Тёмный

Leo Tena: Mama Akutana na Mwanae Baada ya Kupotezana kwa Miaka 35 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 154 тыс.
50% 1

Kipindi cha 'Leo Tena' kimeweza kumkutanisha Mama na Binti yake baada ya kutomuona kwa zaidi ya miaka 35, tangu alivyochukuliwa na Baba yake mjini Kondoa- Dodoma.

Опубликовано:

 

8 дек 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 364   
@saumugunga8453
@saumugunga8453 2 года назад
Hongera sana kwa kazi nzuri mimi ninaomba usaidizi watanzania niko na kijana wa huko TZ ako na miaka 20 hajaenda kwao. Wazazi sijui wanasemaje tumsaidie cz anatesela sana
@benjaminsuleiman4347
@benjaminsuleiman4347 6 лет назад
Sizani kabisa africa kuna radio yakufananishwa na clouds fm thanx CMG
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Benjamin Suleiman Wallah
@emmahmelisa4511
@emmahmelisa4511 4 года назад
Kunayo huko Kenya
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 3 года назад
Gea habibu anastahiki mshahara mkubwa sana anaibuaga mambo mengi sana ktk jamii hongera pia kipind cha Leo tena
@omaryabed3044
@omaryabed3044 3 года назад
Live kaka leo tena hii ndo ilikua tamuuu
@jayamrso3819
@jayamrso3819 6 лет назад
Hongera clouds tv hivi ndo vitu vya kuangazia kusaidia jamii hata wakati wa shida sio kama tv zingine zenye umbea tu na udaku pongezi clouds tv from doha qatar
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 5 лет назад
Nimelia sana daah R.I.P my Mama umeniaccha nikiwa na miaka3 paka sasa na 26 mdogo wangu ulimuacha ana nyonya 😭😭😭😭stili we love yo mama mungu akupunguzie adhabu za kaburi 😭😭😭
@rayaskitchen0189
@rayaskitchen0189 4 года назад
Jaman pole mpenzi pole sanaa
@idayagangs124
@idayagangs124 4 года назад
Duuh pole sana wangu
@nurisahim7898
@nurisahim7898 4 года назад
Pole sana
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 года назад
Pole saaana
@aishaawadhimalokimaloki9953
@aishaawadhimalokimaloki9953 4 года назад
Nick pole sana ndomitihani
@begumabdul1869
@begumabdul1869 6 лет назад
Alhamdullilah mama kampata mwanae na mtoto kakutana na mama na ndugu zakealhamdullilah nimefurahi pia nimelia kwa furaha maskini,Allah Kareem.Hongereni clouds fm/leo tena
@raykivuyo6871
@raykivuyo6871 6 лет назад
Big five to Clouds Media Group kaz mnayofanya hakuna mwanadamu anaweza kuwalipa...i luv this radio
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 6 месяцев назад
Jaman tuliopitia hayo tugonge like .
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
huyu mama kaniliza wallah pole mama vuta shubra mshukuru mungu kwa yote mama sema alhamdulillah poleni sana
@olivasanga8259
@olivasanga8259 4 года назад
jamani mungu nimwema kumbe namimi nitakuja kummuona kaka angu imani ngogo nimiaka 13 tangu aondoke
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
@@olivasanga8259 Pole Saana My Tuendelee Kumwamini Na Kumtegemea M/Mungu Wetu 🙏🙏🙏 Atamrejesha Salama Ndugu Yetu
@halimaamini8015
@halimaamini8015 6 лет назад
😢😢😢nimeumiaa niliwai kutoroka nyumbani miaka 2 ck mama alinionaa alinifanya km hivi jamani akuna km mama nimeliaa kwa furaha nilivyowaona hawa wamefurahi daah hongera team ya leo tena
@restutamganga306
@restutamganga306 5 лет назад
Halima Amini poleni. sana
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 года назад
Pole mamy
@gilbertkipeta5234
@gilbertkipeta5234 2 года назад
Kweli tulio na wazaz wetu wote tuendelee kishukuru MUNGU 😭😭😭
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 года назад
Ni kweli
@aishanjama8971
@aishanjama8971 6 лет назад
Mashaallah nafurahi kwa kipidi chenu kizuri Sana from Kenya leave in Qatar
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
Nani.anakata vitunguu karibu yangu?😢😢😢😢😢😢
@aminadagida2428
@aminadagida2428 6 лет назад
I love Jesus 😅😅😅😃😃😃😃😃😄😄😄😄
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 5 лет назад
Haha jmn wew
@nuraydasworld4431
@nuraydasworld4431 4 года назад
Mieeee😭😭😭😭😭😭
@athkiduboathkidubo1815
