Тёмный

Wengi wamelia,wimbo alioimba HAMISI leo baada ya kutolewa bongo star search utakutoa machozi. 

Middle simba
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 296 тыс.
50% 1

Please subscribe now on Our RU-vid channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#hamisi
#Bongostarsearch

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 624   
@kapesekapese7167
@kapesekapese7167 4 года назад
Aisee nimesikitika sana, BSS kumtoa huyu dogo. Najua mpo wengi. Hebu tujuane hapa.
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 года назад
Sijui kama ntawatch finally.....love you hamisi sana mdogo wangu una kipaji
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 года назад
Na dully amempa heshima hamis maana hajamuita pamoja na wale waliotoka ..big up hamis 🤝umevunja record ya bbs toka ianze ....ww ndo mshiriki uliependwa zaidi
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 года назад
Saana ndugu kakubarikA
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 года назад
@@fatemaligalawa4151 sanaa yaani zaidi ya sanaa😘😍🤩
@mohamedmashaka1570
@mohamedmashaka1570 4 года назад
Hamis ndiyo mshindi,Allah amfanyie wepesi
@christinammassy1550
@christinammassy1550 4 года назад
Jamaniiii,..... Hamis, utabaki kuwa Hamis, hakuna kama weweeee.... Nimeambiwa tu unaweza, tunahitaji uwepo wako. Hope shabiki zako tutaendelea kukuona tena coz tunakuombea mema zaidi ktk muziki.
@mossesimessi3256
@mossesimessi3256 4 года назад
Asante master j uyu hamis ana saut tu kuimba awez jaman akuna uruma apo kalime tu hamis
@ashingulemmambale7625
@ashingulemmambale7625 4 года назад
Ilionyesha toka mwanzo hamumpendi ndio maana nae kasema atafurahi Sana kusikia ametoka.Bss sio mwisho wa maisha kapambane utatoboa mwanangu hamis
@nasrawandi8045
@nasrawandi8045 4 года назад
masta j.mungu atakuona
@suhyrakalenga7069
@suhyrakalenga7069 3 года назад
Nampenda sana hamiss wa biss
@dauchiushi3481
@dauchiushi3481 4 года назад
Pole sana mdogo wng hamisi mungu bado yuko nawe na ninaimani atakutangulia na kila jambo
@abedkarume9088
@abedkarume9088 4 года назад
Master J hatumiii kauli nzuri.amejitahidi maskini kijana wawatu.mungu atamsimamia kufeli bss sio kufeli kwa maisha.
@aminakombo582
@aminakombo582 4 года назад
Masts j anamchukia sana khamisi labda kwakuwa alitukanwa mama akee
@matanoomary3666
@matanoomary3666 4 года назад
Masta j ana bif sana aisee,mtu mzima roho mbaya
@jacksonadriano8738
@jacksonadriano8738 4 года назад
Namuona hamisi akiwa star mkubwa sana kuliko wote hao
@omarykupela7736
@omarykupela7736 4 года назад
Mienilijua bss ikokinyumbani kumbeni fkirazangu Hamis kaimba kiswahili nandiomanakatolewa amakweli kilacku shidashida
@MichaelJohn-xh4kf
@MichaelJohn-xh4kf Год назад
Sasa hivi hamisi ni star 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ayeshiiddi8274
@ayeshiiddi8274 4 года назад
Nampenda hamisi ila alivyotoka nimefurahi mana chuki ni mwanzo wa mikosi m2 unamchukia mtt wa mwenzio kama nn na ungeimba ndombolo kabisaaa ili akutoe kwa kujigamba
@nsrnsr5838
@nsrnsr5838 4 года назад
Wananchi hawana shida kazi kwako kaka maadm Rita hongera sana Dully mungu akupe moyo waimn uendelee hivyo hivyo hongera sana kwakuonyesha upendo wako.
