Тёмный

Aangua Kilio Akimtafuta Mwanae Selemani Aliezamia Afrika Kusini 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Bimkubwa katika Leo Tena akimtafuta Selemani ambaye inasemekana yuko Afrika Kusini

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@subiratembo3033
@subiratembo3033 Год назад
Pole sana mama m.mungu atakufanyia wepesi utamuona mwanao
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Год назад
Duh pole
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Год назад
Watanzania wengi huku nimachokoraa huku tunawaita nyaupe wengiii wengine ni wadogo hadi huruma sana
@HalfaniMalki-cy7lr
@HalfaniMalki-cy7lr Год назад
Kubwa kuliko mamapolenisana Ila naimani yupo kijana wenu kikubwa Dua zenu wazazi msilie ñaimani mtoto wenu yupo
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq Год назад
Mshikaji yupo ma juu anakula bata ana anawasaau wazazi inaumiza sana
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Год назад
Jaman kaka angu tangu 94 hd leo hatujui km kafa au lah South Africa shikamoo
@shekhamazrui9660
@shekhamazrui9660 Год назад
WATATUWA NA HIYO SOUTH YAWO
@makokakinyaha3567
@makokakinyaha3567 Год назад
Na majina Huwa wanabadilisha, south ni shida
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Год назад
@@makokakinyaha3567 Hivi unafanikiwa vp mkiwa mzazi ana manung'uniko we kakuweka tumboni miezi 9 unamuacha si wasalamu ht kalamu jaman kaniacha darasa la 3 mpaka sasa wazazi wake mmoja kafa hajui
@prettynayally2177
@prettynayally2177 Год назад
Hi kesi ni kwend ubaloz na uchiguzi ufanyike wa passport yake kwa sabbb passport zinakuwa na kumbukumbu atajulikana yuko wapi
@saurasoso1543
@saurasoso1543 Год назад
Pole Mama.. ila mama jitahidi kueleza mana hatukuelewi 😢😢
@Selemanian
@Selemanian Год назад
Sauzi tunaiweza sie tu. Nitumieni picha yake niwasaidie kumtafuta bwana Selemani
@azmankiddo8872
@azmankiddo8872 Год назад
Kwa experience yangu na haya mambo and um not trying to be negative ni kwamba vitu viwili vinaweza kuwa vimemtokea inawekana kawa mvuta madawa or ameshafariki i don’t see any reason yakutokuweza kutafuta mawasiliano na ndugu zake other than that..hopefully um wrong so his mother can find a peace she deserve
@azmankiddo8872
@azmankiddo8872 Год назад
Kutokuwa na namba kwa watu wa nnje is not a problem unaweza kumuagiza mtu anaerudi Tz kwenda mitaa uliyotoka na akapata namba ya ndugu zako
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
WAKO WENGI WAMESHAJIINGIZA KWENYE MADAWA YA KULEVYA, BASI HATA NYUMBANI HAWAKUMBUKI. NA SIYO HUKO SAUTH TUU, HATA ULAYA WAKO WENGI HAWANA KAZI BALI WAMELOEA KWENYE UNGA.
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 Год назад
Mwaka 1998 kuja South Africa ilikua nikwaviza kwahio alikuja kibaharia bila viza Sasa wazee walikua watoe picha yahuyo kijana
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Год назад
Shida wazamiaji wengi wakifika ughaibuni wanabadilisha majina kabisa
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq Год назад
Ndugu zangu msinitafute mm mzima insha'Allah Niko Maldives 🇲🇻 salama.
@pendoelisha5411
@pendoelisha5411 Год назад
Jmn
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Mama ake mpole mpaka anakera
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Itakua zimbabwe au botswana
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Wekeni picha yake
@latifalayla9990
@latifalayla9990 Год назад
Gea pls jaribu kukumbuka na wanaotafuta baba zao, wapo wa mama wamekimbia na watoto, na wapo wtt waliotelekezwa na Baba zao. So wtt wanaitajii kuwaona Baba zao pia.
@Furaha-jb2eb
@Furaha-jb2eb Год назад
Na mtafuta baba angu
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
Injili kwa kinyakyusa
9:13
Просмотров 17 тыс.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
Просмотров 373 тыс.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн