Тёмный

ALIYETEGENEZA KITUO CHA RADIO KIGOMA AKIBOMOA "TCRA WALIKUJA, NAENDA DAR KUSOMA MIAKA MITATU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 126 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 393   
@kimaronemes5689
@kimaronemes5689 2 года назад
Huyu dogo serikali ingempa scholarship nje ya nchi kama China, Japan au Korea akoseme practical skills mambo ya lugha atajifunza taratibu huko huko nje ila anahitaji elimu ya vitendo zaidi kuliko darasani
@fabianclato3101
@fabianclato3101 2 года назад
fact
@alicekatondo5940
@alicekatondo5940 2 года назад
True bongo bana
@downtoncargocargo4140
@downtoncargocargo4140 2 года назад
mimi nimesoma pcm kibaha , na nimefika marekani, very rarely kuwaona vijana kama hawa, anakosa logic thinking in self explanation, also there is wrong aproach ya uongozi na kijana pia, ilibidi akasome akiendeleza kituo chake, wampatie frequency zake, wamnunulie vifaa vyake ili aendelee, sio kutaka tuu sifa, then nashindwa kuelewa kwanini hawajataka kumpatia logical approach and progressive approach ya huyu kijana
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Год назад
Asante sana Millard ayo kwa kumtoa kijana mungu awabariki sana na azidi kuwatumia kutangaza vipaji vya vijana mbali mbali
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 года назад
Safi sana hicho chuo. Asee Mungu awabariki sana na awaongezee
@mawazomolani2677
@mawazomolani2677 2 года назад
Kazi nzuri sana nawapongeza kwa kuwasaidia
@salumothman3994
@salumothman3994 2 года назад
Mungu akujalie afya njema kijana maana uko unajitaidi sana
@sadamofficialtz
@sadamofficialtz 2 года назад
Tunamuombea afanikiwe🔥🔥🔥
@edvinwissa7960
@edvinwissa7960 2 года назад
Apo kachagua sehemu sahihi coz mwanzo walikosea kumsomesha auto electric naamini kwa sasa ujuzi ataupata vema electronic is the best subject GOD bless this guy kaka millard nimesoma basic electronic lakini kwa uyu jamaa🙏🙏🙏🙏🙏 oligin tallented from Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 года назад
Waoh Mungu ampe upenyo kufanya maziri zaidi
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Mungu ni mwema katulize kichwa mdogo wangu
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo 2 года назад
Africa yetu siku zote hubaki nyuma kwa ajili Ya fitna na wivu... Huyu kijana Ana kipaji Mungu kamjaalia ila ADUI Ya mwafrika ni mwafrika... Mpeni support huyu mtoto wacheni drama...
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Daaah aisee,me kwaupande wangu sioni Kama wazo zuri Huyo sio wakukaa benchi saiz ilibid aendelezwe hao waliosomea weeengi tuponao mtaani huku Tz watu tuna felishana saaan
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Nchi ya Mavi kunuka Tanzania uwezo mdogo wa kufikiri. Hao waliosoma wamegundua nini ....Huyu kijana sio wa kukaa kwenye benchi la shule miaka mitatu na kupata elimu ya kukariri formal education, ilitakiwa kutathimini nini anataka maarifa gani anataka ili kuongeza ubunifu wake. Na upuuzi wa Mavi kunuka wa hao watu Waziri aliowatuma eti aziendeleze hiyo radio , pili kwanza Waziri ilitakiwa aje mwenyewe kumuona huyo kijana na hata Rais mambo haya ya muhimu hawatangazi ila utumbo wanaongea. Nchi ya Mavi kunuka Tanzania 🇹🇿 ya watu million 60 hamna hata innovation centers moja sasa nchi itaendeleaje bila vipaji vya technology na wabunifu kuendelezwa
@donjb3178
@donjb3178 2 года назад
Huyo dogo dream zake zishakufa tyri, expectations kills people yaani anawaamini TCRA bila hata kushughulisha akili yake kipaji alichonacho hawezi kukikuza shule tena 3 years kukalili vitu visivyo na umuhimu
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 года назад
Kweli naona washamfelisha lkn sijui ten
@suntzu8959
@suntzu8959 2 года назад
Kwa wataalam wa mambo ya radio, sio ajabu Sana. Hiyo ilikua ni simple transmitter ambayo radio technician anaweza ku assemble. Lakini kupeperusha radio frequency Ina sheria zake ambazo huwezi zijua kama hujasoma. Na Kuna madhara kama wewe unapeperusha kihorera, hujui frequency za raia, za police, za kijeshi. Huyo anatakiwa afundishwe basic electronics ili awe na uwezo wa ku repair na kuinstall communication equipment. Mnachosema amebuni si cha ajabu wengi wamefanya kabla. Inabidi aelewe kuengeneza machine ambazo zinavigezo.
