Тёмный

BABY SHOWER YA PAULA NA MARIOO ,BABA AKE PAULA AMFANYIA SUPRIZE MBELE YA KAJALA. 

BONGO 24
Подписаться 121 тыс.
Просмотров 76 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@NshomaSayi
@NshomaSayi 5 месяцев назад
Paula hongera sana pendaneni ivyo ivyo na mariooo mnaendana sana❤❤❤❤
@mwatakajehamisi1724
@mwatakajehamisi1724 5 месяцев назад
Nimesikia rahaa hadi machozi yamenitoka😢😢Nawapenda sana😍😍😍❤❤❤❤💪💪💪💯💯🔥🔥🔥
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 месяцев назад
Babu kama baba damu nzito kuliko maji majani ndani ya nyumba
@kamarhelo
@kamarhelo 5 месяцев назад
Yani Hadi raha
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 5 месяцев назад
Proud of Majani, Ahsante sana for doing this for your daughter ,you are amazing
@khadijakhatibu5270
@khadijakhatibu5270 5 месяцев назад
Bibi na babu pambe
@SarahWilliam-ik2nc
@SarahWilliam-ik2nc 5 месяцев назад
Daa mmependezana sana sji huko rayvany atkua na hl gani❤❤❤❤❤💖
@DayanaMulishid
@DayanaMulishid 5 месяцев назад
Ongera saaaana vipenzi vyangu mungu awatangulie inshallah❤❤❤❤
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 5 месяцев назад
Ndoa za kislam zipo za kimya au tuseme Ndoa zote zipo za kimya wanaweza kufunga ndoa kimya siyo wote mjue
@ghhj-ij7xs
@ghhj-ij7xs 5 месяцев назад
Familia ya Mario iko wapi
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад
Hta me nilitaka niulize hvhv😂
@remiomar7154
@remiomar7154 5 месяцев назад
😢msiba mkubwa zinaa umekuwa bora kuliko halali mungu akuongeze vizazi vyetu
@zainabwage4658
@zainabwage4658 5 месяцев назад
Uo ndio ukwer
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 5 месяцев назад
Ndoa mchezo Bora ata waambulie iyo maana huwezi jua ya mbeleni
@remiomar7154
@remiomar7154 5 месяцев назад
@@zainabwage4658 inamaana zina kwako n bora iliyoharamishwa n mungu😥
@remiomar7154
@remiomar7154 5 месяцев назад
@@dianarosederick7154 inamaana kitabu chako cha Dini kinaamridha uzinifu
@SalmaTelkom
@SalmaTelkom 5 месяцев назад
AMEEN AMEEN
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 месяцев назад
Wow!!! Congratulations Pau...mhow i was busy smiling here like a fool!!!! That is definitely the best news ever!!! Mungu awaekee
@DayanaMulishid
@DayanaMulishid 5 месяцев назад
Jamni mmepiga na nyimbo yangu pendwa wakati wa kufungua ❤❤❤❤❤❤😢😢
@VeroMaketu
@VeroMaketu 5 месяцев назад
Jaman wazazi tujifunze kitu kwa kajala leo hata kama mmekosana kwa jinsi gani, upendo na baraka ni mhim kwa mtoto ❤❤
@fatumajuma1811
@fatumajuma1811 5 месяцев назад
Uko sahihi kabisa
@Usertatu11683
@Usertatu11683 5 месяцев назад
Chako ni chako Majani Kam support Binti yake
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 5 месяцев назад
Atafanyaje na binti kuolewa kagoma kaona Bora ata amsaport ata icho alichokifanya
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 5 месяцев назад
Uchungu wa mwana wa jua mzazi❤❤❤ p na k congratulations
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 5 месяцев назад
Kweli kabisa
@annahulilo6719
@annahulilo6719 5 месяцев назад
Mungu azidi kuwalinda, kwa rehema zake awajalie kuungana kwa ndoa takatifu.
