AY anafunguka kuhusu kipindi cha TV cha The Joint ambacho amekianzisha akiwa na Sallam na Fid Q, ngoma yake mpya Stakaba, kwanini ameacha kufanya collabo za nje na mambo mengine #ChillnaSky
@@abdullahomarabdullah6921 Sky tulietoka nae enzi zile mpaka sasa tunaelewa ni kiasi gani ana umakini kazini. Kusema ukweli wale madogo wanaouliza bei za vitu ni vizuri wangeenda kwa wafanyabiashara wadogo wawaulize changamoto wanazokutana nazo ila ndo washachagua kuuliza ujinga
AY. Huyu kijana nampenda Sana Toka alipokufa ameanza mziki wakati anasoma pamoja na ndugu ya Mwanafalsafa hawa vijana nawapenda Sana , popote walipo Mimi ni shabiki yao Kindakindaki. Mungu awajaalie watoto wangu.
Watu na mziki wao! Waasisi wa kuipeleka bongo fleva anga za kimataifa halafu wala hawana habari! Waliopokea kijiti Sasa!! 😂😂😂 Utasema wao ndio kila kitu kwenye huu mziki!