Тёмный

Bongo Star Search 2019 | Ep 4 Dodoma Full Show 

BongoStarSearch
Подписаться 410 тыс.
Просмотров 511 тыс.
50% 1

Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch

Развлечения

Опубликовано:

 

10 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 905   
@zahramohammed2149
@zahramohammed2149 4 года назад
Jamani idris sultan am your biggest fan Aki. Much love wangpi wanamsikia idris akiongea
@babigotz9319
@babigotz9319 4 года назад
Sema nn bongostar search wanadharau kinoma piah wanakatisha tamaa wat kam unakubal gonga like
@yohanaadamuyohanaadamu7914
@yohanaadamuyohanaadamu7914 3 года назад
Sasa Kama kaimba pumba wamsapoti2 unachekesha kweli
@belindamollel6869
@belindamollel6869 3 года назад
Hahahahahahahahhhh
@tpdancersvevo9203
@tpdancersvevo9203 3 года назад
445
@tusmokinana3836
@tusmokinana3836 3 года назад
Sasa akikosea asifiwe azidi kuharibika
@hildadaudi6109
@hildadaudi6109 4 года назад
The guy with the guitar, country music..I am so glad seeing you through this round...If You had a private show I would come every weekend at the front seat!!!!!
@mozamohamed6725
@mozamohamed6725 4 года назад
Hilda Daudi me too
@sadikisinkala477
@sadikisinkala477 4 года назад
Hilda Daudi
@carynehassan8077
@carynehassan8077 4 года назад
same here
@careenfranciss9398
@careenfranciss9398 4 года назад
Even me too
@Twee104
@Twee104 4 года назад
i was waiting for someone to mention this🔥🔥
@noahfilimoni4703
@noahfilimoni4703 4 года назад
Majaji mnatumia kama zarau kuwakosoa wengine. Tumieni kauli Rafiki
@alfredlembao6010
@alfredlembao6010 4 года назад
Hahahahaha,idriss unanivunja mbavu sana, et sikuizi wanaimba matango,chibonge aliesikia hayo like twende sawa
@mahirhassan4207
@mahirhassan4207 4 года назад
Country boy you rock ma man...na Jide naona kishaingia kwenye line...😎it’s legal.
@satinaishibwami
@satinaishibwami 4 года назад
I love you guys all the way from U.S.A, Des Moines Iowa ❤❤ nawapenda sana watanzania mimi mukongomani🇨🇩but I was born in Tanzania I grew up in Zimbabwe 🇿🇼❤❤❤❤❤❤
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
Dull : una ngoz nzur Glory :😊😊 Dull :aya imba sasa Glory :me thiteketei thiangamiii Me:😂😂😂😂😂😂😂
@fricherwashingtone9675
@fricherwashingtone9675 4 года назад
And me 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
@@fricherwashingtone9675 😁😁
@graceabdallah9196
@graceabdallah9196 4 года назад
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
@@graceabdallah9196 😁
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 4 года назад
😁😁😁😁😁😁😁
@fanuellameck8022
@fanuellameck8022 4 года назад
Kama unampenda host gonga like❤️
@estherbayda7631
@estherbayda7631 4 года назад
Naangalia ananichekesha mpaka nalia....Idris comedian kweli kweli
@neemaebeneza7494
@neemaebeneza7494 4 года назад
Kama umegundua kwamba Mpaka sasa mkoa wa mbeya ndo umetoa vipaji vingi gonga like twende sawa
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 4 года назад
Mwaka huu MBEYA inatoa mshindi🙌🙌🙌
@gracegeorge9149
@gracegeorge9149 4 года назад
Mbeya tutashinda tu
@abdallahrashid4901
@abdallahrashid4901 4 года назад
Green city winner
@saidbahanuzi437
@saidbahanuzi437 4 года назад
Kacheki mkoa dar
@ezekielmtagawa3065
@ezekielmtagawa3065 4 года назад
Good
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 4 года назад