@athkiduboathkidubo1815 4 года назад
Mm
@feithchilala6374
@feithchilala6374 4 года назад
I love Jesus namimi kaja kunikatia
@aishakhamis714
@aishakhamis714 Год назад
Lala mahala pema Mama 😭😭 aisee nimelia sana 😭😭😭 Kwakweli kuishi bila mama Ni kugumu mnoo😭😭
@diyaosman8992
@diyaosman8992 6 лет назад
الله خليك يا ماما nani kama mama Kenya..qatar
@clemmyamani7566
@clemmyamani7566 6 лет назад
Wow this was amazing iwish you could help me find my aunty sister to dad lost long yrs back I'm from Kenya congrats cloud's FM
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 лет назад
Jmn anataman kumbeba anashindwa Allah n muweza Wa yote mpk nmetaman kumuona mama ANGU ila ngumu daaah R I P MAMA
@aishaawadhimalokimaloki9953
@aishaawadhimalokimaloki9953 4 года назад
Pole mdogowangu ni mipango yake Allah
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Pole Saana My Tuendelee Kumuombea Pumziko La Amani Mzazi Mama Yetu😭😭😭
@selincharles3383
@selincharles3383 6 лет назад
cloud nyie watu nashindwa kuwa define maana vitu mnavyo vifanya ni hatali Mungu awape maisha marefu.
@bilajasho449
@bilajasho449 6 лет назад
lkn wanafanana bhn
@happythomas1773
@happythomas1773 4 года назад
Selin Charles mmi naitwa Nechivera Thomasi na mtoto wangu Ana itwa farida Arikuwa Ana soma Kondoa Kwa mjomba wake Sasa Aliondoka huu mwaka toka nanenane handi Leo sijui mwanangu yuko wapi mmi niko tabora namba zangu ni hizi je nawapatanje 0712 697270
@yasintamrema9832
@yasintamrema9832 2 года назад
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Samahani naombeni msaada na mimi na familia yetu tumepotezana na Kaka yetu anaitwa Deogratias Alphonce Mrema. Tunaombeni msaada wa upatikanaji wake.
@saidshuaib7645
@saidshuaib7645 4 года назад
Nawapa sana clauds TV kwa kazi mzuri mnayoifanya mw/mungu killa la kheir. From Iraq
@husenially8649
@husenially8649 6 лет назад
safi nimependa mungu awape maisha marefu watangazaji
@salmadashlaquimanelaquiman4427
Daaaah wallah Adi nme Lia akuna kama mma
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 5 лет назад
Daaah Mama kaniliza sana 😔 Nawapenda ote wa Mama otee duniani 😍😍😍😘
@neykazungu6184
@neykazungu6184 6 лет назад
waooooh! hongereni sana cloud media mmezidi kunifanya niongeze kasi kuipenda cloud media. inshort chozi limenidondoka na tumbo la uzazi limeniuma ghafla japo sijawahi kizaa.
@keyakeya8911
@keyakeya8911 4 года назад
Daaah masikin hakika mungu ni mwema mm pia kaka angu alipotea akiwa na miaka 22 arudi nyumbani kazeeka kabisa daah hongera mama mrangi mwenzangu
@aboturkey3778
@aboturkey3778 5 лет назад
Jamani.nimeliyakwafuraha.nani.kama.mama.oooh.mungu.sifanautukufuniwako❤❤❤❤
@julianpeter7546
@julianpeter7546 6 лет назад
Mungu awabarika clouds kwa ujumla ... Mama mtoto jaman kafurahi sana
@stellahmsigwa8146
@stellahmsigwa8146 3 года назад
Nimelia sana akuna mtu ninae mpenda duniani ninae mpenda kama mama angu ila mungu alimpenda zaidi
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 года назад
Pole Sana dada mungu yupo usijali
@thauratali3656
@thauratali3656 6 лет назад
Du maskin lkn huyu mtoto namuona mdogo miaka 42 mashallah
@herrychristopha4428
@herrychristopha4428 6 лет назад
nimeliaa kwakweli
@aminahassan561
@aminahassan561 4 года назад
Pumzika kwa amani mama yangu mpenzi daima nta kukumbuka milele miaka mitatu sasa tangu ututoke adhabu ya kaburi mwenyezi mungu akupunguzie amina
@teddymathew159
@teddymathew159 6 лет назад
Mpaka nimelia jamanii😭😭yani daaa nani kama mama katika dunia hii hakuna kabisaa mama nimama Mungu mkubwa mtoto namama wamekutana leo ashukuriwe Mungu
@arafaiddy8962
@arafaiddy8962 6 лет назад
masha Allah hakuna kama MAMA jaman MAMA ni MUNGU wapili kwadunia
@MaryamMaryam-ij3uw
@MaryamMaryam-ij3uw 6 лет назад
Arafa Iddy astahafirullah
@mtamomtamo544
@mtamomtamo544 5 лет назад
Arafa Iddy
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 лет назад
Arafa Iddy, kubeba mimba myezi mitisa yote na kule kumsukuma hmmm aca tu 😏...
