Тёмный

DADA ALIYEMTEKA MTOTO SHULENI DAR KUMBE ALIMPELEKA kwa BABU PORINI MORO - ''ALIKUWA ANANIKABA''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

DADA ALIYEMTEKA MTOTO SHULENI DAR KUMBE ALIMPELEKA kwa BABU PORINI MORO - ''ALIKUWA ANANIKABA''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@hildamakundi281
@hildamakundi281 Месяц назад
Nashauri picha za huyo dada zitangazwe Kwenye TV, REDIO na mitandao ya kijamii. Pole Sana mama Angel Damu ya Yesu imfunike mtoto. Amina
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
Subuhanallah. Mtihani huyo dem akamatwe apigwe na akamuonyeshe huyo babu wake huko polini pia akamatwe uwenda watotowengi wameuliwa hapo kwa babu 😢 polinihuko maana mdasamchawihuyo yeye kapajuaje hukopolini kwa babu ushilikina mbaya nasiyowakwanzahuyo uwenda ashawahikuuwa huyomdada
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Majina huwa yanaumba. Angel ni Malaika! Nadhani yule babu alikuwa anamuona Malaika badala ya binadamu! Mwenyezi Mungu na amuongezee Angel maisha mema na marefu. Tumshukuru Malaika Mlinzi wa Angel, alifanya kazi ya ziada.
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt Месяц назад
Hili ni lishirikina lilikuwa ninaenda kuuza viungo vya huyo mtoto kwa mganga. Mungu yupo hadi mganga kashindwa kwa nguvu za Mungu.
@YosephaSwai
@YosephaSwai Месяц назад
Yes dear lilimchukua kwa ajili ya ushirikina lakini Mungu alikua pamoja na Angel kama lilivo jina lake Malaika ,neno liko wazi isaya 44:25 Mungu Ana uwezo wa kutangua ishara za waongo na kuwatia waganga wazimu ,mganga kumkataa Angel ni wazimu na hata dada kwenda kumbwaga Angel kwa mama yake alipigwa na wazimu hajui afanyeje ikiwa babu amemkataa,lilikua na uwezo hata wa kumnyonga likamtupa porini akaliwa na simba lakini Mungu hakuruhusu kabisa ,Mungu alitaka kudhihirisha nguvu zake na ukuu wake sawasawa na neno lake.Tuzidi kuomba na kumwamini Mungu anaweza yote.
@YosephaSwai
@YosephaSwai Месяц назад
Familia ya huyo dada nikimaanisha mama ake na kaka ake wasaidie ndugu yao apatikane na wala hana uchizi wanaousema ,huyo alimchukua mtoto kwa imani za kishirikina na alikompeleka ni kwa mganga ,Mama Angel Yesu amekusaidia sana na ndio mana mganga alimkataa kwani Angel alikua chini ya ulinzi wa Malaika.Mungu bado ni muaminifu sana dada alipatwa na wazimu baada ya babu kumkataa Angel hata kwenda kumtelekeza nyumbani kwa mama yake ni Mungu aliliwezesha hilo. Isaya 44:25 "Nizitanguaye ishara za waongo na kuwatia waganga wazimu,niwarudishaye nyuma wenye hekima na kuyageuza maarifa yao kuwa ujinga" Mungu yupo kazini amefanya kwa Angel akapatikana na hakudhurika na atafanya tena huyo dada atapatikana tu.
@rosedohho8971
@rosedohho8971 Месяц назад
Hakika mungu anaweza Asante mungu Kwa ulinzi wa mtoto huyu
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 Месяц назад
Pole sana Mama Angel, MUNGU ni mwema sana. Damu ya YESU KRISTO imlinde daima mtoto Angel. Sifa na Utukufu tumrudishie Bwana YESU kwa ukuu wake.
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y Месяц назад
Maombi ni silaha kubwa sana🙏
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Месяц назад
Eemen
@biberpriyer330
@biberpriyer330 Месяц назад
Bas huyo dada sio kwamba hana akili sawasawa anazo anajizima data tu mbona alitumwa akapeleka ,,,!!
