Тёмный

AHMED ALLY AFUNGUKA BAADA YA CHAMA KUHAMIA YANGA “WENYE MAMLAKA YA KUMUONGELEA NI YANGA SIO MIMI” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 месяца назад
Subhaanallah! Ahmed uislam hauabudiwi isipokuwa anaeabudiwa ni Allah hapo ndipo Abubakar Allah amwie radhi alisema kama mnamuabudu Muhammad Basi Muhammad Swallallahu alayhi wasallam amefatiki na kama mnamuabudu Allah basi Allah yupo.
@zackmwarabu7251
@zackmwarabu7251 3 месяца назад
Tumsamehe muislam mwenzetu Wana wana zilikuwa nyingi sana 😂😂😂
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 3 месяца назад
Acha Mbwembwe za udini fala ww
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 месяца назад
@@justinmmbando5386 nimemrekebisha Ahmed ndugu yangu katika iman sijaongea na makafiri kama wewe kaa kwa kutulia
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk 3 месяца назад
Mimi ni mshabiki wa Simba ila nimefurahi Chama kuondoka Simba,ni kweli ni mzuri ila kwa Simba ya sasa hivi inahitaji wachezaji wepesi sana.Tumekosa ubingwa mara 3 tukiwanaye na tulipata ubingwa karibia mara 4 tukiwanaye.Kwahiyo kwa sasa akatoe radha upande wa pili.Simba bingwa mwaka huu.❤️❤️❤️❤️
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 3 месяца назад
Nakuunga mkono bado mabeki 4 na 5 wenye Kasi waongeze na viungo Namba 6 8. Namba 10 lakini pia mabeki wa pembembeni waongezwe ili ikitokea Kuna majeruhi Bado tunakua na hakiba ya wachezaji
@daudbutunga1190
@daudbutunga1190 3 месяца назад
Ahmed Ally umeongea vzri, huo ndo ukomavu
@abbassalum6824
@abbassalum6824 3 месяца назад
😀😂🤣 Washabiki wa Mpira bhan Bola kaenda kinafki angebaki ungeskia hap oooo yanga wameongea san kikowap daaar
@baddiekid
@baddiekid 3 месяца назад
kwami anacheza peke yake uwanjani... kukosa ubingwa na yeye kuwepo ni nini 😅
@baddiekid
@baddiekid 3 месяца назад
kukosa ubingwa na chama kuwepo kunahusiana nini 😂😂 mnaumia sana makolo kwan huq anachez peke yake uwanjani
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 3 месяца назад
wewe ulidai kwamba chama awezi kwenda yanga
@aileenmphuru5106
@aileenmphuru5106 3 месяца назад
Alisema kuwa kama Simba inamhitaji hawezi kuondoka ila kama hatumuhitaji ataondoka. Hivyo ameondoka kwa kuwa hatumhitaji
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 месяца назад
Hajawahi kusema hivyo
@EmmanuelSima-qz1gd
@EmmanuelSima-qz1gd 3 месяца назад
Mfariji wa tim hata kama kuna maumivu kias gan lazma mgonjwa apate faraja😂😂😂
@elizajohn8066
@elizajohn8066 3 месяца назад
Ata Mimi pia nimefurahi kuondoka maana alikuwa muhujumu wa simba
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 3 месяца назад
Katoka chama kabaki kibu na mzamiru😂😂😂😂😂😂😂
@ce-08
@ce-08 3 месяца назад
Mjitahid kuheshimu vya kwenu hyo kasumba wabongo tunayo sana kutukuza vya kuja na kuponda vya kwetu
@oscarsakilu2494
@oscarsakilu2494 3 месяца назад
Na nyie simba mchukueni gwede wa yanga
@NuhuMuhidini-v1r
@NuhuMuhidini-v1r 3 месяца назад
Usiwatukane mwenzio mbwa wewe sio mwana soka
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 месяца назад
Unawadanga wenzio hivyohivyo 🤣🤣🤣
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 месяца назад
Hujui mpira wewe shangazi mchezaji kuhama timu sio kitu cha ajabu haijaanza Leo wala kwisha kesho hakuna jipya
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 месяца назад
Ulivyokuwa unakataa nyau mweusi ww
@rasymb6190
@rasymb6190 3 месяца назад
Na ndungu zake jamaa Hawa hapa wasani kumbe ona mana KUNA MDA UNAWEZA KUTENGENEZA MAHISIANO YAKO KUPITIA HII MOVIE ONE NA TWO YAKE NIWEWE KUTAZAMA HAPA NA UTANISHUKU UKINIELEWA NI KAZI YENYE KUJENGA SIO COMEDY TAZAMA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-b1fjhNEBjP8.html&si=ZE9tNM5ZZFQ8CAwj
@MihayoMjomba
@MihayoMjomba 3 месяца назад
Jamani tusijitoe akili mwamba wa lusaka ni hatari hapa kazi tunayo. Na ww mbwa msemaji lopolopo wewe siulisema Chama hawezi kucheza nyuma mwiko. Kbumb ww
@DirectorPAJAMWA
@DirectorPAJAMWA 3 месяца назад
MWAKATOBE AMEDATA NA TAMTHILIYA YANGU INAYOTAMBA KWA SASA - MJUKUU WA MZEE MCHAWI
@ShabanKibindi-m5l
@ShabanKibindi-m5l 3 месяца назад
acheni ahende zake
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 месяца назад
Soka la bongo linaenda kuwa kubwa sana mbeleni. Mimi ni Yanga ila Simba sio wa kubezwa wanafanya sajili nzuri kimya kimya naamini kuna kazi ngumu sana msimu ujao. Kuwa na mastaa wengi kuna hasara sana hasa timu ikikosa morale ya kutosha. Lazma yanga ijipange kuwahudumia hao mastaa kwakuwa naamini maslahi ndo kitu muhimu kwao ili wasikose morale lasivyo itatugarimu
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 3 месяца назад
Samahani msemaji sahihi ni " wale waliokuwa wana muabudu Mohamad basi Mohamad amekufa na wale waliokuwa wakimuabudu Allah basi Allah yupo hai milele " na si kuuabudu Uislamu
@ce-08
@ce-08 3 месяца назад
Unajua sana kupangilia maneno ukpewa karata kwenye siasa ww utawashika watu mapema tu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 3 месяца назад
Hiki kirusi bora kimeondoka
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 месяца назад
Ahmed bana 😂😂😂. Kuna wakati anaongea ujinga hadi anatamani kujicheka
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 месяца назад
Kiufupi nimeipenda hii ya kuachana na Chama ambaye ametumikia kwa misimu ya kutosha. Hii itaipa nafasi Simba kusajili wachezaji wengine wenye umri Mdogo ambao wataitumikia kwa hamu ya mafanikio. Ninauhakika Simba itakuwa nzuri sana maana watakuwa wakipambana sana wakiwa wageni kuliko wanaojifanya ni wenyeji.
