Тёмный

DIWANI ATOFAUTIANA NA MKE ANAYEDAIWA KUMUUA MUME WAKE MOSHI "NITAMFURAHISHA AISEE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 323   
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 4 месяца назад
Tunahitaji kumjua Mungu sana, Ayubu 22:21 maandiko yanasema mjue sana Mungu ili uwe na amani ndipo mema yatakujia,haya yooote ni shetani yuko kazini anatuvuruga,roho ya mauti mara ajali mara magonjwa mara kuchomana visu ni mauti,mauti. Lakini tunao mwamini Yesu hatuachi kuzijua hila za adui,shetani anafanya kila mbinu kuvuruga kusudi la ndoa,familia. Hapa anashangilia Watoto wateseke, Baba kafa,Mama kafungwa!! Mungu turehemu 🙏
@janethgenes1074
@janethgenes1074 4 месяца назад
Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake mwenyewe bali mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Tayari ametengeneza laana ya damu kwa mikono yake mwenyewe na mtaka yote kwa pupa hukosa yote. Familia iwasaidie hao watoto kuvunja hiyo laana maana itawatafuna mpaka kizazi cha 4. Damu ya mtu kuimwaga chini lazima idai tu. Kama Kaini na Abeli. Tutafakari sana wanawake kabla ya kutenda.
@smarty1064
@smarty1064 4 месяца назад
Baba kaburini then mama anaenda jela watoto wanabaki hawana wazazi na wanabaki na kumbukumbu mbovu sana
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 4 месяца назад
@@smarty1064yaan nimewaonea hurum watoto tayari wamepotezewa Dira hakna mtu atakae iandae kesho nzri ya watoto kama sio wazazi wao
@janethgenes1074
@janethgenes1074 4 месяца назад
Watoto wataharibikiwa ki kiakili maana hii kumbukumbu mbaya haifutiki daima mpaka wanakufa.
@smarty1064
@smarty1064 4 месяца назад
@@mwanaidimussa yah, jambo gumu sana
@nay_lee.e
@nay_lee.e 4 месяца назад
Ndoa nyingi zina siri nyingi😢😢💔
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 месяца назад
Nausikute marehemu aliambiwa leo ukitoka utajua hujui
@nay_lee.e
@nay_lee.e 4 месяца назад
Mungu amlaze mahali pema peponi💔🕊️
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 4 месяца назад
Hili jambo ni chungu kila upande. Hatujui mengi. Hatujui walianzaje maisha yao hadi hapo walipokuwa wamefikia. Hatujui nyumba ndogo iliingiaje kwenye maisha yao, ni pepo? Ni nini? MUNGU tu atusaidie
@annajoseph9955
@annajoseph9955 4 месяца назад
YAKIKUSHINDA KIMBIA SIO KUUWA MTU ALAFU UKANYEE NDOO,,,,,,
@salamamango3976
@salamamango3976 4 месяца назад
allah tupe subra sana wanawake wote duniani...wanaume wanamaudhi sana...tumwachie mungu hukumu..allah anahukumu nzito zaidi ya kifo.
@IreneMaxwell-zt9ks
@IreneMaxwell-zt9ks 3 месяца назад
Duh poleni waombolezaji but nimekubali Sana diwani he is of Justice and anajua anachokifanya let us join together to make sure that these evils are not be continuous 🙏
@hildajoel5
@hildajoel5 4 месяца назад
Ukiwa na hasira huwezi kufanya maamuzi sahihi ndio maana tunasikia matukio kama haya. Tunajudge sana kwa sababu hayajtufika lkn likikukuta cha kufanya kinajulikana hapohapo. Mwenyez mungu atusaidie
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Hata kama Kuna maamuzi haya sio maamuzi sahihi , hata kama ni hasira mmh hapana ...
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 месяца назад
Kabisa Jambo la mapenzi Lina nguvu nyingi Sana ndo Mana yanatokea hayo some time mliobaki jifunzeni kwa huyu marehemu acheni ujinga
@hildajoel5
@hildajoel5 4 месяца назад
@@annasolomon9855 my dear kuna situations ni ngumu unaweza kupitia na kama huna watu wa kukaa nao karibu you can kill anyone. Everyone is capable of killing someone trust me. Kama hujapitia hii situation huwez kuelewa na muombe Mungu asikupitishe huko.