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 21 день назад
Mungu ni mwema Sana zidi kumshukuru sana Mungu pia kuomba ulinzi wa Mungu
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Kuondoa haya matatizo ya watt kuibiwa kutolewa viungo kuuliwa hawa waganga wa kienyeji serikal ipige marufuku 😢😢 na huyu dada nia yake ni hiyo ya ushirikina serikal ina mkono mrefu atapatikana tu hizi picha zisambazwe mitandao yote huyo dada atatafuta mtoto mwingine ampeleke 😢😢mungu nusuru watt wetu 😢
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Месяц назад
Hyo afungwe Miaka30 iwe fundisho kwa watu wengine watoto wanapotea kila siku
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 Месяц назад
Auliwe kabisa ili wengine waogope
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Месяц назад
Heshima Utukufu na Uweza ni kwa Mungu
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz Месяц назад
Pole sana sana yaami hii nijua leo yaani Huyu mungu kwa sisi wadamuu tuna roho namna hii Mungu hasimamia hili ashokwe anajongwr kabisa hakuna uhuruma hapa huyubatakua akimbilia nje nchi wangalila kenda uganda pole sana pole mtoto hatari kweli ubarikiwe sana wote
@juliethmagezi3104
@juliethmagezi3104 Месяц назад
MUNGU JINA LAKO LIZIDI KUTUKUZWA...huu ni muujiza,mama Angel nakukumbusha kushukuru na usipomuamini Mungu utapata jaribu kubwa zaidi
@chikujuma18
@chikujuma18 Месяц назад
Pole sana mama enjoy shukuru mungu kwa kumpata mtoto
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Месяц назад
Huyo mdada wanasema hana akili na katoka dar mpk moro Kwa usafiri WA treni ya mwendo kasi mmmh aisee hii ni michezo mama wa mtoto pole sana ila hapo maelezo ya huyo bibi ni muongo
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 11 дней назад
Pole sana mama Anjel.
@zainab8251
@zainab8251 Месяц назад
Kuna kitu hapa sio bure Pole sana dada inaumiza ila kikubwa amepatikana
@rayaomar6299
@rayaomar6299 Месяц назад
Na hio sehem uhame asijekamdhuru tena au akakudhiru ww
@demicratia4071
@demicratia4071 Месяц назад
Asante MUNGU WETU MTOTO YUU MZIMA. HAKUMUUA MENGINE MUNGU ATASAWAZISHA
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Месяц назад
Tumeni picha za huyo dada please... Kweli wahenga walisema kikulacho kii nguoni mwako
@user-kd7ey2mu7p
@user-kd7ey2mu7p Месяц назад
Pole dada akikamatwa anyongwe tu
@user-xq6rg2pb1x
@user-xq6rg2pb1x Месяц назад
Kuna wanadamu wanapenda kuwaimiza wenzao mioyo tabia na roho mbaya kuna ukatili kamfanyia mtoto mama kaficha kumstili mtoto wake Mungu yupo atakulipia
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 Месяц назад
Uyo mtoto anamungu sana dah
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Месяц назад
duuuh siku zote wanasema adui yako mtu wa karibu yako ona hii pole sana dd jambo la kumshukuru Mungu na huyo dev bado anakaa hapo au ameama nakama yupo akamatwe anaweza jua mpenzi wake alipo au walipanga wote hili watoke kimaisha kwa njia ya ushirikina pia na wazazi wake wanajua kabisa mtt wao siyo chizi hila kwa njia ya kumtetea
@agnessjohn1222
@agnessjohn1222 Месяц назад
Mshukuru Mungu madam mtoto amepatikana
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Месяц назад
Daah Mungu ni wa ajabu!!!! Hakika roho za giza zimeshindwa !!! Mungu wewe ni mwema . Nahisi kama sielewi chakusema. Ila tumwombe Mungu sana dunia haieleweki jamani. 🙏🙏🙏
@mwanas2
@mwanas2 Месяц назад
Kwani uyo uncle devi si akamatwe na ahojiwe maybe wote wanahusika na wanayajua vizuri sana.Hii ni hatari mno uyo ndaa ataenda kufanya kwengine kwasababu hajafanikiwa aliokua anayataka duuuhhh huu uchawi sijui utaisha lini jamani
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Месяц назад
Hata mie hilo nimelifikiria mno,uenda wakajifanya wamwfarakana ili baada ya muda mtt aibiwe watumize malengo yao.