@Daphne362
@Daphne362 4 года назад
Master J anakatisha tamaa sana,vile alivyo mufanyia harmonize,kisa kaimba maraika badala ya malaika..sasa harmonize ni big star...ila Hamis yupo juu🙌🙌👍👍👍❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧usikate tamaa💪💪💪
@joramchristian4042
@joramchristian4042 4 года назад
Dogo anazingua wakali wapo wengi humu BSS mwaka huu
@stewardjacob1945
@stewardjacob1945 4 года назад
J yupo sahihi
@jayclassic5164
@jayclassic5164 4 года назад
@@joramchristian4042 enemy of progress
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 года назад
Middle Simba ni wasanii gani wanaoelekea kigoma coz naskia list imekuwa kubwa. We sasa macho na maskio Kigoma tu...Ni siku zilo bakia. 🔥Tukutane Kigoma🚄🚉🛳🚣‍♂️🚘✈🚁🚙🛵🛴 Utaangalia ss vile utafika. 31 12 19 🔥🔥🔥#10yrs #Wcb 4life✌❤❤
@vincentgeorge178
@vincentgeorge178 4 года назад
Master j mjinga sana
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
Anaimba with feeling ila master j sio mtu mzuri hajampenda huyu kijana tokea mwanzo
@dominickraphael4414
@dominickraphael4414 4 года назад
Kweli hakumpenda huyu kijana
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 года назад
Nikweli kabisa
@jamesmdimu3730
@jamesmdimu3730 4 года назад
U
@sumabadman1055
@sumabadman1055 4 года назад
Kwel Master tokea mwanzo hakuwa na mapenzi naye.. Kuna watu anataman wawepo mbele lakin sio hamis
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Sn ht mm nineona ivyo
@ronnycruze2517
@ronnycruze2517 3 года назад
I vote Bss
@nsrnsr5838
@nsrnsr5838 4 года назад
Umeliza hamis mungu atakupigania inshaallah Master J mungu anakuona wallah maneno mazito mno mtoe tu lakin daa nimemumia sana duu inauma mno jamn maneno gani haya jamn eee mungu wangu
@fababindawood8363
@fababindawood8363 4 года назад
Chawi nakukubali mzee baba 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 4 года назад
Master mungu akulaani kwa kumtoa hamisi
@Broscarterrazo
@Broscarterrazo 4 года назад
Ukitaka kujua kumbuka ile ya konde boy pia alikatwa upepo na huyo mshenzi leo yuko wapi!hongera sana Hamida.
@mussajackson783
@mussajackson783 4 года назад
Naona sawa tu mana jamaa kuna sehem nyingi kabebwa
@abuukilopo5440
@abuukilopo5440 4 года назад
Nenda mdogo Wangu mungu atakuona tu utafika mbali
@johnsonlenas8227
@johnsonlenas8227 4 года назад
Namuona Hamisi akiwa msanii mkubwa na maarufu kuliko mshindi wa bongo star search wa awamu hii!!!
@javoabshirbwana9305
@javoabshirbwana9305 4 года назад
Kwakua hermonize alitoka bss sahii ni Starr WCB ndio ilitumia nguvu nyingi Kumtoa hermo
@jamaliabasi5511
@jamaliabasi5511 4 года назад
Mnaharibu mashindano wwngiwenu niujanja ujanja tu mzikihamjui atushangai sana manaata harmoniz meimfanyiaga ivyo ivyo ndomana reo anawatukana ...........achan izo. Hamisi atapambana kivingine
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 4 года назад
Syo kwel
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 4 года назад
Kabisa
@andreakadunda6022
@andreakadunda6022 4 года назад
Kabisa kabisa, maana kwa dalili nnazoziona namuona tundaman ndani yake
@majudadykid5281
@majudadykid5281 4 года назад
Akipanga Uwez Pangua Khamis God Bless broo Utafikaga2 Usife Moyo
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 4 года назад
Nimelia japo machozi hayajatoka
@MaenaTv
@MaenaTv 4 года назад
Mbeya Conscious Basi hapo hujalia
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
@@MaenaTv kweli aja Lia😂😂😂😂😂😂
@aminafesali5817
@aminafesali5817 4 года назад
😁😁😁😁😁jaman
@bintialfan2143
@bintialfan2143 4 года назад
''Nitafurahi sana kama nitaambiwa hamisi unatoka'' never gve up hamisi Mola yupamoja nawe ipo cku utatimiza malengo yako
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 года назад
Kwa uwezo mola inshallah utafika mbali sana inshaallah hamsi
@asiakibonge4699
@asiakibonge4699 4 года назад
