Тёмный

Miaka 15 Hajamuona Mama Yake | Naomba Unisamehe Mwanangu 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Год назад
Mpaka nimelia jamani,yaani hii tv mungu aibariki sana pamoja na wakina Gear, DaHuu, Jose na wengine wote
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 месяца назад
Et alikuw anataka kusal mama😂 wakat anashukuru jmn
@esperancenathali
@esperancenathali Год назад
Warembo kweli to be honest ningekuwa mwanaume huyo dada hela yoyote ya mahali ningetowa I really love her from my heart ila tu ndo hivyo niko mwanamke pia nimejawa na furaha kuona wamekutana beautiful family
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 3 месяца назад
Nimependa sanaaa
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 3 месяца назад
Kwa kweri mnatuliza dunia ni dunia tunapita
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mpaka nimelia, 😢Pole sana Mama, Wajina tuna roho Nzur 😘
@rahimajuma6233
@rahimajuma6233 Год назад
Hongereni cna clouds
@salumungohu5413
@salumungohu5413 Год назад
Salma.kafanana na mama ake ila mama kawa mweusi maisha ya kijijini
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Mashaalah ndugu wengine wanwjitambua
@SandraJackson-b6u
@SandraJackson-b6u 3 месяца назад
raymond lukete laaana yakuterekeza haitakuacha salama
@RandB_Channel
@RandB_Channel Год назад
Jamani mm sitaki kuona hivo vipindi ju wakiliya namiye uku naliya du emotion zawana wake hazikuwagi mbali
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Год назад
yaani na Mimi hua nalia mpaka moyon
@rayahamisi118
@rayahamisi118 28 дней назад
Tatizo sio wao ni moyooo
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 3 месяца назад
Ila hichi kipind kinaliza sanaaaaa
@EMMANUELLUAMBANO
@EMMANUELLUAMBANO 10 дней назад
clauds media shkamoo
@erickhussein5960
@erickhussein5960 Год назад
Dah clouds Mungu awabalik sana
@saimonimlambo9052
@saimonimlambo9052 Год назад
Wallah husna mpaka nimelia hawa watoto hongera cloud
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Год назад
Yaani daaaa kweli ni wengi wamepiteana
@rachelphares9076
@rachelphares9076 Год назад
Hongereni sana clouds,,
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Год назад
Dada zetu wazuri. Mungu awabariki sana ,🙄🙄🙄🙄
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Hakuna kama mama jamani
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Mungu mwema
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 3 месяца назад
Da gear na dahuu mna pepo yenu make mnauliza vzr mnapokea vzr wateja wenu mnawahendo vzr sio uyo Mai nakina lokole tana dharau mpk bc
@khadijamasoud3936
@khadijamasoud3936 Год назад
Wamefanana kweli mashallah
@jokhaalrashidy1388
@jokhaalrashidy1388 Год назад
Mungu atawalipa sana tunaongalia tunalia
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
uyu mama msimlaum kbs uwezi jua aliyo ya pitia kwenye iyo ndoa
@lenakassian-pr3dy
@lenakassian-pr3dy Год назад
Mimi pia natamani kupata namba za da huu nna kaka angu ameondoka miaka 30 sasa naomba mwenye namba zao jamn anisaidie 😢😢
@ahlamkilema1787
@ahlamkilema1787 Год назад
Yani ww Ni mm kabisa nataka namba jamni hili janga la taifa....
@lenakassian-pr3dy
@lenakassian-pr3dy Год назад
@@ahlamkilema1787 we acha tu yani nasikiaga tu nna kaka mkubwa lakin cjawai muona nna miaka 30 sasa na naambiwa aliondoka Kabla Ata cjazaliwa
@tinnahmosha5177
@tinnahmosha5177 Год назад
​@@ahlamkilema1787 nendeni clouds
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Kimeisha mpk mwakani kinaaza tarehe 1 mwezi wa 5
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 Год назад
Jamani nimeliya Sana hatari Leo sijaweza kula
@JemaElia-np6yi
@JemaElia-np6yi 3 месяца назад
aki nasikia uchungu wanifukuta machozi ya bubujika tu😢
@jeniphanyaulingo8535
@jeniphanyaulingo8535 Год назад
Hakuna Kama mama
@dksbongo5560
@dksbongo5560 Год назад
Mungu awabariki Clouds kwa mnayoyafanya kweli kazi mnazofanya Mungu awabariki.
@JudithBavon
@JudithBavon Год назад
Hongera
@Luckyme-b4i
@Luckyme-b4i Год назад
Huyu mama ndio kafurahi kumuona mwanae sio yule mwingine 😂 mama amenuna
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Год назад
Mashallha
@RosebellahNambiro
@RosebellahNambiro Год назад
Nami pia nmemjua mama baada ya miaka 21😢😢 Hadi sai siamini macho yangu
@njuka3515
@njuka3515 Год назад
Nani alimtelekeza mwenzie
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 Год назад
Hayatuhusu!!😂😂😂
@YusraAlly-mn2cr
@YusraAlly-mn2cr Год назад
Jaman naitaj namba za da uhu simfahamu baba yangu Toka kupata akili yangu
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 3 месяца назад
Nenda clouds tv
@AgnesMgina-ud6ho
@AgnesMgina-ud6ho Год назад
Naombeni mawasiliano na nyie na Mimi ninashida nmepotelewa na kaka angu hata sielewi kama Yuko hai au kafaliki mbaka tumeondokewa na mama Yan hata hatuelewi mbaka sasa
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 3 месяца назад
Nenda ofisini za clous
@felixmwayeya6716
@felixmwayeya6716 Год назад
Nackilia ally alitoka ubaruku ndio nilipo hapa hongereni xn kwa kukutana mzazi na mtoto
@DavidJackson-mi7ks
@DavidJackson-mi7ks 6 месяцев назад
🎉
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 Год назад
MAANA HALISI YA 'TUNAKUFUNGULIA DUNIA' Clouds nyie ni Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Faini yenu yoyote iletwe kwangu hahaha
@sophiamasawe6852
@sophiamasawe6852 6 месяцев назад
🤔🤔🤔au na me nije kumtafuta baba jamn
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
MUNGU Yu mwema
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 Год назад
Wanafanana sana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Duu jmn
@sevelinamartin7752
@sevelinamartin7752 Год назад
Clouds mna pepo yenu Mbingun juu,mnafanya jambo jema mnoooo
Далее
PUBG MOBILE | Metro Royale: Fun Moments #4
00:16
Просмотров 132 тыс.
Diamond Platnumz - LEO TENA ( CLOUDS FM 2017  PART 1)
10:55
PUBG MOBILE | Metro Royale: Fun Moments #4
00:16
Просмотров 132 тыс.