Тёмный
No video :(

Akiwa na miaka 12 apewa UWEZO wa AJABU! anaota vitu vinatokea,2012 akiwa SINGIDA apatwa na hili ZITO 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Месяц назад
Aje atutabirie mikeka tumfirisi mwind
@jamesdismas4884
@jamesdismas4884 Месяц назад
Wewe ni mpuuzi sana, nenda shule kafute ujinga kwanza and then come back here to comment Hivi ni kwanini kizazi cha sasa kina wapuuzi hivyo?
@seifmiraji43
@seifmiraji43 Месяц назад
Sasa upuuzi uko wapi hapo?! 😅​@@jamesdismas4884
@user-mg6fs1kb1d
@user-mg6fs1kb1d Месяц назад
Uyu kijana Tiba anayejua Sanaa na Alishawah kunisahidia mwaka Jana nilimuomba aje mtwara kuniwekea mvuto Dukan kwangu niliona matokeo mda mfupi
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Big up
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 Месяц назад
Hume ongeya vyema sana Sheikh...
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 24 дня назад
Hata Bhana Nilisha futa ujinga tayar ila nimejifunza kitu
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Месяц назад
❤❤❤
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 Месяц назад
Huyu muongo tu hiv si ungekuwa unabet mpaka basi😢😢
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Месяц назад
majini hayo yana limitations zake
@valerianchamlungu7268
@valerianchamlungu7268 Месяц назад
So kwenye. Necta hakuona maswali 😅
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Месяц назад
Namjua na nilimuona sehemu dar kwenye frem yake lkn nilikuwa kwenye daladala anauza dawa za miti shamba kanenepa mmh
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Месяц назад
Hii pesa 2022 nilimjua ashawa kuniombea dua kwenye simu nikiwa omani😃😂
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Месяц назад
Anajitangazia uganga uyu ndio kaz ya watanzania hio waganga wamejazana 😂😂😂
@Mrdragoon85
@Mrdragoon85 Месяц назад
Dogo. Ana sota mbaya 😂
Далее