Тёмный
No video :(

SIMULIZI: ALIHUKUMIWA KUNYONGWA, MKAPA, JPM WAKAMUOKOA "NIMEKIONA KITANZI, WENZANGU WALINYONGWA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 203 тыс.
50% 1

Ni simulizi ya maisha ya Mzee Hussein Khatibu Kifunza aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa mwaka 1985, huku akishuhudia wenzake wakinyongwa gerezani (+255688190217).
Ayo Tv na Millardayo.com imezungumza na Mzee Kifunza ambaye ni mzaliwa wa Mzizima ambayo kwa sasa ni jiji la Dar es Salaam amable alisamehewa na Marais wawili tofauti ambao kwa sasa wote ni marehemu, Hayati Benjamin William Mkapa na Hayati Dr.John Pombe Magufuli.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 388   
@dullysimulizi
@dullysimulizi 3 года назад
Tuliosikiliza huu mkasa huku machozi yakitoka gonga like hapa😥😥
@elinasanga9731
@elinasanga9731 3 года назад
Yaan nimelia jaman🙌😭😭😭😭😭😭😭na kuwafikiria watoto wangu km mzazi ila wanaume wanapitia magumu mengi mnooo
@vicentsamwel4641
@vicentsamwel4641 3 года назад
U up
@tamimumalera7040
@tamimumalera7040 3 месяца назад
Pole sana mzee wangu.
@christinakatumbi2223
@christinakatumbi2223 Месяц назад
Ok No​@@elinasanga9731
@marrowog8975
@marrowog8975 3 года назад
Allahu akbar. Ewe mola wetu tusamehe mazambi yetu na utuongoze katika njia yako... tukumbushe pale tunaposahau amri zako kwa ukumbusho ambao hauna mazara kwetu. Aaaamin.
@charlesmaestro1092
@charlesmaestro1092 3 года назад
Amin
@jamalnamkuna3961
@jamalnamkuna3961 3 года назад
Amiin
@ahmadmadhi8147
@ahmadmadhi8147 3 года назад
Amiin
@KaramaLukume
@KaramaLukume Год назад
Usikubali kumuuamwenzako kumbuka na wewe utakufa ndio maana alikuta ta ndugu zake wengi walishakufa
@YassirRashidjuma
@YassirRashidjuma Месяц назад
Amiin rabil alamina
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 года назад
Ya Allah magufuli sinto kusahau maisha yangu yote wallah ntabaki kukupenda upendo wakwweli Haufi ntabaki kukupenda 💔💔😭😭 Allah akurehem huko ulipo
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s Месяц назад
Msamaha unatokag kila rahis akiingia madarakan wanaobahatik huy kabahatik zama za magu mama yangu mdog alihukumiw kifungo cha maisha alitok mwaka km sikosei 2007 au 8 alitok msamah wa kikwete
@KenyaExposeTV
@KenyaExposeTV 3 года назад
Tutaishi kumkumbuka hayati Magufuli❤️❤️
@ashanurdin2641
@ashanurdin2641 3 года назад
Sanaa tutamkumbuka
@evawilliamchatila8211
@evawilliamchatila8211 3 года назад
Kabisa nimeumia sana
@raziaidd2392
@raziaidd2392 3 года назад
Kabisa mungu amrehem
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Magufuli ulale pema peponi tutakukumbuka Daima 🙏🙏🙏
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 3 года назад
Amin
@mariamsudi8845
@mariamsudi8845 3 года назад
Amiin yarabi
@mariamsudi8845
@mariamsudi8845 3 года назад
Amiin yarabi
@raziaidd2392
@raziaidd2392 3 года назад
Amiin thuma Amiin
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 года назад
Amiiiiiina ya rabii 🤲
@SechelelaMnyangwila
@SechelelaMnyangwila Месяц назад
Pole sana Baba yangu kwayaliyo kukuta ,Mungu aendelee kukulinda katika umri wako wa uzee hukukosea pole mkasa unatisha ,Ungefanyika Utaratibu achangiwe Ili ajikimu.
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 года назад
Subha Allah iv iyi dunia binadam wanaroho gani,mtu anafugwa miaka 35 alafu kwakosa lakusingiziwa inaumwa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
Hio kawaida wengine Wana 9 saiv
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Kumbuka kuwa wanaadamu wengi hawasemagi ukweli,,,,
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 3 года назад
Mungu akufanyie njia aliye kuwekea mama yako hadi kukushuhudia mwanae ukirudi tena uraiani umenikumbusha story ya mwanamke mjane (Nabii mke) ktk Biblia Mungu alimwambia hutakufa hadi umuone mwokozi (Yesu ) na kweli umri wa miaka 80 akamshuhudia Yesu hekaluni. Utukufu kwa Mungu aliye juu. Da kwa history hii Mungu anakupenda sana
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 года назад
Dunia ndio ijue sio kila mfungwa anahatia.pole sana mzee.mshukuru sana mwenyezi mungu.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 9 месяцев назад
Hakika
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
89dah mungu mpunguzie magu azabu ya kabri
@selinathomas2096
@selinathomas2096 3 года назад
Mungu mrehemu John Pombe Magufuli kusamehe adhabu ya kunyongwa sio Jambo dogo
@ruthwanjiku8265
@ruthwanjiku8265 3 года назад
12111
@PeterMbise-uv4nm
@PeterMbise-uv4nm 3 месяца назад
Hy
@sakinaramzu2878
@sakinaramzu2878 3 года назад
Mungu nijaalie mwisho mwema binadam wewe ni nani unae weza kuukumu na kukatisha maisha ya mtu eh mungu
@Abisto10
@Abisto10 3 года назад
Imani Imani Imanii Alhamdulillah Ma’sha’Allah * Assalama aleikum kaka
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Mtangazaji kongole kwako kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 3 года назад
Hakika Mungu wetu ni mwema Sana huyo Mzee ni ushuhuda Mkubwa Sana Mungu alimuepusha Raisi Magufuli mikono yake kunyonga nchi inaweza kulaaniwa kwa Mambo mengi sana
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 5 месяцев назад
Hii nchi haki inapotezwa sana na wengi walio jela hawana hatia 😢 walio fanya makosa wapo tu nje wanapeta 😢😢😢
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Ila serikal wakat mwingine wawe wanasikiliza vizur sasa huyu Baba ana makosa gani daaah jmn pole Sana bab
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 3 года назад
Jamani haya Maisha ni safari Sana kazi zingine ni ngumu Sana Mungu tusaidie
@hbsolo5579
@hbsolo5579 3 года назад
Naomba milad ayo kma itaezekana kufungua account ya mchango ya kusaidia wazee kama hawa walo poteza maisha bila hatiya.. Inaskitisha sna.. Allah Kareem
@ManMan-sz8fy
@ManMan-sz8fy 3 года назад
Hapo xafi waxo jema
@lubnalubna608
@lubnalubna608 3 года назад
Siamekutwa na hatia na mahakama.
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
Inalilai walnalilai rajiuni pole sana baba Mwenyezi Mungu hatakulipa
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
Inasikitisha sana pole baba mitihani ya dunia jamani
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
Jamani wapangaji tuwewakweri kwa wenyenyumba tutapata zambi nakuwapoza wazee kama uyu baba
@halimamimarich3799
@halimamimarich3799 3 года назад
pole bbngu...Allah atakulipa kwa yote😢😢😢naskiaa uchungu nathmn niko n uwezo nikawmle hao wanao jifnyaa ndio wakubwa kwenye hii dunia....ila Allah atawalanii ....
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 года назад
Adhabu hii, ingefutwa duniani kote.
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 3 года назад
Kakaayo tunaomba ufanye taratibu za number ya mawasliano, ikiwezekana usimamie tumuwezeshe mzee mwisho wake uwe mwema, maana Hana uwezo wa kufanya kazi kweri inauma mno jaman 😭😭
@mikandaba2421
@mikandaba2421 3 года назад
+255688190217
@ibrambele7725
@ibrambele7725 3 года назад
Pole xana mzeee kilio cha mateso ulichokipata mungu yuko pamoja na ww mungu ataendelea kukufuta machozi
@burnmotto1876
@burnmotto1876 3 года назад
Pole Sana mzee mungu wetu mkubwa, nakushauli hiyo nyumba samehe mungu atakuzidishia pepo bora zaidi
@wizzmoh
@wizzmoh 3 года назад
lllPllPll]lo)l]llPlpl0l
@justentz9278
@justentz9278 3 года назад
Dah pole sana
@aminaabdallah9117
@aminaabdallah9117 3 года назад
Mungu siAthuman baba ona Haki aizami mzee mungu anakupenda Sana zidi kumuabudu mungu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 года назад
Pole babu mungu akulinde atulinde nasi na vizazi vyetu
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 года назад
Amiina
@omarymasukilawachawiiwamez8924
@omarymasukilawachawiiwamez8924 3 года назад
Mungu alimtuma magu na katenda kazi kachukua mjaa wake bila ya magu inamana bila jmp Bado angekua gerezani
@aishamsemo5154
@aishamsemo5154 3 года назад
Daaah Maisha haYa....inauma Sanaa😭😭mungu tupe mwisho mwema
@TwalibFoum
@TwalibFoum 3 месяца назад
Kwakweli kilichopita wahenga wanasema si ndwele kali kwakweli inasikitisha sana cha zaidi mtu hakua na kosa hakuhusika na chochote unahukumiwa kufa yani hatari sana Allah atustiri na mitihani midogo na mikubwa ya hii dunia
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 года назад
Pole baba Mungu yu mwema upatiwe yu haki yako tunaye Rais mwema pia ataliangalia hili kwani miaka 37 si mchezo. Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 года назад
Inalilahi Wainailahi Rajeehun kumbe nchi yetu ina sheria ya kunyonga🥺🥺🥺🥺Allah awafanyie wepesi woote waliyopo magereza Ooooh my Lord moyo umenimuaaaa. Mashaalah mzee anakumbukumbu zote
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 3 года назад
Ilikua zaman, Marais wengine walikua hawatii SAINI
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Ipo ila haitekelezwi iliwah tokea Enzi za Rais mwinyi tuu aliwah sain wafungwa wakanyongwa sikumbuki idadi lkn haijawah kutokea tena
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
​@@enterenter1921😢😢 duuh kumbe mwinyi nae alisaini hiyo kitu innalilah waina ilah rajiun 😢
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 года назад
Bb yangu Mshtakie Mwenye i mungu Allah atakulipa kwa dhuruma uliyofanyiwa
@ladymuna4945
@ladymuna4945 3 года назад
Pole sana ALLAH atazidi kukufanyia wepesi In sha Allah
@mundhiraliy1307
@mundhiraliy1307 3 года назад
Pole sana babu😥 Serekali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tz imezidi dhulma 😥 Kunawa2 miaka 9 sasa wanaadhibiwa bila yakosa 😭 Allah atawalaani kwarehma zake🤲 Nanyinyi muonje machungu yake kabla hamjafa 🙏
@saidomari001
@saidomari001 3 года назад
alhamdulillah,kikubwa mzee wangu ukiweza waeza oa na zaidi kumuomba mungu maisha ya yaliobaki ,usikate tamaa baba
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 года назад
Huruma jamani Anavyosimulia huruma Kosa la kusingiziwa Mungu mkubwa
@elinasanga9731
@elinasanga9731 3 года назад
Yaan we acha tu 😭😭😭😭😭😭inaumiza sana hii story
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 года назад
Pole Sana Baba😭😭😭zulma hii jaman
@yusuphkitigwa8815
@yusuphkitigwa8815 3 года назад
duh hakika kilamuntuh Arakwa
@yusuphkitigwa8815
@yusuphkitigwa8815 3 года назад
qulynafsy dhaikatul maut
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 года назад
Pole sana babu Allah akuhifadhi na akuongoze katika khaki ufanye yale yenye kumfurahisha Allah
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 года назад
Duuuhh pole babu mda kweli yani. hatakuzaliwa mm bado zijawazwa.daah kakupotezea ndotozako kweliyan.Allah kareem uwezijua nn kakuepusha.❤
@elinasanga9731
@elinasanga9731 3 года назад
Yaan acha tu hana mtoto wala mke inaumiza sanaa🙌😭😭😭😭😭
@marianakapeller4699
@marianakapeller4699 3 года назад
Magufuli tunakukumbuka every second we are breathing, may God rest you in easy Sir.
@dadapechi
@dadapechi 3 года назад
Akina babu seya pia
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Rip mzee mkapa huyu mzee atakumbukwa daima Maan Hawa wakuhukumiwa kunyongwa wote adhabu ilibadilishwa,, kila Rais anamazuri yake namabaya kila utawala wafungwa huachiwa huru
@saidikobossa7489
@saidikobossa7489 2 года назад
@@dadapechi ppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp0p
@OscarMgaya-sw3df
@OscarMgaya-sw3df Год назад
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
😭😭😭😭hata sijui hawa Askari wanaonyonga huwa wanakua na roho gani mweee pole Sana Baba angu
@isamony58
@isamony58 3 года назад
leo nimekubali waliyo jela ciote wenye hatiyaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🤲
@salhakristina9434
@salhakristina9434 3 года назад
Ukweli naumia sana 😭😭😭😭
@dadapechi
@dadapechi 3 года назад
Nimeumiaaa
@danielchaulema1670
@danielchaulema1670 13 дней назад
Mkapa na. Magufuri. Asanteni sana
@faridamohamed3561
@faridamohamed3561 3 года назад
Mwenyezi Mungu atupe jicho la kuwajua marafiki wazuri na wabaya
@rosemary3816
@rosemary3816 2 года назад
Duh machozi😭😭😭😭 yamenitoka ee, mungu wangu, watoto wetu vizazi vyetu,
@mohamedaminah3448
@mohamedaminah3448 3 года назад
Daaaaaaaah akisimulia mambo yakunyongwa mwiliulinisisimka nakutetemeka .
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Pole sana Allah atakusaidia inshaallah
@kobanyawale3709
@kobanyawale3709 3 года назад
Asante Ayati Magufuli kwa hekima yako kumsamee uyu mzee
@abdallahsaidi2942
@abdallahsaidi2942 3 года назад
Mungu akufanyie wepesi kwakila jambo
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 3 года назад
Allah Ndio hakimu muadilifu..atawahukumu wote hao wanaojifanya mahakimu
@kiluwaselemani4246
@kiluwaselemani4246 3 месяца назад
Ewe allah msamehe namakosa yake mzee wetu Joan Pombe magufuli kwa rehema zako inshallah utupe mwisho mwema😭😭😭😭
@marrowog8975
@marrowog8975 3 года назад
Allah akbari, *ni kweli hakimu muadilifu ni Allah pekee*
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 3 года назад
Yani kuna binti yangu aipendi hii kazi ya uwakimu anakwambiya hii kazi ya lhana kesho kwa mungu uwezi fanya hii kazi mwanzo mbaka mwisho bira ya kumzurumu mtu haki yake
@marrowog8975
@marrowog8975 3 года назад
@@zurfashafii9531 masha Allah
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
@@zurfashafii9531 Masha Allah
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
Naam “Alaisallahu bi-ahkamil haakimin”
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 3 года назад
@@RioIpo shukulani
@elinasanga9731
@elinasanga9731 3 года назад
Nimelia jaman🙌😭😭😭😭😭jela haina mwenyewe daah Mungu tu mzee wetu kutoka kwenye kitanzi
@mariamissa1528
@mariamissa1528 3 года назад
Inaumiza sana tuombe mwisho mwema
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
Dah 😢😢 “Alaisallahu bi-ahkamil haakimin” Suratul TIN aya ya 8 " Jee! Hakika Allah sio hakimu muadilifu?"
@habibahadithi5080
@habibahadithi5080 3 года назад
Umenifanya nitoe machozi kwa hii Aya ,kweli kila uweza na nguvu ni za Allah hakika Allah ni mmiliki wa kila kitu
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
@@habibahadithi5080 Naam tunajiachia sana wanaaadam.. wakati wisest judge ni Allah
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Al hamdulillah Rabil alamiin haki ya mtu haipotei.
@daudmtange8005
@daudmtange8005 3 года назад
Daah Jaah bless. jela kweli haina mwenyewe
@isayakibona2466
@isayakibona2466 3 года назад
maisha hyaa nikwamda tu pole sana mzee
@suleimansalim7194
@suleimansalim7194 3 года назад
DUH,POLE SANA TANZANIA HII SIO MCHEZO
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 года назад
Pole baba mungu alihukumu hukumu yake ya kweli
@jonathanjocksonmushi9518
@jonathanjocksonmushi9518 3 года назад
Pole sana mzee
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Alhmndulillah umepata bahat mama mzazi bado yupo Hai jambo lakumshukuru Allah
@issacktiibuza
@issacktiibuza 10 месяцев назад
Malanyingi penye ukweli MUNGU husimama!pole sana mzee!
@jumakikwenga5803
@jumakikwenga5803 2 года назад
Polesana Mzee, mungu amekuongoa bac mchemungu Sana, ili mungu akupokee akhera na ukafurahie malipo mazuri inshaallah.
@johnluyego9353
@johnluyego9353 3 месяца назад
Bado Mungu yupo kwa ajili ya wanyonge. Tuendelee kumtumania Mungu
@ramadhaniamri3465
@ramadhaniamri3465 2 года назад
Mungu baba mwingi wa Rekhema mwenye kurehemu naomba uniondolee na mikosi nuksi na balaa,kwa mtu usiye fahamu jela siyo kuzuri,ogopa Maisha yakula kwa muda kunywa maji kwa muda kuoga kwa muda kulala napo ni kwa muda na ogopa unaenda jela kwa kosa ambalo hauja lifanya,Mungu baba mwingi wa Rekhema akulaze mahali pema peponi Raisi wetu Hayati John Pombe Magufuli Mungu akundolee adhabu za kaburi akupe kauli thabiti....Aamiin
@faudhiahabibu9905
@faudhiahabibu9905 3 года назад
Pole Sana mzee 😭
@sittakibishi5019
@sittakibishi5019 3 года назад
Pole sana mzeee
@kimolankenyenge7158
@kimolankenyenge7158 3 года назад
Daaaah kipind cha mwinyi matatzo watu walikuwa wananyongwa sana sijuw kwa nini mbona uongoz wa jpm hakuna hata mmoja aliyenyongwa Rip John pombe magufuli
@YunusYahya-gr6ks
@YunusYahya-gr6ks 10 дней назад
Uongeleiii Nyerere alikuaa ananyonga VIBAYA mnoo
@eshaomari6363
@eshaomari6363 Год назад
Mungu ashkuriwe na vilivile baba wa taifa alie mtetezi wa wanyonge
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 8 дней назад
Kumbe nduo maana yesu aliwajua tangu na enzi polisi kwangu nao a nikazi ya laana mungu itakua ngumu mzee ujana wake kaumalizia jela uzee wake kaumalizia jela laki ni mungu akasema mamayako Atakufa mpaka akuone sasa bibi yetu mungu anaweza kumchukua mja wake kwani umeyaona matendo makuu ya mungu wako tumshukuru mungu wetu na tumlaani shetani kwa kazi yake ikitendwa na polisi mungu shugulika nao
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 года назад
Pole sana bb yng Pole sana
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 года назад
Wewe unamtamkia laana.hayati j.p.m.lakini wananchi wakawaida wengi.wamemwachilia baraka.tafakari ww unayemlaumu kila siku.unashindwa hata kulala
@hassaniajaba1530
@hassaniajaba1530 3 года назад
Pole sana mzee du mungu anatisha jamani kama mungu kakupangia ufike ulaya utakwenda hata huskujuwe na mungu akupe uhai mkubwa du kifo hadi uhai
@hasyno9805
@hasyno9805 3 года назад
katika story nilizowai kusikiliza nikaenjoy ni namba 1
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 3 года назад
Dah Yani inauma sana hao maaskali walaniwe sana mzee hata hana hata hatia kwakweli
@jumanenga271
@jumanenga271 3 года назад
Zin mafunzo mengi hizi ikiwem kutuony n kujiepush n matend mabay ylo kinyum n kisheria
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 года назад
Bb yangu Sjikamana na ibada
@omarymasukilawachawiiwamez8924
@omarymasukilawachawiiwamez8924 3 года назад
Ewee mwenyewe mungu tufanyie wepesii mwisho mwema mjarie mzee wa watu maisha haya hayana huluma
@kiangomorgan4761
@kiangomorgan4761 3 года назад
Dunia niuwanja wafujo.pole sana Baba hapo serikali ilitakiwa imlipe fidia.
@alibomba3304
@alibomba3304 3 года назад
Napenda saana kuatili chaneli z Ayo Tv maanani zahukakika na anacho kiandika ndicho anacho kitangaza Mungu akuzidishie
@Papaahansmo
@Papaahansmo 3 года назад
WADAU WA KATIBA MPYA TUGONGE LIKE HAPA 👍
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Masikini kosa afanye mwengine adhabu apate mwengine kweli si wote waliojela wanahatia
@fatmaalaufi9073
@fatmaalaufi9073 3 года назад
Walonyongwa na wanyongaji tutakutana mbele uko kwa hakimu wa haki
@janethhenry1557
@janethhenry1557 3 года назад
Huko watu watakuwa wengi wala hutawaona
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 года назад
@@janethhenry1557 😂😂😂😂akili zako wew
@janethhenry1557
@janethhenry1557 3 года назад
Hahahaaaaa ni shida
@khadijeegundumu4651
@khadijeegundumu4651 3 года назад
🤣🤣🤣🙏
@hidayaking3383
@hidayaking3383 3 года назад
😂😂😂
@Abisto10
@Abisto10 3 года назад
Imani imani Alhamdulillah Ma’sha’Allah Assalama Aleikum Kaka
@ZiruuChejojr-zb7jr
@ZiruuChejojr-zb7jr Год назад
Mungu nijalie baba insharah
@ombeniefata2239
@ombeniefata2239 Месяц назад
Mungu hatunusuru
@kobanyawale3709
@kobanyawale3709 3 года назад
Pole mzee wangu
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 года назад
Pole sana mzee m/mungu ashukuriwe ndiokilakitu
@GladnessIsaya
@GladnessIsaya Месяц назад
Lakini kwakweli kufungwa ni kubaya mno ila najaribu tu kuwaza kama kusingekuwa na mateso gerezani nadhani ni sehemu ambayo inasaidia watu waepuke kula vyakula hatarishi kwa afya za watu,huyu mzee angekuwepo uraiani yaani hata asingekuwa na kumbukumbu nyingi hivyo maana haya maradhi ya sikuhizi yanatupotezea wazazi wetu,😢 ee Mungu mkuu tetea na samehe wafungwa wote na utufundishe kuishi maisha ya haki🙏
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 Год назад
Pole Sana mzee MUNGU amekunusuru azabu ya kifo🙏🙏
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 года назад
So sad Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apate stahiki zake zote.
@bensonnahkdgks2119
@bensonnahkdgks2119 3 года назад
Mtangazaji hakumuoji vizuri
@shinuaog3610
@shinuaog3610 3 года назад
Kiukweli inauma Sana magufuli mungu amlaze Sana uko alipo 😭😭😭😭😭
@saodashaban3449
@saodashaban3449 3 года назад
Mtihan huu jamani jela hakuna mwenyewe mola hakimu wa haki
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 года назад
🤔pole sana Mzee umeshinda vita endelea kumtumainia MUNGU
@juneydillaziz4701
@juneydillaziz4701 3 года назад
Mungu atunusuru wallah
@husseinhajji6984
@husseinhajji6984 3 года назад
Hawa watu wanaofanya Huuu Unyamaa Mungu Atawalipa Na Wao Malipo Yaoo Maana Inasikitisha
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Год назад
Duniani hamna haki kwa kweli ina maana kuna watu wamenyongwa bila hatia dah machozi yamenitoka kwa kweli
@asyaamuhammed2408
@asyaamuhammed2408 3 года назад
Mbona wabakaji hawnyongwi Tena wanabaka watoto wa kiume
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 3 дня назад
GOD is LOVE for All People's Viva JPM
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Год назад
Tutakukumbuka sana rais magufuli pumzika kwa amani kazi yake Mungu haina makosa ss tulitamani ungekuwepo nasi watz
Далее
ПАВЕЛ ДУРОВ АРЕСТОВАН
1:45:21
Просмотров 114 тыс.
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
ПАВЕЛ ДУРОВ АРЕСТОВАН
1:45:21
Просмотров 114 тыс.