@saadalshre1345
@saadalshre1345 5 месяцев назад
Hadi raha jamani❤❤❤🎉🎉🎉
@alicedusabe7510
@alicedusabe7510 5 месяцев назад
Wazazi wamewapa balaka wapendwe ongeleni sana mungu awaongoze 🙏
@RayChausa
@RayChausa 5 месяцев назад
Ameen ❤
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 5 месяцев назад
Mamaeee marioo you are the best ❤❤❤ future daddy❤
@ZulfaIlanda
@ZulfaIlanda 5 месяцев назад
Alafu sisinibinadam kwan unaamini niniiiumebeba mtt wa kike achen kucheza na muq muqupekeendoanaejua😢😢😢
@alisaidahamed8065
@alisaidahamed8065 5 месяцев назад
Félicitations à toute la famille kajahlal n'a toute famille marioo ❤❤❤❤❤❤❤
@Sidi.mbogo.Khonde
@Sidi.mbogo.Khonde 5 месяцев назад
Paula mumependeza.sana
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 5 месяцев назад
Mashallah hadi raha kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MamarithaPascal
@MamarithaPascal 5 месяцев назад
Kwani paula hajajifingua jamaniii
@hamimumakupula
@hamimumakupula 5 месяцев назад
Mashallah
@ElizabethCharles-xt7hv
@ElizabethCharles-xt7hv 5 месяцев назад
Mmekua sasa uzee uooo
@IqrahMlwilo
@IqrahMlwilo 5 месяцев назад
Hii imeenda
@mimah2498
@mimah2498 5 месяцев назад
❤❤❤❤angemvalisha pete kbsa Mario Paula ❤❤❤
@husnahusney
@husnahusney 5 месяцев назад
Wanavopenda sherehe hao subir wazae watavalishana
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 5 месяцев назад
Hat mi niliwaza ivo
@glorycheyo1081
@glorycheyo1081 5 месяцев назад
Honhera sn paul
@lilpaff93
@lilpaff93 5 месяцев назад
Dada inamana Mario tz hana mama ao baba
@sharifamohd3857
@sharifamohd3857 5 месяцев назад
waislamu hatutaki ukhanithi uo😂😂😂😂
@WanuOman
@WanuOman 5 месяцев назад
Mungu akibarik nn hap au hiy Zina mh
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 5 месяцев назад
Allah habarik zinaaaa tusidanganyane
@kiya0910
@kiya0910 5 месяцев назад
Kumbe Paula kafanana na babake
@SamairaLovely
@SamairaLovely 5 месяцев назад
Mashaallqh😂❤🎉🎉🎉😅😊
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 5 месяцев назад
Kajala nawewe badilika jamani ka tumbo wazi ndo nini mbele ya mkweo
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 5 месяцев назад
Mbele ya mjukuu mbona mjukuu bibi kapata
@LovnessTizian
@LovnessTizian 5 месяцев назад
Nashangaa kama wewe bona tumbo wazi😂😂😂😂
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 5 месяцев назад
Washazoea kuchangia mabwana haon ajabu
@TeresiaMsuya
@TeresiaMsuya 5 месяцев назад
Safi sn mungu awabariki
@stellaMwakatulie
@stellaMwakatulie 5 месяцев назад
Nimeipenda hii
@jacklinejotta6365
@jacklinejotta6365 5 месяцев назад
Hongera sana couple yangu
@aishaz1
@aishaz1 5 месяцев назад
❤❤❤❤😊
@ZulfaIlanda
@ZulfaIlanda 5 месяцев назад
Jaman mariooo huna duqu ama do zarau kwa nduquzako
@roqayaro9439
@roqayaro9439 5 месяцев назад
Wamependez kama wanafunga ndoa
@salmamussa5601
@salmamussa5601 5 месяцев назад
Baby boy
@nelicekelly6289
@nelicekelly6289 5 месяцев назад
Ivi naomba kuuliza wanakuwa wanajua jinsia ya mtoto? Au na wao inakuwa ni surprise siku iyo? Naomba mnijib
@fatma1456
@fatma1456 5 месяцев назад
Mope huwa hawajui
@LethisiaNjika
@LethisiaNjika 5 месяцев назад
Wanajua,washapima kwenye kioo, utrasaund
@Nyaswentanancy
@Nyaswentanancy 5 месяцев назад
Malaya mwingine in kiba voice
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 месяцев назад
Hapo ni ndoa au?nauliza jmn
