Тёмный

DADA KAVUNJA I PHONE 15 pro max KISA 4MILLION 

Mr Uky
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 2 месяца назад
Hiv kwanin mnakufuru hivyo kwann msiwasaidie wotto ya tima hizo pesa
@LloydsTech
@LloydsTech Месяц назад
Wadangaji hao the reason wanaona its something Easy Though the the cash kinda big compare to the phone itself but if kama she bought it from her owncash hawezi fanya ujinga huo
@EzekielAgnes
@EzekielAgnes 2 месяца назад
Kk nimeanza kukuchukia😢😢😢😢😮😮😮si uwasaidie wasio jiweza kuliko hicho unacho kifanya😮😮😮😮😢
@jumahamisi4660
@jumahamisi4660 2 месяца назад
Ana tumwa kwan ni yeye acha kumpa lawama
@zabibuidi1938
@zabibuidi1938 2 месяца назад
Saidia masikini badotutakufatilia 😢
@tintin0019
@tintin0019 Месяц назад
WADADA WACHENI KUPENDA HELA ALAFU TUKI CHEAT MUNA KUJA JUU
@PhiloteusMahundi
@PhiloteusMahundi 2 месяца назад
Uyo anaewazamini izo pesa ili mfanye content AKILI zake aziko sawa amuezi mkafanya ivyo wakati Kuna watu kibao tu wanatafuta million1 tu safari ya mafanikio ya maisha yao ianze
@Muddy_Muzungu
@Muddy_Muzungu 2 месяца назад
That’s fukin’ bullshit…🙁
@JacquelineMuganwa
@JacquelineMuganwa Месяц назад
Sijapenda iyo challenge 😢😢
@favourkind3746
@favourkind3746 Месяц назад
Nikifikiria jirani yangu hana hata unga wa ugali😢
@Virimogolo
@Virimogolo 2 месяца назад
Mmefanya vibaya ugepelekeya watt yatima tu
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 месяца назад
Wasilamu tunasema hiyo nisirafi
@MariaMagele
@MariaMagele 2 месяца назад
Ukute kijijini wamekula wali bila mafuta kwa kukosa mia tano wewe huku umetoa
@LoveOmary
@LoveOmary 2 месяца назад
Ivielazawo zamajinihawa
@asiajiran7500
@asiajiran7500 2 месяца назад
Kwahyo kulikua na maana gan kuivunja labda?😢
@CulverBariki
@CulverBariki Месяц назад
Wadada wa mjini kwa hela
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Месяц назад
MATUMIZI YA FEDHA KWA NJIA YA SHETANI''
@FettyrisherSamson-wo9rx
@FettyrisherSamson-wo9rx 2 месяца назад
Njoo bahs me ninayo
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 2 месяца назад
Fek iyo😂
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 2 месяца назад
Acheni ujinga
@MariyaChaki
@MariyaChaki 2 месяца назад
Mnakufuru Mungu sas mmezidi
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 2 месяца назад
Kwann hamkupeleka pesa hizo kwa watoto yatima😢😢😢😢
@sulleRuth
@sulleRuth 2 месяца назад
Ety hela yetu
@AlvetaNestory
@AlvetaNestory 2 месяца назад
Upumbavu
@AlphonceKidyala
@AlphonceKidyala Месяц назад
Kufuru
@HidayaTwitunge
@HidayaTwitunge 2 месяца назад
Uyu mdada kwaiyo anataka kusema amepata na faida hahahahaa atariiiiii iyoooo
@glorymushi6158
@glorymushi6158 2 месяца назад
Sijapenda hii
@festopetro2702
@festopetro2702 2 месяца назад
😭😭😭
@userlizkenya
@userlizkenya 2 месяца назад
Mna ela z kiharibu c mngenipa iyo simu niuze at laki tano 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@khadijandaba7475
