Тёмный

Alichokifanya DIAMOND kwa KHAMIS wa bongo star search ni zaidi ya upendo,hongera sana khamis. 

Middle simba
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 610 тыс.
50% 1

Please subscribe now on Our RU-vid channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
#khamis

Развлечения

Опубликовано:

 

20 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 647   
@godystar6277
@godystar6277 4 года назад
Kama unamkubali hamiss gonga like apoooo twende sawa
@mariamamirh2302
@mariamamirh2302 4 года назад
Team Hamis tujuane..
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 4 года назад
Tamu sana ina twanga hadi London. Pongezi Diamond/ Harmonize chukueni Hamisi kijana mdogo ana nyota safi
@salehepupa2333
@salehepupa2333 4 года назад
Anajua apewe izopesa
@faridagota5591
@faridagota5591 3 года назад
Anajuw kuimba diamond msajili mdogo wetu
@sufiansaidy6263
@sufiansaidy6263 4 года назад
Ebwana me namkubali hamis anajua kama unamkubal hamisi gonga like hapa tupate kura nyingi
@ommycrazy1842
@ommycrazy1842 4 года назад
Mm namkubal mwang hamis
@ommycrazy1842
@ommycrazy1842 4 года назад
Nkbliiiiio
@mahmoudpanga9242
@mahmoudpanga9242 4 года назад
sufian saidy
@omaryahmedy9979
@omaryahmedy9979 4 года назад
Khamisi nakukubari mwamba ww umeshatoboa
@omaryahmedy9979
@omaryahmedy9979 4 года назад
Khamisi nakukubary sana mwamba
@starartisttz4604
@starartisttz4604 4 года назад
Hamis bado ni mkali tyu.... Kama unamkubali dondosha like hapoo
@lovelyhoney5940
@lovelyhoney5940 4 года назад
Nice Dogo kaza mungu yu nawe god blessed
@mossesmaduhu4392
@mossesmaduhu4392 4 года назад
Leo nimekuwa wa kwza like zenu Huyu kjn anajua kuimba
@elensospeter2346
@elensospeter2346 4 года назад
Uyo wa 3 ni Paul Richard Ametisha aswaaa!! KADEA PRODUCT💪💪
@omalyjuma4955
@omalyjuma4955 4 года назад
uuu
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
Sana
@happydamas7580
@happydamas7580 4 года назад
Mosses Maduhu sanaaa jaman
@ashamohamed4145
@ashamohamed4145 4 года назад
kaza buti hamis washiliki oooote wanatamani kukushusha
@kawesijoseph4209
@kawesijoseph4209 4 года назад
Mambo vp Middle simba, Khamisi kipaji chake natural na chakuzaliwa.
@abdallahramadhan3282
@abdallahramadhan3282 4 года назад
Hassi he is only one who performed very well
@meshackeyzmbogo7147
@meshackeyzmbogo7147 3 года назад
Yupo maqin sana anaweza
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 года назад
Khamis yupo juuu🙌✅😘
@mrambaedison2110
@mrambaedison2110 4 года назад
This boy has music in him...he learnt music and he goes by its law..his originality suprises me...since its a competition...acha iendelee bt tushapata mshindi ata akiangushwa still he will be the man of the match...from 254 nafuatilia.👏👏
@user-le5yr3bl5e
@user-le5yr3bl5e 4 года назад
Apana hamis anaimba vzr nakingine kuimba kwake ameweka kabs hisia zimeonekana kwer 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@margaretjeptoo9697
@margaretjeptoo9697 4 года назад
Diamond simbabala
@mariamatieno6613
@mariamatieno6613 4 года назад
Anaimba Safi sana na hisia pia
@jamilamshangama4530
@jamilamshangama4530 4 года назад
Mungu amjalie hamis yuko vzr anajua jaman
@kanzebechombo7158
@kanzebechombo7158 4 года назад
Hamisiii jaman hamisiiii big love uko juu sanaaaaa kaka
@tolumnyama3935
@tolumnyama3935 4 года назад
Mim kwa kweli middle tukiacha uongo uyo dogo wa Dodoma 3 anaimba sana na ni mzuri kulko hata wote sema dogo itakuwa afanyi ibada na huyu dogo hamisi ni mtu wa ibada na mwenye hofu ya mungu na ndio maana kapata kibali sana machoni pa watu wote na kama haitoshi ni mstarabu sana sema nn mungu atamsaidia sana dogo cause hata kabla ya keshakuwa staa na kukubalika na watu mm binafsi na enjoy show.
