Uyo kk Ana tumia vindongo vyakujilinda naukimwi, ivyo vindongo unavinywa week Kisha ndo unafanya mapenzi ila Kilasiku unatumia kimoja, hapo kila ukilala na mtu wa ukimwi uhuwezi uchukuwa ukimwi
Masharti ni kwamba ni kumeza dawa kwa muda sahihi kila siku, kula vizuri, kutokutumia vilevi kabisa, kuacha umalaya kabisa na kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu kwa asilimia zote.... Hayo ndiyo masharti ya muhimu na basic, ambayo watu wengine huona ni magumu mnooo, wao wameyaweza ndio maana ikawa rahisi kama hivyo unavyoona..... Usipozingatia hayo masharti,,,,, mambo yatakuwa magumu kama ndoto ya kujenga angani kwenye mawingu.... Na masharti ndio hayo sasa..... Sasa ndio mjifunze ilikusudi wanaume muache mfumo dume wenu wakusisitiza umalaya mpaka kwa watoto wenu wa kiume mkisema ni urijali, shida ipo waziwazi, shetani hana huruma na binadamu kabisaaaa siku zote anakoleza asali kwenye sumu kali anakupa bure tu, binadamu unachekelea unaona ume win kumbe umeshayatimba...... Kwani hivyo Virusi Vya Ukimwi ni uumbaji wa Mungu au ni vya asili?,,, hivyo virusi vipo kuwafadhaisha wanadamu na ni tishio mpaka kesho, labda kama itapatikana dawa ya kutibu..... Ila kwa Sasa masharti ndio hayo....
Ww kaka unaishi na mtu mwenye ukimwi umeamua kuingia kwenye geneza mwenyewe kisa ngono yani ww huenda unao elemishe nn wakati ameoza huyo hamna kitu huyo anakufa mda wowote kumbe ulikuwa malaya shetani ww unajidhalilisha ww kaka kimbia geneza hilo ni kaburi liko njiani hakuna kutoka mvi huyo anakata moto mda wowote
Hivi wewe mzima kweli? Eti kimbia jeneza acha ujinga,tatizo lako unaona uko salama wakati Wala hujapima, acha kunyanyapaa wenzio ni tabia mbaya sana Tena sana