Тёмный

DC MAGOTI AKIWASHA KISARAWE ''SIPENDI UONGO, NINAONA ZAIDI YA X-RAY HUNIDANGANYI KWENYE MIRADI" 

JAMBO TV
Подписаться 920 тыс.
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Ndugu petro magoti amewaagiza watendaji wa vijiji na kata kuacha mara moja tabia ya kumaliza shauri zinahusu matukio ya vitendo vya ukatili dhidi ya Watoto badala yake washiriki kikamilifu kufichua na kuripoti uhalifu na wahalifu wa ukatili kwenye vyombo vya sheria.
Mhe. Magoti ametoa agizo hilo Akizungumza na watumishi katika hafla ya makabidhiano rasmi ya ofisi kati yake na Mhe. Fatma nyagasa aliyeamishiwa Wilaya ya kondoa mkoani Dodoma.. Mhe Magoti amesema hawatamvumilia mtendaji yeyote atakayechelewa kutoa taarifa juu ya matukio ya ukatili katika eneo lake.
Katika hatua nyingine Mhe. Magoti amewaagiza wakuu wote wa Idara kuandaa taarifa ya fedha za miradi walizopokea na matumizi ya fedha hizo katika utekelezaji wa miradi husika.
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@mochemba
@mochemba 13 дней назад
Kuna wengine hawafurahi hayo ndo majizi na yasio tendea haki wananchi. Hongera Sana Mh DC
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Месяц назад
Natamani ningefanya na wewe kazi lakini nimeshazeeka. Huko vizuri
Далее
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 649 тыс.
CHADEMA YATANGAZA KAMPENI YA "SAMIA MUST GO"
25:39
Просмотров 33 тыс.