@danichuga7611
@danichuga7611 4 года назад
Team hamisi tujuane na nyota zetu
@avemussinojoaojoao6207
@avemussinojoaojoao6207 4 года назад
Nao
@muhyidinathuman2300
@muhyidinathuman2300 4 года назад
Pia
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 4 года назад
tup hp time hamis
@maryamsaid6010
@maryamsaid6010 4 года назад
Nami ni mmoja wao tim Hamish
@merypaul5699
@merypaul5699 4 года назад
Nampnda jmn hy kk anasf zote za kua mshnd Bss 2019, god beless u hamis
@gang_raham6506
@gang_raham6506 4 года назад
Ela hamis namkubali sn namuombeya kwa mungu afanikiwe shughuli yake.thanks
@danmanga4342
@danmanga4342 4 года назад
Dogo hamic ana saut ya kipekee na pia anaimba kwa hisia zaidi,so i think dogo is bether than any another
@salumsumbu3845
@salumsumbu3845 4 года назад
you think,,,,
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 4 года назад
Dan umeona ee wengine ubinafsi mwingi tu lakini hakuna alio mfikia khamisi
@alexmwamahonje5938
@alexmwamahonje5938 4 года назад
It is not beter say the best
@edwingwesso129
@edwingwesso129 4 года назад
Kama unamkubal hamis Kama mm achia likeeee
@wasafiwambura6232
@wasafiwambura6232 4 года назад
Kama unamkubal Hamis kama mmoja achia Likeeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hassanhussein6912
@hassanhussein6912 4 года назад
Edwin Gwesso Hamisi nakubali san yaani honger san kijana
@atukuzwebiirabake1550
@atukuzwebiirabake1550 4 года назад
Hamis bado yuko juu
@atukuzwebiirabake1550
@atukuzwebiirabake1550 4 года назад
Hamis yupo juu
@upendosamwel4747
@upendosamwel4747 4 года назад
Khamis sings in a very natural way.. 💞
@jumahussein7446
@jumahussein7446 4 года назад
Kwa hamisi kwanza nyimbo zake kwa lugha nyepesi inayo eleweka kwa wengi, pili hisia na upigaji wa gitaa, na pia muonekano wake.
@hadijahsifa3008
@hadijahsifa3008 4 года назад
Hamisi anapendwa sababu mwenyewe iko natural ,haende na mutindo wa kisasa, wala ha copy stills zainje. Amebaki African boy ❤
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 4 года назад
Hamis yuko vyema tena yuko ki afrika zaidi hao wengine wanazinguwa tu kwa mi nyimbo yao ya kigeni.
@kelvingodfrey4352
@kelvingodfrey4352 Год назад
Kwrl
@danieljefwa2071
@danieljefwa2071 4 года назад
254 khamis ana vutia watu kwa kuwa anaimba na negative voice ambayo sana kutumika wa nyimbo za huzuni.na instrumental Minor cords . Ndio mana wengi wanamuona wa kipekee . Ila master J . Ni mkweli .
