Тёмный

BASHE KIBOKO, AWACHANA LIVE VIGOGO WA SERIKALI BUNGENI 

Msombe TZA
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@moodykitete9476
@moodykitete9476 5 лет назад
Yn kuna mama wawili apo pemben yamezubaa tu ayajui kinacho endelea yapo yanawaza kula 2020 ahahahahahah
@nesphoryjimmy6300
@nesphoryjimmy6300 5 лет назад
Jamaa yuko poa sana. Nina mashaka kama yatafanyiwa kazi. Inshallah tuombe uzima na muda ni Mwl mzuri
@emanuelmaringo7173
@emanuelmaringo7173 5 лет назад
Sku zote ukwel humuweka mtu huru bg up xn mh bashe
@hagaieliya6187
@hagaieliya6187 5 лет назад
Bashe nitakupenda milele ukiendelea hivyo, sijawahi kukuchoka unapochangia bungeni,
@nuranzubail1240
@nuranzubail1240 6 лет назад
Uko sawa bro ccm hawawezi kukuelewa
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 5 лет назад
Hongera kwa kutekeleza wajibu wako. Ndio Ndio bungeni isiwe kwenye kila kitu
@maulidmohamed4494
@maulidmohamed4494 5 лет назад
Mungu akulinde akuengeze hekma
@kennedytungaraza127
@kennedytungaraza127 5 лет назад
mh.bashe upo sawa kabisa ukitaka kugombea urais tunakupa chukua form 2020.eti umli bado mwlm alingia ikulu anamiaka 31.chukua form mh.bashe.
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 Год назад
Kwa ubaguzi tulio nao sijui ?
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 5 лет назад
Hiki kichwa cjui kilipewa akili gani yani akili ya bashe ni kubwa sana
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 лет назад
Why not make this smart guy a president? He can save this dying country
@akidasalim9798
@akidasalim9798 6 лет назад
Umewasaidia sana lkn hawqtakushukuru. Bashe kichwa cha kukiombea mungu
@godfreydignalis163
@godfreydignalis163 6 лет назад
I wish you one to be our President, for sure you are Bright, wise and prudent. You always aspire me for sure I appreciate and ask God to put you at the top. You really both think and reason. Acha wakuone mbaya Ukweli wako unabaki pale nasi tunajua.
@mzenji
@mzenji 5 лет назад
"inspire" not "aspire" . "aspire" maana yake kulenga shabaha (katika mipango au maisha). Lakini ninakubaliana nawe huyu jamaa hua anatoa point.
@terrylowery910
@terrylowery910 5 лет назад
bashe ungewepo Chadema ungepewa nafac ya kugombea ulais na ungepita
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 5 лет назад
waambie wakuelewe bashe
@imamkibichwa8997
@imamkibichwa8997 6 лет назад
Me ni chadema live lakini siku ukigombea urais hata na mbowe nitakpa kura na utashinda live bira chenga
@mamahawa3694
@mamahawa3694 6 лет назад
mungu akubariki kwa kuwa mkweli na mbingu ni yako
@izdoryb.barnabas1794
@izdoryb.barnabas1794 5 лет назад
Bashe na Nape mnafaa sana.
@frankmwakatundu2435
@frankmwakatundu2435 Год назад
USINVUNJIE HESHIMA BASHE KWA KUMLINGANISHA NA MTU ANAYE ANGALIYE UPEPO UNAVYOENDA ILI ALINDE MASLAHI YAKE KISIASA BASHE NI WATOFAUTI SANA HUYU NI MZALENDO NA. 1. MUNGU AMLINDE AMPE UWEPESI AJE KUWA RAIS WA TANZANIA KWA UCHACHE TU KWA MIAKA KUMI TU TUTAIKARIBIA SINGAPLE MARA MOJA.
@jumasaid5215
@jumasaid5215 5 лет назад
Ugwao ndio unamiwao, uchumi wa Tz ushafusiwa
@alexmwalingo5120
@alexmwalingo5120 5 лет назад
Bonge la mbunge bunge zima kimya hamna taalifa
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 5 лет назад
Bashe hongera kwa kutekeleza wajibu wako
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 6 лет назад
we ndio MTZ halisi, ktk wabunge was Ccm.
