Raha iliyoje ilikuwa Mombasa pale King Kiba alipodhihirisha kuwa Amina ndiye chaguo la moyo wake. King na Malkia wake wakapata 'sapoti' la kila mpenda kheri na watoa sapoti wakaamua kuonyeshana tabasamu tupu. Ni boooonge la sherehe. Enjoy!!
27 апр 2018