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 4 года назад
Yaan khamis anaweza kuimba kwa washiriki wote cjaona kama khamis, piga kazi khamis utafika mbali sana
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 4 года назад
Hamiss nikijana mupole Tena anatia huruma big up kakangu utashinda hakimiss amini mungu anaweza nakukubali sana
@happynessnestory2285
@happynessnestory2285 4 года назад
Hapo tunaangalia kipaji sio huruma yuko kawaida sana
@kemalswaleh9527
@kemalswaleh9527 3 года назад
Anaimba vizuri hamisi saidi watching from kenya Cecilia😍😚😚😚😍😍😢😢😢🇰🇪👌👍👆
@smnabdady9529
@smnabdady9529 4 года назад
Amisi is on another unique terrific level of singing. I give big up
@olaolacocacola9242
@olaolacocacola9242 4 года назад
Kuna tofauti kubwa baina ya Khamis na washiriki wengine na hapa tunapaswa kuangalia changamoto gani mshiriki anapitia ktk kufanikisha ndoto zake na ndo hapo utajua ukubwa wa kipaji chake,kwamfano mtu mwenye mazingira magumu hua ana tafrani za aina nyingi kichwani mwake,hivyo kuweza kuonesha mapenzi yake na kipaji chake kwa juhudi na maarifa na akaweza kueleweka sio kitu rahisi
@seifsharif1510
@seifsharif1510 4 года назад
Khamis is goood talent kwanz kawapiga kwenye lugha 2 pili hisia well. done dogo kaza ongea kiswahili 2
@beutymttobeutty2273
@beutymttobeutty2273 4 года назад
Hamisi juu👏👏👏👏labdha ubaguzi tu lkn hamisi yko moto💣💣💣💣
@rehemamwakio7377
@rehemamwakio7377 4 года назад
beuty mtto beutty kabisa kipenzi
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 4 года назад
Umeona ubaya utofauti na muonekano ndio tunakiangalia zaidi hatungalii uhalisia wa mtu na kipaji khamisi mkubali mkatae kipaji anacho cha kukaa na mtu akamuelewa
@aishaaishamalik5519
@aishaaishamalik5519 4 года назад
Khamisi mungu akusaidie
@princessfathamy9787
@princessfathamy9787 4 года назад
Hamisi ana makini na mziki he knows what he’s doing he’s not faking
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 4 года назад
Ukweli tuongee jamani kamis mbona sijaona mwanadani wake kwanza khamis anaimba kiutulivu ata nyimbo alizo chagua kuimba pia kiutulivu na hisia zake utulivu zaidi umakini anacho kifanya pia yupi parfct sana zaidi kiuhalisia mm kwa uoni wangu jmn
@princessfathamy9787
@princessfathamy9787 4 года назад
Salha Ak.a Mgeni umeona eeh yaani yupo makini wala hajilazimishi
@salmasaeed9357
@salmasaeed9357 4 года назад
Keep it up bro hamso
@enockjama7801
@enockjama7801 4 года назад
weeeee acha kumfananxha khamixx nav2 vyaajabu. ..khamixx anaimba bro xyo mchezooo
@eliudezra8953
@eliudezra8953 4 года назад
Hamsi ni baba lao
@mbogimbogi5
@mbogimbogi5 4 года назад
Hapo , tofauti ya hamis na hao wengine no kwamba hamisi anagusa kila Sina ya mzik, kuanzia bongo freva mpaka bolingo , anaimba kitanzania anajal asil yake anatumia hisia kulingana na Sina ya mziki anao perform kwawakat husika hivyo anasababisha mtyu kuendana na hisia zake
@nestoryvunja2885
@nestoryvunja2885 4 года назад
Kiba, mond au harmonize mko wapi!? Mchukueni dogo huyu maana anaweza👏👏👏mfanye kazi
@jsaidjsaid
@jsaidjsaid 4 года назад
hamis said ni noma, uko vizuri sana dogo kaza but!
