Тёмный

ALINIAMBIA TUKO WAWILI NA HAJUI AMCHAGUE YUPI 

Official Dating Assistance
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Muendelezo wa story ya Godliver

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 8 месяцев назад
Wazungu siyo wabahili. Hawajalelewa kusaidia mtu ambae ana nguvu zake na mikono na miguu yote miwili. Maana huyo hafai kupewa anafaa kujitafutia. Hapo ndipo tunapishania. Siyo ubahili huo au ubinafsi huo. Bongo tunalelea watu wavivu kupitiliza
@Tausishaban-he5io
@Tausishaban-he5io 8 месяцев назад
Yaaan kupitia huyu dd nmepata tumaini na takiwa kuwa mvumilivu naamini nitapata aliye seriously na mwenye mapenzi pia mwenye hofu na mungu nakupnd dada ❤
@mariambakari8065
@mariambakari8065 5 месяцев назад
Hongera sana kwa uwazi wako story yako inafurahishà
@DarleneCapher-vs6ze
@DarleneCapher-vs6ze 8 месяцев назад
Mimi wangu ndo amekuja ameona interview ananiuliza apo wanasemaje🤣🤣baada ya kukutania kwenye dating site miaka 3 kwa mawasiliano ndo amekuja anaondoka mwezi wa kwanza nimefurah sana...pia amesema anawapenda🤗🤗🤗
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 месяцев назад
Ahsante dear Karibu kwa kipindi utupe Experience yako pia isaidie wengine +4367764790884
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 8 месяцев назад
Uyo...harudi😂😂😂😂
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Hongera sana
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 месяцев назад
​@@tahiyasaidi6532😂😂
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 8 месяцев назад
​@@tahiyasaidi6532mmmh Tahiya 😅
@Riyovlogs789
@Riyovlogs789 8 месяцев назад
Kipindi kizuri sana, dear shena naomba unisaidie namna ya kuwasiliana na mdada alieenda sweden alimpandia ndege mtu wakwe🙏
@Winnie-8
@Winnie-8 8 месяцев назад
Ka uselfish ka wazungu ndio kanako saidia wenzetu kuto kuwa tegemezi Africa tunakufa masikini au unaishiwa kabisa sababu ya kutegemea na kutegemewa napenda life style Yao Ila kwa Nyumbani Africa hakuna namna utatoa tu ili upate Amani pia maana tofauti na hapo maisha yako yanageuka ahadi ya deni wakati ulitakiwa kutoa kwa moyo au kusuport ulichonacho mweee😊
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Ni kweli kabisa
@justinatemba
@justinatemba 2 месяца назад
Raha ya Mzungu mkae pamoja sasa yeye yuko ulaya wewe tz vumbi jamani
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Wish you all the best dear ❤
@hemedsabuni9965
@hemedsabuni9965 8 месяцев назад
Huyo dada hakika ni mzuri
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Thanks alot😊
@MarySimoni
@MarySimoni 2 месяца назад
Shena mlete shendwa jamani
@leonardmary83
@leonardmary83 8 месяцев назад
Shena ninawatch sasa hivi
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 8 месяцев назад
Dada black beauty
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Thanks ❤
@Lizzyktd
@Lizzyktd 8 месяцев назад
Hongera sana dada 🎉🎉🎉🎉
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Thanks😊
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 8 месяцев назад
Nawapenda😍😍😍
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 8 месяцев назад
Wanaowatafuta Wazungu, watafute wenyewe ili kukidhi tastes zao. Kitonga inaponza!
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Fact😊
@ChendwaRichard-n6g
@ChendwaRichard-n6g 8 месяцев назад
My sweet soul momy💕💕💕💕
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Thanks sweet daughter ❤❤❤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 месяцев назад
Tunashukuru Kwa taarifa! Watu hapa huwa wanahojiwa wamevaa vzr, dada mrembo ila hii nguo Kwa hapa hapana , ukweli usemwe!
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Kwahio utafanifanya nini sasa?
@bobboris4859
@bobboris4859 8 месяцев назад
Huez mpangia mtu cha kuvaa anajua ako n interview na hio ndo choice yake kaa kwa kutulia
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
​@@bobboris4859thanks kwa kunisaidia😊
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 8 месяцев назад
Hiyo ni culture yao na ndiyo maana wanafika mbali
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Basi nilikuwa sijui naanza kuwaelewa taratibu😅
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 8 месяцев назад
@@godliverdennis8723 Kweli kabisa mwanangu, ni vizuri sana kuwajua watu culture yao. Wenzetu hawana tabia ya kusaidia extended family kama sisi jinsi tulivyo. Pia wako makini sana kwenye matumizi ya pesa. (Budget) hata serikali zao ziko makini sana.
@mariamshabani769
@mariamshabani769 8 месяцев назад
Huyu anaongea kama sada uliwahi kufanya nae interview, .yule alosema alimwambia mzungu wake awe anatuma hela kila mwezi kwa wazazi wake
@alicethobias932
@alicethobias932 6 месяцев назад
Habari Dada unajiungaje hii dating site mm natamani kujua
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 2 месяца назад
Afro introductions kuna option ya kulipia na pia unaweza kutumia bure
@dn.n4983
@dn.n4983 8 месяцев назад
Ucheke utiwe pesa nimecheka