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 месяцев назад
Ujinga Fran iv wakuiga
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 5 месяцев назад
❤❤❤❤
@ChantalbauaniMwadila
@ChantalbauaniMwadila 5 месяцев назад
Congratulations 🎉🎉🎉❤
@omarinyero4731
@omarinyero4731 5 месяцев назад
Bona atujaona wazazi au ndgu wa mario
@sharifamohd3857
@sharifamohd3857 5 месяцев назад
waislamu hatutaki ukhanithi uo😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 5 месяцев назад
Majani anashangilia mwanae anatumiwa na kuzalishwa bila hata uchumba wala ndoa ujinga tu hakuna chochote zaidi ya aibu tu hapo duuu fedha kweli ni fedheha.
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 5 месяцев назад
Ye kazalisha wangapi??? Sifurahii zinaa ila ndoa majaliwa,,usijione umefanikisha sana kuwa kwanye ndoa bali jiombee na uwaombee wengine kila mmoja anataka jambo zuri kwake
@AnethKapingaInventoryControlle
@AnethKapingaInventoryControlle 5 месяцев назад
Wew unajuaje labda kashatolewa mahari😅😅
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 месяцев назад
​@@AnethKapingaInventoryControllemmmh😅😅😅 uwii
@CuttyZerish
@CuttyZerish 5 месяцев назад
Kwani huyo majani alimpata vipi Paula? Ni kwa njia hiyo hiyo inayotumika saiv
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 5 месяцев назад
Unaishi nao had unajua hamna had uchumba
@HafsaSelemani-n2g
@HafsaSelemani-n2g 5 месяцев назад
💜💜💜
@Safia-hg7pq
@Safia-hg7pq 5 месяцев назад
🎉🎉🎉
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 5 месяцев назад
Mmependeza mno
@jacklinejotta6365
@jacklinejotta6365 5 месяцев назад
Pendwa❤❤❤❤❤❤
@FatumaHassan-pv4lo
@FatumaHassan-pv4lo 5 месяцев назад
Haipngw paula ndio amexhaingia mjengon
@JoyceJulius-r6g
@JoyceJulius-r6g 5 месяцев назад
Yan Hadi laha unabeba mimba unalelewa kiasi kwamba mpka unaona Yan hata ukiwa unazaa jumamosi na jumapili sawa tu
@WanuOman
@WanuOman 5 месяцев назад
Upumbav mtup Kam anampend angemuowa kufany fedheh kushangiria Zina
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 5 месяцев назад
Kabisa hii ingenoga na kuleta staha kama wangekuwa wameshafunga ndoa
@NeemaLwoga-s4c
@NeemaLwoga-s4c 5 месяцев назад
Kuolewa mwaona dilineeh!😏 Mkiolewa nyie inatosha saajabu posa alizotokewa hata nyie sizani kama mmetolewa nyoooo roho mbaya tu
@nataliaananias5613
@nataliaananias5613 5 месяцев назад
Kuolewa ndio Nini? Kuna watu wamefunga ndoa Tena za garama lkn wako wapi? Muhim wanaishi pamoja kwa upendo na uaminifu na wazaz wamelidhia, mungu anaweza akawaweka milele,kulikon walii funga ndoa
@Safia-hg7pq
@Safia-hg7pq 5 месяцев назад
Jmn uyu Paula ufupi karith wap baba na mama warefu
@athumanindyema2302
@athumanindyema2302 5 месяцев назад
Huyo kawa mfup kwa sababu kaanza mapema
@Womanofpurple
@Womanofpurple 5 месяцев назад
💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙
@annertz9969
@annertz9969 5 месяцев назад
Bora hata angezaa mtt wakiume maana hapo tabu inaendelea
@johnfrancknzojibwami2779
@johnfrancknzojibwami2779 5 месяцев назад
Ongea mambo unaejua ao hauwelew kiswahili ungejua hungepotea ivo😮
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 5 месяцев назад
Upuuzi mtupu
@queenmilan2024
@queenmilan2024 5 месяцев назад
YANI MAPAMBO YANAELEZA JAMANI KWANINI WATANZANIA NI WASHAMBA? ULIWAHI ONA WAPI KWENYE KUTAJA JINSIA YA MTOTO MAPAMBO YANAKUWA PINK AU BLUE?😅😅😅😅😅NI BORA KUWEKA BLUE NA PINK KWA PAMOJA ....