@sophiamwita434
@sophiamwita434 4 года назад
Big up kwako hamisi
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 4 года назад
Nakubali sanaaaaa
@erickmpagama6974
@erickmpagama6974 4 года назад
hamic big up kwako. unaweza
@masawewaryoba4931
@masawewaryoba4931 4 года назад
Khamis juuuuu Kama unamkubar twend sawa
@festovenas502
@festovenas502 4 года назад
Hamis kinacho mpa shavu anaimba kishwahili wengine waimba Cha wengine anastahili ushind
@festovenas502
@festovenas502 4 года назад
@@sakinahmoshi6018 lakini kama ushindi unapatikana kwa kupiga kula hamis ata shinda lakni Kama Wana mshindi wao bas tuu
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 4 года назад
Festo kwani ww sio mswahili na hilo ndio alijivunia pia kuto iwacha nchi yake kwa lugha yake na yupo makini nayo anaimba kwa weledi kabisa ktamka matamshi ss ww ulitaka aimbe kihindio nyie ndio msio jilewa mko nchi gani
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 4 года назад
Ila pia festo unaoneshea mbona km una ubinafs na lugha yako na pia unaubinafsi yaonesha na jirani yako km hukuanza kumpenda jirani yako unadhani usiku wa manane chumvi utamuomba nani jifunte kupitia mengi moja wapo mdomo kauli chunga na mtazamo pia waza kabla kuongea
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 4 года назад
Guita linampa shavu khamis ni mtaalam kinoma
@festovenas502
@festovenas502 4 года назад
@@salhaak.amgeni8908 hahahahahaha uja nielewa nilicho Manisha anapendwa kwa sababu Ana imba Cha nyumban
@monicaalex7880
@monicaalex7880 4 года назад
Jamn hamis asiposhinda madam rita kipind chako utakua unaangalia mwenyew
@rosebasimwaki6710
@rosebasimwaki6710 4 года назад
Hata Mimi nimemkubali
@happydamas7580
@happydamas7580 4 года назад
Monica Alex kabisa
@supern5302
@supern5302 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@suraiaamina4062
@suraiaamina4062 4 года назад
😂😂😂😂
@gracemwanyinga5000
@gracemwanyinga5000 4 года назад
,🤣🤣🤣🤣mm pia
@nourubakar4426
@nourubakar4426 4 года назад
uwong dhamb mm ao wengin naona wananipigia keleletu Aukwakua ngeli inanipiga Cheng mm namkubali khamis
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 4 года назад
Hamis bado bhna kafunikwa kukubwa tu ila anapewa promo sana na atashida sababu ya kufahamika sana lakn cyo kipaji
@asmasuliman9793
@asmasuliman9793 4 года назад
Tatizo lazima tuelewe lugha yetu ndo tuende kwa mwenzetu na ukiangalia sasa hivi wasanii na watanzania wengi tunaisambaza lugha yetu kwanza hamisi yupo sahihi na anaimba na hisia
@meck_billions
@meck_billions 4 года назад
Tuache uongo khamis anaimba Swahili dats why most of them wana shoutout to him others pia they are good vocalists
@asteriambwei7223
@asteriambwei7223 4 года назад
Anawenza asaidike atatoka
@gopuroja9275
@gopuroja9275 4 года назад
Hamisi anajua bhana acha kabisa dogo big up kwako.