@mercyrehani2470
@mercyrehani2470 4 месяца назад
Fikiria kwanza wewe ufanyiwe hivyo kabla hujafanya kwa mwenzio. Hasira!???! ni ushetani tu
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh 4 месяца назад
Hasira changanya Siri acha kabisa Mungu atusaidie sana na katika kujibizana sijui kwa kweli 😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
Diwani taratibu hayakufika omba Mungu yasikufike, usiwe mkali hujui yule Mama yaliyomfikisha hapo, acha Serikali ifanye kazi yake, kutetea michepuko unaharibu kujengewa nyumba sio ruhusa ya kwenda kuchepuka
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 4 месяца назад
Unaongea hivyo sababu sio ndugu yako piga picha ndo kaka yako au mtoto wako😢Kama mume amekuudhi si uondoke!!!
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Embu nyamaza we mtu.. unajua maana ya mtu kufa? Kuna njia nyingi za kufanya kama mtu ameamua kuwa na mchepuko sio kumuua mtu , kifo ni kitu tofauti usiongee .. hata kama amefanyia Nini huwezi linganisha na kifo aisee we vipi .. haya yatokee kwa kakako na babako ndo utajua hujui
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 месяца назад
Nyumba ni nn wewe? Kuna mwanaume asiechepuka?? Labda awe na tezi dume au sukari. Wivu wa kijinga angekuwa kaka yako ameuliwa ungesema hivyo? Hata km amemtoa wapi aisee
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 4 месяца назад
nikweli diwani ivi mwanamke unaakili umfatilie nyuma kwani yeye niwakwqnza kuchepuka kweli diwani upo saw
@aminaelimgonja2986
@aminaelimgonja2986 4 месяца назад
Kweli Diwa inauma sana kuuliwa mtotot
@Jumamakanta
@Jumamakanta 4 месяца назад
Juma ameongea kitu cha msingi sana tungekua na watu kama juma raibu wa 5 Mji wa moshi ungekua ulaya.
@personpeter2221
@personpeter2221 4 месяца назад
Ulaya ya buza 😂
@ChristinaMushi-t1w
@ChristinaMushi-t1w 4 месяца назад
Waswahili wanasema ajuae mdundo wa ngoma ni aliyecheza ngoma sisi tutaongea sana na kuhukumu sana lkn mwisho wa siku hatujui huyu mama alikutana na maumivu gani akashindwa kujizuiya kwenye ndoa kuna mengi majambo na nyie wanaume hatusemi msichepuke coz wanawake wako wengi na wataenda wapi tatizo dharau nyumbani za nini si mchepuke kwa heshima
@AmidaTweve-jf4sx
@AmidaTweve-jf4sx 4 месяца назад
Siwamesema mume wake alimpiga sana had kashonwa sehem za usoni na sababu ni huyo mchepuko
@rosemuna5569
@rosemuna5569 4 месяца назад
Mim nasom coment
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 4 месяца назад
Lakini Sensa haionyeshi wanawake kuwa wengi hivyo tofauti ni 1m Tu kila mwanamume akisema awe na wawili maana yake watanyakanyana wanawake. Labda useme wanawake wanapenda penye mshiko ndio mana wanaolewa wote sehemu moja😅
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Bora uwambie haswa huyu anaejiita diwani
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Bora uwambie haswa huyu anaejiita diwani
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 4 месяца назад
Huyu muuwaji hajawaji kutoka na mwanaume mwingine? Mpaka amtoe roho mtoto wa watu. Aliolewa akiwa bikra. Vitabu vya Mungu vinatufundisha kusamehe kama tunavyosamehe wanaotukosea. Kwanini sasa tunaendekeza hasira za kipumbavu? Atiwe ndani na sheria ichukue mkondo wake na soon ahukumiwe. Wenye akili ya kuuwa mtu kwa sababu ya mapenzi bila hata huruma ya kutambua mchango kwa maisha ya familia walaaniwe.
