Jamn me naomba kuuliza mnawezaje kumshangaa mtu baada ya kumpa msaada wa halaka watu wengine wanagongwa mapolisi awaji nyie kwanini amfanyi mpango wa kuokoa maisha yake yaraby 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
wew usiseme deleva walor hana akili wew ulikuepo kwenye ajali maana tambua kwamba huyo wa daladala alikua mbele nalori alikua nyumba kwaiyo huyo wa daladala alivyo simama grafla yule walor alishakua kalibu naiyo daldal kwaiyo yeye asingeweza funga breck za gafla matokeoyake angeigonga iyo daldal angeumiza wengi waumo ndani mwa daldal