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Месяц назад
Nashangaa mama Angel nae anakubalije kirahisi,hivi na polisi si walitakiwa wawe wameshamuita kumhoji huyu David? Sababu ninachokiona huyo dada alikuja hapo kwa mission,ila sasa hivi mwenyeji wake anajifanya walishaachana. Aisee mimi kazi zingesimama kwanza mpaka Devi anyooshe maelezo.......
@happymakweta2000
@happymakweta2000 Месяц назад
Duh kuna kitu apo
@user-ys5iu3qu3u
@user-ys5iu3qu3u Месяц назад
Sacrifice inawezekana Hakuna walichokitaka huyo msimwachie mama chukua sheria mkononi shukuru mungu
@user-mf6wb4pl4t
@user-mf6wb4pl4t Месяц назад
Pole sana mama enjoy ,
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Месяц назад
Pole sana Mwanangu endelea kumuomba Mingu awalinde
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Месяц назад
Imani za.kishirikina huyo dada msirikina qisee Mungu tuhurumie
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Месяц назад
Jamani hii ni km lile lidada la Arusha liliiba mtoto wa mwenye nyumba & kwenda kumuuxa huko mbuguni,mtoto alishauwawa.
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Месяц назад
Alitaka kumuua ili kupoteza ushahidi maana alijua akirudi atasema kila kitu.. Mungu ni mkubwa Kwa kweli
@user-qh4qi3hs3s
@user-qh4qi3hs3s Месяц назад
Jaman dunia imeisha,cha kumshukuru mungu mtoto umempata salama
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Pole mama enger kwa. Mkasa mnzito😢😢😢
@SalaDaniel-q2e
@SalaDaniel-q2e Месяц назад
Jamanii😢😢😢
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
Hivi niulize kipindi kaondoka nae hapo chumbani kwake alifunga au ilikuwaje na vp hukustuka mapema km mwanao hayupo na mpangaji mwenzio hayupo yaani inafikirisha mno na kwann uende kumfata mtoto bila ushirikiano wa police huko Mikumi yaani story haiingii akilini
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Месяц назад
Vipi wewe mtt aliibiwa shuleni
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
@@annabyekwaso-wt7oi Alivyoibiwa shuleni mzazi alilala shuleni siku zote hakuwepo hapo nyumbani au elewa vizuri comment usiwe kilaza
@AfricaQueen
@AfricaQueen Месяц назад
🤝🤝🤝🤝🤝💯💯💯Hata Mimi Nina mashaka Mengi Na hii Stori utakuta Baba Mtoto wana Bifu 🤔Kuna malumbano Na mzazi mwenzie hii Stori kichaa kupanda train Na kuona wanyama wote mikumi🤔Ukweli Utajulikana ,
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 Месяц назад
Fatilia iii story mwanzo mwishooo
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 Месяц назад
Mungu ni mwema,sana kwa watoto wake,kumbe tunatakiwa kuwa makini na watu waliokaribu nasi
@PendoBernard-i2u
@PendoBernard-i2u Месяц назад
Mungu mwema aendelee kuwafunika Watoto Wetu kwa damu ya yesu
@ValentineFaustine.
@ValentineFaustine. Месяц назад
Dada mshukuru Mungu kwakila Jambo Japo ulipoulizwa kuhusu Devi umepata kigugumizi😢???
@demicratia4071
@demicratia4071 Месяц назад
Mbona hamzungumziii huyo Bwana Wakeee
@generosennko8343
@generosennko8343 Месяц назад
Huyo mdada aliye kidnap mtoto atafutwe kwa haraka sana kabla hajateka mtoto mwingine. Kwani yule babu alikoenda atakuwa bado anasubiri kuletewa mtoto mwingine. "Wapigwe kwa damu ya mwana kondoo".wateule mbarikiwe sana kwa maombi. To God be the glory
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe Месяц назад
Poleni dada jambo la kushukuru ni kwamba mtoto amepatikana japo amepitia mateso mungu ni mkubwa
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Месяц назад
Pole mama
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 Месяц назад
RAHIC KUMPATA PALE KWAO MOROGORO KWAO BA YULE KK YAKE AIEPIGA CM VIP AU ALIEKUA ANAISHI NAE CHUMBA KIMOJA?
