Beka unaweza tena sana kila cku unazid kutuonyesha umahir wako watu wana chuki mioyon mwao badala wamsupport huyu kijana wanahangaika kusupport watu waliofika mbali ambao tayar wanajiweza tumsupport huyu kijana afike mbali zaid jmn gonga👍kama unamkubali beka🔥🔥🔥
mashallah kichupa noma sana Allah akubariki uendelee kuwa perfect kila Leo nakupendaga sana ,hii nyimbo siichoki kuisikiliza km umekubali gonga like twende sawa
Nina uhakika huyu kijana akipata management kubwa ikainvest pesa ya kutosha huyu kijana atafika mbali.... Yuko talented sana na anajua muziki..... Kuanzia melody...Sauti...utunzi...
I pray for you all Bela, aslay, mbosooo, enock but sitamani kuiona yamotoooo saiziii ndo kwenyeweee hukuuu one lovee mwambie enock abadilii style again hadii jina abadiliiii no aibuuu hapooo bekaaa nashauriii wekaaa two month ndo utoe kichupaaa kingineee love you