Тёмный

KIPAJI: KIJANA AVUMBUA PIKIPIKI YAKE KUBWA INAYOTUMIA UMEME NA KITUO CHA RADIO “SIBAHATISHI MIMI'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Kutana na Zuberi Abdallah ambaye ni mbunifu mkazi wa mkoa wa Kigoma mwenye umri wa miaka 23 na kwasasa anaendelea kutengeneza pikipiki ambayo itakuwa na uwezo wa kubeba kilo 30 na kuendeshwa kwa kutumia umeme wa betri.

Опубликовано:

 

18 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 2 года назад
Tanzanian are so amazing with extraordinary skills that's ayo tv for the show from mombasa we say hongera
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 2 года назад
Hongera sana Kijana, Mungu akubariki
@afrigrowers
@afrigrowers 2 года назад
kigoma tumebarikiwa
@musagesedoto9967
@musagesedoto9967 2 года назад
Kazi nzurii Sana hii
@maarifahub5066
@maarifahub5066 2 года назад
Hongera
@eyasitiayubu6271
@eyasitiayubu6271 2 года назад
Ndakwemeyeeee
@sweetbertbichumu528
@sweetbertbichumu528 2 года назад
Emweeedabweee
@zuzhabsia3852
@zuzhabsia3852 2 года назад
Mashaallah serikali wangezidi kumuendeleza kimasomo
@danielerasto8048
@danielerasto8048 2 года назад
Hongera yake
@nuhujumatano8156
@nuhujumatano8156 2 года назад
Watu navipaji vyao
@mayagillamussa9486
@mayagillamussa9486 2 года назад
Kuna kubuni na kukusanya vifaa na kuviunganisha
@fanildaantonio14
@fanildaantonio14 2 года назад
👏🇲🇿
@faraolion6822
@faraolion6822 2 года назад
Mungu abariki kaz ya mikono yako
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Ety vifaa vysngu mwenyewe 🤣🤣 wabongo bana Kwan hao hawataki kusoma
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Kwanza ni mjuaji sana ataishia milardayo tu
@batterylow0.57
@batterylow0.57 2 года назад
Mungu abariki mikono yako
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 2 года назад
Huyo kavumbua au ame assemble components ambazo zisha vumbuliwa tayari. .
@ayoubmakori8680
@ayoubmakori8680 2 года назад
Una akili Sana ww bigup brooo
@JonhYusuph
@JonhYusuph 4 месяца назад
Haja vumbua kabuni
@maromedia6272
@maromedia6272 2 года назад
mwamba anajua
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 года назад
Vipaji vimejaa Kigoma. Kwenye mpira tumo. Kwenye kuimba tumo . Kwenye dini tumo na hata kwa ubishi tunaongeza
@festogervas4647
@festogervas4647 2 года назад
Aahahhahahahahaha apo sikupingi
@junioryasin5306
@junioryasin5306 2 года назад
Si mnatumia uchawi nyie kwann msiongoze
@mochepa9191
@mochepa9191 2 года назад
DU NA KUNA DOGO MWINGINE ANAUJIZI KAMA HUU MKOANI TABORA WILAYA YA KALIUA NAYE KABUNI HELKOPTA GARI KUTUMIA ENGINI YA POTILA N.K
@dando7819
@dando7819 2 года назад
Wabongo bwana sasa dogo kafanya jambo lake mnaanza kumponda hiki ni kipaji,,, mnachochonga nin? kisa kasema kavumvua pikipiki, basi tufanye hii sio pikipiki dogo Zuberi waambie umezindua kitu kinachoitwa pakapaka si wanataka ubunifu waambie na jina ndo hilo umebuni wanaoponda wanakaa kwa shemej zao walio wengi.
@rosemesha2143
@rosemesha2143 2 года назад
Ndy nn hv mbn mnaandka vtu havpo
@mmeagroup-TV
@mmeagroup-TV 4 месяца назад
Wameshampiga hela dogooo😂😂😂
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 года назад
Nyundo mbinu msaaidiee
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 года назад
Kigoma ya vipaji
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Sasa shida ya bongo huwa mpaka waunde kwa mfano ule ule hapo ndo ubunifu unapokwama
@zuberimbunifu1998
@zuberimbunifu1998 2 года назад
wewe ulitaka niunde iwe inaenda kunyume nyume heti ndio unajua nimebadilisha mfumo mbona kuna king lioni .pia kuna SAN LG lakinisiviwandatofauti kinachoangaliwa niubora wakitu watanzania Mimi niwezekusema tuwe nakauli nzuri