@JanethNyessoro
@JanethNyessoro 8 месяцев назад
Jaman MUNGU atuangalie nasis tunahitaji
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Utapata dear muhimu kuwa mvumilivu upate kitu cha uhakika
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 8 месяцев назад
Hata Mimi natamani kupata . Mungu aweke wepesi mwaka 2024. Na sijuh mnawapataje?
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
@@kissamwamunyange1018 ingia afro weka pics ambazo zinakuweka na muonekano wa asili zaidi,andika profile yako vizuri uelezee haswa lengo la kuingia kwenye mtandao huo
@JanethNyessoro
@JanethNyessoro 8 месяцев назад
@@godliverdennis8723 Ameen
@Tausishaban-he5io
@Tausishaban-he5io 8 месяцев назад
Naamin mungu yupo dd mambo yote yatakuwa sawa
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 8 месяцев назад
❤️❤️❤️❤️
@hericharles3604
@hericharles3604 8 месяцев назад
Dada zetu wana shida sana, kwa sababu mtindi bado haujavurugwa sana ameamua kutususia hadharani. Ama kweli limbukeni akipata utamjua.
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 8 месяцев назад
mbona makasiriko, sasa mtindi si wake, wewe ina kuhumab nini , mtchuuuuu
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Duh😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 месяцев назад
Hapana,hiyo nguo sio sawa Kwa hapa bwana usitetee Kila kitu
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Sasa sio sawa kwani hapa kanisani ndugu punguza makasiriko utakufa na stress za nguo za watu mbona kuna watu wapo uchi tu humu ije kuwa mimi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 месяцев назад
@@godliverdennis8723 sio issue ya kanisani,hapa ni public Kila mtu anaangalia, wote wanahojiwa hapa Wanavaa watakavuo lkn sio kuonyesha maungo Yao,for what? Tena wazuri ,warembo hasa,ila wamevaa nadhifu!
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 8 месяцев назад
Ku dating na wazungu jmn inataka moyo kama uyu wa kwangu ata no ajanipa anasema ana nichunguza jmn uiiiii 😂😂😂😂 ni kuchart fb tu😢
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
😂😂😂 atakupa tu soon we kuwa mpole
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 8 месяцев назад
@@godliverdennis8723 hakika nimejiona wa baraka Asante Dada MUNGU mwaminifu atakuacha 🙏
@brendajulius2995
@brendajulius2995 8 месяцев назад
Be careful anaweza kuwa tapeli huyo. Endelea kutafuta hapo hujapata mtu bado kuchunguzana kwa mtandao ndo nn??
@marthakunaga7347
@marthakunaga7347 8 месяцев назад
You are right Brenda
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 8 месяцев назад
@@brendajulius2995 ndo mwaka sasa jmn na miezi mitano cn no ya baby 🙌
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 5 месяцев назад
Gharama ni ngapi kuingia kwenye hizo deting
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 2 месяца назад
Ingia afro
@angelinamwenda4133
@angelinamwenda4133 2 месяца назад
Sh ngapi afro ​@@godliverdennis8723
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 8 месяцев назад
nimependa rangi yake na tabasamu, ni mrembo haswa.
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
😊😊😊shukrani
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 8 месяцев назад
Kwakua kavaa uchi eti angejistir usngesem kitu
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
​@@nahlahassan-fd6leWe hebu niache fatilia maisha yako,au umetumwa kibaraka wa kuzimu?
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 8 месяцев назад
Mh ww dada unaehojiwa ndio nguo gan iyo yakuvaa kweny interview? tikiti maji zote nje😂😂😂mbona anaewahoji hajianiki kam ivo??
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Bora hata ningekuwa na hizo tikiti maji,haya uwanja ni wako jimwage dada
@ChendwaRichard-n6g
@ChendwaRichard-n6g 8 месяцев назад
Kwan ameambiwa hapa kuna maonyesho ya mavazi?? Tikiti maji anazijua? Makadiriko tu hana lolote
@dayana5513story
@dayana5513story 8 месяцев назад
Tuko mawindoni siku nasi tutakuja hapa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 месяцев назад
Amen 🙏 nawaombea
@rosemery3017
@rosemery3017 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 8 месяцев назад
Asant kwa taarifa ila hiyo nguo hata mm mtazamaji naona aibu hmm
@godliverdennis8723
@godliverdennis8723 8 месяцев назад
Kwan lazima utazame?
@ChendwaRichard-n6g
@ChendwaRichard-n6g 8 месяцев назад
Fumba macho dada
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 8 месяцев назад
Mimi nitapeliwa million tano Sina amu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 месяцев назад
Pole aiseee
@WitnessShamba-wm4tq
@WitnessShamba-wm4tq 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@Tausishaban-he5io
@Tausishaban-he5io 8 месяцев назад
Daaaaah!pole sana kipnz
Далее
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 2,9 млн
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 156 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
Просмотров 60 тыс.
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 2,9 млн