Тёмный

SABAHA MUCHACHU AKIIMBA KASWIDA KWA SAUTI YA HUZUNI NAHAAWAND "KIWILIWILI CHA MPENZI" 

BABDEO MILADU
Подписаться 247 тыс.
Просмотров 119 тыс.
50% 1

Hafla ya Baitul Halal inayoandaliwa na kundi la Kaswida Hurairah Classic inayosimamiwa na Said Mussa (Hurairah) hufanyika kila mwaka mara mbili au tatu. Hii imefanyika katika usiku wa Eid pili tarehe 23-04-2023 katika Hotel ya Serena Dar Es salaam.
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
RU-vid: / @babdeomiladu

Развлечения

Опубликовано:

 

23 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 259   
@fardhanamahmoud7313
@fardhanamahmoud7313 Год назад
HII NI TAARABU JAMANI MUOGOPENI MOLA WENU SUBHUHANAALLAH
@swalehabrar3766
@swalehabrar3766 10 месяцев назад
😂😂😂😂 kama ni taarabu basi icheze hall ukiowa 😂😂😂😂
@khamisjina8833
@khamisjina8833 Год назад
Tukifika kwa Allah tuandae jawabu kutia ngoma kwenye dini iliyo kamilika. Yarabii tusamehe sisi n wazazi wetu katika kila uzushi na utuomgoe sisi na wenzetu na vizazi vyetu katika bidaa mbali mbali. Aaamin
@niwemahassan
@niwemahassan Год назад
Amin
@FatumaninjamaShaban
@FatumaninjamaShaban 11 месяцев назад
mbaya zaid mwnamke anaimba mbele ya wanaume jamani allah atuongoze inshallah.
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 9 месяцев назад
Aamiin
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq Год назад
Subhannallah Ati wapenzi wa mtume ...munamkosea adabu Mtume nyinyi ...mtume hausiki na hizi kwaya ...hakuna tofauti na waimba kwaya ..kuweni na Adabu na Mtume ...yaani hiii akili iliokuwa salama haikubali hata siku mmoja kama hii ni Dini kabla hatujaenda kwenye Qur an na sunnah Mutawapotezea mda hao hao سفهاء العقل
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Khatari sana Wallah
@fatmasaleh2707
@fatmasaleh2707 Год назад
Mtihani mtupu subhanallah
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Hawa hawajui la kufanya wamejieibisha sana
@hdmrope8438
@hdmrope8438 Год назад
Kweli kabisa
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 2 месяца назад
watu wa bidaa wakiambiwa wanakuwa wakali hata mimi zamani nilikiwa kama hao baada yakujuwa ukweli nikawakimbia waimba tayabu
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Год назад
Allha atuongoze ktk njia iliyonyooka inshaalha na atukinge na uzushi kwa uwezo wake
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Amiin
@aliabdulwahab509
@aliabdulwahab509 Год назад
Ameen ya Allah
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Год назад
Amen inshallah
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Hii channel twaisifia Ramadhan nzima kwa madarsa na mafunzo mazuri kwa hili leo hatukubaliani nalo abadan katan.
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Год назад
Kweli kabisa ni msiba
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 Год назад
Njaa inawafanya watu waiwache hakki
@oii6zlaboshelby17
@oii6zlaboshelby17 Год назад
Subhanallah , inna lillah wainna ilayhi rajiun
@adamapollo9859
@adamapollo9859 Год назад
Mbona ni taarabu hii
@laila9458
@laila9458 Год назад
Hii ni miziki sio qaswaida kabisa taarabu kabisa eeee mola tunusur waumin be careful...
