12 дней назад
Utaelewa tu
@honesthenry901
@honesthenry901 11 дней назад
Bas onana ataendelea kuwepo
@ramadhanimohamedi1397
@ramadhanimohamedi1397 9 дней назад
Onana hata akiondoka leo hana athari ampishe mpanzu huyo ni fundi wa boli
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 13 дней назад
MO TUNAOMBA UKAVUNJE MKATABA WA MPANZU NA MAYELE NA FEI TOTO JAMANI MBONA TUTAFURAHI SANA
@DM_15
@DM_15 13 дней назад
Niwachezaji wazur lakini kwa mayelle hatuwezi tena kwa sababu kule misiri sasahivi yeye ndio top score hivyo siorahisi kumuachia arudi huku nafei toto billion 5 siohela ya kuchezakalata hio 😂😂
@rajabuhamadi
@rajabuhamadi 13 дней назад
Shida sio kuvunja Bali wao pia wanataka mazuri aendelee ndio maana wamempa marambili pesa ya pesa Simba walio muaidi so atamuachia
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 13 дней назад
Kuna nafasi Moja ya kimataifa imebaki
@ramadhanimohamedi1397
@ramadhanimohamedi1397 9 дней назад
Bosi anafeli wapi kwa hizi mashine hasa mpanzu asee
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 13 дней назад
AMESHINDWA KUVUNJA MKATABA WA LAMECK LAWI WA COASTAL ? IWEJE MAYELA?? MO anasubiri mkataba wake uishe!
@RamadhanAlly-qg9hq
@RamadhanAlly-qg9hq 13 дней назад
Moo Hana pesa ameokotaokota tu huyuu mo tumpee thank youu Simba mi ananikeka Sana usajilii vunjaa mikataba wachezaji wa maana
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 13 дней назад
Wew mweny pesa umemsajili nan? Hauna hata kad ya uanachama unabak kubwabwaja. Unaichangia nn club?
@HappyDominoes-jf1ji
@HappyDominoes-jf1ji 9 дней назад
Moo hana hela kama hujui kitu uwe unatazamiwa mdomo utakuponza 😮😮
@HappyDominoes-jf1ji
@HappyDominoes-jf1ji 9 дней назад
Tumpe thank you afu simba itadhaminiwa na b _ _ _ ako
Далее
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 2,9 млн