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 Месяц назад
Maombi ni siraha kubwa na ulinzi wetu mkuu
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Месяц назад
Ooooh jamani😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 Месяц назад
Mungu wangu kwan hawa wadada wana nin sao mungu wangu
@khadijathani9064
@khadijathani9064 Месяц назад
Alhamdulillh kwa kumpata tu
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 Месяц назад
Huyo mhalifu sio kichaa, ndugu zake wamesema hivyo ili wasimhukumu. pia mama Angel hapo uhame. Sio mahali pazuri
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 Месяц назад
Maombi yana nguvu sana tuwafunike watoto kwa damu ya Yesu
@monalisaally4387
@monalisaally4387 Месяц назад
Pole sana dada ila ulitakiwa kwenda na polic
@happymakweta2000
@happymakweta2000 Месяц назад
Duh
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 25 дней назад
Mungu mkubwa jmn mbona hadi unaogopa au kaliwa na simba huyu dada
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Месяц назад
Likipatikana lichomwe moto ili iwe fundisho.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Allah nsataraa Engel lailahailah,
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz Месяц назад
Huyo amezoea amefanyia wengi atakamatwa tu
@user-hy4dm4jm3x
@user-hy4dm4jm3x 21 день назад
Apo kamkamateni yule mama na ndio anajuwa ukweli wote wa mwanawe
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад
Daaa pole sana dada unaongea kwa maumivu makubwa 😢
@FortunateAkaro
@FortunateAkaro 25 дней назад
Mimi nashauri wazazi wakamatwe waseme alipo hiyo dada
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 Месяц назад
Ndio maana nilisema aliemchukua mtoto ni mtu wa karibu sana na Mama Angel, Dada asambazwe kila pahala dunia nzima imtambue,huo ni ukatili wa mauaji na ikinyamaziwa atawazuru wengine kwamaana kama Angel alikataliwa na huyo babu basi atatafuta wengine wa kuwadhuru
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 Месяц назад
Picha zake zitume tusaidie kusambaza kwenye magroup fasta atakamatwa
@minabw7301
@minabw7301 24 дня назад
Polisi wawajibike wakes out 24/7 kule kijijini kwa mama yake na kwa yule kaka yake lazima atajitokeza na wana bodaboda na mabasi yote na treni watoe ushirikiano
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Месяц назад
Yaani nafika mahali nauliza kamaa kuna uwezekano wa kupata visa tuhamie sayari nyingine? Na kama Kuna uwezekano jamani situambiwe tufanyeje? Wa Marangu wote tukae kikao tu discuss hili.. sayari ziko nyingi sio lazima tuishi sayari hii.. fikirieni sana ili December tukikutana tutafakari hili 😢
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Месяц назад
I wish serikali yetu ichukue hatua maadam huyu dada kafahamika.
