Тёмный
No video :(

TWENTY PERCENT AFUNGUKA KUHUSU HARMONIZE, ASIMULIA UTAPELI ANAOFANYIWA PIA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Msanii wa muziki nchini, 20 Percent amezungumza kwa mara ya kwanza na vyombo vya habari kuhusu kinachoendelea kati yake na Harmonize.

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 года назад
Upo kaka mafute Yule Alie kuandikiga ile mama nehema anajua Sana Kama ni ww toa tena kazi nzur Kama ile nakubari Sana bg up sana
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 года назад
20 percent kutajwa na Harmonize imekupa mileage mpka umiita wandishi wa habari. Kubali ulipotea kwenye game, Dogo kukutaja tu, media zikaanza kukutafuta.
@lawjoseph6590
@lawjoseph6590 2 года назад
20 wa Leo CO wa mwaka Jana SASA yuko vizry👍
@antonychristian1369
@antonychristian1369 2 года назад
20 unaoongea vitu vya maana sana ila n mbinafsi na Ni waz unachuki na hyo haitokueaidia,,, wimbo wako kurudiwa Kama inafaida kubali ikusaidie,,,, usione wivu kis kunamtu anafaidika Zaid, iko ivy kwasababu Ni muda wake nawe ulikuw na wako,,, Haki yak ipo na unaruhusiwa kubargain,, tumia fursa acha chuki na wivu wa maendeleo Unalinga Sana wakat umedum kwenye game kwa muda mfupi Sana,,, by the way ww n msanii mzur sana kwamaana ya kuandka na kuimba
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 года назад
The legendary coming back again
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 2 года назад
Kwa akili hiyo....huwez toka kimziki maana ni mbinafsi sana.....pia hauko juu kiivo, harmo akupige chini tu maana unaanza nyodo hata kolabo yenyewe bado
@fredymbawala6291
@fredymbawala6291 2 года назад
Brother uko vzr coz umeongea maneno kuntu ni kitu ambacho umejiprotect yourself kimziki😃😃😁🤩
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 2 года назад
Ganja nomaa
@mrrajjy
@mrrajjy 2 года назад
Thanks #rahaaaaa
@nasriabdi9046
@nasriabdi9046 2 года назад
wewe ulikua wapi hadi watu wanafanya hivyo
@giftngailo5442
@giftngailo5442 2 года назад
Point
@edwindibondo7839
@edwindibondo7839 2 года назад
Hata ww milardayyo umeiba kazi ya harmonize ile kwa ngwaru remix ya magufulu kataaa nikuumbue broo
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 года назад
Jamaaaa kawa kama moja,,, kaka kula kula vizuri
@automotivetz1275
@automotivetz1275 2 года назад
Saida caroli msimsemee..alishauzaga hati miliki ya nyimbo zake kwa aliyekuw meneja wake,huko nyuma chambua km karanga ilitumikaga kwenye movie ya marekani na meneja huyo alilipwa milion 500 kama fidia and saida caroli got nothing.
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 2 года назад
Uko sawa 20%
@jadedynast6280
@jadedynast6280 2 года назад
Harmonise tafuta kufanya kazi na wasanii wa international achana na Hawa wasanii wabongo watakuharibia Wana mawazo potofu wachana na izi ndezii zilizo zeekaaa
@ezratandila5831
@ezratandila5831 2 года назад
Bangi mbaya sana aisee
@omary.mpemba730
@omary.mpemba730 2 года назад
Kwer kaka
@barakamhokole993
@barakamhokole993 2 года назад
Hapa hakuna ngoma hapa jamaa kAwa mkal bila sababu
@nellyflo9736
@nellyflo9736 2 года назад
🙆Huyu 20%Mumoja namjua,🤦🏻Gai lord
@familylove5417
@familylove5417 2 года назад
Dah mungu walani wauza unga woteeeeeee ameen
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 года назад
Unahisi ametumia madawa huyu?
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 года назад
Kipi cha ajabu alicho ongea hapo, mpaka umhusishe na unga?
@lovenesyngulo976
@lovenesyngulo976 2 года назад
Uliwahi kumuuziya huwo unga
@shijamarco7195
@shijamarco7195 2 года назад
Uko poa
@udakutv6973
@udakutv6973 2 года назад
Sakata la harmonize na diamond limefika pabaya ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-dEJ1zjYhX0c.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-dEJ1zjYhX0c.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-dEJ1zjYhX0c.html
@jadedynast6280
@jadedynast6280 2 года назад
Nyieee jmn harmonise awachane na huyu jamaaa, awachane na Hawa wakongwe fanya mbambo yakoo... Tafuta makolabo na watu wa international acha kabisa na Hawa watu wa bongo babaaa, uyu karogwa tena kungiwa kwenye chupa stupi
@rajabuhondo4973
@rajabuhondo4973 2 года назад
Duwa kk jasho lako kwa nn alee yeye Achee Sasa aipingwi kk
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 2 года назад
Hebu kavutee zako ganjaaa mziki haujuii wewe
@neemayusuphu1591
@neemayusuphu1591 2 года назад
Harmonize tapeli
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 2 года назад
YAANI ATA WEWE WAULAAAA?
@mateka123
@mateka123 2 года назад
mbona unekonda hivyo
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 2 года назад
Brother acha maneno fanya kazi
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 года назад
Kweli mjinga mbabe bogaz
@huseinbakari194
@huseinbakari194 2 года назад
Mgosi kabisa
@jacksonsaileni1219
@jacksonsaileni1219 2 года назад
Nakubali sana 20%
@onesmouswege2531
@onesmouswege2531 2 года назад
Usisikiliz maneno fanya kz
@thegoldenpromoter3089
@thegoldenpromoter3089 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x7ZOFdpCtEM.html Sikiliza 👆👆 gisi Diamond amemujibu twenti😀😀😀
@officialsoncoboy
@officialsoncoboy 2 года назад
Falaa ww nan Akupe kolab ww
@jumajosephlike9959
@jumajosephlike9959 2 года назад
Hayo unaongea wewe haombi colb Bali anaombwa
Далее
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 4,7 млн