Hamisi amejitahidi sana ila asikate tamaa
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 года назад
Masikin.amisi anaimba vizur sana.arafu.mmemtowa inauma sana
@abdullatwifahmadsalmu2552
@abdullatwifahmadsalmu2552 3 года назад
Mashallah huyu kijana kipaji sanaaaa
@esmahnguzo8448
@esmahnguzo8448 4 года назад
Daah wamemtoa usijali Hamisi one day yes
@fatmashaban9821
@fatmashaban9821 4 года назад
Pore
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 4 года назад
Mimi nilidhani mna saka vipaji,, kumbe mnataguta mastaa!!! Sasa kama ni hivyo kwanini msiwachukue wakina,, Simba,, Kiba,, Konde,, Asley na wengine wengi maana hao ndio mastaa
@aminafesali5817
@aminafesali5817 4 года назад
Ainsi hapo sasa wawo wanatafta watu wenye cimahi va kweli hamisi anskipaj kuwazid wote mule nasha ngaa sana kilasku wanamkashif kisa hali yake duni ila mungu yupo mtu anafikia kusema mtu katoka tu huko kune family masikin aje apewe ushindi yaani hii kaur ineniuma sana
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 4 года назад
hamisi nilikupenda lakini kusema ukweli hii mashidano ni kali sana kuna meshack, na wengine hapa wakali kukuliko so all the best dont give up. team kenyan in doha
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 4 года назад
Ongera hamisi
@barakagadiel7455
@barakagadiel7455 4 года назад
Hamisi nakukubali sana dogo langu hata mm nimependa ulivyo toka maana naamin mwakani usijali mkali wangu ukijipanga vizury unapenya bila kibinganishi chochote asante
@mrcaroucyempendaatashikaje4875
@mrcaroucyempendaatashikaje4875 4 года назад
hamis mungu Akubalik Sana ndugu🙏🙏🙏
@frankmboro6892
@frankmboro6892 4 года назад
Kaimba vibaya sana
@shardalove1159
@shardalove1159 4 года назад
Usikate tamaa hamisi .....
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 года назад
Usichoke hamisi usikate tamaa munguyupo tu anaona kilio chako
@samiandoubler6210
@samiandoubler6210 3 года назад
Mashalah mashalah
@shizotz4273
@shizotz4273 4 года назад
Hahahhhaa majaj makuma washa mpanga mshindi wao makuma hao
@Broscarterrazo
@Broscarterrazo 4 года назад
Jamaa kujitahidi sana akiacha na na hongo star search atatoka tu.
@mkinga10gnkwama91
@mkinga10gnkwama91 4 года назад
Hatareeee hms
@nurdinmfaume2656
@nurdinmfaume2656 4 года назад
BSS....hajawai kushnda mwisilamu....master j....tunamjua....aendeleee hvyo hvyooooo........roho iyoooo
@leylaamina5063
@leylaamina5063 4 года назад
Mashaallah hamisi
@treshofficial5483
@treshofficial5483 4 года назад
Master j punguza iyo roho jaman em vaa via2 vya wazaz wa hamisi imagine ndo wewe uone mwanao anasakamwa ivyo looh ata kama ajui kuimba m2 usijivunie cheo ulicho nacho maisha yanabadilika sana usimdharau m2 kwa hali yake ya maisha iko siku hamisi anawez kua msanii mkubwa aibu ikakurudia na iyo roho yako chafu
@saudaclaris7095
@saudaclaris7095 4 года назад
Hamisi gitaa unajua kwa kweli kuimba sio sana vileee
@realremih
@realremih 4 года назад
hamiss hamkumwelewa . Nahisi hipo siku wataelewa mziki wake. ata kama hakushinda Bss he won our hearts
@jullylawrance143
@jullylawrance143 4 года назад
Master j kumamako nakuchukia we baba ndio maan umezeeka mkundu
@shivobs4485
@shivobs4485 4 года назад
Nimzfurah sana hamis mlivyo mtoa hajui ni huruma tu na kama angeshinda ningeumia sana
@PidfourYoungTz
@PidfourYoungTz 4 года назад
Mnagongwa sana enyi bss
@godcompeter9844
@godcompeter9844 4 года назад
Uyo hamisi hajui kuimba
@princejosiah2404
@princejosiah2404 4 года назад
Kama unamkubali Hamisi gonga like Twende
@Mosses8
@Mosses8 4 года назад
Hawa. Wasenge huwa wa m2 wao
@michaelrobert2130
@michaelrobert2130 Год назад
Namkubali sana hamis,💋💋💘🤣
@mrutamruta2896
@mrutamruta2896 4 года назад
Vizuli zana hamisi nimepend
@zubedaibrahim2488
@zubedaibrahim2488 4 года назад
Amis nakukubal sana umejitahidi sana mungu yupo pamoja nawe
@irenekimunduu2458