Majaj wa bongo wakatishaji tamaaa Sana yan...kama umeona Hilo gonga like ap
@puritypendo6472
@puritypendo6472 4 года назад
These judges ain't fair kabisaaa.. Kuna wengine wanachaguliwa hataaaaa alafu wanaacha wenye wanajua kuimba.. Anyways congrats kwa wenye wamechaguliwa
@manofreality3656
@manofreality3656 4 года назад
shida ya wabongo sijui ni uswahili ndio mwingi au ni ushamba? unajua kiukweli hawa judges hawatakiwi kuwakejeli hawa wte wameshiriki hapa...sababu maana ya hao kuekwa pale kaam judges ni kwa sababu waapo watakaokuja na hawataafikiaa kwa kile wanachokitafuta...kuna wengne wamejaribu sana lkn wamewatoa kimaadharau saana...mnachotakiwa nkuwapa moyo lkn sio kuwadhalilisha au kuwafanya paka wafeel kua labda walikosea kuja jaribu bahati yao..lazma mkae mkijua tatizo sio kutotimiza ndoto..tatizo nkutokua na ndoto ya kutimiza...mko na madharau kwao sana..na ndio maana hata konde boy mulimuondoa mkimuambia hajui imba na leo ni msanii mkubwa tanzania...hapo kuna wenye wamejaribu ata shinda konde boy alivoimba mkamtoa...mnachotakiwa nkuwatia moyo na sio kuwavunja moyo...hio ni mbaya sana mnafanya...hamnaa ustarabu ata kidogo..bure kabisa!! na kama umekubaliana na mm gonga like...
@balangdalaluamb6540
@balangdalaluamb6540 4 года назад
Uko Sawa kabisaa wanawafanyaa wajickie vibayaa
@j-lisheonline
@j-lisheonline 4 года назад
Hamna majaji hapo. They are not proffessional. Hawataki kusikia kabsa hususani muziki wa hiphop
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 4 года назад
Kweli
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 года назад
Ma jure mnawashushuua sana bwana
@officialdoablej6455
@officialdoablej6455 4 года назад
Kweli kabisa tena hasa huyu dull na mastar j wanaogea sn wanajifanya wanajua sn
@zayedalnahdi6033
@zayedalnahdi6033 4 года назад
Aliekuwa anasubiria kwa hamu kumuona alieimba kanyaga gonga like hapa
@marylazaro7880
@marylazaro7880 4 года назад
Daaah Jamani Sio vizur
@shabanbaya7784
@shabanbaya7784 4 года назад
Hapa hawajafikia kua ma judge...uswahili mwingi tu
@edenhighlandshotel
@edenhighlandshotel 4 года назад
Jaydee you’re killing it with them vocals🔥🔥🔥🔥
@hadijaamiri3860
@hadijaamiri3860 Год назад
❤️
@dianamangapi8954
@dianamangapi8954 4 месяца назад
Yeeeees!!
@jumanatv417
@jumanatv417 4 года назад
Idriss hukomi tuuu we cheza na hiyo sanamu yatakukuta mengineee... Anyways tamu sanaaaa. 😅😅😅
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 4 года назад
Kuna watu nje ya ma judge wanaimba vizuri ukiwaskia lakini wakiingia ndani wanaboronga kwa kupanic...itabidi wapewe mafunzo maana ya BSS ili wasijipotezee muda
@jenniferrugwe8825
@jenniferrugwe8825 4 года назад
Kweli kabisaaa
@mwanaharabu82
@mwanaharabu82 4 года назад
🤣🤣🤣 JayD bwana eti ukienda sehemu loga huyu. Aliyeimba Hallelujah 🙌🙌 Hongera kwa wote waliopita.
@drinozzsamson8676
@drinozzsamson8676 4 года назад
Mwanaharabu Kunga hi
@abasmabula4647
@abasmabula4647 4 года назад
idrisa fala sana 'eti master Jay akipakwa unga anakuwa kama NSYUKA' hahahhaha
@thevibe6427
@thevibe6427 4 года назад
Paul Richard The one with guitar 47:00 - 48:00
@mercyken9710
@mercyken9710 4 года назад
Dully punguza sifa unabore
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 года назад
Yaan mpaka linabor!