@khadijandaba7475 Месяц назад
@Mr uk njoo bas mvunje na yangu infinix yenye spika mbovu kuongea mpaka niunganishe na Bluetooth😢😢
@MeryMrosso
@MeryMrosso 2 месяца назад
Niwapi apo nije niokote
@FatmaF-ob8fc
@FatmaF-ob8fc 2 месяца назад
Sijapenda kuna watu wanalala njaa
@HappyNicholas-be2yn
@HappyNicholas-be2yn 2 месяца назад
Walai pia mm sijapenda Kuna watu wanahagaika kwakwel
@RachelNgalya
@RachelNgalya 2 месяца назад
Hiv na hawa kina kiredio na MrUky hela zao hawana pa kupeleka bora wapeleke vituo vya watoto Yatima jmn😢😢😢
@FatmaF-ob8fc
@FatmaF-ob8fc 2 месяца назад
@@RachelNgalya yaani ni kweli kabisa 3 ml kwenye arzi duh nimelia sana
@brianosiemo86x4
@brianosiemo86x4 2 месяца назад
Ukweli 😢😢
@LevinaTarimo-x7j
@LevinaTarimo-x7j 2 месяца назад
We kiredio jaman wengine tumekosa ada ya watoto shule we unachezea pesa kweli
@SaidiAthumani-hj6kq
@SaidiAthumani-hj6kq 2 месяца назад
Hiyo ni kufuru mungu hapendi kwakweli.kunawatu wanalala njaa.😢😢😢
@HhRt-m5z
@HhRt-m5z 2 месяца назад
Mnajua lkn kama kunamamilion yawatu wanashinda njaa wanalala njaa hata mia tano yakununua unga wauji inawashinda nyinyi mnafanya kufuru kwakile mulichoruzukiwa
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg 2 месяца назад
Yani watu mnaniumiza nikiona iyi mana watu tunakosa ata buku rakura haraf nyie mnachezea 3m ebu bas toweni misada bas watu wanakufanjaa nyie mnacheza
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 2 месяца назад
Usiumie hao wanatangaza biashara ya hiyo simu ndy maana wanatoa hiyo hela😂
@FatmaSalim-dc6zp
@FatmaSalim-dc6zp 2 месяца назад
Mie nlichoelewa hapa wauza sim ndio walotoa pesa ndio mana amewalimit wakanunue wapi sim nahilo nitangazo tuu lahilo duka kwani hakuna sim feki mie ndio nlichokiona hapo
@MwanahawaSaid-z9e
@MwanahawaSaid-z9e 2 месяца назад
Munamkosea Mungu kwamatumizi mabaya ya riziki. Leohii kuna mayatima pia kuna mafakira, nawazee ambao hawana msaada ninyi mnazi2mia pesa kwamchezo bila aibu munalikoddi kilam2 aone Mungu mutamwambiann ndugu zangu ktk iman. ALHAMDULILLA
@rizikirenatus6742
@rizikirenatus6742 2 месяца назад
Mungu itanipa azidi ya izo walizoziharibu hawa watu ninavotembea juani Mimi na mtoto mgongoni jamani uku toangoma
@ESTHERENDLES-db1zw
@ESTHERENDLES-db1zw 2 месяца назад
Kikweli hapo umezingua mr uky unashindwa kusaidia wasiojiweza wapo wengi tuu ukafanye vitu vya ajabu kama hivyo hata kama unefanikiwa co poa kabisa
@Danielismail-hu9gj
@Danielismail-hu9gj 2 месяца назад
Niforcie ata 30k niishi mwanangu uk shabiki ako hapa please
@Dls24-l6v
@Dls24-l6v 2 месяца назад
Mshaanza kuomba omba hii nchi bn😂😂🙌
@SuarezAmissi
@SuarezAmissi 2 месяца назад
Iyo sio 15pro max Angalia kwa nyuma mfuniko wake sio wa OG
@Christina-i6c
@Christina-i6c 2 месяца назад
Daahh wengine tunahangaika na simu za elf 20 afu wengine from no where unavunja simu ya 3M 😢😢
@SuarezAmissi
