Sio kwa miaka ya sasa bro zamani majeshi yote unayo yajua wewe ya Tz sifa ilikuwa uzarendo elimu ziada ila kwa miaka ya sasa mambo yamebadilika katika askari 5 bas jua kati yao ukosi mwenye degree au diploma @@fahadfaraj6474
Kazi mbili kivipi serikalini tunawaamuzi wengi mtaani hawana kazi na adui wa rushwa hivo tunpunguzie majukumu na wengine wanufaike na wito wao ushauri.