Тёмный

SIRI ya MAFANIKIO ya WACHINA - JINSI WALIVYOITEKA DUNIA na KUFANIKIWA KUFICHA TEKNILOJIA ya MAREKANI 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 62 тыс.
50% 1

SIRI ya MAFANIKIO ya WACHINA - JINSI WALIVYOITEKA DUNIA na KUFANIKIWA KUFICHA TEKNILOJIA ya MAREKANI...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

11 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@globaltv_online
@globaltv_online 11 месяцев назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@nathanielshauri5135
@nathanielshauri5135 10 дней назад
Bonge la documentary kazi nzuri sana🤜🤜
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de 11 месяцев назад
Nakukubari sana napenda unavyotuhabarisha hongera sana
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 месяцев назад
Nyerere aliona mbali kwenda kuwa urafiki na mchina kabadilisha mchezo kajitafuta kajipata
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Месяц назад
Du hatali sanawewe
@judicalosika7642
@judicalosika7642 17 дней назад
Hakika, hii umeidadavua vema kabisa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 17 дней назад
Denis!! Denis!! Denis!! Denis!! Hapa umeua. Tunafunga mipaka tusiuze chakula nje.... Nani zaidi😁
@JUMANNEMANYANDA-ow7gw
@JUMANNEMANYANDA-ow7gw 9 месяцев назад
Accepted,, digested,, planted,, in un limited field,, congratulations
@ALAFIT-kt9lq
@ALAFIT-kt9lq 2 месяца назад
Asante, nimejua,nisiyoyajua kupitia taarifa zako.
@baluhyaandrew1564
@baluhyaandrew1564 2 месяца назад
Denis Mpagaze na msemaji wako,BIG UP
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Месяц назад
SAFI SANA. DENISI, HAKIKA HATA WEWE UNA AKILI MNO.
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 3 месяца назад
Hongera kwa kutoa elimu safi maisha bila maamzi magum hakuna mafanikio.
@erickmuli1030
@erickmuli1030 11 месяцев назад
This is Messages and i take it bro,thnk's.
@PeterMtui
@PeterMtui 6 дней назад
Peter Mtui,nadhani kama waafrika tukijifunza uwajibikaji kuanzia kwenye familia zetu tutafika mbali hata kama hatutowafikia wachina na wazungu lakini tunaweza kufika mahala fulani pazuri "huwa nawaza unakuta mwanafunzi anasomea maswala ya engineering lakini barabara za rafu roads zinafanyiwa rehabilitation and construction na wachina " huwa nashindwa kuelewa mainginia wetu huwa hawawezi kutengeneza hata rafu roads
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 14 дней назад
Asante sana kaka
@titombizo6941
@titombizo6941 10 месяцев назад
Nice information to those who are well in the mind
@pyeremsafiri
@pyeremsafiri 4 месяца назад
Amini ligonde, nakubali sana unavyotangaza
@liannsambu7264
@liannsambu7264 4 месяца назад
💯💯💯💯💯 saivi Tz inaweza kuwa inaongoza Kwa kuwa MACHINGA NA OMBAOMBA WA DUNIA 😮😮😮😢 INATIA AIBU NA HURUMAAAAAA , VIJANA TUAMKE TUFANYE KAZI , TENA WATANZANIA TUFANYE KAZI HASWAAA MAANA TUKO KWENYE HATARI YA KUWA OMBAOMBA WA DUNIA NA WATUMWA WA MWENDO KAZI ,MAANA HATUELEWEKI , TUAMKE 😢
@magorymara5515
@magorymara5515 17 дней назад
Ni kweli lakin serkali inatakiwa kusimama kidete kuwasomesha Wazawa na kila senti ifanyiwe maendeleo ya kweli na siyo yale ya bomoka kwa mda mchache
@magorymara5515
@magorymara5515 17 дней назад
Tanzania tunahitaji wageni kutoka nchi mbali mbali namini wageni huongeza ukuaji wa secta ya biashara katika ngazi nyingi kwa kupanga nyumba za biashara,nyumba za kulala,ununuaji wa mazao na kutumia usafiri wa anga na vitu vingne mlipuko wa maendeleo utakuja kwa haraka sana
@IssaTayari
@IssaTayari 6 дней назад
Hatar sana
@GodfreyMeshack-gy2yt
@GodfreyMeshack-gy2yt Месяц назад
Duu brother nimekuelewa sana, na nimejifunza mengi sana
@user-kp3hz3qw4m
@user-kp3hz3qw4m 8 дней назад
Upo vyema 🎉🎉🎉🎉 habar zurii
@daudbenard4800
@daudbenard4800 13 дней назад
Very informative, bravo 🔥🔥🔥
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 Месяц назад
Saafi. Inaleta hasa kufanya kazi kwa bidding kujipatia maendeleo
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Месяц назад
Upo sahihi kabisa kiongozi Africa kazi lawama kwa viongozi lkn shortcut life
@gibbs1320
@gibbs1320 11 месяцев назад
Leo nitachelewa kuja mzigoni jana nilizima.....
