Mwana kaua sana.af ni mdogo anajiamini af ana jua kucheza na maneno.❤👊inaweza kuwa kumi za maangamizi bora 2022🏁naitaji namba zake nimtumie atelfu kumi❤❤🤙🙏
Unajitahidi ila matamshi hutamki vizuri yanafanya unapoteza ladha halafu kua serious usichekecheke ,fanyia kazi matamshi.kwenye free styles uko vizuri kuliko unavyoandika
Mwna kama mwna always hujawai nidrop brooo... #young mwenye hasorring zake. Weweeeeeeeeee..... Unajua na wasio kujua sa nd hawajui kama 2kiachana na kwny mic wnalia sana w2flan hv.....