Тёмный
No video :(

BIDEN ahutubia taifa na kulaani jaribio la kuuawa TRUMP 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@denisrenatus4935
@denisrenatus4935 Месяц назад
Sns hamlali jaman muda wote mnapiga kaz tu
@BakarAlshiraziy
@BakarAlshiraziy Месяц назад
Wana GPS naomba unisaidie hili kwa nini ilipotokea hili tukio hakuna hata kiongozi mmoja wa dunia ambae katumia meno kua uliofanyika ni UGAIDI na wamesema ni vurugu za kisiasa tu hii inakuwaje ????
@sajasiver
@sajasiver Месяц назад
Yangu macho
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Месяц назад
Kama walimshitaki kwa kesi za kusingiziwa za wanawake wanaojiuza , basi nae apambanie hapo Biden atoke na chama lake la vita
@consult_alex9411
@consult_alex9411 Месяц назад
Duuh hadi milango ya white house inalia aisee 2:23 , kumbe sio wangu tuu..😅😅😅
@aikt.
@aikt. Месяц назад
😀😀
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Месяц назад
Aseee nimechekaaa😂😂😂
@henry11781
@henry11781 Месяц назад
😂😂
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Huo ndio mpasuko utakaotesa marekani kwa zaidi muongo mmoja
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 Месяц назад
Safi sana
@AnangisyeMbughi-xw4ky
@AnangisyeMbughi-xw4ky Месяц назад
Biden asijisafishe juu ya hili,Mimi nafikiria ndiye aliyepanga kumuua mpinzani wake,kawaida siasa ni mchezo mchafu,jaribio limefeli anajisafisha,upuuzi mtupu.
@johnmike6059
@johnmike6059 Месяц назад
Kweli kabisa wapuuz sana awa
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 Месяц назад
niiiiiiyeye
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 Месяц назад
Hapo umeipatia
@OlgaChirezi-qt1pg
@OlgaChirezi-qt1pg Месяц назад
Wana juwa kila kitu hao mwaka huuu Baden atapigwachini
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
😂 vurugu za kisiasa ,,ila ,awasemi ,ni ugaidi wazungu wajanja
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Месяц назад
Gaidi wa kimarekani alifanya jaribio kutaka kumuuwaa Trump
@johnmike6059
@johnmike6059 Месяц назад
Mpuuzi mmoja uyu ndo waliopanga njama kameona akatoboi kwa trump vinataka kumuua na trump atawachana tu we subili akae sawa
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Месяц назад
Shingo haipindi ata chini, awa wenzetu wa tofauti sana😅
@user-vh3hj8mt6l
@user-vh3hj8mt6l Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂 csemi kitu mm
@aminaali792
@aminaali792 Месяц назад
Wanatupotezea time waache uongo tunawajuwa ni wao wao wanataka kumpoteza Biden 🙄but Allah has more plans 🤲🏼🤦🏽‍♀️
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Месяц назад
Wanajuwana
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Месяц назад
team TRUMP tijuwane hapa 🤸🤸🤸❤️❤️❤️❤️❤️
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Месяц назад
Mbona hapa haja kosea kuongea 😂😂😂😂au anajizima data
@hemedisufiani3219
@hemedisufiani3219 Месяц назад
Huuuu ndo mwisho wako kaka shetani umeeka 😅😅😅😅 una chako umeuwa watu wengi na bado kaka malipo ni apa apa duniani japokua unasema amna mungu ila tunasubili mwisho wenu 😂😂😂😂😂
@ThomasMgwabati-cj1zh
@ThomasMgwabati-cj1zh Месяц назад
Kama wenyewe kwa wenyewe mnauwana mtaweza kusimsmia amani ya dunia nyie nikwazo kwa dunia likikuwa suala la muda tu kujionyesha kuwa nyie nimashetani mwacheni mwamba putini awe kilanja waamani duniani
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if Месяц назад
Mungu fundi nyie si waalim wademokras
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Месяц назад
Biden anapaswa kujiondoa kwa hiari kwani ameshapoteza uchaguzi. Kwa bahati mbaya hadi sasa hajatoa dalili yoyote kwamba atafikiria kujiuzulu 😂
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Месяц назад
Kenge tu huyu Biden
@japhetmasatu6149
@japhetmasatu6149 Месяц назад
Kafanya nn?
@besteva499
@besteva499 Месяц назад
Kumbe kina hakirii 😂😂😂ira kinajifanya chizi furani
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Месяц назад
😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Месяц назад
Amna kitu ni mpango yake wewe chako kwasababu unajua kabisa atakupita
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Nyie acheni kusema kwamba Biden anahusika, mnadhani huko ni kama Afrika? Wahusika wa tukio waliuawa pale pale, Amerika ukikosea hata kwa wizi wa kukwepa kodi unaenda mahakamani hata kama ni Rais.
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt Месяц назад
Bob michezo michafu kwenye siasa sio Africa tuu na ndomana huwa wanasingiziana sana makesi ya kipuuzi ili mmoja apoteze ushawishi!hiyo ndo maana ya siasa ni mchezo mchafu mtu yupo tayari mpaka kukutoa roho kwa sababu ya nyadhfa!hivyo kaa ukijua Marekani sio mbinguni mjomba!!
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if Месяц назад
muongo unajitia mjuaji
Далее
Big Baby Tape - Turbo (Majestic)
03:03
Просмотров 236 тыс.
Master Polite English Speaking
16:17
Просмотров 3,9 тыс.