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Alhamdulillah nimefrah sana japo nimelia pia.😭😭😭
@gabudixon5161
@gabudixon5161 6 лет назад
kwanza nawapongeza CLOUDSMEDIA THE PEOPLE STATION hakika mungu ni mwema na analopanga mungu lazima litimie, kupoteana na mwanao au mama yako miaka 35 sio kitu cha kawaida,nimeshindwa kujizuia machozi yamenitoka wakati naangari show ya leo tena,Nawatakia maisha marefu mama na mwanae.
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 лет назад
Hata mm jaman kuna mama angu mdogo aliondoka nyumbani mda sana naona hata miaka 45 inafika kaelekea mwanza hadi leo harudigi kijijini jamani tufanyaje ili arudi nyumbani hadi babu kafariki mwaka 2017 lakin yy hakuja kwenye mazishi ya baba yake sasa hatujui kama ni mzima au alishafariki maana hata mawasiliano hatuna nae duuuuh ni shida jamani hongera sana mama kukutana na mwanao na mm naamini ipo siku nitakutana na mama angu mdogo mungu yupo pamoja nasi
@user-fq6oz3ls3h
@user-fq6oz3ls3h 6 лет назад
Hamna kama mama duniani mama ni pepo ya dunia mungu awape kher mama wote duniani
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 лет назад
So touching....walitengana vp all those years
@allybububu9757
@allybububu9757 6 лет назад
my team Leo tena.nakupendeni sana
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 2 года назад
Congratulations radio ya watu you did it well 👏
@esperansahkafuka9891
@esperansahkafuka9891 4 года назад
Pumzika kwa Amani mama yangu, Mungu akukumbuke kwa mema yote uliyoyatenda Duniani, Kweli Mama Ni Tunu, Mama Ni zawadi isiyoisha thanami
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 года назад
Pole lakini mungu yuko
@iqrayasin9518
@iqrayasin9518 6 лет назад
mungu mkubwa hongeren sana clouds...mmefanya dada ajiskie raha
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 лет назад
dah hadi roho imenium Alhamdulillah
@hassanyahaya169
@hassanyahaya169 4 года назад
Inaliza sana imenitoa machozi
@stelabrent6056
@stelabrent6056 2 года назад
mungu ni muaminifu awape maisha marefu mpate kufurahi pamoja miaka yenu ilibaki 💞
@neemazee1864
@neemazee1864 3 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😊🤗🤗🤗🤗🤗Acheni Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🙏🙏nna furaha mimi leo utafikili nausika na iyo familia
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 4 года назад
Mashaalah anafanana sana na mama yake
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
Alhamdulilah InshAllah heri
@agripinajoseph3801
@agripinajoseph3801 6 лет назад
hongera sana sijui na mm lini nitamtafuta mama angu jaman
@asiakinia9344
@asiakinia9344 3 года назад
Yaani wallah nimelia kama ndio mm Allah mkubwa sanaa
@Himdat-wg1ut
@Himdat-wg1ut 6 лет назад
Asante clouds Media
@SamsungA-su2qj
@SamsungA-su2qj 5 лет назад
Hongereni sana clouds mnajitahidi sana
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 5 лет назад
Clauds mpovizuriiii gongs like
@adellahmdede15
@adellahmdede15 5 лет назад
Daah....Mungu awabariki sana Husna
@hamidaissa8817
@hamidaissa8817 6 лет назад
Kiukweli nimetokwa na machozi hongera clous fm nawapenda sana waendashaji wakipindi
@AlexAlex-js4qt
@AlexAlex-js4qt 2 года назад
Deus abençoe vocês todos jornalistas , estou escutar vosso programa apartir de 🇲🇿
@khimfarawaytz6910
@khimfarawaytz6910 4 года назад
Mashaallah hakun kama mama
@xkingx8041
@xkingx8041 6 лет назад
Hongera saana clouds media
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 лет назад
masha'Allah 👏👍👌
@zawadikondo5014
@zawadikondo5014 4 года назад
nmelia sana dah nimemmis sana mama angu lakini sitamuona tena
@shishismile1973
@shishismile1973 4 года назад
Usijali Mungu anajua sababu ni gani