@irenekimunduu2458 4 года назад
Nakukubali Sanaa Middle Simba
@mstapheradriano1616
@mstapheradriano1616 4 года назад
Master j mxenge
@jordanjonas4921
@jordanjonas4921 4 года назад
😭😭😭 jaman hamisi daaah nimelia sana
@realremih
@realremih 4 года назад
Master J hipo siku utajutia ulichomfanyia Hamisi ...hauna utu kabsa jibaba wewe nmekuchukia maishani ata nakuombea mabaya ...Dunia Duara lazma hapa hapa Duniani either mtoto wako ama mjukuu atajalizwa hivihivi
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 года назад
jereh Tifuh kabisa hata Mimi nimemchukia masta j lakini amini hamisi anakipaji wana tafuta wauza sura lakini kama wange kuwa wanatafuta kipaji kipo kwa hamisi watake wasitake
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
Yaan jamaa lina roho mbaya san sitaki hata kuliona maishan mwangu
@josephsail2219
@josephsail2219 4 года назад
Wew mwenyew huwez kufanikiwa kama unamuombea mwenzako mabaya we kama nani unayesema alaniwe master j kila mtu na maon yake
@abnelstudent2431
@abnelstudent2431 4 года назад
Kama alivyomfanyia harmonize
@Broscarterrazo
@Broscarterrazo 4 года назад
Hajatendewa haki hamisi
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 года назад
Wapo kibao wenye vipaji vya kuimba ila hamis ananyota Kali sana ....wapo washindi kibao waliokuwa washindi wa Kwanza na mbaka leo hawana maajabu .yoyote ..ila harmonize now star .na pili dully saksi.ameongea point mbaka nimelia 😭😭😭😭...daah hamisi machozi yametutoka karibu watu 10 ipo siku Allah atakufanyia wepesi ila ungeenda kusoma quraan. Maana unasauti nzuri sana .nakuombea Dua uachane na mziki wa dunia insha Allah 🙏
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 4 года назад
Nimekuelewa sana , hamis ana nyota
@zaibonge7867
@zaibonge7867 4 года назад
@@nuranzubail8134 kabisa my hamis ananyota ndo kitu kinachomfanya azidi kuwaka .ila pia hamis alikuwa tayar kutolewa coz tayar anabonge donge nono maana tayar Kuna watu wazito nyuma yake ..baada yakugundua kuwa hamis ananyota .......yaani yajayo yanafurahisha hujamuona hamis alivyotolewa hajalia ...maana kashapangwa hapana chezea nyotaaaaaaa😘
@sombimussa1476
@sombimussa1476 4 года назад
Ety apa cio sehemu ya kuonea huruma ?? Mhhhh loo mastar j mungu anakuona
@babanjuru8738
@babanjuru8738 4 года назад
We ndo Mshindi wangu mimi
@mahuluwarioba7466
@mahuluwarioba7466 4 года назад
hamis don't give up one day you will suceed be patient
@mahuluwarioba7466
@mahuluwarioba7466 4 года назад
@@@@@@@####$$$$$ hamisi mshindi 2019%%%%%%%%%%%%%
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 4 года назад
Master master tu..... Mwenye huruma naye hamfanyie donea aende chuo cha Muziki kwanza, dogo kimuziki bado....! MasterJ upo hapo kikazi zaidi, big up broo.....
@minahabdallah9710
@minahabdallah9710 4 года назад
Mbona anaweza kuimba Ila master j alianza kumponda toka mwanzo Ila hamsi uskate tamaa nawala usikubali kukatishwa tamaa maisha ndivyo yalivyo sio wote watakao kukubali hapa dunian kikubwa jikubali mwenye. Pambana inshaallaha utatoka hata kupitia njia nyingine . Nakutakia good luck .
@jayclassic5164
@jayclassic5164 4 года назад
Master j ni shetani mbaguzi
@farajarhodes1360
@farajarhodes1360 4 года назад
Jaman,mnavyomlaumu master J si vyema,kumbukeni haya ni mashindano na ushindani ni mkubwa sana na wako watu wanavipaji ,je hamuoni kama mtakuwa mnawadhurumu watu wengine kwa kumng'ang'ania hamisi tu,hebu tuwe wavumilivu tuwaache majaji wafanye kazi yao kwa amani tusiwatusi hiyo si hekima ndg zang
@minahabdallah9710
@minahabdallah9710 4 года назад
Hatumlaum Ila Hana kauli nzur zakumkata mtu anamaneno yakuumza yaan kukatisha taama mazma hata kama mtu hawez bas nvzur kutumia kauli nzur yamaneno itakaomfanya mtu asiumie hata akitoka Kwan yeye hams hajui kama alikua kwenye mashindano ama ajue kumkataa mtu anakauli sio nzur .