@salumkhalid9792
@salumkhalid9792 3 месяца назад
Uislam hauabusiwi anae abudiwa ni allah peke yake
@AlexAidan-kq5zn
@AlexAidan-kq5zn 3 месяца назад
Kwan wewe unaushaidi gani umalaya tu
@PeterMghwira
@PeterMghwira 3 месяца назад
Jifunze kuwa Msemaji wa soka na punguza mizaha yako, umetudanganya miaka 3, huna jipya
@ImmanuelNgondya
@ImmanuelNgondya 3 месяца назад
Ahmed ally mimi nahitaji kadi ya simba muda wote kama vip niilipie
@DaruweshAkida
@DaruweshAkida 3 месяца назад
Simba imekwisha bado yamtegemea shomari kapombe
@HADSONPAUL
@HADSONPAUL 3 месяца назад
Unamjua simba mnyama simba anafyanta mkia mnyama
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 3 месяца назад
Umeanza kujimaliz sasa😂😂😂😂sema nakukubali sana Ahmed Ally,mashine ya kuongea
@MwalimuAdamu
@MwalimuAdamu 3 месяца назад
Simba ni taasisi na taasisi aitegemei mtu mmoja simba nguvu moja tutakaa sawa tu
@ReginaldAplonary
@ReginaldAplonary 3 месяца назад
Ila huyu jamaa anaonekana anaipenda Yanga tena sana
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
😂😂😂😂kujifariji tuu kuoga aaah
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 3 месяца назад
Kwaiyo unataka ajinyonge kafiw na watu wake wa ma'am aliumia alilila na akanyamaza itakuw chama msituchoshe ban
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
@@nasrakambimton9522 ukolo tu akili aaah🤣😂
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 2 месяца назад
@@malietamaliet akili kama zako chura wee akili zako ziko matopen
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
@@nasrakambimton9522 🤣🤣😂majunguu tu kua na akili aaah
@AshrafuMuhaji
@AshrafuMuhaji 3 месяца назад
Wewe ahmedi hizo ni bangi waislam hawajawahi kumwabudu MTUME Bali wanafata matendo yake
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 3 месяца назад
Hujamfahamu yy amenuu kauli ya swahaba wa mtume baada ya mtume kufaeiki walikuwa wametaharuki akasima akasema hayo maneno kwasabu walokuwepo wanafiki akisema kama anaabudiwa mtume
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 3 месяца назад
Karibu Mutale tuleteeni kipro akaminko na fei ikiwezekana
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 3 месяца назад
Unajipya😂😂
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 3 месяца назад
Tulishinda bila Kula pale kalume juu ya morisson, mmesahau sio😂😂
@bone102
@bone102 3 месяца назад
Sasa Morison mlikuwa mnamgombania hadi mahakaman ila Chama hatujakesha mahakamani elewa tofaut boss
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l 3 месяца назад
ujinga wako ndio ulikushindisha njaa ww ilikuuma benard morson aliondoka na nini chakwako mpaka ushinde njaa?
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 месяца назад
ahmed amekoo akili, ingekuwa zamani angepuyanga kumsema chama
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 3 месяца назад
Anaanzia wapi kumcheka Mwamba wa Lusaka?? Atachekwa nao
@elizabethsingano5922
@elizabethsingano5922 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@brunochoga4932
@brunochoga4932 3 месяца назад
Kila la kher chama
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 3 месяца назад
Mlitunyanyasa sana,, mbwa nyie
@JuliusWandwi
@JuliusWandwi 3 месяца назад
Ww mwenyewe maiti c afadhali mbwa?
@EdwardMarera-le5qt
@EdwardMarera-le5qt 3 месяца назад
Wenda wewe mwenyewe unatokana na hao wanyama make ushabik huo ni wa kishamba huwezi ita watu kuwa n mbwa bro. Jipime na kauli yako . Tambua timu hizi zitabaki miaka na miaka ila sisi matusi haya hayatusaidii baada ya hatma yetu hapa duniani.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 месяца назад
Matusi hayaruhusiwi ktk majukwaa haya. Huna point bora ukawa kimya
@erickmasumbuko3841
@erickmasumbuko3841 3 месяца назад
Huna jipya
Далее
Airpod Through Glass Trick! 😱 #shorts
00:19
Просмотров 1,1 млн