Watangazaji Waandamizi wa soka wa Azam Media LTD, BARAKA MPENJA (Matangazo ya Kiswahili) na PETER OTAI (Matangazo ya Kiingereza), watatangaza mechi ya FAINALI ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Jumapili Juni 2, 2024, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Nyota hao wawili wa kusimulia kandanda Mbashara wamefanya mahojiano maalumu na Mpenja TV kueleza maandalizi yao.
12 сен 2024