@thuwaybah5679
@thuwaybah5679 Год назад
Allah atujaalie mwisho mwema
@salummzee9739
@salummzee9739 Год назад
Dalili za kiama hizi Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho watu watipenda kuliko dunia,wajinga ndio wataonekana wajua muda umefika,Ametukosea Waislamu hapa Ila Allah ndie ghafuru,halafu watu wanafurahia na kutunza hii
@majutoomari7445
@majutoomari7445 Год назад
Subhanalah lijitu limezeeka mishavu imening'inia lakini bado linajitafutia moto tubieni kwa Allah munayo yafanya mutayakuta
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Год назад
We inaonesha unachuki binafsi na Sabaha hata dini yako huijui yani mtu kumsifu mtume wake ndio kujitafutia moto hao masheikh wanakupandikizeni chuki ndio wana lakujibu mbele ya Allah
@sabihaismail8462
@sabihaismail8462 Год назад
Sabah mashallah umependeza sanaa umejistiri vizuri sanaaaa
@ukhtyaminah1183
@ukhtyaminah1183 Год назад
Laanatulah hii sio kasida ni taarabu na mtaenda kujibu kwa Allah mnatuharibia dini yetu na hapo waliokuwepo wote hamna mwenye imani ya kweli mmechanganyika waume na wanawake inailaih wainailaih rajoun
@babuantar8215
@babuantar8215 Год назад
Hamna Adabu na uislam na hakuna hio kitu msizalilime Mtume wetu na dini ...mtajibu kwa Allah
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Huu ni uzandik
@swalehabrar3766
@swalehabrar3766 10 месяцев назад
😂😂😂😂 wewe unayo adabu???😂😂😂
@mwanakombomwandekwa1259
@mwanakombomwandekwa1259 Год назад
Inna Lillahi waina illaihi rajuun. Mungu Atuongoze kwenye njia iliyonyooka in ShaaAllah. Kwani mbona mama wetu usiachane na haya mambo na urudi kwa Allah kwani ulikotoka ni mbali wendako kama si sasa ni sasa hivi. Bado kwenye jukwaa mpaka lini Yarrabb.
@mohamedmahmudali9346
@mohamedmahmudali9346 Год назад
Sijaona tofauti naona ni vilevile zaidi nilichoona Mimi ,jinsi alivojistiri na vazi la heshima 👍
@FatmaSaid-sl9rk
@FatmaSaid-sl9rk 16 дней назад
Hakika
@amatillah9700
@amatillah9700 6 месяцев назад
Mamangu mpenzi ni wakti sasa utumie sauti yako nzuri masha Allah katika kusoma kitabu cha Allah, dunia ni mapito jana sio leo umri unakatika Subhana Allah
@bintmuhammad4913
@bintmuhammad4913 Год назад
Akaah! Lahawla wala quwata illa billah na masheikh wapo hapo! Khatariii hii sasa 😢😢
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
Hii channel kumbe ya kidhwalimu subuhanna llah tumche Allah popote tunapoishi hatujui saa yetu ya kuondoka kwa dunia
@rahimasaid6721
@rahimasaid6721 Год назад
Milango ya toba iko wazi Basi tena maa tafuta msala ulie na Allah pole sana
@ramxomtum2babu414
@ramxomtum2babu414 Год назад
Inna lillah wainna ilaih rajioon
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Sabah mzur mashallah sema achana na nyimbo umri umeshaenda
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 Год назад
Hii ni taraabu wazi unatwambia kasida
@mirrow1983
@mirrow1983 Год назад
Taranasheed..subhanallah!
@ahmedmbarouk3463
@ahmedmbarouk3463 Год назад
Alhad nae ndani ushekhe tupa kule subhaana llah
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Subuhana Allah dunia hii
@jumabalozi
@jumabalozi 2 месяца назад
Nilikua najiuliza huyu c alhad
@user-xl7tb9xr9t
@user-xl7tb9xr9t Год назад
Mashaallah still up to now nice ❤ voice
@amatillah9700
@amatillah9700 6 месяцев назад
Subhana Allah Allah tuingoze yarab umatu Mohd tunaelekea wapi? Atakuja kuwauliza kama yeye aliwafundisha haya muyafanye kwa jina lake 😢
@oldnavy7828
@oldnavy7828 Год назад
Hebu tuweni serious na dini ya mungu😢😢
@zainabomar5144
@zainabomar5144 Год назад
Jamani hi ni taarabuu,mbona tunakosea sana,dini hii sio ya mtu jaman,Babu deo usiweke hivi vitu utapata dhambi,tuwe makin sana Kuna akhera jaman,tusijal sana makaratasi, Allah atusamehe na atuongoze inshaallah
@babuantar8215
@babuantar8215 Год назад
Tubieni kwa Allah ....
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 месяца назад
Masha Allah 💖💖💖
@allymdami3908
@allymdami3908 Год назад
Babdeo miladu #Nahwandi sio sauti ya huzuni, njoo darasan tafadhali tukufunze...
