Тёмный

DAH! KUMBE MANJI ALIKUWA MTOTO WA NJE WA KIKWETE !? SIRI YAFICHUKA. 

Yetu News
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

DAH! KUMBE MANJI ALIKUWA MTOTO WA NJE WA KIKWETE !? SIRI YAFICHUKA.

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@winnierayson9124
@winnierayson9124 13 дней назад
Hongera kwa Jakaya pia pole kwa kupotelewa na mwanae wa kufikia R.I.P YUSUPH MANJI
@JanatYusuph
@JanatYusuph 11 часов назад
Mungu.aendelee kukupa..Imani hiyo
@SaimonMrema
@SaimonMrema 9 дней назад
Mungu ailazerohoyake mahali pema peponi hongera jakayamrisho kikwete kwaku timiza wosia wa babayake manji nawalio mtendeya mabaya tunamwomba mungu awatumbukize jehannam yamoto wamilele eimen
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 9 дней назад
asante sana. kikwete kwa kutuonyesha mambo vyako lakini sis wanyonge ayatusaidii usitueleze mengi uyafanyayo mengi yanatuudhi nakutumiza watanganyika tumekujua yakwamba unapendelea sana waisilamu. kuliko wakirsto tunakuona sana wenu ni Simba sauti ya wanyonge tuamke kwa haraka kabla ya maji kuzidi unga watanganyika kumekucha amkeni kwasasa msilale Tena
@anatolerukonge1585
@anatolerukonge1585 2 часа назад
Siyo mtoto wa nje ni mtoto wa kulea! Tofauti ni kubwa sana.
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 12 дней назад
Uongo wako siku yakiama limi lako litafangia barabala muongope mungu wewe
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 12 дней назад
Tafauti baina ya mtoto wa nje na mtoto wa kulea...rudini darasani mkasome
@user-jn7do4wd6f
@user-jn7do4wd6f 6 дней назад
Mm najua mtoto wa nje yani kazaa na mwanamke nje ya ndoa na wa kulea alipokua na mwanamke wanaishi pamoja yule mwanamke anawatoto sasa ww baba wa kambo umewalea wale watoto lakini sio wako
@naldclever
@naldclever 13 дней назад
Dooh... R.I.P MANJI
@abdulmauya4874
@abdulmauya4874 12 часов назад
SAMAHANI waleta habari hizi kutupiga na KICHWA CHA HABARI Kisicho uhisia wake ### WANA HABARI JARIBUNI KUWEKA VICHWA VYA HABARI MBASHARA...KINACHOENDANA ( mfano kichwa hiki...mmepotosha kama msomaji atasoms bila wewe kumposha )....***ona maelezo ya ndani yalivyo nyoka ***
@hashimpalekar1565
@hashimpalekar1565 12 дней назад
Great humanity and human relation seldom to get in this present world
@user-gg3rv9wf1q
@user-gg3rv9wf1q 3 дня назад
Kumbe ndio hivyo, basi sio mtoto wa nje,, mhe. Kikwete ni baba mlezi, neno mtoto wa nje Lina maana nyingine kabisa.
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 11 дней назад
Uongo mwingine hata shetani hapendi...
@halimamasai2234
@halimamasai2234 10 дней назад
Yani kuna majinga humu ndani eti yameamini Manji ni mtoto wa kikwete hivi nye mnaakili kweli hamkumsikiliza kikwete alivyo kwa akielezea kuhusu baba yake Manji? Mautopolo wengi sana Tanzania hii
@jeniffermombo
@jeniffermombo 6 дней назад
pole sana mkuuu
@petertemu7136
@petertemu7136 13 дней назад
Acheni Ujinga basi
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 13 дней назад
Ndo maana uliuza dawa za kulevya
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 13 дней назад
Ndoo maana alikuwa anauza sure za Jessica huyu kumbeee
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 12 дней назад
Chuki Ni Uchafu Wa Moyo
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 12 дней назад
Kwa kweli daah
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 9 дней назад
Hivi kwa nini wamemzika haraka huko ughaibuni. Huyu jamaa kafa kweli?
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 3 дня назад
Sio ughaibuni ni marekani
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 12 дней назад
OVYO
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 7 дней назад
Wanatafuta kkkk
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 6 дней назад
Ukiwa tajiri unaficha makosa yako yote yaan uyu manji si ndo aliyokimbia kwa magu kwa pesa zetu jamani leo ni mzuri da pesa ni mwanahalamu
@HemedmusoTz
@HemedmusoTz 6 дней назад
Mafala nyinyi kum
@pinangoda740
@pinangoda740 5 дней назад
Wajinga, kuachiwa mtoto umlee ndio MTOTO WA NJE? ACHENI UDHALILISHAJI
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 9 дней назад
Ujinga tyu ushaambiwa wa hiyar
Далее
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 3,3 млн
КРЫЛЬЯ - ЗЕНИТ: все голы
01:00
Просмотров 70 тыс.
HOUSE GIRL EP 50 || love story💞💕
23:28
Просмотров 86 тыс.