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 2 года назад
Naongezea tena ,changamoto kubwa lina ikumba nchi za kiafrika ni kwamba watu wenye akili hawataki kujihusisha na siasa...hivyo wamepewa mamlaka watu wasio na akili wawaongoze watu wenye akili na wasio na akili..matatokeo yake ndio hii
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 года назад
@@suntzu8959 upo sahihi kaka!
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 года назад
,Hongera Sana kijana, zuberi, Lakini pia hongera Sana Mirald Ayo, Kwa kuibua vipaji vilivyopo Underground, Mirald Ayo Mungu akubariki Sana.
@allyhabib2496
@allyhabib2496 2 года назад
Well done milad ayo all the best kijana
@abbyzidane_5544
@abbyzidane_5544 2 года назад
Mungu amzidishie kipaji chake
@AbuAsmaa84
@AbuAsmaa84 2 года назад
Karibu chuo bora cha Al Maktoum college of Engineering and Technology
@afratrad7214
@afratrad7214 2 года назад
Kuna tatizo kubwa naliona hapa, Baada ya kumsomesha what next? What does it add on Innovation? We need strategical and not talent killing. Kuna mambo ambayo kama taifa tumekwamisha. Kuna jambo la ziada la kufanya .....
@issamkumba8618
@issamkumba8618 2 года назад
Ayo tv mbaki milele nimependa mnawaibuwa watu ambao hata hawakufikili kama watatoka bigup sana
@mohani7390
@mohani7390 2 года назад
Yess aendelee
@othmanabdalla5295
@othmanabdalla5295 2 года назад
Afrika,Afrika nimekuita mara mbili mbona uongozi wako umejawa na chuki na roho mbaya zisizopenda mafanikio?
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Ukiwa na kipaji sio lazima uende ukasome maana elimu ya skuizi ni mashaka tu
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Hapo nakataa kusoma lazima yaan,lazima usome usiposoma utakutana na changamoto nyingi sana mpaka utataman uende shule walau uongeze maarifa fulan kwanza Kama wewe ni mbunifu ukienda shule hata ukali na uwezo unatanuka.
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 2 года назад
@@ezeedi871 nani alikwambia kusoma ni mhimu , mwanasansi gani akina aizack Newton, Asten wewe uliwahi kusikia wapi walisomea
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 2 года назад
watu wa hivi huwa hawaitaji elimu kubwa
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 2 года назад
BIG UP DOGO, UBUNIFU WA HALI YA JUU, VYEMA KUTII SHERIA BILA SHURUTI.
@ivandangote1743
@ivandangote1743 2 года назад
Honger San bro maan toka shule ya msingi ulikuwag vizr kwa ubunifu
@gamalielistephano8509
@gamalielistephano8509 2 года назад
We subiria kuuliwa kipaji chako tanzania huwezi kutoka mdogo wangu. Tz ukigunduliwa unakipaji kinachofuata nukuliwa tu.
@MaadilikwanzaTanzania
@MaadilikwanzaTanzania 2 года назад
Hakuna cha elimu, wanaenda kummaliza😢. ANAENDA NA BASIIII😭😭😭
@elishayohana2896
@elishayohana2896 2 года назад
This is Tanzania bro! Kuna mwingine alibuni ndege ,,gari LA kutumia maji kama fuel ila baada ya ukaguzi kwisha yao habari
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 2 года назад
Waki mmaliza utanijulisha namimi huku
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 2 года назад
HONGERA SANA NDUGU. NDUGU NAOMBA USIENDE KUTULIZA AKILI, ANGALIA HUKO UNAKOENDA LISIWE KABURI LA KUUA ULICHONACHO.
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 2 года назад
Dah bongo kweli usenge. Yaani adi ivi leo dogo bado hajaalikwa kama mgeni wa heshima huko kwenye kijumba chao bungeni.