@AbalMuhsin-vi9wk
@AbalMuhsin-vi9wk Год назад
Labda angesema Hijazi kdg
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 месяцев назад
Sauti ambazo zikisukwa vizuri zinaweza kuwa za huzuni na zikiimbwa kwa hisia unaweza hatakulia ni pampja na nahwandi, hijazi bayati, na hata ajemi. Ingawa kikanuni inaweza ikawa haipo hivyo lakini mtunzi akiwa mahiri anaweza kufanya hatari mpaka watu wakalia
@athmanbaya2053
@athmanbaya2053 6 месяцев назад
MashaaAllah
@nasrasuleyman3931
@nasrasuleyman3931 2 месяца назад
mtihani wallah Allah atuongoe mtihn
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 2 месяца назад
Innalillah wainnailah Rajiuun
@user-tl7ph1is4x
@user-tl7ph1is4x Год назад
Wallah hapo kuna mabeby ilee mbaya
@saidhamad9723
@saidhamad9723 Год назад
Sasa mmevuka mipaka naona 😔😔
@omarjuma2521
@omarjuma2521 9 месяцев назад
innalilahi wainna ilayhi rajoun😢
@JuwairiyaHassanKhamis
@JuwairiyaHassanKhamis Год назад
Ndugu mtangazaji umetukosea sana sisi waislamu
@ashiadauda8289
@ashiadauda8289 Год назад
Sana
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 Год назад
Inna lillahy wainna ilayhi rajioun. Hii taarab mnamtaja Mtume jamani Waislaam tunafurutu sana Sabah muchacho una dhima kwa Allah
@halimakim9177
@halimakim9177 Год назад
Maashaallah mama yetu kipenzi
@almaalmo7616
@almaalmo7616 Год назад
Innaalillaahi wainnaailaihi raajiuun
@khamissaleh-ef6dd
@khamissaleh-ef6dd Год назад
hamna kasida humu
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Год назад
Innalilah wainnailah rajighun
@AminaAmina-up8ce
@AminaAmina-up8ce Год назад
Subhanallah 😢
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Год назад
Hii dunia bd siku ya kugezwa juuu chini chini juu
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Год назад
Acheni kumchezea Allah ipo sikumtafika kwake nyy.
@assoistiquamat2397
@assoistiquamat2397 Год назад
Huo Huraira Saidi Alipe Pesa200$Alizopewq Burundi Kama Amana Leo Miaka3 Nasim Kuwablok WalomuhifadhixNaakifaxMaytixYake Iziwiliye Hadi200$Zilipwe Nafamiliyake HurairaxNidhwalim Kabisa Mungu Anamuona Mwambiyeni Kesi Ilienda Muviongozi Mufamiliya Ila Hakulipa Pesa Hiyo Ajuwe Kuwa Madhwalim Hawatonusurika Siku Yaqiyama Alipe200$Maushahidi Yapo mpakasautu Zake Alidanganya Kuwa Mzazi Wake Anaumwa Kachanganikiwa iliaazimwe Atarudisha Tokasikuhizo Akawablok walomuazima
@hussainmasoudsubhannallah3786
Mmnh watu wanapigana shoga ila kwenye taarabu ndio wamejaa na
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Год назад
Ampendaye Mtume humfuata Kwa kauli na matendo.... Hapo hapana.....Tarabu live..... Wanawake walivyovaa...