@musakhamis6906
@musakhamis6906 2 года назад
Ata simu ndege meli azitengenezw nchi moja lakni ubunifu ule ule kama ndege utaaona inaanza kutembea mpaka inaruka au uliona ndege ya abiria ya Marekani iko tofaut na ya china zaidi ya kutofautisha bendera
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 2 года назад
@@zuberimbunifu1998 Hongeka Sana Zuberi Allah akufanyie wepesi kikubwa usikate tamaa na wanao comment vibaya achana nao wasikuumize kichwa tuachie sisi hao wana visokorokwinyo.
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 2 года назад
@@zuberimbunifu1998 Usiwajibu chochote wanaokukatisha tamaa.
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 года назад
Kigoma bwana hatushidwagi na kitu. Leka tudigite.
@reginaldmanga7241
@reginaldmanga7241 2 года назад
Naomba namba zake
@zuberimbunifu1998
@zuberimbunifu1998 2 года назад
0627575227
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 года назад
Kwa nini asipewe mtaji , afungue kiwanda chake , atengeneze nyingi Za biashara na kutoa ajira , lakini najua hatuthamini viliyo vyetu. Tunasubiri wazungu wataalamu
@rashidykihunga3962
@rashidykihunga3962 2 года назад
DOGO UNABAHATI KUZALIWA TZ. UNGEZALIWA CHINA UNGEMECK. ila soo mbaya komaa
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 2 года назад
Huyu jamaa mbona ana akili sana hv
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Yani unapoteza muda kwa huyu dogo mpaka bc
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 2 года назад
Acha KISOKOROKWINYO
@mossassaid2683
@mossassaid2683 2 года назад
Wapumbaze wapumbazee shockup nati maringi machine mnyonyoro nk na voote ulivipata wapi vilee
@josephkisaro1377
@josephkisaro1377 2 года назад
Hajavumbua kitu, huyo ni fundi makorokoro tu, mota ya mzungu, sola ya mzungu, shock up za mzungu nk. Kawaida sana
@zuberimbunifu1998
@zuberimbunifu1998 2 года назад
watanzania tujitahidi kuwa niwatu wenye akili mbona mnani katisha tamaa kwiyo wewe ulitaka nitumie miti na kamba .et
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 2 года назад
Wewe umeweza kuviunganisha?ndo maana sisi wabongo hatuendelei hata kumtia moyo mnaona shida,tuna shida sana.Kijana hongera hata wavumbuzi wengiii walianza hivi ivi,kazana utafanya mengii makubwa
@methodkotto1923
@methodkotto1923 2 года назад
Mpumbavu wewe unataka atengenezeje anakiwanda?
@josephkisaro1377
@josephkisaro1377 2 года назад
@@childrengospelmissiontanza1474 Wewe unajua maana ya kuvumbua? Pikpiki ilibuniwa na wazungu karne ya 16, maana yangu ni kuwa, hakuna jipya alilofanya,,
@zuberimbunifu1998
@zuberimbunifu1998 2 года назад
@@josephkisaro1377 Joseph nduguyangu upovizuri nawewe inaonesha unaakili nyingi sana nachokushauli usiwe una ponda ila jaribu kunielekeza nitumie nini nanini ili nasisi Tanzania tuwe navitu tofauti nawao sawa
@nasibumaiko6096
@nasibumaiko6096 2 года назад
Hajavumbua Wala hajabuni ..mvumbuzi ni mtu anayevumbua kitu ambacho hakijawahi kuwepo
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices 5 месяцев назад
Hakuna jipya chini ya jua , Hata wazungu wameiga mahali. HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA , ZUBERI MDOGO WANGU WEWE NI MTU BORA NA NI MVUMBUZI MKUBWA KATIKA NCHI YETU. NAJUA MACHUNGU YA TABU HIO YA KUANZA BILA KITU, NEVER MIND, KEEP MOVING,
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Anatumia muda mwingi kuwaza ujinga mtupu yani hiyo nimichezo tulicheza utotoni
Далее
Piki piki inayopunguza gharama na safi kwa mazingira
4:33
CHEKI MAPISHI YA AISHA BUHETI WAKATI WA SHEREHE
1:58
Mfumo wa Umeme wa Pikipiki aina ya SANLG
4:02
Просмотров 3,5 тыс.