Тёмный

BOTI LAZAMA KIGOMA LIKIWA NA TANI ZAIDI YA 120 “MZIGO ULIKUWA NI WA MILIONI 200' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Zaidi ya tani 120 za mizigo zilizokuwa katika Boti ndogo ya Mizigo inayojulikana kwa jina la Ruchugi 2 imezima katika ziwa Tanganyika eneo la Bandari ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani kigoma.
Boti hilo lilikuwa linasafirsha mizigo kuelekea nchi ya Kidemokrasia ya Congo imezama majira ya 11 asubuhi ya leo wakati ikataka kuanza safari yake na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara.

Опубликовано:

 

21 апр 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 года назад
Waacheni wawekezaji msiwabuguz🤣🤣🤣🤣🤣JPM tutakukumbuka😭😭😭
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 года назад
Poleni sana watejaa wanguu ndo changamoto ktk maishaaaa
@phillipmatola6964
@phillipmatola6964 3 года назад
Bola hawajafa watu.... Hela itapatikana tena
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 года назад
Aisee poleni sana iyopesa nyingi du
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 года назад
Duuu polen sana yarabii
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 3 года назад
Daaah!!!! Polen sana jamanii Mil200 ni nyingi sana
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 3 года назад
Duuuu poleni sanaa ndugu
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 года назад
Poleni sana
@muzyexperience
@muzyexperience 3 года назад
😭😭😭😭 poleni Sana Mungu awe na nyinyi hakika mpat Nguvu
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
Poleni saaan jaman kwza nilivo som akili ilifika bali nikajuwa watu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 года назад
Hizo nipesa zimeanikwa au macho yangu tu
@leokamil6284
@leokamil6284 3 года назад
Subirini kwanza tupo kwenye ndege.
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 года назад
mzee maguu angekuwa ashafika
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 года назад
Mama yupo busy na makwalidee Mama shukrani 🙏
@pcazzo22
@pcazzo22 3 года назад
Kama.ingekuwa Mwanza angekuwa ameshafika ... majanga yalikuwa yakitokea kwa wengine nje ya Mwanza hakuwa akienda na walipokuwa wakichangiwa pesa kama wahanga wa tetemeko la Mkoa wa Kagera alikuwa akizitia ndani kwa kisingizio kuwa "serikali haijaleta tetemeko"... Bado tuna kumbukumbu!!!! 🤔🤔🤔
@ramlamburi9743
@ramlamburi9743 3 года назад
@@pcazzo22 aahh!! Hii naikumbuka, Allah amsamehe.
@pcazzo22
@pcazzo22 3 года назад
@@ramlamburi9743 Mungu na amsamehe akiona inampendeza, lakini wapambe wake wasije hapa na kutugeuza kuwa sisi ni wajinga tusio na kumbukumbu. Kuna mambo mabaya mengi sana yaliyotendeka ndani ya miaka 5 iliyopita ambayo kwa kweli yameacha MAKOVU mengi na makubwa. 😏😏😏😏
@subiraharuna1737
@subiraharuna1737 3 года назад
Poleni sana ndugu zangu
@levobabuu1512
@levobabuu1512 3 года назад
😭😭😭 poleni san kwl
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 года назад
Wajinaaaaa
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Watafute pembeni wapi mbona majibu yako mhe hayana afya?
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 года назад
Uyo jamaa wa kwanza anaongea kama babalevo
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 года назад
Kabisa !
@halimaramadhanimwevi2472
@halimaramadhanimwevi2472 3 года назад
Hapa kuna tatizo kubwa sana . Maana huyu mheshimiwa anajikanyaga tu, hatoi maelezo sahihi ya kutatua tatizo lillokuwepo , mama SAMIA uje uyaone na ya huku KGM
@rajabuibrahim8811
@rajabuibrahim8811 3 года назад
kma upo sahihi kwa asilimia 50 koz anasema kuwa kma boti haina mzigo bas itafute pa kupaki mpka ipate mzgo sasa unajiuliza kwel inafaa hiyo au meme sijamuelewa mh
@mokhimji
@mokhimji 3 года назад
Wabunge wenu miaka za nyuma walikuwa wanawatetea mabeberu... kumbe kigoma kuch nahi eh?
@arafahhh5574
@arafahhh5574 3 года назад
Hayo maelezo hayajatosheleza kwanini bandari haijawekwa sawa
@kadofresh4132
@kadofresh4132 3 года назад
Mi mkuu wa wilaya sjamwelewa
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 3 года назад
Dar
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 3 года назад
Akili hauna pembazoni kuna usalama gani
@manungda9955
@manungda9955 3 года назад
Safali au Safari 😏
@pcazzo22
@pcazzo22 3 года назад
Inatia sana hasira watu WANAVYO NAJISI lugha ya kiswahili... yaani nimegundua watu wengi sana hawajui tofauti kati ya R na L wanaona ni sawa tu au kati ya Z na DH... wananikera mpaka basi lakini anyway ndio matunda ya shule za kata.
@swahiliwithdavid5910
@swahiliwithdavid5910 3 года назад
Inatia moyo kuona Kuna wadau Kama nyinyi mnaoumizwa na matumizi mabovu ya kiSwahili. Yaani mimi hukerwa Sana haswa na hawa waandishi was habari wanaotumia lugha mbovu au ya mitaani wanapohabarisha umma. Nadhani suala la uweledi limekuwa bidhaa adimu siku hizi. Ukija huku kwenye sehemu ya maoni (comment section) nako unaweza kutapika ukiona jinsi watu wasivyojua kuandika lugha yao wenyewe. Inasikitisha Sana!
@manungda9955
@manungda9955 3 года назад
@@swahiliwithdavid5910 Mimi huwa najiuliza mwandishi wa habari kama huyu amepataje kibali ya kufanya kazi hii wakati lugha hajui vizuri?
@manungda9955
@manungda9955 3 года назад
@@pcazzo22 Kazi kama hii unahitaji umahiri wa lugha wanaudhi sana yani
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 года назад
Poleni sana
Далее
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
Uvuvi wa dagaa Kigoma
5:38
Просмотров 2,8 тыс.