@user-ip4zo1mr9z
@user-ip4zo1mr9z 9 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉 very beautiful job
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba 11 месяцев назад
Kkkk Wewe kaka unachekesha sana maongezi yako, yani unanogesha kabisa.
@PiusOnkangi
@PiusOnkangi 4 месяца назад
Bro you are to the sky, no one does this.. choose one
@user-vp9mb6gd4i
@user-vp9mb6gd4i 12 дней назад
Inapendeza sana iyo
@DexVo24
@DexVo24 10 дней назад
Nataman ungekuwa Rais
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 месяца назад
Shukrani
@danielkagola6332
@danielkagola6332 3 месяца назад
Kazi nzuri
@SimonShoo-mw8nk
@SimonShoo-mw8nk 5 дней назад
Bajeti ya magari billion 200+ unapewa msaada billion 8.9😢
@allymdoka8634
@allymdoka8634 20 дней назад
Aiseee imenifunza mamboo mengiiiii
@cholombuda1658
@cholombuda1658 6 дней назад
Sisi hatuwezi kufika coz mifumo yetu yakiserekali haimfikirii mwananchi wanaangalia wao wanaingiza nn kila kikicha wafanya biashara wanapandishiwa kodi tunaoumia ni sisi wanjnuaji wamachinga wanafukuzwa kila sehemu
@SelengaPius
@SelengaPius 12 дней назад
Upo vizur
@Pascal1122
@Pascal1122 Месяц назад
Chine🇨🇳 ni balaaa😂😂❤
@user-ym3nb2pr8v
@user-ym3nb2pr8v 15 дней назад
Oya wanaakili kweli
@MohammedAli-hz7to
@MohammedAli-hz7to 9 месяцев назад
Upo smati kaka
@erastobraiton9458
@erastobraiton9458 10 месяцев назад
Saw
@marijanimpapai6705
@marijanimpapai6705 22 дня назад
Amini likonde mwambaaa
@gadluck4362
@gadluck4362 16 дней назад
ungeeleza tu kwa wepesi majungu kibao unaharbu content
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA Месяц назад
amin kikonde unatumia jina Gan is
@isackkamondo6588
@isackkamondo6588 11 месяцев назад
Ukweli mtupu
@joackimmwedimage6793
@joackimmwedimage6793 4 дня назад
Ndio mana muheshimiwa magu alikua anasisitiza watu tufanye kazi
@DuuSaid
@DuuSaid 6 дней назад
China ikoo juu hao wamejenga Kwanza nchi yao wamejitolea jeshi lao ndio limejenga hio nchi hata hapa kwetu Kama jeshi litawezeshwa uwezo huo unawezekana
@golebenson4597
@golebenson4597 18 дней назад
Kula SI dhambi
@claudekiza389
@claudekiza389 Месяц назад
@ajoseph31
@ajoseph31 29 дней назад
Korea kusin haina ahida na marekan
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 11 месяцев назад
China imetuacha mbali
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 месяцев назад
Sio kutuacha imewaacha hadi wazungu wengi tu
@izack9191
@izack9191 11 месяцев назад
Mmh hii nikama anakopi Ananias edigar
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 3 месяца назад
Kwa hiyo Kama anakopi tufanyaje? Kama hutaki acha msikilize mwingine!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 17 дней назад
Eti!! Ukiwashauri vijana wekezeni kwenye kilimo wanakwambia mtaji atatupatia nani!!!!...🤣🤣🤣
@mangimosha95
@mangimosha95 Месяц назад
Kuhusu hilo jua wala usiogope kwani wao walitengeneza korona na ikawachapa wenyewe
@deniesdmn2126
@deniesdmn2126 2 месяца назад
Ila hapo kwenye drip mmekosea
@user-pi4et2cc7s
@user-pi4et2cc7s 2 месяца назад
PONGEZI KWA DENISI MPAGAZI HONGERA UNAELEWEKA VIZURI SANA
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Месяц назад