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 2 года назад
Achunguzwe vizuri..for security purposes
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Hiyo miaka mitatu ana soma si ana poteza muda mjue kama mtu ana kipaji suala ni kumpa mtaji ili afungue kampuni yake afanye biashara sio kwenda shule ana poteza mda na ubunifu wake
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
Ndohapo wacha tuone itakavyokua
@neutraltv9393
@neutraltv9393 2 года назад
duh!..unahsi mtaj pekee unatosha?...elimu muhmu itamfanya ajue zaidi na hata mwenyew analifurahia hilo
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices 7 месяцев назад
Kipaji HALISI ni kama kifaranga ndani ya yai, ukikisaidia Sana UNAKIUA , ILA KIPE MUDA wa Kutosha wa majaribio, na pesa kidooogo baasi. *Kipaji ALISI Hakiongozwi , Kimezaliwa HIVYO KUJIONGOZA UKIKIONGOZA UNAKIPOTEZA, "KIPE MUDA" *KIPAJI KINAHITAJI HARD WORK NA MUDA, NA KUTOKATA TAMAA. *KIPAJI HAKIFUNDISHWI, UTAKIHARIBU, KINAJIFUNZA KINACHOTAKA CHENYEWE. *NJIA KUU YA KIPAJI KUJIFUNZA NI THOUGH PAIN OR MISTAKES. *AKIENDA SHULE AAMINI ALICHO NACHO KUWA NDIO BORA,
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Naamini TCRA wamemfungia kijana kiaina, ila sio poa kabisa kuua vipaji vya vijana wetu,,,,,,kwanini abomoe na asiboreshe transmitter yake?
@kimaronemes5689
@kimaronemes5689 2 года назад
Una akili sana mwamba ,hao TCRA wamempunguza kisomi 🤣🤣🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@kimaronemes5689 yaani huo ndio ukweli Kaka,,,,,ila inauma sana kuona wanamzima kiaina, badala ya kumwambia aboreshe!!!
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 2 года назад
Washamuaribia maisha yake
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 2 года назад
Ninachojua kurusha matangazo kwa njia ya radio au television inahitaji kibali kwa ajili ya uwajibikaji, maudhui nk Kwahiyo wameona wakimwambia dogo kurasimisha kituo itakuwa mtihani kwenye gharama
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@nereaigogo4442 Tunafahamu hayo yote, suala kubwa hapo ambalo nadhani ni la umuhimu mkubwa ni Kwa namna gani kama nchi tuna wapromote wabunifu wa ndani, Kwa hiyo Kwa maoni yangu si busara kumpunguza kama walivyofanya,,,,maana tumeanzisha vyuo vya VETA ili kupromote ubunifu, sasa ikiwa wabunifu tunawazima basi hakuna umuhimu wa kuanzishwa kwake!!
@MrflashMobile
@MrflashMobile 2 года назад
Daaaah mchi yakijinga Sana 😁😁😁😁😁😁😁
@kimmusic7090
@kimmusic7090 2 года назад
Naomba wazari wa wa sheria asimamie huyu kijana hiyo elimu ya bure watanzania wanaweza msainisha mikataba ambayo itaua kipawa cha huyu kijana wakampa mikataba ya ajabu na yeye akasaini sababu hana namna viongozi mlindeni huyu kijana
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 2 года назад
Uyu dg gifted sana, hamna kukariri apo n ma idea yanawaka tu kichwani
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 2 года назад
Safi sana Acha akaongeze elimu ila asisahau kuwezesha Kwao
@georginajohn8456
@georginajohn8456 2 года назад
Waooo kila la kheri 💪💪💪
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Ndio Maana Elon Mask aliamua kujenga Chuo chake afundishe mwenyewe watoto wake maanaa Ameona Hii Elimu yetu yakuukaa kwenye Viti ukariri upewe mtihani Ufaulu alfu unatoka hujui kitu aliona Ni Ushenzi tuu
@neutraltv9393
@neutraltv9393 2 года назад
Kama ulimezeshwa ni ww siyo wote
@mtopelamussa7783
@mtopelamussa7783 2 года назад
Asante mungu endelea kumsimamia kijana mwenzangu! Pambana brother, pia nimeshiba ushauri wako tusikate tamaa Inshallah tupambane.