@africanpolarbear4044
@africanpolarbear4044 4 года назад
Glory jaman"Me thiteketei" idris sasa "tunaoteketea ni sisi watazamaji"
@johnpaulkirenga5824
@johnpaulkirenga5824 4 года назад
Pamella George hahahaha upo?
@credo7837
@credo7837 4 года назад
😂😂😂
@wilsonvivans8352
@wilsonvivans8352 4 года назад
Dah aliye imba singeliiii kanifurahishaaaaaa sana mpk am very happy
@tayanamasanja3952
@tayanamasanja3952 4 года назад
😂😂😂😂nikiwa hapa sina stress ngoja nione wagogo wa Dodoma
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 4 года назад
Idrisa Punguza vituko mi naangaalia wanao imba sio ww unaniumiza masikio😂😂😂
@godrivermichaelsugwejo3980
@godrivermichaelsugwejo3980 4 года назад
Alieskia bongo star tach tujuane apa
@jessyjacob2433
@jessyjacob2433 4 года назад
Mwenye nor 00052 anaepiga gita nimependa sauti ya lady jadee alivyo kuwa akiingiza imenogesha zaidi
@magnucwilliam5620
@magnucwilliam5620 4 года назад
Yan bss ukiimba wimbo wa mond uwez toboa aisee (kama umeona like
@brightergervaz1104
@brightergervaz1104 4 года назад
ebitoke
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Huwezi toboa kwasababu vocal ya dimond ni kali sana, Z anton aliwai kusema hivyo kuwa pich na vocal ya mond ni kali sana sehem ya kupanda kama una sauti ndogo hupandi hapo
@Mirror-pi2cs
@Mirror-pi2cs 4 года назад
Am happy 2 c u @paul Richard
@tanzaniatattooartist384
@tanzaniatattooartist384 4 года назад
Paul Richard umetisha sana💥💥💥💥 ur the star so keep shining
@paulinemaximillian7803
@paulinemaximillian7803 4 года назад
Nitamshabikia Paul Richard unachezesha gitaa mpaka majaji wanaduwaa. I like u, kila la kheri Paul
@levindalolalola7255
@levindalolalola7255 4 года назад
Huyu idris muna msikiya😂😂😂😂😂😂🙌
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 4 года назад
😀😀😀yaani kuna washiriki hum u wanachekesha Sana Huyu aloanza singeli kamalizia kihindi kaniacha hoi
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 года назад
Huhuuu
@geofreygodfrey4190
@geofreygodfrey4190 4 года назад
Hahahaha hatare Emmanuel joseph
@abdilahijuma3373
@abdilahijuma3373 4 года назад
Emmanuel joseph noumaaaah
@zainabothman2351
@zainabothman2351 4 года назад
Hahaha nusu nizimie kwa kucheka
@jacksonmezza3721
@jacksonmezza3721 4 года назад
HUYO DODO ALIEVAA SUTII NYEUSII ALIANZA NA SAUTI BA BASE ANAJUA SANA ANAJUA 👊
@veylogeorge5427
@veylogeorge5427 4 года назад
Eti yule mwenye suti nyeupe full ambassador wa jiki😂😂😂
@elly_newstz1715
@elly_newstz1715 4 года назад
hahaaa
@careenfranciss9398
@careenfranciss9398 4 года назад
Oh my God i cant wait to see that guy who sang country song and now here he is 😋😍
@hawankungu7649
@hawankungu7649 4 года назад
kwan wimbo wa taifa ameimba mkoa gan?
@ackshuba8679
@ackshuba8679 4 года назад
Hivi hizo namba mnazoandikwa kifuan nikitaka kutolea pesa kama tigo pesa si ninatoka
@eddahmgellah304
@eddahmgellah304 4 года назад
😁😁😁😁😁
@newagecommunications7258
@newagecommunications7258 4 года назад
Judges,tukubali ukweli mmepitwa na wakati,rotten tomatoes,madam ili bongo star search isife jitoe wape damu changa,Bali kama CEO
@emmanuelpaul24
@emmanuelpaul24 4 года назад
Haaahaaa km umemuona idrisa akislaid gonga like
@albashakluninshaah3727
@albashakluninshaah3727 4 года назад
Kwa mfano harmonize Ni kweli hakuimba vizuri ile siku ila kazi ya majaji ni kugundua na kuivumbua talent ya msanii na kutomkatisha tamaa Bali kumfundisha na kumuelekeza ili aongeze bidii ndicho kilichotawakiwa kwa harmonize. Sasa kazi hiyo kafanya chibu inashangaza sana. Watanzania mujue kuwa million 50 haina maana kama tukipoteza wasanii wajao na ambao wanaweza kuongeza kipato Nchini. Huu ni ushamba tu unawasumbua. Ushauri wangu. kabla ya kuanza bongostarsearch wakajifunze Nchi zinazofanya vizuri. Kama vile Marekani na Mexico ndipo warudi kufanya hiyo kazi ya ujaji.