@kelvinjoseph3825
@kelvinjoseph3825 4 года назад
Wapo wakali zaid yake wamemuoneatu huruma lakin hamis ni wakawaida tu
@kelvinjoseph3825
@kelvinjoseph3825 4 года назад
Hata kama mtukane master j haisaidiii
@risangayusto968
@risangayusto968 10 месяцев назад
Kula yangu kwa hamis
@BontamLee
@BontamLee 4 года назад
Jamaa ana roho mbaya sana, wapo masharo waliohandaliwa."wabana pua"
@diamondplatnumz6155
@diamondplatnumz6155 4 года назад
Uyu mastar J nimshenzi yeye ampendia Khamisi lakini Khamisi mungu yukopamojanae akikaatakua mtumkubwa sana inshaallah
@sammerdaslivamiddletz2062
@sammerdaslivamiddletz2062 4 года назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏uko vzr ndug pamban kk
@hadijauliza250
@hadijauliza250 4 года назад
Meumia sana leo hamic kutoka
@johnpapaking1497
@johnpapaking1497 4 года назад
Mungu akutangulie Hamisi Watanzanie wameona kipaji chako endelea kufight naamini utatoka tu
@fatumaabdhul8620
@fatumaabdhul8620 4 года назад
Masikin.hamis.wangu.wamepanga.mpaka.wamekutoa.ila.usijali.mungu.yupo.nawe.
@aishamusa6806
@aishamusa6806 4 года назад
Ooh.fall.pupa.umenikosha.sana
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
Afadhali wame mtoa kila siku kumsimanga Tu... hamisi riziki popote.. muimu juudi Tu
@husnakhamis7035
@husnakhamis7035 4 года назад
Kwakwel masimango ni kwake tu
@shardalove1159
@shardalove1159 4 года назад
Kabisa Kwanza Master Jay kauli zake haziridhishi
@johnjohn2563
@johnjohn2563 4 года назад
Kwel tangu top 7 wanamubeza
@ajuu00sule79
@ajuu00sule79 4 года назад
Me nlitamn awe mxnd lkn nlivoon chuk nkaw natmn ata atolew mn ata angeshnd bc kwa macmango
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
@@ajuu00sule79 sindio..mwanzo hamisi ana moyo Sana..mmi wali wa kusimagwa.. Bora nile ugali wangu na papa . ingekuwa nishajitoa kitambo...walimtumia hamsi ili wafike final ndio wamtoe
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 года назад
Hamsi mungu ataleta Kheri yake inshallah kwako
@shabanimkuyu2827
@shabanimkuyu2827 4 года назад
asihofu mungu atamsaidia,ila asikate tamaa.
@santanaazam7304
@santanaazam7304 4 года назад
Middle simba
@sholarfabian775
@sholarfabian775 4 года назад
Hamis wala usijali mdogo wangu mungu hawez kukuacha nakuombea ipo siku utakua staa mkubwa hadi master j akushangae binafsi nmeumia mnooo😭😭😭😭😭😭😭
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 4 года назад
Kwanzia Leo hamtaniona Tena Nafatilia kipindi hiki nimetumia MB zangu kwajili ya hamis
@danieljefwa2071
@danieljefwa2071 4 года назад
Kwaheri na Hamis wenu asiye jua kuimba. ET NATOKA KWETU KIGAMBONI NAENDA BSS. IVYO NDO NI MSANII M J YUKO SAWA HAMNA HURUMA BWANA UKWELI TUONGEEE.
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 года назад
Acha, tutaangalia sisi
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
Mfate huko aliko watu wa naangalia vipaj we veep ht usipofatilia sie tupo
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 4 года назад
Hamta sikia Kama ilivo vuma
@aloycejuma1212
@aloycejuma1212 4 года назад
Kuna wanao jua kuliko hamisi ila nyinyi mmeweka huruma mbele tu
@revethijeremia6959
@revethijeremia6959 4 года назад
Afadhali alivyo toka,kuimba hajui.
@adamumsangi3486
@adamumsangi3486 4 года назад
Roho mbaya tu
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 4 года назад
Unaongea ivyo ukijitasimin mwaka mzima kimafanikio jibu unalo mwenyewe mwenzio sio hamis wa juz bro
@michaelmbwiloonlinetv2164
@michaelmbwiloonlinetv2164 4 года назад
Revethi Jeremia kuku wewe mama yoo
@sumabadman1055
@sumabadman1055 4 года назад
Duh!