@zamoyonialexofficial8738
@zamoyonialexofficial8738 2 года назад
I am so disappointed , Yani watu wako wana soma miaka Wana maliza hawaja weza kufaya chochote hata kubuni mbolea , mtu kama huyu alitakiwa kuwekwa kama Nyara ya serikali , hii ni hazina ila sioni initiatives za kumsaidia hii kitu. ila tukipongeze hata hicho chuo kilicho jitolea
@directorsnigar625
@directorsnigar625 2 года назад
Daaaah SAFI SANAAAAA WABUNIFU WANAPATA MOYO SANAAAAAA
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 года назад
kijana Mungu akusaidie
@mjahmwajuma1324
@mjahmwajuma1324 2 года назад
Mungu amsaidie
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 года назад
Yaani ww kijana si ulishaenda ulifaidika nini Nibora ata wangekupa pesa tu utafute mtu wa kukufundisha English lakini mambo ya kwenda Dar kazi kweli kweli kweli
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 2 года назад
Daah amevunja kwa maumivu makali moyoni Mungu yu pamoja nawe ndugu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 года назад
Makubwa,pole kijana..husda za waungwana..kha!!!Tanzania,mtihani
@Best_tz
@Best_tz 2 года назад
Mungu akusimamie na ufike mbali ndugu yangu
@samwelirobert2576
@samwelirobert2576 2 года назад
Ushindi mwingi 💪
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 2 года назад
Magu angekuwepo hawana kazi mzee
@thetrends472
@thetrends472 2 года назад
aaaaahhh kudadeki sijui kama wamefanya kwa nia ya kumsaidia hebu tuone
@georgesheto4542
@georgesheto4542 2 года назад
Kijana huyu akienda darasani atapotea maana alitokeaga kijana mmoja alitengenezaga helikopta akapelekwa darasani hadi leo sijui yuko wapi
@andrewkandrossy1990
@andrewkandrossy1990 5 месяцев назад
Bado YUPO shuleni
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 года назад
Mungu amtangulie
@ammaherman3391
@ammaherman3391 2 года назад
Dah!! hii ndo tanzania. Zuberi angalia sana usipotezewe muda ili kipaji chako kipotee.
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
Ila kweli
@sosom14
@sosom14 2 года назад
Really
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Ngoja ukaanze kufundishwa hesabu za kutafuta X na Y ndo utajua cha mserereko kinaponza ila ukifeli usidhan serekali itakubeba tu niko hapa nakuombea ukangare urudi na ujuzi zai🙏🏽
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 года назад
Mungu amlinde na husuda za walimwengu
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 года назад
Amiina
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 года назад
Ameshapoteza kila Kitu Pesa N Pesa Na Shule n shule😀😀😀😀😀
@agyady6260
@agyady6260 2 года назад
Mungu amuwezeshe ndoto yake isizimike jamani ptuuu nchi ya kuua vipaji Mungu atusaidie tz
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 года назад
Dogo washakupoteza hao.. wenzio wanalipia hzo frequency kwa mamilion.. wameona wee unakula ubwabwa tu.. wamekwambia harib transmiter na uache unachofanya ukasome😁
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 2 года назад
Africa Africa. Bara linalo pega teke vipaji vyao naku kumbatia vyawazungu. Wakiamini kwamba wazungu ndowana damu. Niujingamtupu. Vipanji Africa nivingi tatizo viongozi waafrica. Awamini vipaji vyao.
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 2 года назад
Kweli kabisa brother
@perisiverympwenku139
@perisiverympwenku139 2 года назад
Akili nyeusi azioni
@jerryt698
@jerryt698 2 года назад
After 3 years in Dar es Salaam all the creativity will be filled with Luxurious life, he will get a job and that will be the end of the masterpiece invention. SAD
@suntzu8959
@suntzu8959 2 года назад
Which Invention. A Radio transmitter was invented in 1890 by German called "Macconi". I personally isn't my first time seeing children playing with electronic component to make simple radio, I have seen this as far back as 30 years ago. Those electronic components used to make that simple transmitter can only be learnt at school with right measuring and testing equipment. He has a passion yes, but to help him further is to train him. Also making an equipment which transmit radio frequency is guided by the law that's why he was told to Stop by relevant communication authority. Frequencies are managed and regulated, and allocated for various purposes. They are frequencies for domestic radio broadcasting, military, police, aviation, maritime, and many other applications. These can only be leant at school.
@laninatwaha3850
@laninatwaha3850 2 года назад
There wasn't any invention bro
@jerryt698
@jerryt698 2 года назад
@@suntzu8959 Lets not argue on the ''invention'' since it has several meaning; i am not against formal education that he will receive at the college; however the education system will help him to understand the functions of transmitter, capacitors etc but not creativity. I agree with you on the laws and broadcasting regulations guidance.