@sebastiandeus763
@sebastiandeus763 6 лет назад
Clouds kweli mnatufungulia dunia kuwa unachotaka super brand
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Wamefanana sana mama na mtoto mashaallah Alhamdililah
@sifasanga7866
@sifasanga7866 6 лет назад
Kumbe hata Mimi nitamuona siku moja kaka angu , miaka kumi na sita sasa haonekani....machozi yananitoka
@nesmaakhy2778
@nesmaakhy2778 4 года назад
inshaa Allah usjali kwa uwezo wake mungu utamuona
@kilavomngara5603
@kilavomngara5603 4 года назад
Mungu nitengenezee njia nami nikutane nakakaangu cku moja Amen miaka 18 sasa
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
Utamuona usijali
@ashabaybeashabaybe49
@ashabaybeashabaybe49 6 лет назад
I could not hold my tears
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Ongera Gia na Redio yote👍👍👍❤❤
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
MaashAllah mabrq
@zaituniiddi8615
@zaituniiddi8615 6 лет назад
hongereni sana
@saimasaidi5850
@saimasaidi5850 2 года назад
Amenilizs na mm nakamkumbuka mama yangu.Mwenyenzi Mungu amrehemu mama yangu
@sharifa2274
@sharifa2274 6 лет назад
Alhamdulilah
@sharifa2274
@sharifa2274 6 лет назад
Hongera kipindi kizuri Leo tena
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 лет назад
Nimelia duh God Is great!
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Allah azidishe kher na nuru ya kaburi lako izidi kuwaka malaika wema wawe wazungumzaji na wewe mama yng sikujui kwa maan uliniacha nikiwa mdg nakuona kwa picha ila nakuombea dua mno mama yng ila maisha bila mama acheni tu
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 6 лет назад
mungu awabariki sana
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 года назад
Jamani na mm kuna siku ntakuja muona babangu kweli 😰😰 nimeona hii video nimelia😭😭💔💔
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Inshallah Kheri Habipty Utakuja Kumuona Uckate Tamaa Endelea Kumuomba Saana MOLA Wetu Ni Msikivu Atatenda Inshallah 🤲
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 года назад
Nimelia Sana mama ni mungu wa pili duniani
@immaruzige1845
@immaruzige1845 6 лет назад
Hadi mama kalia duh!
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
Mashallah akuna kama mama
@radhiaathuman3350
@radhiaathuman3350 4 года назад
Du jmn inauma Ila alhamdulillah kwa kuwa ushampt mwanao
@butangasospeter9322
@butangasospeter9322 6 лет назад
Hongera sana cloud kwa msaada huo kuwakutanisha ndg hao. Naomba pia mm mnisaidie kumpata baba angu tuliyepotezana naye toka 1993 mwezi 11 huko Simiyu Bariadi Dutwa! Anaitwa Sospeter Ndongo Butanga
@karimukigogoro7318
@karimukigogoro7318 6 лет назад
Weka namba yako kaka kwa ajili ya mawasiliano. Utampata kaka usijarii
@jandaboy3273
@jandaboy3273 6 лет назад
nenda mikocheni clouds kama unawez kumpata ivi
@mwajumasultan4658
@mwajumasultan4658 6 лет назад
Ukitaka kuumuwa Mama apotezane na mwanaye
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 лет назад
Jamani hata mm pia kuna mama angu mdodo aliondoka nyumbani miaka 45 inafika hakumbuka kijijni kabisa wala harudi nyumbani aleelekea mwanza ila yy mama angu mdogo ni mtu wa kondoa hadi babu kafariki mwaka 2017 hakuja kuzika kwenye mazishi ya baba yake yani kaondoka mda sana nyumban kibaya zaidi hata mawasiliano yake hatuna hatujui kama ni mzima au aneshafariki hilo sisi hatujui kabisa sjui tufanyaje ili tumpete huyu mama yangu mdogo angalo aje amuone hata bibi tu babu yy kashatangulia mbele za haki ila bibi yupo ni mama angu mdogo kabisa kutoka mama yangu ndo akafanta yy huyu aliepotea huko mwanza
@waruhassan7881
@waruhassan7881 6 лет назад
Hadi chozi limenitoka wallah.....alhamdulillah hakika Allah ni mjuzi.....!!!!