@aquilinamgaya4449
@aquilinamgaya4449 4 года назад
Judges mnakatisha tamaa washirik mnavokosoa kosoeni kwa utaratibu mtu ajue amekosea wap
@theresiapankras1598
@theresiapankras1598 4 года назад
Nikajua ukame wa maji maji tu kumbe had vipaji Jaman😁😁😁😁😁Glory mbavu zang😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
@barakakiula6443
@barakakiula6443 4 года назад
Naomba kuulza, et wote waliokuwa wasanii waliptia bongo star sachi
@mussawilson6972
@mussawilson6972 4 года назад
Jamaa in white suit with a guitar is not bad. My humble opinion ☺
@drafteddynasty
@drafteddynasty 4 года назад
Kikweli bila Dully Sykes hii show siwezi nikaiona.
@fidesiswai6114
@fidesiswai6114 4 года назад
Host wa saiv ni shida atr ananogesha sana
@adedominic8856
@adedominic8856 4 года назад
Washiriki wote mliokataliwa msikate tamaa,kikubwa ni kujikubali mwenyewe
@zayedalnahdi6033
@zayedalnahdi6033 4 года назад
Yani ldrisa hukomi tu 😂😂😂😂
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 года назад
Waiting
@lizzjahsolja1240
@lizzjahsolja1240 4 года назад
Idris😆😆😆 ati usiseme wigi😂😂😂..you guys keep Idris
@janeyphersuma112
@janeyphersuma112 4 года назад
Ivi kuimbia Puwani kukoje ilihali MTU anaimba vizuri kabisa au hawa majaji wa kibongo wanachujaje watu yaan tuko nyuma sana kwenye kusaka vipaji itakua vema wakajaribu kuangalia majaji wenzao wa nje wanachujaje vipaji stahiki
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Ndo ukute baby wako anaimba hapo 😃 alafu unajua kabisa Hajui kuimba, akija nyumban tunaachana😃😃😃😃😃😃
@KhadijaKhadija-uc2uw
@KhadijaKhadija-uc2uw 4 года назад
Mimi nitamcheka mpaka ataniacha
@aishamrsmkunga2143
@aishamrsmkunga2143 4 года назад
🤣🤣🤣🤣kwanini jaman
@rosejoseph5139
@rosejoseph5139 4 года назад
Latriciah01 Augustino 😂😂😂😂
@zarinahally513
@zarinahally513 4 года назад
Mawazo yako ka yangu kabusa
@veronicamatari515
@veronicamatari515 4 года назад
Kweli mi nikiingia hapo naimba mwanzo mwisho majaji apo kila mtu nasifa zake nikianza nakumkanyaga masta j....😂 jide madam rita ndio usiseme wengine wanapeleka maua mi nitaingia n maparachichi apo😂😂😂😂😂😂nimpe salama....😂 😍
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 4 года назад
Waliogundua number moja ktk mikoa yote huwa hazichukuliwi BSS ktk msimu huu tujuane!
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 4 года назад
Mimi hapaa
@janethlusasi3048
@janethlusasi3048 4 года назад
Elizabeth Kisogole kweli kabisa kote walipopita namba moja wametupwa kuleee
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 4 года назад
Kwer Kabisa Eliza. Sijajua Kwann, Ila nadhan Kwa sabab Wanawai tu, Kwaiyo Majaj wanaona Mapema sana Kuanza Kupitisha. wakitegemea Wengine Wapo wenye Vipaj Zaid. ila kiukwer Wapo weng xna Namba 1 Wanajua, ila Kuwai kwao ndio Kunawafelisha.