@smao1289
@smao1289 5 лет назад
Hyu jamaa anaweza kua president siku za usoni
@stevenshemsanga9905
@stevenshemsanga9905 5 лет назад
Wewe siomuoga dyinyi ndio wabunge mnaotakiwa kuwepo bungeni
@psterinishayo4270
@psterinishayo4270 5 лет назад
Hivi kwann mtu mwenye maono mazur hivi ya nchi yetu kwann wakubwa hawamwoni wakampa nafas kubwa atusaidie
@alexmwalingo5120
@alexmwalingo5120 5 лет назад
Kila kitu kinaenda kwa mpangilio huyu ndiye kiongozi bola na sio bola kiongozi, anajali maslahi ya wananchi, kwa nn hajapewa uwazili au mnajua atawahalibia sasa fanyeni mpango mzr wa huyo mbunge Bashe anaweza kuwa mtukufu Mkubwa badae
@hagaieliya6187
@hagaieliya6187 5 лет назад
Wewe kichwa ktk taifa hili
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 5 лет назад
Kuna kamama kamekaa hapo nyuma yaani kanaonekana kabisaa hakaelewi lolote na kana mawazo yake menginee hahaa
@psterinishayo4270
@psterinishayo4270 5 лет назад
Anawaza mambo ya ucku kitandan huyo
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 5 лет назад
Haya wale mnaosemaga Zitto na Lissu mropokaji.. Huyu ni Bashe was CCM. kuweni makini nyie watu hili ni taifa
@fademoonlinetv
@fademoonlinetv 6 лет назад
Mtu mwenye akili tu ndiye anaelewa points za Bashe! Waliosalia huelewa baadae mambo yakiharibika
@basharpandu7324
@basharpandu7324 5 лет назад
Venerando Milinga ccm ni watu WA. moton
@hangimasunga5959
@hangimasunga5959 5 лет назад
Ombi langu mheshimiwa rais, huyu anafaa kuwa waziri wa fedha
@salimsemanaompakabungeniol4084
Mm sina chama ila mueshimiwa chukua fomu kura kama zote kwanza tunaruka raisi kijapan ndio wazurI tuachane na mchonga meno mkatoriki kasha kufa ibilisi yule
@petercat9686
@petercat9686 6 лет назад
Wabunge tz wale ambao ni ndiyoooo, mnamuona mwenzenu anavyojitumaa? Acheni uoga (woga) fanyeni kile kilicho wapeleka siyo kila kitu ndiyooo.
@valentinyosef5940
@valentinyosef5940 3 года назад
I realize Im kinda off topic but do anybody know of a good website to stream newly released tv shows online?
@declandavid7830
@declandavid7830 3 года назад
@Valentin Yosef Try Flixzone. You can find it by googling :)
@israeltommy3604
@israeltommy3604 3 года назад
@Declan David Yup, have been watching on FlixZone for since april myself :D
@allybushiri5229
@allybushiri5229 6 лет назад
Ccm oyeee
@simonsitta4408
@simonsitta4408 5 лет назад
Nashangaa msomi kama huyu anaachwa nje ya baraza kisa tu anawakosoa
@stanslausremmy8792
@stanslausremmy8792 5 лет назад
iv busara kama iz bwana mkubwa hua haziskii akampa hata unaib wazr
@zabronpaul3625
@zabronpaul3625 5 лет назад
katika wabunge wenye akili ww ni mmoja wao
@jenitarthadeus2903
@jenitarthadeus2903 Год назад
Kwanini CCM msijadili mpango kabla ya kuuwakilisha bungeni! Sasa hivi bunge lote Ni CCM! sasa mnachambuana! Hamuna UPINZANI! mtapingana wenyewe! CCM NI CANCER
@dr.mandelamakakalamd4488
@dr.mandelamakakalamd4488 6 лет назад
Ukweli
@vicenttarimo8752
@vicenttarimo8752 5 лет назад
Uzalendo ndo huo kosoa ili mambo yaende
@ngasasocks1125
@ngasasocks1125 6 лет назад
ivi hawa watu mbona hawaelewi?
@roderickmmanyi8055
@roderickmmanyi8055 6 лет назад
Ngasa Socks uko sahihi,ila upande ulioko hawayaoni.
@akidasalim9798
@akidasalim9798 6 лет назад
Wambie ukweli baba.unafaa kuwa waziri
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Unapenda sifa msomali wewe nenda kwa RAFIKI YAKO .....UNATAGUTA NINI HUKU?
@godfreyntangana7883
@godfreyntangana7883 5 лет назад
Nawewe nae nizuzu acha ubwege hao ndio aina ya wabunge tunaowaitaji katka bunge letu la jamhuri ya muungano wa tanzania
@mhenzamlwilo319
@mhenzamlwilo319 6 лет назад
ushoga tanzania
@harrisonsimtowe5195
@harrisonsimtowe5195 6 лет назад
bashe hakika ni Mwalim tukubali kujifunza
@jacksonshem4787
@jacksonshem4787 5 лет назад
huyu anajielewa sana mzalendo ndo hyo
@methodshimalo2681
@methodshimalo2681 5 лет назад
safixana
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 5 лет назад
Mbunge Makini.
Далее
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 158 тыс.
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.
TUJIKUMBUSHE HIKMA ZA AMANI KARUME DODOMA #2
15:25
Просмотров 116 тыс.
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Просмотров 322 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 158 тыс.