Тёмный

"BASHE NA MWIGULU WASIMAMISHWE KAZI" MPINA AIBUA MAPYA SAKATA LA UAGIZAJI SUKARI 

Uhondo TV
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

#uhondo #uhondotv

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 День назад
Sijui nimechoka sijui sielewi nashidwa kujua niko wapi aya tuendelee labda ukombele nitaelewa
@NDEWARA
@NDEWARA День назад
Magufuli alisema huyu Mpina ana matatizo ya akili na kwa haya anayoyafanya yanaonyesha wazi kuwa ni punguani😢😢
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 часа назад
Wasio elewa Mpina hajaleta hii kesi kutetea familia yake. Wengi hawaelewi wizi wa hawa watu Bashe na group lake. Mpina ni Musomi. Utamuelewa tu kama na wewe Una elimu ya kutosha. Tunajuwa Tanzania elimu yetu iko chini sana. Wengi hatuelewi. Ndiyo maana chochote tukifanyiwa na serikali tuko kimya. Ndiyo maana viongozi wetu wanasema Tanzania ni nchi ya amani. Amani iko wapi kama kuna uonevu wa wengi na ufisadi kupamba moto.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 часа назад
Usimusingizie Magufuli. Hawezi kukujibu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 часа назад
Tanzania bado tuko nyuma sana kwa uelewo. Viongozi wetu wanafanya wanavyotaka na tunatakiwa tukae kimya ili tuchunge amani. Amani gani bila haki? Ufisadi kila kona. Wengi wanaofanya ufisadi huu ndiyo wasifiaji wakubwa wa Rais kumuziba macho na masikio ili waendelee kuwaibia walio wengi. Mwenye kuelewa na kutetea walio wengi, wanaleta chuki, Mpina yuko Sawa kabisa kutetea Mali za watanzania masikini. Tanzania ni ya watanzania wote
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 дня назад
Hii kesi ni mutihani mkubwa kwa serikali. Tanzania ni tajiri, kama serikali Ingęchunga kikamilifu mali za watanzania, na Kuwaadhibu wapigaji wa fedha za wananchi, kila mtanzania angekuwa na hali ya kuridhisha. Kuna watanzania wanaishi maisha mabaya sana kushinda Sudani Kałamoja wakati wa vita. Na kuna watanzania wanaishi maisha ya kufuru kwa pesa walizo waibia wengi. Pesa hizo zimęwafanya wawe juu ya sheria. Tanzania ya Mwalimu Nyerere ya watu wote Sawa si Tanzania ya leo. Tanzania ya leo ni ya mapepari wachache waliojitajirisha bila ya kuwa na viwanda. Mungu tusaidie hatujuwi nchi inaelekea wapi. Bunge limeshindwa kutusaidia. Wabunge wetu duni kwa woga. Tunategemea MAHAKAMA. EH MUNGU TUSAIDIE.
@alimuse6980
@alimuse6980 2 дня назад
Wewe mbuzi angalia vidole vyako hata mwenyezi mungu hakuweka sawa kuna matajiri na maskini Nahuyo nyerere unaye kuabudu mfate aliko
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
@@alimuse6980 wewe nguruwe sioni vibaya kama Utajiri wawo wameupata kwa haki na sio Kuwaibia walio waweka madarakani.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
@@alimuse6980 Wewe nguruwe hujielewi. Sichukii utajiri wa haki. Wengi wanatajirika kwa kuwaibia watanzania wanyonge. Tukiwafanyia audit utajiri wawo utasambaratika, ni wizi mtupu. SUKARI BILA KODI. Nitamufuata Nyerere wakati ukifika. Wewe na Bashe mutaishi milele.
@petromakala-il5ts
@petromakala-il5ts День назад
Mpina ameshaona 2025 hata weza kupita kwenye kura za maoni ndani ya chama ,ndo maana anakomalia kesi , bila kujali Nini kitatokea ndani ya chama.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
Petro Makala Mpina atapita bila ya kupingwa. Pengine wahuni ndani ya CCM wamuzime. Ndiyo maana tunataka katiba watu waweze kusimama kwenye uchaguzi bila ya wahuni kingilia.Kwasababu wahuni wamekiteka chama
@Masudshaban
@Masudshaban День назад
Mpina unazingua...hili la sukari achana nalo...unatetea matajiri wa viwanda vya sukari badala ya watumiaji wa sukari ambao ni wengi zaidi na ni walala hoi...bei ya sukari hao wenye viwanda hua zinafika hadi 6000...wewe mpina ndio unataka watanzania tununue sukari bei hizo??maslahi ya nani?
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 часа назад
maduidshabani; Kwa nini aachane nalo? Sikulaumu pengine uelewo wako kwa hili jambo uko chini sana. Bila ya wabunge kama Mpina, kutetea haki, Tanzania itaelekea Pabaya. Kama huelewi please muache Mpina atetee watanzania.
@innocentoisso6869
@innocentoisso6869 День назад
Mpina huna jipya Tulia Akason Yuko kazini na sio wa kinyonge Yuko imara
@alimuse6980
@alimuse6980 2 дня назад
Wewe mpina ulipewa kwa bahati uwaziri ukashindwa na mbunge ndio mwisho Nenda ukaswange ng'ombe
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
@elimu6980 - UELEO wako ni mudogo sana. Mpina hakuleta hii kesi kutetea familia yake. Ni mbunge anatetea watanzania wanyonge. Je wewe ni mmoja wa wapigaji wa sukari?
@alimuse6980
@alimuse6980 День назад
@@Mima-cl2im wewe mbuzi wakati anawazurum nyavu za kuvulia na kuzichoma hawa kuwa watu mskini Shauri lenu la sukari ni lakipumbavu kupoteza muda
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
@@alimuse6980 wewe nguruwe hujielewi. Huna dini kutetea wizi.
@NDEWARA
@NDEWARA День назад
Jinga sana hili
@allymusira2153
@allymusira2153 2 дня назад
Upuuzi mtupu
Далее
How the Brain Learns to Read - Prof. Stanislas Dehaene
33:30
NCT DOJAEJUNG 엔시티 도재정 'Perfume' MV
3:07
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16