Тёмный

BONDIA MWAKINYO KUPANDA ULINGONI HIVI KARIBUNI? MWENYEWE ASEMA - "WAKATI ni SASA".. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

BONDIA MWAKINYO KUPANDA ULINGONI HIVI KARIBUNI? MWENYEWE ASEMA - "WAKATI ni SASA"..
BONDIA maarufu Bongo Hassan Mwakinyo amezungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza juu ya mpango wake wa kurudi ulingoni....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@bekajoe2774
@bekajoe2774 Год назад
Tunakupenda Ssssana mwakinyo ila tu unatuangusha nakuwapa watu misemo inshaaallah mungu akushikie
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Год назад
Nampenda sana pendo njau more love sana dada akee
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
Tunakupenda kaka na tunaimani na ww
@hamzashock-wo6hu
@hamzashock-wo6hu Год назад
Salute champez mwakinyo wewe ndio bondia unaeiwakilisha vyema Tanzania kwenye nchi za wa2 twakukubali miaka mia yani wewe kama ni mwanamuziki bac ni daimond by gazeti or kiroho safi
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Unamkubali sio twamkubali na Sasa ivi kubebana hakuna si umeona kwa Tony rashidi kabebwaa kapokonywa ubingwa
@ibraabuemu9231
@ibraabuemu9231 Год назад
Nakuombea sana mwakinyo
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Год назад
Good speach
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 Год назад
CHAMPEZ MWAKINYO ALLAH AKULINDE
@ishengomarugemarila908
@ishengomarugemarila908 Год назад
Nakukubari mwakinyo,nakufatiria sana mkuu
@YohanaNdalu
@YohanaNdalu Год назад
Mwakinyo nakukubali sana achana nawashamba kerere kibao kiukweli mwakinyo hakuna bondia anaekufikia kiuwezo wangumi
@YohanaNdalu
@YohanaNdalu Год назад
Mwakinyo ukukubali Sana Achana na washamba wasee jitambua
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Unaweza kuwa bondia mzuri, ila kwa bondia kukaa muda bila kupigana kuna athari kubwa ya kuporomoka kiwango,,,nikushauri mdogo wangu kama kweli unaoenda ngumi, basi panda ulingoni, pigana uboreshe kiwango chako. Achana na hadithi za mitandaoni. Ni yangu mawazo tuu
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Kashashuka teali uyo
@wakatv3704
@wakatv3704 Год назад
kwa sasa mandonga mtu kazi ndio bondia namba moja 🇹🇿 hawa wengine hawa tangazi taifa. Huyu mwakinyo hata Kenya 🇰🇪 hawa mjui. ame kuwa muongo kila siku ana danganya
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Год назад
Champez Once Again and Any More
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Год назад
Nafikiri katika maisha ya binaadamu na maendeleo ya mtu binafsi katika kujiajiri maji na umeme wa uhakika ni kipao mbele cha kwanza kabla ya vyote tungependa kuona michezo na sanaa vikitumika kwanza kuhamasisha vitu hivi viwili serikali yetu ilivyofeli na sio taulo za hedhi za wanawake zinazo weza kununuliwa tu dukani na kila mtu kwa maamuzi yake binafsi kwa wakati wake binafsi
@tizomichakato2103
@tizomichakato2103 Год назад
Mwakinyo unapga ndan ya mwez wa Ramadhan kaka
@nassirali7499
@nassirali7499 Год назад
Ww kila siku unapanda ulingoni lkn huonekani ulingoni. Ahadi nyingi kuliko mwanasiasa.huna maajabu yyt.
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Год назад
Sisi tunataka kumjua mpinzani itakuwa vizuri Kama mtamleta Peter Dobson maana uzushi kwenye boxng sisi atuitaji sisi tunaitaji mabondia Kama ibra classc achagui game kila siku burudani sio mpaka aishe Ela ndio apande jukwaani
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Год назад
MARUDIO NA YULE MZUNGU VIPI YAMEISHIWA WAPI....?
@khamisimohamed7068
@khamisimohamed7068 Год назад
Daah si ulisema una hadhi ya kupigania Tanzania tarehe 22 Dodoma ya marekani nn,
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Год назад
wewe jamaa unakumbu kumbu Kama Mimi mafanikio kidogo tu jamaa maringo yakaanza acha ashuke viwango namkubali lakini maringo yake ndio yananifanya nisimkubali t tena
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Год назад
Tena anaenda kupigana kwaajili ya kuwatafutia ped ameishiwa maalifa uyu alizana Kuna ustaa bila kupigana
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Год назад
Mwakinyo wewe ndie bigwavea txt wenginehawa niwanafikitu ilapendo ninaniyako
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Mwakinyo nakukubal sana unajua sana watu tu wanna wivu na maendeleo yako
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Izo kumiliki gari tatu IST , CROWN na. ALTEZa
@mankambise2000
@mankambise2000 Год назад
Na wana wivu sana
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Год назад
wa tz walikupenda sana ila ulituangusha sana uk ,yule bpndia hawezi kukupiga wewe yule muingereza uliuza mechi acha hizo kaka
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
Alikuangusha ww sisi bado tunaimani nayo
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Год назад
@@yasrikomba7874 hayo ni majibu ya mtu asiyefikiria wewe,huyo ni bondia wa wa tz wote wacha pumba za kusema aliniangusha mimi,wewe,kafanya upuuzi wa vile bondia ana kipaji cha juu sana huyo hakutakiwa fanya vile wewe think and not sink
@mankambise2000
@mankambise2000 Год назад
Ulianguka wewe usitusemee
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Год назад
Anapigana na nani
@drewsondeniss709
@drewsondeniss709 Год назад
Tatizo mashauzi meng
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Chizi tu huyu amemaliza hela alizouzia game
@mankambise2000
@mankambise2000 Год назад
Alikugawia?
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
Tunakupenda kaka na tunaimani na ww
Далее
PAMBANO KAMILI: HASSAN MWAKINYO vs TSHIBANGU KAYEMBE
1:34:11