@zainabusadi6469
@zainabusadi6469 Год назад
Subhana llaah huu ni mtihani 😢😢
@abdulkadirmayange
@abdulkadirmayange Год назад
Muogopeni Allah sio wa kumchezea taarabu mnaita qaswida huyo mama kwanza kope katia za bandia Innalillah
@ahmedelalawy639
@ahmedelalawy639 Год назад
Qaswida na tarabu baba mmoja ila mama mbali mbali
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Babdeo leo umetukoroga sana hujatutendea haki kabisa maana hata kama maneno ni ya mtume lakini si kwa miziki hii na yule shekh aliyeuzuliwa hapo dar namuona hapa kavaa kapero yeye na wenzake
@safiasaleh7742
@safiasaleh7742 Год назад
Ametoka kwenye maasia ya nyimbo ameingia kwenye bidaa ya kasida BIDAA ANAIPENDA BILISI KULIKO MAASIA KWANI BIDAA NI VIGUMU KUACHA KULINGANISHA NA MAASIYAH
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
MakubwA iyo tarab na sio kaswidal
@user-ft9xf3fe5v
@user-ft9xf3fe5v 2 месяца назад
Huyu bibi hajielewi wallah huu mziki wanasema wafuasi wa mtume wetu kakataza vinanda hatari wallah
@princeshaulath268
@princeshaulath268 Год назад
MashaAllah MashaAllah
@abilahimohamed5869
@abilahimohamed5869 Год назад
Duh namuona ALHADI kavaa kapelo
@rahimajuma4633
@rahimajuma4633 Год назад
Sabab yupo katika mziki
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Год назад
Mm nimemtizama mara 3 mpaka 4😅 nikasema yy au macho yangu subhanaallah
@nailaty
@nailaty Год назад
Alhadi anaendaga hata kwenye matamasha ya taarabu itakuwa hiyo
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Год назад
Sasa kaenda kwenye taarb wategemea avaae vp
@feisalboy6702
@feisalboy6702 2 месяца назад
Mambo ya kibaradhuli baradhuli yy ndio anayapenda
@bintmuhammad4913
@bintmuhammad4913 Год назад
Haraam Haraam... Muogopeni Allah na adhabu zake ni nini hiki jamaniii. Innalillah wainna ilayhi raajiun hata sijaskiza yote naskia manung'uniko na vinanda nimestopisha
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 Год назад
Sabah rudi kwa mola wako. Si pahala pa kumtaja Rasuli hapo. Inna lillahy wainna ilayhi rajioun
@ahyad30
@ahyad30 Год назад
Hawa si miongoni mwa twariqa al 3alawaiya wala tariqa aina yoyote ya maulid ..Allah atuongoze قوله تعالى: {وَلَنْ تَرْضَى عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَى حَتَّى تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ)
@hamashmaundu7552
@hamashmaundu7552 Год назад
❤❤❤❤❤
@hamashmaundu7552
@hamashmaundu7552 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 Год назад
Innalih waina ilayhy rajeoun, msiba mkubwa huku tulipokasirikiwa tukaletwa kutubia
@khadijamgambo6874
@khadijamgambo6874 Год назад
lkn kawaambia nani kua Qasida zinavinanda? Msanii wa nandi aliimba nyimbo mkaita kasida... Mm Naskia Raha tu apa naskliza Mziki mazur umetulia.. Wamejistri, wametulia na wamependeza, wanacheza kwa ustarab Ma Shaa Allah, style ya Zanzibar twaarabu wallah...! Msihukumu watu.
@alisaid7299
@alisaid7299 Год назад
PUMBAAAAVU
@SabraMapande-ul1mj
@SabraMapande-ul1mj 2 месяца назад
Sasa hii qaswida ya wapi na
@jamilamasoud8544
@jamilamasoud8544 Месяц назад
Muogopeni Mungu
@AfuwaNassor
@AfuwaNassor 2 месяца назад
Dunia kwishaaaaa😢
@stoperclassick6996
@stoperclassick6996 Год назад
baitul Halali hamna kaz za kufanya dunia inakuhadaeni mtaenda kujibu hili
@abubakarkhamis3884
@abubakarkhamis3884 5 месяцев назад
2024 ❤ on top bado
@Asha-jt8zf
@Asha-jt8zf Год назад
Allah akuongoe akuoneshe njia ya haqqi😢
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 Год назад
Ameen
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Huyu mama si kahijji vipi tena innalilah wainnailah Rajaun
@mrfauzy8226
@mrfauzy8226 Год назад
Hana tofauti mzee yussuf....njaa mbaya...allah atunusuru
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 Год назад
Kuna walokwenda hajj na walioenda makka😝
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Watu wazima na mijikanzu yao wanaenda kutunza ...Duh
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Muandae majibu kwa Allah
@zabibuwazir2377
@zabibuwazir2377 Год назад
Hii tarab vilevile
@ashasalmin1625
@ashasalmin1625 9 месяцев назад