@babondo
@babondo 4 года назад
Only KHAMIS 🎸🎸🎸🎸
@tumainibraysonikitundu5210
@tumainibraysonikitundu5210 4 года назад
Khamisi mkali kwakweli ila kuna kimdada kimoja from mbeya 😘😘😘😘 hadi nimehisi usingizi 👏👏👏👏
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 4 года назад
Jamani mi nishafika kupata update za middle nipeni tu like zangu niende
@enockndamo1350
@enockndamo1350 4 года назад
hakuna kitu hapo
@nelsonmaimu5805
@nelsonmaimu5805 4 года назад
Nimesikiliza wote lakini hamisi yuko sawa kiukweli atakuja kuwa bonge la star
@shazzbizzy6932
@shazzbizzy6932 4 года назад
Amis ninomaa mwenyew middle simba namkubali dogo
@saumujuma4750
@saumujuma4750 3 года назад
Hanisimkali bwana namoendasana
@jacobelias9100
@jacobelias9100 4 года назад
Naombeni like nyingi maana nimekua wakwanza ku coment
@izoomwenyewe7840
@izoomwenyewe7840 4 года назад
Likes za nini sasa...wacha utoto
@salmasaeed9357
@salmasaeed9357 4 года назад
Hatukupiii kwendaaaa kwni ni lazima upewe likes
@dephorahnyangarisa2252
@dephorahnyangarisa2252 3 года назад
I love you hamisi
@ameenahzenjbar7425
@ameenahzenjbar7425 4 года назад
Mifo simba yote wayajuw anachopendew Amis kutuzinguw tu
@shijajohn5889
@shijajohn5889 4 года назад
Nlichokiona hapa n kwamba diamond platnumz nayy amewatch hiiii video
@emanuelmuna543
@emanuelmuna543 4 года назад
Sio kama hamis anajua sana bali neema ya mungu wote wanajua
@muniraramadhani1557
@muniraramadhani1557 4 года назад
Khamis kwanza nyimbo anazochagua zinagusa sana jamii zinasadifu yaliyomo kweny jamii kingine anaimba kwa hisia na kama mnavyojua nyimbo za zaman zilikuwa zinaujumbe sana tofaut na za kisasa...yupo unique
@shanelmbunga4295
@shanelmbunga4295 4 года назад
Hamiss nakuelewa hata Gita lake linasikika pia anaimba vizur Sana
@sholarfabian775
@sholarfabian775 4 года назад
Hongera sana hamis mungu akiendeleze kipaji chako
@malkiahaphid4017
@malkiahaphid4017 4 года назад
Hamisi yuko juu ❤❤
@yusuphhamisi2723
@yusuphhamisi2723 4 года назад
Naombeni like nyingi maan nimekua wakwanza ku coment Bay Simba hamisi
@younginspired3899
@younginspired3899 4 года назад
Hamis the real meaning of talent
@mussaamisse7613
@mussaamisse7613 4 года назад
Hamisi are always blessed
@chaorahama9524
@chaorahama9524 4 года назад
Huyo Khamisi kwa kweli yuko natural, haigizi sauti ina flow yenyewe
@merishoherman169
@merishoherman169 4 года назад
Mwaka huu kuna vpaj Sana, Hamis anapendwa coz Sura ya upole umaskin wake ila Hao wengne wanajuwa mamae
@vailetwiliam8494
@vailetwiliam8494 4 года назад
Hahahahahaha nimecheka
@davidmloge7277
@davidmloge7277 4 года назад
Sure mi sio ukali wa huyo Hamis kiukweli
@Officalnaph
@Officalnaph 4 года назад
Merisho Herman unameongea point hamis hana vipaji kama hao wengine
@jrumesele9843
@jrumesele9843 4 года назад
Hahahaaaaa kuna watu wanajuwa mpaka wanakera ila ss na Hamisi tu
@anithachriss3845
@anithachriss3845 4 года назад
Mie naona huyo afro J anaimba kumzd khamiss!! Natafuta sababu za wengi kumshabikia khamiss sizipati!!
@lichou1942
@lichou1942 4 года назад
Honger san brad 💞💞💞💞
@martinkanyama6012
@martinkanyama6012 4 года назад
Hana lolote
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Wew Kuna EBENEZER hujamuweka na huyo ndo atakaekuwa mshindi maana ni mkali
@jebbywise
@jebbywise 4 года назад
The boy Hamis is genuine
@Dapeopletz7
@Dapeopletz7 4 года назад
Huyu alieimba nyimbo ya papa wemba kakosea kabisaa, anaimba mstati wa kwanza anarukia wa tatu Mara mstari wa verse ya pili Mara kibwagizo. Haimbi kwa mtiritiko kwa hiyo ngoma km tunavyoijua wenye kabila letu.