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
😅😅😅😅😅😂😂😂
@musamkali771
@musamkali771 4 года назад
Uyu hamis wamemuonea tu walio mtoa hamis wamelaaniwa yaani wanaroho mbaya sana dah
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 4 года назад
Izo ooh sasa nmeamin hamis nyimbo zingine hawez
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
Mmi km mm.. hamisi kaimba na isia.. kushinda wote..sema majaji muna mtu wenu musha muandaa ..lkn sio neno hamisi atafika tu
@glorysimon775
@glorysimon775 4 года назад
Kweli kabisa walipania kumtoa
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
@@glorysimon775 wakwende zao.. wasubiri kumuona hamisi..akiwa star mkubwa
@glorysimon775
@glorysimon775 4 года назад
@@halimasssomar8793 eti Master j shule hajawahi hata kuchaguliwa kuimba ngonjera anajua nini Hamis atafanikiwa tu
@robingonzaloh8767
@robingonzaloh8767 4 года назад
hamisi ni kwely anaimmbaa lakinii nawengnee wanaimba piaa aendelee kujfunza vyemaa hata ningekua mm judge ningemtoa kuna wakali zaidii yakee
@mbocheledominick1701
@mbocheledominick1701 4 года назад
kwan wanatafuta anaeimba kwa hisia au anaeimba vizuri?
@sakinahizza3132
@sakinahizza3132 4 года назад
Pole khamisi leo ndio mwisho wakufatilia haya mashindano
@kingkabeje9273
@kingkabeje9273 4 года назад
Haitupi stress manake mastaa wote bongo hawajatokea bongo mibebeo star search
@roberthsagudasagudantobi9646
@roberthsagudasagudantobi9646 4 года назад
I like this guy,you look have something in your mind life
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 4 года назад
Siangalii Tena bongo star search
@khalfanbin252
@khalfanbin252 4 года назад
Huyu anajua sana bwana
@danieljefwa2071
@danieljefwa2071 4 года назад
Hamis mazingaombwe kweli,apo first row kuna dada amevaa tishat imeandikwa OMANT VIBES. PIA AMEMIATAA. KAMA WABISHA ANGALIA VIZURI.UTAGUNDUA.
@yessestephano9292
@yessestephano9292 4 года назад
masta j wanao imba ki congo kwan hii ni congo star sach
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 4 года назад
Hajui kuimba bwna sema mnamuonea huruma tu
@mariamummasi9111
@mariamummasi9111 4 года назад
Ajui hatakifogo
@divinelanga6084
@divinelanga6084 4 года назад
Hamis ni kipaji kijacho wewe unaejua sawa sie wetu haamisi
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
Nyota tu bc
@judithmichael5155
@judithmichael5155 4 года назад
Kweli anajifanya anatia huruma Ukweli utabaki pale pale wengine wanaweza kuliko hamisi
@shivobs4485
@shivobs4485 4 года назад
Hajui kabisa
@zupdee6996
@zupdee6996 4 года назад
Hamis music co BSS tu,,,kwa sasa una fan bas wengi sanaaa so waweza fany chchote ili ufke mbali zaidi,🕙will tell
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 4 года назад
Hio ndio shinda ya waafrica, wanachukiana mbure tu, lkin mungu atakusaidia, huyu rasterman is not a professional judge very poor
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 4 года назад
Master J ndo zake hata kwa harmonize alibana, Hawa wanakua wamepanga mshindi wao
@dilipdab3714
@dilipdab3714 4 года назад
Hamisi.ndio.mshindi.wetu.sie.kazi.kwenu.
@micahnzalawahe2598
@micahnzalawahe2598 4 года назад
Sishangai hawa hata harmonize huko nyuma walimwambiaga hajui kuimba😂
@marrytanzania9035
@marrytanzania9035 4 года назад
Kwa waimbaji kwa kweli Hamid kiwango chake bado wapo wanaimba zaidi take hapo
Далее
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Просмотров 4,3 млн
Bongo Star Search 2019 | Ep 5 Dar Es Salaam
55:46
Просмотров 331 тыс.
ROASTING (NDARO VS LEONARDO)
15:34
Просмотров 920 тыс.
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Просмотров 148 тыс.
Bongo Star Search 2019 | Ep 10 Top 10 Full Show
59:20
Просмотров 600 тыс.
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн