Тёмный

DAKIKA 22 MAISHA YA BABA LEVO GEREZANI, KUMRUDIA MUNGU, JAJI ALIEMNUSURU, ANACHOFANYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 209   
@magnusbugingo7471
@magnusbugingo7471 4 года назад
baba levo sifa moja ulio nayo kama kiongonzi Ni ujasir Kwa maana ya kujiamini dah nipenda sana kujiamini kwako keep it up
@kulwamathias1735
@kulwamathias1735 4 года назад
Hongera kwa kumjua Mungu na kuchambua bibilia kuhusu Paulo na Petro
@erastosolomon4554
@erastosolomon4554 4 года назад
Hahaaaa😂😂😂😂 Baba levo bwana eti nitabeba hadi pasi I like you my brother uko na confidence ya kuongea vizuri
@erickzephania1030
@erickzephania1030 4 года назад
Pole sana kaka, tunajua tatizo hapo ni udiwani..! Mungu akutangulie
@hadija846
@hadija846 4 года назад
Amiin🙏🏼
@hamenyaanthony8502
@hamenyaanthony8502 4 года назад
Pole sanaaaa babalevo tunakupenda sanaa mashabiki wako nabado tukopamoja sana kalibu natupemangoma kama kawa rahaaaa🤩🤩🤩
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 4 года назад
Mwenyezimungu ni mwingi wa rehma hatuna budi kusema alhamdullilah kwa kila hatua
@georgemadinda8514
@georgemadinda8514 4 года назад
Wakati mwingine Mungu anaruhusu tupite mapito kama hayo kwaajili ya kutushape na kutunoa ili tumfae yeye. Thanks God.
@thomasteryo6180
@thomasteryo6180 4 года назад
Mimi ni mchina ila nawa fatilia sana TZ Gonga like kama unamuona babalevo kalewa
@Cambarada
@Cambarada 4 года назад
Thomas Teryo we unazingua 😂😂
@kareembakunda8864
@kareembakunda8864 4 года назад
🤣🤣mchinaaaa
@ezapesambili2130
@ezapesambili2130 4 года назад
Nakukubal sana baba levo kwanza kabisa T-shirt zako huzitupi Pia ngoma zako
@CHIEZAJunior
@CHIEZAJunior 4 дня назад
Walio angalia mwaka 2024 gonga like apa
@johnvascogodfrey7070
@johnvascogodfrey7070 4 года назад
Rafiki yangu maisha Ni Yesu tu njoo, karibu katika familia ya watakatifu wake kristo Yesu
@michaelkabeta7974
@michaelkabeta7974 4 года назад
Watu wakienda gerezan wanamjuaga mpka na Mungu
@patrishadickson3365
@patrishadickson3365 4 года назад
mzizima updates hahaha
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 года назад
mzizima updates si ndo wanakua matatizoni
@marthalucas2951
@marthalucas2951 4 года назад
Pole Sana mtani
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 4 года назад
Baba levo Pole sana shukuru kwa kila jambo
@ezekielmigera8559
@ezekielmigera8559 4 года назад
Hongera DOGO Cleiton ; pambana safari bado ndefu;
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 4 года назад
Pole xanaaa diwani wetu
@julianarobert9815
@julianarobert9815 4 года назад
Mungu ni mwema kila wakati🤗
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 года назад
Hakika Baba levo Mungu yupo cku zote na ata milele
@abrahamkilele4365
@abrahamkilele4365 4 года назад
Heshima kwako baba level for another level
@christinasolomon8156
@christinasolomon8156 4 года назад
Oooh!! Haleluya karbu kwa YESU.
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 4 года назад
Amen
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 4 года назад
Baba Levo nampenda Rudi kwenye gemu acha siasa
@andiqueantonio3377
@andiqueantonio3377 Год назад
Leo sio baba levo huyu
@h.rukuba7464
@h.rukuba7464 4 года назад
BABA LEVO mimi binafsi ni CCM lakini najua wewe ni mwana Maendeleo kama soko la usiku umewasaidia Sana kina mama zetu hongera mchapakazi ,
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 года назад
Alhamdulillah kwa kila jambo karbu uraini
@brigitamash2007
@brigitamash2007 4 года назад
pole kitambo sikuskii baba levo kumbe ulikua jela pole
@gwakisamwakimi554
@gwakisamwakimi554 4 года назад
Still ndio neno kuu la baba levo kama unakubaliana na Mimi gonga like apo
@ameniameni617
@ameniameni617 4 года назад
Pole Sana . Mungu yu mwema
@godblessnchimbi3850
@godblessnchimbi3850 4 года назад
Baba levo we ni waki
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 4 года назад
Siyo petro we we baba ni Pouro na sila
@ahmadsadi8841
@ahmadsadi8841 4 года назад
Keep it up Baba la Baba
@muddysimba887
@muddysimba887 4 года назад
That the point
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 4 года назад
Msechu lipa deniiiiii kwa Baba levooo😂😂😂
@Twende828
@Twende828 4 года назад
😂😂😂😂et kitambi kimekata ringiiiiii daah huy jamaaaaa
@sospider2005
@sospider2005 4 года назад
hahahaaa
@mwanahawamakame1178
@mwanahawamakame1178 4 года назад
Yn baba levo etii msechu watabeba mpk pasi kitambi kimekata ringiii😂😂
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 4 года назад
"Still" na comment.. Huyu jamaa nikaa naye gheto moja kwa bro wangu pale nyuma Sinza lion.. 😂 😂
@jasonbeezy7191
@jasonbeezy7191 4 года назад
Uyu nimecheza nae playstation pale Sinza lion
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 4 года назад
@@jasonbeezy7191 true, si pale kwa akina mbegu... Kwa felix fashion..play station za Sady..
@jaydon3361
@jaydon3361 4 года назад
Duh Leo umemkumbuka Mungu
@joelfufulu
@joelfufulu 4 года назад
Ooooh! Karibu kitaa, misukosuko nikawaida ktk maisha!!
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Jamaa yuko poa siasa anaweza sasa
@danielyared4880
@danielyared4880 4 года назад
Levels bby
@budoboy3359
@budoboy3359 4 года назад
Nomaa
@bakaryhamis3457
@bakaryhamis3457 4 года назад
Baba la baba
@officialmkerewe
@officialmkerewe 4 года назад
Pole sana wajina ila gerezani imeandikwa kuwa kila mtu atapita katika sehem yenye kimvuli
@aliymahamudu8377
@aliymahamudu8377 4 года назад
Kalibu tena baba levoo
@julyjulio344
@julyjulio344 4 года назад
Nakuelewa sana baba la baba
@saidiomali3324
@saidiomali3324 4 года назад
Kweli gerezani ni malekebisho ya tabia umekaaa levo kama jina la mwanao peace in love.
@dianamadege1703
@dianamadege1703 4 года назад
Pole sana baba
@irinemacha2951
@irinemacha2951 4 года назад
Ha ha ha ha ha.. Baba Revo
@kezbjanja4521
@kezbjanja4521 4 года назад
Baba levo bhana
@musasimba3689
@musasimba3689 4 года назад
Ili niache utani inabidi pita msechu afe kama umesikia gonga like
@agaaah6697
@agaaah6697 4 года назад
Ha ha ha
@amisiamisi3424
@amisiamisi3424 4 года назад
Amisiabu
@christinahillary3417
@christinahillary3417 4 года назад
Hongera xana kakangu mungu akubariki inshaall
@paultemu8824
@paultemu8824 4 года назад
Nakukubali sana arifu
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
Msechu umekopakopa elfu6 hadi milioni 16
@rynedebrownie2828
@rynedebrownie2828 4 года назад
Amen blessed
@Ashelymhangazo
@Ashelymhangazo 2 года назад
Ameiona video hii now ,akiwa chawa mkuu wa diamond tujuane😁😁
@bullahrwabatika5504
@bullahrwabatika5504 4 года назад
Nikae kwenye kikao natoa ukenda tu😂😂😂😂😂
@jumadema7646
@jumadema7646 4 года назад
Bro: usishindane na serikali kwa kutaka sifa, ona Sasa ulivyochakaa ! Pole sana.
@habilimeshack5105
@habilimeshack5105 4 года назад
Baba levo amagambo nibhuke bhuke
@Balogetv
@Balogetv 4 года назад
Mungu n mkubwa
@opiyowilson3640
@opiyowilson3640 4 года назад
Karibu nyumbani.
@James-y3j2v
@James-y3j2v 4 года назад
Hahah eti amevunja rekodi ya kutembelewa gerezani
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 4 года назад
Namoyo Safi Kama tisheti Ya Braza meni
@ezrakenyanya7399
@ezrakenyanya7399 4 года назад
Pole kaka ang umefanya meng Alama kimziki IPO na mengne so wakat mgum BT unamwixho endelea mbele
@muddysimba887
@muddysimba887 4 года назад
Still still still still still still
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 года назад
Baba levo sio kwa ile ngoma,,(wanyee) da! Huwa nikiisikiliza nashindwa kukudefine ni mtu wa aina gani?!!!!
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 года назад
I told you......!,kazi kweli kweli
@elitegeneration1613
@elitegeneration1613 4 года назад
Noted
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад
YOTE MAPITO BABA LEVO SAI MEDIA ZITAKUFATA KARIBU YA ZOTE NA NDIO WAZIDI KUVUMA🇰🇪🇨🇿
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 4 года назад
Hili jama lipo good boda + bajaji =wizi umepungua kitaani
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Magufuli= baba lao Baba lao= baba levo Kwahiyo Magufuli= baba levo Sasa tukisema mond kamtoa jamaa jela nani atabisha 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 4 года назад
Msechu jiandae kulipa den la baba leve
@annamadraga2364
@annamadraga2364 4 года назад
Mbona baba levo kama kapiga maji hv cmuelew mwenzenu
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 4 года назад
Hahahahahahahaha kweli ni msemaji ww sema tuuu
@nusratnassoro9764
@nusratnassoro9764 4 года назад
nice
@nassorsalehsalum8852
@nassorsalehsalum8852 3 года назад
Nipe namba zako
@hassanijumanne4322
@hassanijumanne4322 4 года назад
Aliye sikia kitambi kimekata ling
@rosesimwanza6033
@rosesimwanza6033 4 года назад
Kama unakubar kakosea siyo petro ni Paulo na Sila gonga like twende sawa
@joelmajumbi5871
@joelmajumbi5871 4 года назад
Ni Petro.ndiyo japo na hao ulowataja walifungwa
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
@@joelmajumbi5871 nipe kitabu cha biblia cha petrol kufungwa na herode
@kendrieckinc
@kendrieckinc 4 года назад
@@edwardsichilengwe2330 siyo Petrol🤔😂😂
@adenymwatebela5494
@adenymwatebela5494 4 года назад
Matendo 12:6-11someni hapo mnaobisha
@mackbarnaba9000
@mackbarnaba9000 4 года назад
@@adenymwatebela5494 nimesoma ahsante
@pascalelias1958
@pascalelias1958 4 года назад
Mungu mwema
@amberrose4058
@amberrose4058 4 года назад
Daaah
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
😂😂😂Nina pua kubwa kama unavoniona
@noelmsoma2963
@noelmsoma2963 4 года назад
Perfumes 659 haaaahaaaaaa
@chrxpn
@chrxpn 4 года назад
Msanii pekee wa kigoma anayeyapenda kgm
@nyotamy3678
@nyotamy3678 4 года назад
Daaa
@alijuma6502
@alijuma6502 4 года назад
Nakushauli uchaguzi ujao. Ugombe ubunge. Muda ndio huu. Gombea ubunge uwe kalibu nawana nnch zaidi..
@clementkankundiye6896
@clementkankundiye6896 4 года назад
Baba leval we unastahilo kufungwa ulikula pesa zetu Mungu usimchukilie powa
@mussaissa926
@mussaissa926 4 года назад
Fact kitu ambacho unachoweza kukimaliza mtaaan kimalza haina haja ya kwenda gerezan
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 года назад
Pole Baba Revo
@kassammwalo5663
@kassammwalo5663 4 года назад
Mwanajuma mambo
@nuruskizito9678
@nuruskizito9678 4 года назад
Njoooo ccm kumenoga
@h.rukuba7464
@h.rukuba7464 4 года назад
Acha ujinga wewe mnadiwani ccm mzuri kama BABA Levo Kigoma zima
@h.rukuba7464
@h.rukuba7464 4 года назад
Baba levo sisi watoto wa Kigoma tunakukubali sana najua una nia nzuri Sana Kigoma
@elynego1654
@elynego1654 4 года назад
Pol san ndugu...
@meksonyjoseph8909
@meksonyjoseph8909 4 года назад
Hahaha we jamaa noma
@mwajumakitoro8582
@mwajumakitoro8582 4 года назад
Ubadili tabia sasa uwe mwema
@joackimmbanguka6304
@joackimmbanguka6304 4 года назад
Nakushukia Kama radiii,,,21:35🤣🤣🤣🤣
@paulnghaburi4058
@paulnghaburi4058 4 года назад
Pole sana ila na wewe mambo yako c madogo mademu na wewe kama ni kweli au c kweli Mungu ndo mjuwaji ila kama ni kweli fanya ukili ili Mungu apate kukusamehe
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 4 года назад
Pole
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 4 года назад
Msechu lipa deniii
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 года назад
Hongera Baba Levi Got Bless be stark
@mustafamontana8575
@mustafamontana8575 4 года назад
Mungu yupo
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 года назад
Soko marungu jina lilibaba maana halisi.
@fabianjulius5274
@fabianjulius5274 4 года назад
Haha .. Utani ulofika kiwango cha juu .
@johnvascogodfrey7070
@johnvascogodfrey7070 4 года назад
Msechu plzzz rudisha hela haraka
@sashawambura
@sashawambura 4 года назад
"Still...."
@simonnkane2563
@simonnkane2563 4 года назад
Kumbe magereza inaadabisha maninaa hahaha
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 4 года назад
Inamaana umefurahi sana mwenzako kuwa jera ila kaaa utambue jera haina mwenyewe
@ramadhanzombi2682
@ramadhanzombi2682 4 года назад
Kitambi kimekata ling
@arexmerck2324
@arexmerck2324 4 года назад
gerezani ukicheka sana hautoki ukiria sana hautoki ukifanya kazi sana hautoki 😖😖😖
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 4 года назад
😂😂😂hatari sana bora umrudie Mungu
@Cambarada
@Cambarada 4 года назад
😂😂eti anatembelewa na watu 200, 150 wengine wanafukuzwa
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 года назад
Yaaan baba levo muongoo 😂😂😂
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 36 млн
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 2
23:11
Просмотров 227 тыс.