@SuarezAmissi 2 месяца назад
Mfuniko wa 15pro max aw vunjiki kaka niwa aluminum
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Kwann mnachezea vituy nakuna watuy wanalala njaa kwa nin msijitolee kusaidia masikin mnafanya ujinga huu hamtumi akili mnatumia nin duuh ujinganmtup watuy wapo wanalal njaa nyiepo mnafanya ujinga na vicamera vyenu vya laki3
@eliasmaphina5674
@eliasmaphina5674 2 месяца назад
Pesa sio zake ni wanaompa kazi mzee unamchukia kisa nini
@elinamethod9298
@elinamethod9298 2 месяца назад
Hivi wenzetu hela zakuchezea mnazitoa wapi
@thhtthht1485
@thhtthht1485 2 месяца назад
😢😢😢😢hiyo cm naitaman alafu mnaivunja hivi hivi hadi tumbo limeniuma 😢😢daaah masikin ss
@asiajiran7500
@asiajiran7500 2 месяца назад
Et pesa wanazitupa dah😢, Allah apend jmn
@PeterElias-q6k
@PeterElias-q6k 2 месяца назад
Jamn hz Hela si mnipe mm jamn nifungue biashala tu
@evaamedeus430
@evaamedeus430 2 месяца назад
Sisi wanawake ni hatari sana,huwa atunaga akili,tunaweza kuweka familia zetu bondi
@JosephineJacob-zo8sq
@JosephineJacob-zo8sq 2 месяца назад
Mr uky naomba mtaji wa laki tatu tuu😒😒😒😭
@SimpungweJunior
@SimpungweJunior 2 месяца назад
Dah mnamkufuru mungu sana mbona wenye uhitaji wakutaka msaada niwengi mungu atawahukumu
@gwantwajohn7875
@gwantwajohn7875 2 месяца назад
Inavunjwa wanaichukua wanatengeza wanaiuza tena, faida mara mbili
@HidayaTwitunge
@HidayaTwitunge 2 месяца назад
Kweli jamanii pelekeni izo hela kwa watoti yatima
@AkyooMamad
@AkyooMamad 2 месяца назад
Daah,Yan me hii kitu hainibariki kbs ungesema ampatie mtu Bure Siyo kuvunja duuh
@mossesramadhani501
@mossesramadhani501 2 месяца назад
Na asipo enda kwa mfano kwani kuna deni?
@JulithaOliva
@JulithaOliva 2 месяца назад
Uongo mmebadilisha siamini😅
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 2 месяца назад
He, watu wanalala na njaa nyie mnachezea Hela mungu awalaani
@gaudancesimon7911
@gaudancesimon7911 2 месяца назад
Mzee badilisha content maan hizi unazingua
@SelineChandja
@SelineChandja 2 месяца назад
Mmmmmh nihatari wa dada anatamaa uyo dada😢
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 месяца назад
Aiseeee muna hela za mchezo
@Danielismail-hu9gj
@Danielismail-hu9gj 2 месяца назад
Wa kkwanza apa
@SemeniJuma-x8i
@SemeniJuma-x8i 2 месяца назад
Sijapendraaaaa hii challenge😢
@DanielMelami-o3t
@DanielMelami-o3t 2 месяца назад
Mbona uyapi wanaume ni wanawake tu kani sisi wanaume atuonekani
@SantaJumaa
@SantaJumaa 2 месяца назад
Wallah hiyo ni kufuru hata Allah apendi jmn Mr uky
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 2 месяца назад
Yani leo mmekosea sana cjapenda ndo nini sasa😢
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Kanunue unapo tqka uko utauziwa mbovu we dada
@GraceLucas-r8k
@GraceLucas-r8k 2 месяца назад
Nimeumia Sana yani
@Oman-p8x
@Oman-p8x 2 месяца назад
Bora mngewapa yatima
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon 2 месяца назад
