Innalillahi wainna ilayhi rajiuna kina mama wapambajibona hamujielewi mna fanya mambo hayaendani kabisa na dini yetu yakiislam inahuzunishaaaaaaas mwili wa mwanamke wote ni uchi ispokuwa viganja na uso tuu jirekebisheni tubieni kabla hayajawafika mauti ndugu zanguni
Assalamu alaykum Hivi mie nauliza nyinyi wanaume baadhi yenu mna nini mkeo ushamuoa halafu unamuacha uchi umati wawatu wanamuina viungo vyake tena duniani nzima anaonekana hivi kwanini nyie hamuna wivu ns wakezenu wapendwa kwani .kiwasitiri wakezenu kwenye hafla hatopenezs inauma sana na nyinyi ni mas uliya mbele ya allah mtatafuta lakujibu😭😭