@suntzu8959
@suntzu8959 2 года назад
@@jerryt698 I get your point now. It is actually a plus for him to get educated
@bamizertv1822
@bamizertv1822 2 года назад
Dogo anapata ustar ,lakini haangalii.itamsaidiaje kiuchumi. Kiufupi innovation Kwa Tanzania hazilipi ndo mana tunaamua kuwaachia.madogo.
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 года назад
Wasingemvunjia Maan hapo wangemsaidia tu kupanua kituo chake Maan Elim alozaliwa nayo ilikua inamtosha na ingepanuka kupitia huo huo ubunifu, asipoangalia vizur atakiua hicho kipaji chake kabisa, Allah akusimamie
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 года назад
Mungu nimwema kwakila kitu
@bongolegacy
@bongolegacy 2 года назад
MillardAyo tafadhali tutafutieni "Frank Wire" mbunifu wa kitambo kidogo. Alikuwa na mambo mengi zaidi tunaomba tujue yuko wapi na amefikia wapi kwenye ubunifu wake.
@josengumbi4029
@josengumbi4029 2 года назад
Hapo ndoto zake zinazimwa mazina yani, tunaomba feedback ya huyu next three years.
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 2 года назад
Vipaji ni zawadi pekee Mungu anaompatia mwanadamu,ni vizuri kushika mkono ,huku alichokianzisha kikipewa sapoti,na sio kuua
@salumhafidhally5927
@salumhafidhally5927 2 года назад
Maisha saiv unaweza kutoboa Kwa kipaji tu
@msusasandali5833
@msusasandali5833 2 года назад
Hii nchi hii daaah ya hovyo Sana wallah
@daisythetech
@daisythetech 2 года назад
Sometime publicity huwaga inaponza na kuua vipaji vya watu......watu weng wa hapa tz walijitokeza kwa idea mara zote serikali ndo inawashusha...sidhani kama huyu dogo angekua ameonekana au kujulikana nafikiri watu wa eneo lake hapo wangeendelea kuburudiaka na idea yake ya kuanzisha redio
@msalikemedia
@msalikemedia 2 года назад
Sasa si wangekiacha kiendelee na yeye huku anasoma daah jaman nimeumia sana yaan😭😭😭
@mbarakatv633
@mbarakatv633 2 года назад
Imeisha io
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 года назад
Maskini mungu azidi kukuongoza zuber.nampenda Sana uyu dogo na atafika mbari🙏🙏🙏🙏🙏
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 года назад
Washammaliza huyu daaah
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Ulitakiwa useme muheshimiwa au Waziri Nape, kwa Watanzania tuna kitu kinaitwa kuheshimiana cc kwa cc, kwa wakubwa na wenye mamlaka. Hongera sana Zuberi, Mungu azidi kukutangulia...ndoto yako ni nini? Waambie ndoto yako.
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 года назад
Acha uchawa wewe mama wa mkoani
@johngasto4154
@johngasto4154 2 года назад
Nimefurai nataman ningekuwa mim hongera dogo
@SadickvicentSimfukwe
@SadickvicentSimfukwe 2 года назад
Sorry Millard Ayo May I get connection to meet with that Guy thanks!!
@mariamjackobo6219
@mariamjackobo6219 2 года назад
Mungu mkubwa sana hongera sana mdogo WANGU mungu akutangulie katika masomo yako.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад
Bro Bora nenda veta, au tafuta vifaaa endelea kufanya maharifa yako , na chukua vitabu vyako soma mwenyewe, elimu zetu hizi za kibongo mhhh hakuna kitu ni utopolo tu..,
@James00Bong007
@James00Bong007 2 года назад
Nchi mi Mavi kweli.. sasa kusoma kitasaidie Nini wakati yeye hajasoma na ametoa kitu cha maana.. mpeni resources aendelezee mambo..