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 4 года назад
@@abdallahjosephnfulaa4245 umeona enheee
@willardderick6781
@willardderick6781 4 года назад
Vp hawa Jamaa wa gita vp wamepita au mbona sijaelewa mm afu wote wanaimba vizuri jaji wanaudhi bana,af jaman hawa jaji siwaelewi hiv mtu akikosea neno moja hawez rudia? Mbona wasanii huwa wanakoseaga Mara kibao
@salhaanold2165
@salhaanold2165 4 года назад
Wangapi wameona talent ya bongo star tachi 🤣🤣🤣🤣
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 4 года назад
tachi🙄
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 4 года назад
Star search
@salhaanold2165
@salhaanold2165 4 года назад
Salma ally kuna mtu kasema hivyo hapo
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 4 года назад
@@salhaanold2165 😂😂😂😂😂😂😂😂😂aaaah sawa my
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 4 года назад
Hivi duli hivyo unavyoimba hapa na gitaa lako angekua mshiriki ungempitisha ?kweli kua jaji sio kujua mziki lkn kwako ww mwanamziki umezidiwa na wanapita hapo hivyo upunguze ukali wa maneno
@mkushplatnam1595
@mkushplatnam1595 4 года назад
Ilham Swaleh dull kinacho msaidia ni koo lake jembamba tu nakutoa saut ya kimafuamafua, ila kuna watu wanaimba kuliko yeye, apo
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 года назад
dulli anaimba ww
@gisellebusime6578
@gisellebusime6578 4 года назад
mkush platnam eti sauti ya kimafuwafuwa jamani unanichekesha sana
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 4 года назад
SALIM RAMADHANI anaimba tu haigizi Ila sio amazing kama wanaohitajika hapo wanaopita hapo kwenda dar ni bora kuliko yy
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 года назад
@@ilhamswaleh3428 Kuna kuzidiana mda mwingine ..lkn dulli ameitwa hapo ni kwasabb yupo kwenye gem kitambo
@SamuelMScott243
@SamuelMScott243 4 года назад
Jayde Na Madam Rita you it well that when u are doing something alafu watu wana nuna it makes you loose the confidence
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 года назад
Kha kumbe mzee wa uno ni wa dar 😂😂😂🙌
@chidistar1944
@chidistar1944 4 года назад
Noma sana nakubali sanaa
@khatwibuhasani5002
@khatwibuhasani5002 4 года назад
Wengine mnaroho mbay sana hasa huyo jamaa mwenye marasta hafai mwenyewe sio muimbaji acha dharau babu
@tusmokinana3836
@tusmokinana3836 3 года назад
Kila kwenye kikosi lazima kuwe na mtu wa aina hio....mkiwa soft nyote hamuezi fanya kazi......km vile shule mwalimu mkali zaidi huchukukiwa na hadi baadhi ya walimu lkn yeye mwisho wa siku yeye ndo hunyoosha mambo
@eliudeliabu8378
@eliudeliabu8378 4 года назад
N tamu atali mwanangu KAMA UNAKUBALI BSS GONGA LIKE APA
@kendrickperterson5861
@kendrickperterson5861 4 года назад
Kwanii unakura au
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 года назад
Jamani wekeni plz
@kimkuekcomedian0162
@kimkuekcomedian0162 4 года назад
U know, am from South Sudan but I am a comedian,i am really not happy the way you people judge them, u should be giving them hope and talk well to young talented people not to lose hope... That will be batter...
@jacobthomas1229
@jacobthomas1229 4 года назад
Majaji hovyooo angalieni platform zingine wanafanyaje kama AGT,BGT ,XFACTOR THE VOICE mnakatisha tamaa sana watu
@henrickchambilo3119
@henrickchambilo3119 4 года назад
Wagogo oyeeeeeeeeeee!!!
