Тёмный

#AfyaKona 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 2 тыс.
50% 1

Wataalamu wanaonya kuwa hata afya ya mwili mzima inakua inaathiriwa na afya ya kinywa na meno.
Daktari wa kinywa na meno kutoka Hospitali ya Aga Khan, Masaki, Winfred Mgaya anasema mtu ambaye hana meno mazuri, hushindwa kula vizuri na afya yake inadorora hivyo kuna umuhimu mkubwa wa afya ya kinywa na meno.
Anasema upande wa kutunza afya ya kinywa na meno kuna suala kubwa la usafi wa kinywa na meno wa kila siku angalau mara mbili kwa siku ingawaje hushauriwa kila baada ya kula lakini angalau mara mbili kwa siku.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@user-vk3fj8do1e
@user-vk3fj8do1e 5 месяцев назад
Ghalama ni sh ngap
@AzilaazyAlly-is9xu
@AzilaazyAlly-is9xu 10 месяцев назад
Kunyosha meno shingapi
@BeatriceShayo-m1f
@BeatriceShayo-m1f 2 дня назад
Gharama ya meno ya mojakwa moja ni sh
@BeatriceShayo-m1f
@BeatriceShayo-m1f 2 дня назад
Ni dawa gani ya meno ambayo ni sahihi kutumia ambayo inahiyo cloride ambayo ni sahihi
@francesframa4150
@francesframa4150 2 года назад
💪💪💪
Далее
HOJA MEZANI || Tiba ya kunyoosha meno
36:46
Просмотров 1,5 тыс.
Modus males sekolah
00:14
Просмотров 9 млн
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 22 тыс.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 285 тыс.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 738 тыс.
Al Rahma Hospital - clinic ya meno
4:55
Просмотров 4,9 тыс.
Modus males sekolah
00:14
Просмотров 9 млн