@nasramsomalizulkhan4741
@nasramsomalizulkhan4741 2 года назад
Yaani hatutamsikia tena DAH
@vivianavivy3656
@vivianavivy3656 2 года назад
Yani Tanzaniaaa Tanzaniaaaa😏
@eliakimuesau3233
@eliakimuesau3233 2 года назад
Saf san dogo MUNGU akutangulie
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 года назад
Hiyo imetoka hivo
@kassebo
@kassebo 2 года назад
Zuberi. Hiii Elimu uliyo nayo. Haukuisomea. Ni Elimu uliyo zaliwa nayo. Kuwa makini Sana. .unaweza ukapewa nafasi ya kusomea hiyo Elimu lakini usipewe nafasi ya kupata mafanikio kupitia hiyo Elimu. Chamsingi mtangulizeni MUNGU. Maaana wasomi niwengi sikuizi ila hawana ajira
@paulromanusy3882
@paulromanusy3882 2 года назад
Bahati yetu hili Taifa linachaguana kwa matabaka, ila laaah sivyo tungeuwana sana na tungedharaulika! But Mungu atuepushie sana lisitokee!!!😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@highmedland9280
@highmedland9280 2 года назад
Uje tu bongo mzee uwone madem kibao upotee kbs kbs na kipaji chako kigoma madem kawaida2 karibu sana mji wa warembo tukpoteze 💤🇷🇺💪🚀🤣😜
@frankluhu5322
@frankluhu5322 2 года назад
Ohooo wasije haribu kipaji chake wataend kumuajili ubunifu unaisha TZ ya kifala sana
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 года назад
Wameshaua kipaji
@biottomollel6527
@biottomollel6527 2 года назад
Genius 🤛🏿
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Wamekumaliza
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Akili yangu inavyonishauli ninafuuu ungetafuta Daimondi wa kigoma. Mwenzio akuendeleze mfungue REDIO yenu lakini hiyo serikar mhh 🤔ngoja tuone🤣
@Bari686
@Bari686 2 года назад
Cha msingi dogo tumia kipaji ulichonacho kutengeneza bundki alafu unazikodsha,, Utakuja kunishkru
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 года назад
Bora angeacha tu kituo chake wangeshindwa angerud kuendelea n kituo chake
@عبداللهالعازمي-ع3ش
Mashallah
@furahawalter7823
@furahawalter7823 2 года назад
Ukiona wanakuzingua rudi tutazichanga wananchi utatoboa😅😅 hata miamia zetu
@furahawalter7823
@furahawalter7823 2 года назад
Nchi ya wenyewe hii tunaishi wanavyoamua wao
@mgasaemanuel53
@mgasaemanuel53 2 года назад
Afrika sijui Nani aliyeturoga hasa viongozi wapumbavu kabsa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Kijana Mavi kunuka Tanzania watapoteza kipaji chako mswahili yeye anawaza kutombana tu na majungu na kuzaliana kama panya na starehe. Kijana tafuta connection ya wazungu au nchi za Ulaya na Marekani watakupa sponsorship na wazungu wanathamini sana kama uko smart, wenzako tuko na uwezo mkubwa IQ tumeona Mavi kunuka Tanzania inatupotezea muda tuko Ughaibuni na ngozi nyeupe inatuthamini sana na tunalipwa vizuri tu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Mavi kunuka tanzania😂😂
@Burner_Acc
@Burner_Acc 2 года назад
Unavyoabudu mizungu/miarabu itakua tayari wanakusukuma mavi
@leilahhassanomary7189
@leilahhassanomary7189 2 года назад
Mkataa kwao ni mtumwa 😂
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 года назад
Huna lolote, mstaarabu hutoa ushauri na suluhisho la matatizo pasipo kutumia lugha ya matusi. Ungekua na IQ kubwa usingeikataa nchi yako na kuamua kuishi kwa wakoloni. Huko uliko umebuni nini? Kazi tu kutukana mtandaoni! Stupid nonesense
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
@@Burner_Acc ni wazungu mbwa wewe hapo hadi chupi uliyovaa wamegundua wazungu , hiyo simu kitochi chako wao ndio wamegundua . Waarabu hawana akili za wazungu , nguo ulizovaa kuficha matako yako makubwa na mkundu wamegundua wazungu mbwa wewe halafu unaropoka kama umekaria uboo fala wewe . Haya kama chako kama wewe umeleta faida gani humu duniani ??
@ellyitete938
@ellyitete938 2 года назад
Nilikua tu watatoa hat mm nikitengezenza hiv vitu simple Ila vitisho sasa
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 года назад
Hongera sana
@stukiaally4690
@stukiaally4690 2 года назад
Huu ni upuuzi, badala ya kumuwezesha vifaa na kumpa wataalam wamuelekeze matumizi, unamwambia abomoe, aende shule miaka 3
Далее
BSS 2023 SN 14   EPISODE 04 KIGOMA
1:11:04
Просмотров 84 тыс.
BOFLO STAR SEARCH | KIGOMA - USWEGE & ELIUD
29:50
Просмотров 424 тыс.