@kibezedon
@kibezedon 4 года назад
Paul Richard wa jina 🔥
@kamalissabig8649
@kamalissabig8649 4 года назад
Dodoma hakuna vipaji vya mziki labda wasomi tu wa chuo Apo wanajua Pythagoras Theorem, Find value of X, Algebra, Statistics, Matrix, Binary No, Integrat, Sequence & Series apo sasa walepekeeni maswali ndo wata wakatia hesabu vizur adi muta enjoy
@saidahj2543
@saidahj2543 4 года назад
🤣🤣🤣🤣umenifurahisha
@kigomakid74
@kigomakid74 4 года назад
😂😂😂
@aminanoor5637
@aminanoor5637 4 года назад
kwer kabixa wangwtuletea mashindano ya vyuo cz vipaji mna
@fikakibona1722
@fikakibona1722 4 года назад
Jenipher Mwaipaja kanifurahisha toka mbeya mpaka Dom then unapita big up sister
@Muchoma
@Muchoma 4 года назад
28 minutes uyo wa guitar ni muimbaji muzuri, majaji kuna big mistakes munafanya !! Munajaji kwa emotions kuriko fact.
@oum759
@oum759 4 года назад
Judge dully Sykes
@iddishabani7225
@iddishabani7225 4 года назад
Mnawavunja moyo vijana wacha mtu aimbe then umjaji haya haya ndio yalitokea kwa Harmonize acheni hizo
@wodebaba4064
@wodebaba4064 4 года назад
Kabisaaaaa
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 4 года назад
wanafanya mpaka narusha
@prowessgembo8051
@prowessgembo8051 4 года назад
Iddi Shabani .
@harlymaya2241
@harlymaya2241 4 года назад
we ndo umeongea mzee baba 😕
@emmanuelpaul24
@emmanuelpaul24 4 года назад
Haaahaaa km umemuona duly akibonga kisalman khan gonga like
@mrperfect8852
@mrperfect8852 4 года назад
poul richard ht ucposhinda bss ila amin cku moja mungu kaiweka special kwaajili yako....unajua mpka unakeraaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@diodoruskyomya9328
@diodoruskyomya9328 4 года назад
All the best we are just waiting to watch talents from Dodoma, just do the needful judges
@kingpengo9998
@kingpengo9998 4 года назад
Hahahhahaha dully saks kaanza kua na roho kama ya salama 😂😂😂😂
@scollastephen9183
@scollastephen9183 4 года назад
BC kidully Sykes kimesha jidai mfyuuuu 😄
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Mbeya ndoo kiboko yao😆😆😆😆
@elly_newstz1715
@elly_newstz1715 4 года назад
mbeya raha sana
@dinajumbe779
@dinajumbe779 4 года назад
Majaji mnaboa mbadilike especially master j na dully
@AngelAngel-qg2vg
@AngelAngel-qg2vg 4 года назад
Kama unamkubali Idrisa twende sawa
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 4 года назад
Jide unaimba sanaa🔥🔥
@T.H.P.C
@T.H.P.C 4 года назад
Dodoma watu wamevurunda kwel kuliko mikoa yote
@fidesiswai6114
@fidesiswai6114 4 года назад
Nje wanaimba vzr ndan ss utumbo kbc
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 года назад
Labda uwoga unawashika
@jackleenmandary2632
@jackleenmandary2632 4 года назад
Yan cjui kwann ndani wanashindwa kuomba wanaogopa sana
@kassimkovacic6058
@kassimkovacic6058 4 года назад
Ah wengine km vp waache 2
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Fidesi Swai Hao waliomo ndani wanatisha kama nini
@bushbabytz
@bushbabytz 4 года назад
hivi kuna yatima wa miaka 20!? acheni kuchezea neno
@michaeljonas7497
@michaeljonas7497 4 года назад
Umenichekesha
@simonbanyase2528
@simonbanyase2528 4 года назад
Hahhahahhahaa daah we atarii wanalitumia vibaya neno uongo..
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 года назад
Ni nan sasa?
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 года назад
We master jay amna kitu Ubitoz lazim kajana aanzie aponyie mnawatu wenu hua mmeshawaanda cjui
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 года назад
Dully upo vizuri
@alwiyaal-kaf6514
@alwiyaal-kaf6514 4 года назад
This is an amazing show. It was fun to watch. Wagogo Oyee.