Sijapenda hii challenge
@AmriSabiti
@AmriSabiti 2 месяца назад
Mr Uky Wallahi ndugu Kuna Watu wana hitaji hizo Pesa, Acheni ku haribu Mali
@johasaeed391
@johasaeed391 2 месяца назад
Hahaha nawewe unaamini kabisa iphone sikuzi feki kibao😂😂
@mishimzihir421
@mishimzihir421 2 месяца назад
Mnaistirafu Wallah Mungu hapend hvyo kuna watu wanauhitaji
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 месяца назад
Mr UK Kwa hili sijapenda kwanini unachezea pesa jamani!!?' wakati Kuna watu Wana shida
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 месяца назад
Hizo pesa zinaniuma Wallah
@karoliyege157
@karoliyege157 2 месяца назад
Uhuru umezidi
@AGATHAMAIDA
@AGATHAMAIDA 2 месяца назад
Yaaan duuh
@glorymchomba642
@glorymchomba642 2 месяца назад
Hii umeboaaa
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 2 месяца назад
❤❤❤😂😂
@OswardRupiah
@OswardRupiah 2 месяца назад
sijapenda
@EvaJoseph-m1y
@EvaJoseph-m1y 2 месяца назад
Sijapenda
@AminaLuhamba
@AminaLuhamba 2 месяца назад
Daaah!kufuru hiyo
@nadiatanzania
@nadiatanzania 2 месяца назад
Mnakosea Kuna wanyonge wanaitaji msaada broh😢
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 2 месяца назад
Kabisaa
@ivankimilike
@ivankimilike 2 месяца назад
jeur za pesa
@saidcisse8700
@saidcisse8700 2 месяца назад
Uyo dada mweupe nimempenda bure
@PeterBatroba
@PeterBatroba 2 месяца назад
😂
@NaimahKhalifasalim
@NaimahKhalifasalim 2 месяца назад
Ni simu fek za lsk 2
@surusuru1994
@surusuru1994 2 месяца назад
Nimeumea kunawa wtoto hawana kula😢
@RachelNgalya
@RachelNgalya 2 месяца назад
Kwanza najiuliza hela wanazitoa wanapata faida au wanatoa Tu na wanazitoa wap???ambako hawana uchungu na hela zao kufanyia ujinga heri kutoa kwa wanaohitaji wapate baraka kuliko hizi kufuru😢😢😢😢sijapentaaaa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 месяца назад
Ipandishe ilə ya yule dada alie toka omani
@FocusNyari
@FocusNyari 2 месяца назад
Alietoka Oman sini kwa kiredio
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 месяца назад
@@FocusNyari kumbe niwatu 2 tofauti😁😁😁ndugu umenistua akili
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 2 месяца назад
Challenge ya hovyo kuwah kutokea 😂😂😂😂 kuwakod Gen z kuwaleta bongo sh ngap😂?
@_smart_hb_
@_smart_hb_ 2 месяца назад
Wakwanza leo 😅 like basi watu ❤
Далее
Mr ROMANTIC KAKATALIWA
8:42
Просмотров 10 тыс.
LIZZ KAWACHANGANYA WADADA
12:57
Просмотров 38 тыс.
Шоколадная девочка
00:23
Просмотров 730 тыс.
NIMEZIDIWA NISAIDIE | AMPIGIA EX WAKE
4:32
Просмотров 28 тыс.
Not even angels can save this couple 😫💯
30:56
Просмотров 103 тыс.
ZAWADI YA PICHA YATUPONZA
9:58
Просмотров 170 тыс.
Finally! Bentah finds love on Hello Mr Right
5:49
Просмотров 460 тыс.
HAKUNA LAFIKI WAKWELI ANGALIA HI
17:23
Просмотров 44 тыс.
MASHABIKI WA FUNGULA KWA LEONARDO
8:47
Просмотров 9 тыс.
Шоколадная девочка
00:23
Просмотров 730 тыс.