Тёмный

AHMED ALLY, IBWE WAIBUKIA CCM VIJANA "KILA KIJANA ANAWAJIBU WA KUITUMIKIA CCM" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 24 дня назад
Katiba mpya my brother understand
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 24 дня назад
Mwamba wa Mnyama , Mama Samia ikikupendeza Amed Ally umpe kitengo ktk serikali yako hususani ubunge wa kuteuliwa na awe waziri. So special
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 24 дня назад
Unaumwa wewe!!!
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 24 дня назад
Thabiti itakaa thabiti tu
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 24 дня назад
Amed ally ameomgea vizur sana Mainshaallah
@user-nu3ne8ul5d
@user-nu3ne8ul5d 24 дня назад
Safi sana semaji ccm oyeeee
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 24 дня назад
Hahahaha mimi namkubali makonda tu ameweza kunishawishi akiomba kura nitampa
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 25 дней назад
Ndiyo maana msemaji atakiwa awe nahekima wakati anaongea serekali inaona matukio yote siyo kuropoka hovyoo pongezi Kwa semaji la kafu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 24 дня назад
Umeongea vizuri saaana mwambaaaa
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 24 дня назад
Ahmed Ally kipenzi cha wengi😂😂hicho cha Azam masikini sijui hakijulikani😂😂
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd 24 дня назад
Ccm Keisha
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 24 дня назад
Tumikia mwenyewe
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 24 дня назад
Leo nimeamini msemaji ni mmoja tu Amed Ally
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 24 дня назад
Jamani tuwe wakweli huyu MTU sio wa kawaida, hivi Ally komwe anamuza kweli????
@simonsadala2386
@simonsadala2386 24 дня назад
Hashim Ibwe unakitu brother kongole
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 24 дня назад
kumbe na uko unaweza
@user-ec7us6vf6w
@user-ec7us6vf6w 24 дня назад
Hivi hao waliojazan hapo Wana Kaz za kufany kwel jmni
@halimamasai2234
@halimamasai2234 25 дней назад
Safi sana semaji letu wenye wivu wajinyonge CCM oyeee
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 24 дня назад
Wajinyonge kwa kipi😂😂
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 24 дня назад
Halafu wa kenya wanawaambia watanzania waandamane 😂😂😂😂 kwa hali hii haandamani mtu😅😅
@jdanny497
@jdanny497 24 дня назад
Tanzania vijana wote chawa hadi warioba anajua..njaa ndio inawasumbua
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 22 дня назад
Kwa kuwa wengi bado kujitambua
@user-tv9tm7cp9g
@user-tv9tm7cp9g 24 дня назад
Unaweza uko
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 22 дня назад
UNGEJUA CCM NI YANGA WALA USINGEENDA
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 24 дня назад
Wasilolijis ccm.inaandaa vijana tangu shule ya msingi.na kuwafundisha kujieleza hadi vyuo vikui.msifikiri wsmeibuka tu.
@ElishaOisso
@ElishaOisso 24 дня назад
Nimeelewa lakin mama tunataka katiba mpya
@marcokanyama4533
@marcokanyama4533 24 дня назад
Privadinyo hajielewi ni tahila Wenzake wamesoma nyakati Kila chakuongea kinasehem yake sio kuropoka TU umebugi
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 24 дня назад
Kweli sahv kilichobkii nikwendaa na upepo kabg
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 23 дня назад
Kwenden huko vitu vinapanda ata hamusemi
@danielndam5997
@danielndam5997 24 дня назад
Wengine wasio kua uv ccm sio vojana
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 25 дней назад
Kumbe nawewe nimi CCM ee
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 22 дня назад
UNAJUA ELIMI NI MUHIMU MUNGU TUNUSURU NA HUU UJINGA
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 24 дня назад
Semaji LA kaf huna mpinzani tambaa wengine waimba taarabu
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 24 дня назад
Ccm wajinga sana pumbavu ivi hao watoto wa shule na bado wako na uniform wanafanya nini hapo chama lakipumbavu ili sijawah ona
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 24 дня назад
Njaa ikihamia kichwani ni hatari, mnaliabisha taifa kwa uchawa
@Theprincipalmboya
@Theprincipalmboya 24 дня назад
Hii sio sawa
@mlangotv8465
@mlangotv8465 24 дня назад
Hao wanafunzi mmewapa chakula?
@ChoroTesla
@ChoroTesla 25 дней назад
Kampeni zimeanza???
@halimamasai2234
@halimamasai2234 25 дней назад
Acheni ushamba kila kijana wa nchi hii anahaki ya kuchagua upande sasa lipi la ajabu 😊
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 24 дня назад
Huyu aliyevaa miwani ni nani
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 24 дня назад
Naona utopolo mnahoji hoji kuhusu AHMED ALLY mbona huwa hammhoji Manara
@user-oc1jm5zn6g
@user-oc1jm5zn6g 24 дня назад
Nyie tuachieni mpira wetu.nyie mkapige debe huko
@user-jx3yi9ci7g
@user-jx3yi9ci7g 25 дней назад
Hapo mmeanza kuharibikiwa siasa na mpila!!!!!!
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 24 дня назад
Kulingana na mazingira
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 24 дня назад
Naona watoto wengi wa shule
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 24 дня назад
Kwahiyo mnarudisha fadhila kwa goli la mama. Tujitafakari sana vijana hawa ccm hawana uruma na vijana. Hatuna urisi wa kesho katika taifa hili
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 24 дня назад
Nonsense
@danielndam5997
@danielndam5997 24 дня назад
Mjinga kweli ww
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 23 дня назад
Kwenden huko vitu vinapanda ata hamusemi
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 24 дня назад
Wa tz kiakili mugu tuhulumie tumejaza uwanja ila maisha tuliyo nayo mtaani nikwikwi
@derickkaragwe5824
@derickkaragwe5824 25 дней назад
Mnaenda kualibikiwa sasa kama mmeanza kujichanganya na has watu
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 24 дня назад
Mbona Manara yupo CCM siku zote au yy siyo msemaji wenu🐸🐸
Далее
Bando MC ft Vanillah - Sikulaumu
3:40
Просмотров 91 тыс.