Tuz za Nini chamsingi pes Sasa tu zenyew unapew shngap mwaka huu wasanii wamepew tuzo lakin pesa hawaiupewa inasaidia Nini sasa alipo hpo anatuz nyingi san
Usifosi kufanana na mfalme.nachoelewa dawa imeingia unatafuta pakutokea.show umeona Kal unatafuta mpenyo.kifup hana shobo na vijituzo ukimpata ok hujatoa kama hamna kinachoendelea kwake