@janeadjanga4743
@janeadjanga4743 Месяц назад
Nguvu za maombi zilimkinga mtoto. Maombi ni silaha
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q Месяц назад
Huyo dada akikamatwa awapeleke kwa huyo babu huwenda ikawa watoto wengi wanauwawa kupitia huyo babu
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Месяц назад
MUNGU NI MWAMINIFU JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE HATA MILELE SHALOOM SHALOOM
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 Месяц назад
Mama angel omba sn atapatikana tu
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 25 дней назад
Mmmh wallet mikumi mbugani Kisha simba waache Mungu mkubwaa kama ninkweli
@GundelindaKibonge
@GundelindaKibonge 25 дней назад
HODADA NIMUUAJI TUNAOMBA PICHA YAKE😂
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 Месяц назад
Hilo libabu likamatwe,ndio chanzo Cha video vya watoto
@AlfaniMohamedy-g6d
@AlfaniMohamedy-g6d Месяц назад
Jamani tulinde watoto huyo anaekti tu acromegaly moto
@user-bq5hs3wu7o
@user-bq5hs3wu7o Месяц назад
Huyo babu pia atafutwe maana inaonyesha allitaji mtoto kutoka kwa huyo dada
@annapeter4994
@annapeter4994 Месяц назад
Jamani Tz wanga wamezidi😢
@MagrethMrema-xv2wy
@MagrethMrema-xv2wy Месяц назад
Dada Imelda hyo Devi akamatwe anajua kbs hyo dada alipo
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz Месяц назад
Huyo c mwehu ni mungu tu amemnusuru huyo mtoto ilikuwa auawe
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 Месяц назад
Napatikan wsp zaid plse
@SipeKato
@SipeKato Месяц назад
Msituwekee ktk stofahamu muweke picha zake afahamike maana ataendaa kuwaibaa wengine hata huku mikoani
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Месяц назад
Eee kwahiyo unaeye pishana naye ndio adui yako ooh
@RoseMziray
@RoseMziray Месяц назад
Jamani mbaka kumkaba mtt mdogo
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 Месяц назад
Hizi ni nyakati za mwisho na moja ya dalili ni upendo wa wengi utapoa,ukiwa na upendo huwez kumwazia mabaya mwenzio,huwez kumchukia mtu,huwez kusengenya upendo hubeba mambo mengi
@juliethfrancis6170
@juliethfrancis6170 Месяц назад
Waziri matatizo nimengi sana katika jamiii….
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Месяц назад
Sasa mnatuficha mbona
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Месяц назад
Amna kisasi huyo anauza watoto Kwa waganga
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Месяц назад
Dada chukua RB chochote kikimtokea mwanao sasa ni yeye . Mchawi mpe mwanao akulindie.. . Mpe yeye ulinzi wa mtoto
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Месяц назад
Serikali ipige marufuku waganga mmmh haya
@claudia1500
@claudia1500 Месяц назад
Tangu day one nilijua tu yule dada sio kuwa hana akili vizuri kama ndugu yake alivyosema,huyo ni mzoefu,chizi hawezi kufika shule kutaja jina la mtoto,kupanda nae bus akalipa na nauli nope,huyo ni muuaji wa watoto
@mariamsaid4978
@mariamsaid4978 Месяц назад
Niliwahi Sema baada ya kaka wa yule kaka kusema kwamba dada yake ni chizi.huyo dada si chizi ni mzima wa afya na alikuwa na malengo yake. Sheria zifuatwe huyo mdada atafutwe akamatwe anahusika kinamna moja au nyingine kwenye haya matukio yanayoendelea.
@omanoman2044
@omanoman2044 Месяц назад
Walim wa dhule siku hizi nao wamekuw mashetan haswaaaa
@chawahirelmymashlalltaabar4949
@chawahirelmymashlalltaabar4949 Месяц назад
Asije akawa amenbaka mtoto mdogo huyo
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Месяц назад
Yalazima mtoto kapitikana mzima tena afya yake nzuri.wazazi kuweni karibu na watoto wenu.mkisha wazaa wapendeni gisi mnavojipenda wenyewe.adui wako ni jirani yako au mtu wakaribu yako,kuweni makini.dunia ni moja ila bin adam hatuna akili moja.
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g Месяц назад
Mimi hata yule kaka aliyetoa yarifa ninawacwc nae wacwe wanashirikiana na dada yake ila iki limewashindwa wameamuawamrudishe ila kama nidhana unaomba allah unisameh
@HappyMapunda-nw6os
@HappyMapunda-nw6os 17 дней назад
Kwel kabsa anajua kila kitu
@wandejumanne5853
@wandejumanne5853 Месяц назад
Wazazi kila mama anaekuzunguka si ndugu....Tuache kuwapa majirani majina ya AUNTY!!
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Месяц назад
Tunaamini ni heshima ila mambo yanatugeuka ayseee
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Месяц назад
Kamfanyaje mbona mnaficha kamlawiti au
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 Месяц назад
Mimi naamini serekali ina mkono mrefu mnoo huyu kaka ake na mama ake watoe ushirikiano chap
@jjrussell081
@jjrussell081 Месяц назад
LOGO MBOVU😖
Далее