Wuwuwu Yeyeye Uuuuuh uuuuuh Baby boo Umenichangacha changanya mpaka umenimaliza eh Baby eeeh umenichangacha changanya wengine naona Giza eh My baby boo Umenichangacha changanya mpaka umenimaliza eh Baby boo umenichangacha changanya wengine naona Giza eeeh Naona Giza×4 Ukinipa Sana nasemanga dozee Peremende yako tamu kote kote Tupendane kifo kitukute wote(mi nawe) Unanifanya mpaka nisikuchoke Kwani dini gani sema niokoke Unataka wapi sema twende wote Mwenzako Niko radhi Chochote mimi nitakupa wee Ili mapaparazi wasijaribu kukugusa eeh Kupanda ndio kazi kushuka rahisi kabisa wee Nifanye kijakazi kwa penzi lako limefika weeh Nangangana na Mimi Kama nguo fiti mwilini Nitameza quinini ukiniacha mi safarini weeh Rangi yako inamulika mulika Kwenye Giza mwanga kimuli muli Uzuri wako wengi unawadatisha Wanagonga mwamba hawafungi goli Najiona Mimi nikikutazama usoni Sasa kioo Cha Nini, unatosha kua ndani Wengine napiga chini namba yako moja amani Petee vaa kidoleni, ndoa tufunge mwakani Mwenzako Niko radhi Chochote mimi nitakupa wee Ili mapaparazi wasijaribu kukugusa eeh Kupanda ndio kazi kushuka rahisi kabisa wee Nifanye kijakazi kwa penzi lako limefika weeh Nangangana na Mimi Kama nguo fiti mwilini Nitameza quinini ukiniacha mi safarini weeh Japo kuja tuishi kwangu wote Japo urafiki sioni kisa Cha makelele Tukikosa kuku tutakula matembele Mboga za majani zinapatikana pia uku
Imagine napadwa na feelings nikisikia hii wimbo nikiwa na bae haraka Sana I repeat this song every time,Kali Sana ,ati wasijaribu kukugusa ye,my baby puu I like