@zaikaisi6280
@zaikaisi6280 4 года назад
Wagogo bana wanajua kufuga tyu😂😂😂
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 года назад
ukitoa ubuyu labda mizabibu ndo ipo dodoma lkn waimbaj 😂 😂 😂 😂 ukame tu
@SamuelMScott243
@SamuelMScott243 4 года назад
Jayde Master Jay amesha kufunza vibaya
@fricherwashingtone9675
@fricherwashingtone9675 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@daudiomary4178
@daudiomary4178 4 года назад
We kua na adabu wewe
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 года назад
@@daudiomary4178 😨😨 😨 .. bas dodoma Kuna vpaj balaa 😂
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 года назад
@@fricherwashingtone9675 😂 😂..
@carolinekiseu9339
@carolinekiseu9339 4 года назад
That guy mwenye ameimba song ya Diamond, 'hello' maskini anajua kuimba, huyu mshamba master j amemtoa nkt am sure ata hawezi mfikia
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 года назад
Mzigo umeachiwa tayar
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 4 года назад
Jide umetulia Sana host
@hussenimohamed4234
@hussenimohamed4234 4 года назад
AuHk
@mamyj503
@mamyj503 4 года назад
Idriss mungu anakuona ujue unanifrahisha sna nkpnd ad natmn uwe sehem ya familia yng
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 года назад
Yaan hili dully xlipendi,haki mungu anisamehe2 bule,Mixfa mingi tatizo,.
@officialsalmazayn2938
@officialsalmazayn2938 4 года назад
Idress We Mtoto Shenzi Sana 😂😂😂😂😂😂
@michaeljonas7497
@michaeljonas7497 4 года назад
Anachekasha sana
@queenbhanji7223
@queenbhanji7223 4 года назад
mzee wa song la kihindi 😂😂😂😂😂😂
@luganojacob
@luganojacob 4 года назад
Hari Nina na nusu
@elynakihiyo2945
@elynakihiyo2945 4 года назад
Nime enjoy 🤣🤣🤣
@alves_photo5346
@alves_photo5346 4 года назад
Jiongezeni YATIMA mwisho miaka 18
@zayedalnahdi6033
@zayedalnahdi6033 4 года назад
Kwani hapowameandikaje jmn mie nabonyeza sioni kitu😂😂😂😂
@mariamumchele2478
@mariamumchele2478 4 года назад
Kha!huyu alisahau wimbo akaimba kihindi duhi mgogo kiboko🤣🤣🤣🤣
@naomijonas6090
@naomijonas6090 4 года назад
Daaah niko mbali na nchi yangu Ila nimeiona dodoma nimefurahi Sana naipenda nchi yangu naipenda dodoma asanteni Sana kwakunionyesha mtaa wangu
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 года назад
Mbona ni marudio jamani kuna clips km ya huyo aliyeimba baada Ya muindi
@oscarwissa
@oscarwissa 4 года назад
Shida ni kwamba hakuna judge wa hiphop hapo kuna judges wa wananapua tu.
Далее
Bongo Star Search 2019 | Ep 5 Dar Es Salaam
55:46
Просмотров 331 тыс.
Bongo Star Search 2019 | Ep 1 Arusha Full Show
51:47
Просмотров 445 тыс.
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 5 млн
$456,000 Squid Game In Real Life!
25:42
Просмотров 635 млн
Bongo Star Search 2012 EP 5 DAR ES SALAAM
1:02:19
Просмотров 163 тыс.
MAISHA YA MAMA NYUMBANI by Mc Eliud
13:17
Просмотров 834 тыс.
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 48 тыс.
ASAGWILE - NDOA DANCE VIDEO
5:13
Просмотров 689
Bongo Star Search 2019 | Ep 4 Dodoma  Comeback
24:41
Просмотров 36 тыс.
ASAGWILE-AFRO-leswanyika
5:39
Просмотров 65 тыс.
Bongo Star Search 2019 | Ep 3 Mbeya Full Show
56:17
Просмотров 335 тыс.
Bongo Star Search 2019 | Ep 4 Dodoma DAILY FUNNY
24:41
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
0:27
Просмотров 6 млн