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 4 года назад
Lingala everywhere Congolese
@worldwide9207
@worldwide9207 4 года назад
Hamis niwanandugu na madebe lidai aw
@lucykilonzo2749
@lucykilonzo2749 4 года назад
Umeonaaaa ee,,,,,
@rehemanditu686
@rehemanditu686 3 года назад
Kwer jmn
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 4 года назад
khamisi ananyota inayong'araa so kwamba anajua kuimbaa ila khamis ninyota na ukiona mpaka wasanii wakubwa kama harmoniz na dimond wanamkubali wameona nyota yahuyu khamis
@mariammwambungu3174
@mariammwambungu3174 4 года назад
Huyo dogo wa mbeya yupo vizur gonga like kama unamkubari kijana toka mbeya
@fesbwom7261
@fesbwom7261 4 года назад
Wengine wanaimba kw kuact. Lkn dogo Hamis.. he was sing by real filling. Na ana confidence km zote.. I like to say that. Hamis noma sana. Ata kma atoshinda . Atabaki Kua hodar.. (Hamis) . Real artist..
@gadsonobeid6278
@gadsonobeid6278 4 года назад
kwa sisi tunaojua mziki, khamis ndo kilaza hapo. issue ni kibali tu, ila kwa uwezo wa kuimba khamis bado sana.
@charlesoleke7326
@charlesoleke7326 4 года назад
Kweli ni kibali tu....
@anethgodwin3224
@anethgodwin3224 4 года назад
shida sio kujua kuimba, ishu ni kwamba ana sauti ya kipekee. kitu ambacho ni kipaji
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 года назад
Huna unachojua kwenye musiki
@anethgodwin3224
@anethgodwin3224 4 года назад
@@amanibenjamini9637 wewe unaejua mbona hutaki kutambua kua kuna swala la sauti naturaly sio ya kuigiza
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 года назад
@@anethgodwin3224 muziki kipaji khamis anacho sana..
@schamagahimbare6694
@schamagahimbare6694 4 года назад
Wowww
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 4 года назад
Jamani hii BSS ya mwaka huu wapiga gita ndo wanapendwa.... Middle simba mwambie master j mwakan ni zamu yetu wapiga marimba,vinubi na kinanda.... Maana hawa wapiga gita washaniroga
@sholarfabian775
@sholarfabian775 4 года назад
Hahahaha
@eliudmrisho4616
@eliudmrisho4616 4 года назад
Huyu mtoto anajua kutumia kila kitu anachoweza kukiamini ktk Sana'a good sauti
@platnumztigerrayd9393
@platnumztigerrayd9393 4 года назад
For me I like everybody
@temboeminado4229
@temboeminado4229 2 года назад
Ndenini platnumz
@teahkandidus7814
@teahkandidus7814 4 года назад
Kwanza Khamisi said haoneshikupagawa na sifa au emotion za jajiz. Anafanya kwa uwepo wake. #khamis_usijelewa_sifa👏
@johniwangombe3009
@johniwangombe3009 4 года назад
Hamisi juuuuuuuuuuu mungu akulinde sana àkuzidishie kupaji
@mkwenyachristopher9310
@mkwenyachristopher9310 4 года назад
Hamis anaimba kwa Hisia na sauti yake inatoka vizuriiiii mpk raha kama unakubaliana na mie xhow love na like
@mrbfive6684
@mrbfive6684 4 года назад
Khamis anaimba saut zaid ya 2 so love khamis
@espoiretzmnyama1034
@espoiretzmnyama1034 4 года назад
Hamis baba lao gonga like apo
@prosperbyaombe5548
@prosperbyaombe5548 4 года назад
Kama una mkubali hamis honga like
@zebiz3213
@zebiz3213 4 года назад
Nakubali saaaanaaa bro
@ezdonarex5412
@ezdonarex5412 4 года назад
Hamis nimekuelewa sana unajua sio poah duh mungu akulinde katka kaz zako Amen
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 3 года назад
Anapaswa kupongezwa hamisi mashaallah
@tshirima8886
@tshirima8886 4 года назад
Kiukweli hamisi kipawa kiko ndani yke...nampenda sana namwombea Mungu ashinde
@hawasaid8262
@hawasaid8262 4 года назад
Tatizo nyota minampenda Sana hamisi😘
@dobidotz3696
@dobidotz3696 4 года назад
Huyo dogo anajua, pia nyota yake inang'aa, halafu yupo tofauti Sana na wenzake kimuonekano(unique), halafu dogo amekaa kihuruma huruma hivi, ukichanganya sababu zote hizo ndio utajua kwanin dogo na sio wengineo, dogo yupo real sana, hana makuu.