Kweli kabisa, Kukazana kujenga Hospitali kila kona si tija. Tija ni kukinga kuzuia. Unasema hatuna viwanda!! Mbona majuzi nasikia tuna viwanda 13 vya KUTENGENEZA MAGARIA🤣🤣😆😆🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
@golebenson4597
@golebenson4597 18 дней назад
Tuchinje wahalifu watatu nchi itanyooka
@Konkaman
@Konkaman Месяц назад
👊🏼🤞🤞🤞🤩
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 2 месяца назад
awana udini
@chachamturi259
@chachamturi259 2 месяца назад
Watawala wetu wazamani walikua wanaelimu ndogo lakini akili Yao illikuwa kubwasana, ambapo Walikuwa wanaona mbalisana aiisee. Kwammfanno nyerere aliwafukuza wazungu. Akawazuia kuchimba madini akasemma watachimba wanae wakiwa naaakili. Sasabasi wanae wenyewe aliokuwa akiwasema ndo hawa leo wanao binafsisha bandari na kuwauzia wazunngu maeneo Yao yenyeraslimalli nnyinngi, Nyerere maeneo yaliokuwa na madini nyerere aliweka kambi zakijjeshi na kujenga mashure na taasisi mbalimbali . Ila sasa hawa biongozi ambao nyerere aliokuwa akiwategemea kuwa ndowatakao likomboa taifa ndo wana biinafsisha aridhi migodi bandari na kkuuwa viongozi wenyedhamira nanchiyao. Jamani biongozi wetu amkeni dhammana uliyonayo leo ndo hatimayako yakkesho. Watanzania Tunalia machozi Yadamu kumbuka hayatekketei Bure.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 месяца назад
Awo wezi
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 месяца назад
Na amerika ni jambazi
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 месяца назад
China kwa Africa ujenzi wa bure
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 7 дней назад
I have not been to the USA but China is very bad for business. All European countries, China is economically depressed. many young people in Africa are taking products from China and coming to sell in their countries and they are very successful. It's not because I don't like the USA, China has completely opened up the world to us. God bless China and its government. They have not made it difficult to enter China as it is in the USA. China does business with anyone, countries like USA only do business with big countries. I say thank you very much to China for opening up Africa. All the big construction projects are done by the Chinese in Africa, especially in my country Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. It is now time for China to become a powerful nation 🌎 economically, politically and militarily. You will not hear that China has sent its troops to Pakistan, Iraq or Afghanistan. That is, their lives are busy with their affairs. Aiseeeee China salute you guys. Electric cars have become a big deal in European countries. I say 3 times China, China, China GOD BLESS YOU. Although they have their shortcomings, China is the best of the best
@liannsambu7264
@liannsambu7264 4 месяца назад
Hakika china ni kweli ,ila kufanya nao KAZI pia akili inatakiwa maana kiuhalisia wanameza na kuondoka na kila kitu , Ila falsafa zao ni safi na naziunga mkono
Далее
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Просмотров 816 тыс.