@seciliagwelino47
@seciliagwelino47 4 года назад
Jaman hii studio iko mkowa gani jaman namimi nifike nina ndugu yangu alipotea ...naomba mnisaidie nifike huko studio kwenu
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 года назад
Clouds clouds clouds clouds clouds heshima kwenu mubarikiwe inshaallah 🙏🙏🙏🙏🙏
@hdhdhjdjdj1166
@hdhdhjdjdj1166 6 лет назад
Alhamdulillah akuna kama mama kweli eeeh Mungu ni mkubwa kweli
@onesmojoseph8378
@onesmojoseph8378 6 лет назад
ndo maan nakipend hik kipind much love clouds fm much lov clouds tv
@hamudmo58
@hamudmo58 4 года назад
kwanini afrika kuna uzembe wa kupoteana angali wote wako nchi hiyo hiyo. kwanini serikali isiweke sheria ya watoto na wazazi. nchi za wenzetu bila ya barua ya baba na mama mtoto hawezi kwenda shule wala kusafiri mahali popote. miaka 40 yote hiyo vp hadi inatokea hivo? utafikiri serikali za afrika hazina viongozi.
@sevelinapeter5179
@sevelinapeter5179 5 лет назад
jamn na mmi namtafuta mama angu nitawezaje kuja hapo jmna nijue kama mama yangu yupo au Alisha kufa natamani nimuone mama yangu jamna
@sakinamubaraka1246
@sakinamubaraka1246 4 года назад
Jaman pole sana ilikuwaje
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 года назад
Alhamdulillah kilakitu kinawezeka jamani mungu mkubwa 🙏🏼🙏🏼😌😌
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 6 лет назад
Mungu ni mwema kila siku ,hadi nalia masikini
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Duh R.i.p mama mungu akupunguzie azabu ya kaburi na maraika wa bwana wakuangazie mwanga wa milele
@aminamassare888
@aminamassare888 6 лет назад
duuuuuuuuh polen sana kumbe wa kwetu
@hidayamussa4273
@hidayamussa4273 6 лет назад
Dah aisee yaani hata mie on meshimdwa kujizuia inasikitisha nimiaka mingi sana ila mungu mkubwa
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 4 года назад
Jamani sio kwa kulia huku jamani Mwana yutamu uchungu wa Mwana aujuae ni mzazi.subuhana Allah miaka 30 na zaidi haswa mungu n mkubwa jamani.pole kwa yote mliopitia
@princesscaithan3097
@princesscaithan3097 6 лет назад
Daaah yani nimeliwa mwanzo mwsho naimage ndo ningekuwa mie nakuwa bila mama jaman kama mama zetu wapo hai tushukuru mungu en tuwaheshimu sanaa HAKUNA KAMA MAMA yan nimejifunza kitu kikubwa sna leo
@fattyandruqyahbinthouthman8025
@fattyandruqyahbinthouthman8025 4 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭jmn nimejikuta machozi hunitoka yarabi😭😭😭pumzika kwa Amani ya Mungu Mama angry 😭😭😭
@martinabdallah2600
@martinabdallah2600 6 лет назад
hongen clouds media group
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 года назад
Alhamdulillah imeni Guza hadi chozi 😭🇰🇪
@byenobijoram6315
@byenobijoram6315 6 лет назад
Amina
@tuzoalbinus6517
@tuzoalbinus6517 Год назад
Hakuna Kama mama nikitafakari waliyoyapitia wadogo zangu hii dunia hakuna Kama mama hiki kipindi Cha leo tena kinaniliza Sana..rip mom tunakupenda tutakuona mbinguni mama yetu
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 6 лет назад
Machoz yamenitoka kweli duh hakuna Kama mama
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
Jamani munaniliza pia Mimi Alhamdulilah
@maryammohammad1148
@maryammohammad1148 4 года назад
Hongera sana
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 года назад
Raha sana
@halimakipendo1606
@halimakipendo1606 6 лет назад
Mashaallah
@rosechild5021
@rosechild5021 4 года назад
Mimi nili ibiwa mtoto na mtu alikuwa nime wangu aka mpeleka Sudan sija mu ona mtoto wangu tangu iko na myaka mi 3 ivi iko 16 yrs old sina ata mausi yano ya sim lakini siku mungu ata ni saidiya kumpata mtoto wangu 🙏🏽🙏🏽
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 года назад
Maskini...pole sana
@jeffmauzo5483
@jeffmauzo5483 4 года назад
Alhamdulillah hakuna kama mama
Далее
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
Просмотров 3,5 тыс.