Ama kweli upo uislaam na muislamu, katika Uislaam haikubaliki na haswaaa wanaume kuchanganyika na wanawake uzushii mkubwa, mnawaiga makafiri kujifananisha nao
@mwanajumawachu7543
@mwanajumawachu7543 Год назад
Waislamu tuacheni mizaha ,hii Sio qaswida Bali Ni Bango tarab,sijaipenda mm ,hizi ndio gani
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
haya,sio mafunzo ya uislam
@musambogamboga4259
@musambogamboga4259 Год назад
Nai nai babdeo kk mbona umeanza kishari hivo
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Kweli shekhe nyundo alisema kaswida ni ndugu yake taarabu
@arafajuma9677
@arafajuma9677 Год назад
Hahahaha nikweli wamjomba na shangazi
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Taarab ni ndugu ya wakosa adabu hii ni kasida ya wasio na dini
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Huyu bibi ni wakukaa na kushona misala akitoa sadaka tena basi kuimba
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 Год назад
Wallah vile
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Год назад
Mama bado hujatubia
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Год назад
Mbona mnacheza na dini jamani na huo mkusanyiko waume kwa wanawake
@rahmaidd1246
@rahmaidd1246 Год назад
We umetubu unafanya nini hapa unadhan atauona huu ujumbe wako
@thuwaibathaniawesu1980
@thuwaibathaniawesu1980 Год назад
Adabu hamna
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Hii kasiida gani hii mnakufuru nyie mama mzima umesimama waimba eti kasiida
@Ramadhwan7
@Ramadhwan7 Год назад
Msiba
@mwanamwinyi3372
@mwanamwinyi3372 5 месяцев назад
Tena ni msiba mkubwa dini tunaifanyia masikhara 😢 turudini kwa Mola wetu na tulete istighfar kwa wingi kwani Allah ni ghafurun rahim 😢
@saadaliy3979
@saadaliy3979 Год назад
Babdeo ondosha hio video na utake radh watu ila hio sioqasda
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x Год назад
Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah mumezidi tena Allah atujaalie mwisho mema
@thimaathman7002
@thimaathman7002 Год назад
Wa tz wana vituko lakini
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 Год назад
Mcheezeni Mungu tu nyie Tarab na qaswida wapi na wapi
@AminaAdam-iq8mz
@AminaAdam-iq8mz 2 месяца назад
Dunia himekwisha hiyo Nikwaya
@mwinyiabdallah5180
@mwinyiabdallah5180 3 месяца назад
Hii ni Taarabu na sio qaswida .. au hamjui kutofautisha kati ya qaswida na Taarabu Huko tunapoenda ni kubaya zaidi
@rahmamohammed7707
@rahmamohammed7707 Год назад
😮
@jumangosho7569
@jumangosho7569 Год назад
Mwenye Lyric ya hii naomba anisaidie
@KautharMohamed-kj5zc
@KautharMohamed-kj5zc Год назад
Ndy kasida hiyo Hanna adabu
@binsuyuutwiiytv.4701
@binsuyuutwiiytv.4701 Год назад
Doooh bhhaaaaaas vittaaah kuubwaaa babdeoo ..na ...kamari mna balaa nyie watuu
@mohdmohd2550
@mohdmohd2550 Год назад
Tarab na wenziwe Talbeesul haqq bil baatil
@abuuqamar58
@abuuqamar58 2 месяца назад
Tunafanya mambo halafu tunasingizia uislamu
@choggysly3541
@choggysly3541 Год назад
Hivi hii babdeo si chanel ya mambo ya dini au channel mchanganyiko?maana taarabu tena?
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Год назад
Vipenzi vya ibilisi wajiita vpenz vya mtume. Mcheni mola wenu enyi masufi
@shamsaelbeity8250
@shamsaelbeity8250 Год назад
Achaeni upumbv hiyo si tarabu tu
@nazirymahmoudnaziry6510
@nazirymahmoudnaziry6510 Год назад
Naaam ahluu nnabiiy
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Год назад
Hii ni ttarabu muogopeni Alla
@user-hm3hd1ci3i
@user-hm3hd1ci3i Год назад
swabaha akijitanda anapendeza
@ummtuma8137
@ummtuma8137 Год назад
Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah
@rashidaley7581
@rashidaley7581 17 дней назад
dunia kwishaaaa jamani waislamu hii nikaswida gani yenye taarab live ndani yake
@nouhkhatib9173
@nouhkhatib9173 Год назад
Musiujuishe uislam katk ngoma zen
@huseinally791
@huseinally791 Год назад
Hiyo ndio qaswida?
Далее
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
QASWIDA : MARYAM HAMDUN (MRIDHI HATOKURIDHI)
12:23
Просмотров 3,2 тыс.
Uchambuzi kuhusu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
23:40