Yaaaan wew best naso ujue mim mziki huuu nimeanzia kwa kina tuma ringa kifupi tu jamaaaaa kwamim we ndo msaniii wangu nae kubali kinomaaaa milele,,,,,ila saiv nipo kwa mondi
Uko sawasawa kwelikweli hata mimi niliona matopoolo walituma upumbavu wao kuwa naso umeitwa ahela nilitumia kiukweli lakini mpaka sasa ninafulaha sana niko nawewe kaka
Best nasso wewe ni mtu wa nyumbn lkn acha hizo issue!! Back to school ya harmonize,ni bora kuliko hilo li albamu lako la Gift of life!! Umeznguw sana wewe jamaa!