@sabbykareem7226
@sabbykareem7226 4 года назад
Namukubali Khamisi. Sn
@simbaphonez
@simbaphonez 4 года назад
Hamna Bhana Wote Hawa Wanaweza Sanaa! Mi nafikili Coz Anahitajika mshindi bhas atapatkana mmoja, Lakini Ingekuwa ndo wengi, bhas Mi wote Nawapa Tik Za #NIKE Wako Vzuriii Sanaaaa Hivo tuu #MawazoHuru
@belindajomalema4852
@belindajomalema4852 4 года назад
Khamisi for life. Daniel wanampendelea tu
@vailetwiliam8494
@vailetwiliam8494 4 года назад
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@carolinekibona267
@carolinekibona267 3 года назад
Hamic ni zaidi ya waimbaji namuombea sana mungu asimame nae mpaka kieleweke
@nourubakar4426
@nourubakar4426 4 года назад
yan kunawatu wana kera iv izo lyk zinawasaidia nn tabia zenu zakwenye maneno yakuambiwa mnahamishia nahuku kha nimewashidwa tabia kwakwel
@zeykhatyiddy7844
@zeykhatyiddy7844 4 года назад
😂😂
@magangamdogo3301
@magangamdogo3301 4 года назад
Hamisi nimjanja anajua kulitumia Gita nahata nyimbo anayoimba imesha mezwa nagita hamisi nakupa%zote haowengine gita rinaimba kushoto yeye ana imba juu😂😂watoto hawajui ware
@halimamsoma430
@halimamsoma430 3 года назад
Hamis uko juu, aallaah akutangulie
@diamondplatnumz6155
@diamondplatnumz6155 4 года назад
Khamis top
@abdoulnzeyimana5449
@abdoulnzeyimana5449 4 года назад
Sikilabausa anaejua kurushangumi wengine fashion hamissi muziki hundaniake akiwekwasawa nibongela star
@rashidkagwede4502
@rashidkagwede4502 4 года назад
Hamis umetisha upo vizur gud Sana madam Lita apo as atuna neno hamis hamis gud kijana
@yunustwaib9017
@yunustwaib9017 4 года назад
Hamisi namkubali miaka mia kwli anajua
@jumaigembemakula3698
@jumaigembemakula3698 4 года назад
Kiswahili kaka
@ramlaabdul2823
@ramlaabdul2823 4 года назад
Sikuzote mtu mwenye sura ya upole Hal duni bongo star search ndio anashinda washirik wote ni wakal mno
@zenakaide6604
@zenakaide6604 4 года назад
Hamisi anaweza sanaaaaa yaan walivomtoa cku ile niliumia sana duuu don't give up bro
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 года назад
Hana kipaji cha kutishia kiax kwamba axfiwe na watu kiax hicho,Xjaona labda ndumba!
@aliissaali2321
@aliissaali2321 4 года назад
Uteuzi w vibande vya nyimbo anatumia khamic ni vizuri vinaskilizika vinagusa moyo...kisha style y upo wke na anaimba kihisia zaidi kisha hanakishindo kwenye gitaa ametulia..namkubali sana
Далее
Rayvanny - Naogopa (Video) SMS SKIZA 8548827 to 811
3:54
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
BSS 2020 EXTRA |MWANZA AUDITIONS
28:10
Просмотров 295 тыс.
Bongo Star Search 2019 | Ep 1 Arusha Full Show
51:47
Просмотров 445 тыс.
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 54 млн