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 5 месяцев назад
Astaghafiru llah, najivunia kuwa muislamu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 месяцев назад
Muulize na huyo Omari Marioo kama ni mkristo au muislamu 😅😅😅
@upendoernest-o8u
@upendoernest-o8u 5 месяцев назад
😂😂😂😂​@@annasolomon9855
@yfhff5268
@yfhff5268 5 месяцев назад
Nauliza kwani marioo hana wazazi au wao hwatoi baraka zao
@sharifamohd3857
@sharifamohd3857 5 месяцев назад
waislamu hatutaki ukhanithi uo😂😂
@tausinguvuyamaombi3879
@tausinguvuyamaombi3879 5 месяцев назад
Bibi na babu sasa huyo mwingine ni nan jaman
@wemakalama6458
@wemakalama6458 5 месяцев назад
Mke wa majani
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 5 месяцев назад
Vizazi vya zinaaa vinazidi kuenea kila siku tutapata wapi baraka sisi baada ya kuzaa watoto mashetani nmajini na mabilisi katka ardhi alafu ss ni wajinga tunashangiria uchafu, loooo, po
@saudashani5981
@saudashani5981 5 месяцев назад
Kama machizi
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤😂
@Vanessa-d2f
@Vanessa-d2f 5 месяцев назад
Ko waislam ndo munaojua kujistil ebu unaesema ety unajivunia kuwa muislamu ach ujinga Kila din inajistil nyie mna mwezi wenu wa kuwa watakatifu ukiisha tu mnatuvalia ovyo Kam unaijua din San msingekuwa mnavaa uchi na nyie
@ModesterSeverin-rq5uo
@ModesterSeverin-rq5uo 5 месяцев назад
Kabisa ulichosema nisawa kabisa tena wao ndio wanaongoza kwa kuvaa ichii
@DianaKawawa
@DianaKawawa 5 месяцев назад
❤❤
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 месяцев назад
Babu kama baba damu nzito kuliko maji majani ndani ya nyumba
@ZulfaIlanda
@ZulfaIlanda 5 месяцев назад
😅 😅😅😅
@ZulfaIlanda
@ZulfaIlanda 5 месяцев назад
Mario huna duqu
@sanetag2173
@sanetag2173 5 месяцев назад
❤❤❤
@naomidaud1780
@naomidaud1780 5 месяцев назад
❤❤❤❤
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 5 месяцев назад
❤❤❤
@مريمنيجيري-خ8خ
@مريمنيجيري-خ8خ 5 месяцев назад
❤❤❤❤
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 180 тыс.
У КОТЕНКА ПРОБЛЕМА?#cat
00:18
Просмотров 984 тыс.
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 2,8 млн
Китайка стучится Домой😂😆
00:18
Посылка заперла дверь
0:15
Просмотров 6 млн
Street selfdefense 🥊 #boxing #mma #ufc
0:15
Просмотров 2,8 млн