Beka uko vizuri. Shukrani Mr. Blue, the legend in music for supporting your young bro!!!! Tanua mzee baba Beka washaelewa muda tu wenye roho za kwanini!!
Beka wangu nakupedanga bure 😍 I hope ukuje New York au somewhere karibu na New York kama ukuji am coming to Tz just to see you 😍 happier comes first am next 😂😂😂😂
Najua Mapenzi ni ya wawili,watatu ni uongo kdanganyana,sungura n fisi hawapatani,...siunajua vile nnakpenda ww hatamacho sitazami mpembeni moyo wangu umeuchora tatoo ww niamini tu tunde dunia Mamangu mzazi beka amemfunika Mr blue sana
Good music is about the beats n most importantly the voice. Beka nailed it, the poetry, rhythm n sound is excellent, imma keep watching n watchiiiiiing
yaaan ww ni zaid vile wanavyo kuchukulia bro kama nilivyosikia happy akisema mtu unae jielewa na mtu unaejua nn unafanya katka kaz zako nakukubali saaana
I love this guy pls make a song wizkid or davido so that your music can sell well in Nigerian because it is just few of us that know u here an u are deam good
Hii ngoma naipenda sana, japo video imepoa lakini najua cku utafnya maajabu utaumiza kichwa zaidi kwenye script, yaani kuna mda huwa napenda hata ningewepo kwenye kuchangia mawazo ya ubunifu wa script, but ilove this audio and video somehow. Big up becka flavor.
Kama muziki ungekuwa ni sauti tamu tu, basi kiba na mond unawakilisha. Ila kwasababu muziki una mpangilio na mitindo tofauti hapo ndo kaka zako wanapokukanyaga