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko 4 месяца назад
Mwenzio kaonabora amuwaishe sasa laana ipo mlangoni akichukua mume wa mtu wake kaua
@JacklineMnganya
@JacklineMnganya 4 месяца назад
Kwa mwonekano wake hajatulia inaonyesha ni wale kina mama wanaopenda kuwa juu ya waime zao kisa ndao na mwanaume akaliruhusu Hilo nawasii sana wanaume waishi na ss kwa akili kama maandiko yanavyosema
@intellegencysingida9493
@intellegencysingida9493 4 месяца назад
Kwa maandalizi aliyoyafanya muuaji na umbali aliokwenda, hasira haina nafasi hapa. Diwani yupo sawa.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 месяца назад
Huyu kabla hajanyongwa abanwe kwanza atujuze ni nani yuko nyuma yake tunasikia Kuna mashoga zake walikuwa wanampaplish na sim zao zichunguzwe wakibainika na wao watakuwa wameshiriki mauaji wote nyongelea mbali
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Wewe hacha kuandika vitu unavyovisikia andika kitu ambacho unauakika nacho
@KiboChacha
@KiboChacha 4 месяца назад
Wanaume mnazalau sana mkipata michepuko mnakua maneno yakukata maini Mimi namuombea huyo mama atoke
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Huyu atatoka
@aickatesha4542
@aickatesha4542 4 месяца назад
Kabisaaaa
@eshymushi3495
@eshymushi3495 4 месяца назад
Atatoka
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Na Mungu atasima atatoka aje alee watoto wake
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 4 месяца назад
Akitoka tutamuua
@peninashungu6633
@peninashungu6633 4 месяца назад
Huyu diwani Hana Akiri kabisaaa alafu anapenda Sana ushabiki acha serikal ifanye kazi sio kushadadikia,
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Eti utafikiri yeye ndo msemaji wa serikali anapenda kushadadia sana
@peninashungu6633
@peninashungu6633 4 месяца назад
@@lidyakisoka-is4ru nilishamuona kwenye msiba wa yule mtt ameuwa mama yake na kumzika aliongea ujinga Sana mpaka Mh tulia akasema waachie serikal, wamchunguze huyo diwan kwa maneno yake tu uwenda kashauza viwanja vya watu sana
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Huyu Diwani nawasiwasi kaone hai wtt wa kike isije kuwa anawatamani eti watt sio Lazima waishi na bb au mama mara ndugu wa upande wa pili wasiulize kuhusu wtt anataka kuwabaka au,kwanza yy sio mkibosho ni mpare Wamsele kuweni makini mtapoteza na watt
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Hajui hata sheria kule Kuna degree ya sheria sio kujua sheria,watakuwa wanasheria wanamshangaa cos anatia aibu,hovyo hovyo anaongea
@VERONICALAIZER-vt3ui
@VERONICALAIZER-vt3ui 3 месяца назад
Nina nyumba,nina watoto,natembelea prado??nimfuateeee mtu sijui wapi huko eti hadi nichome kisu??niwaache wanangu,nyumba yangu nikaozee jela???Mungu tupe hekima tutambue mambo yote ya hii dunia ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.....hawa watoto hawataweza kumuelewa mama yao hata cku moja,,kheri nusu shari kuliko shari kamili 😭😭😭
@AdmAlhinai
@AdmAlhinai 4 месяца назад
Mimi nasema apana ata km anawanake 20 nyumba nzuri umejengewa wtt 6 umezaa nae alafu uyo mchepuko sio km kakutoa ww akamleta mchepuko ww upo kwenye nyumba yk shida ipo wapi tufike wakati wanawake tujitambue ss apo amepata faida gani mume kamuuwa yeye yuko ndani ata hao wtt sidhani km watakuwa na imani tena na uyo mama yao japo mzazi ni mzazi
@BeathaSwai
@BeathaSwai 4 месяца назад
Asee huyu mam ni noma Sheria afuate mkondo wake
@nwntz
@nwntz 4 месяца назад
Watoto watahisi muda wowote ni kisu kinatembea afu bahati mbaya watoto wengi wakike kipenzi cha baba
@AminaMtui
@AminaMtui 4 месяца назад
Huyo mama pengne ata Mia take ilikua sio kuua jaman msimseme Sana ata huyo mwanaume ndio ilikua chanzo kakaa kwenye ndoa take miaka yote hiyo mwisho wa siku anakua msaliti inauma Sana kwakweli
@mbegembege
@mbegembege 3 месяца назад
Si mnawalegezea wenyewe na serikali inawatetea kwelikweli,mungu saidia
@GraceShayo-mj3oc
@GraceShayo-mj3oc 4 месяца назад
Kizazi cha Kaini cha kuua, hiyo ni laana mbaya sana hata watoto wake watamchukia mama yao sana, hiyo familia imtafute Mungu sana na kutubu hiyo laana ya kumwaga damu isamehewe
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 месяца назад
Msipendelee mbona nyingi mnauwa wanawake
@miriamowenya1928
@miriamowenya1928 4 месяца назад
Usimuhukumu huyu mama ww unajuaje pengine ninhuyo hawara
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 4 месяца назад
Kwa kweli mwanamke alikusudia kabisa pomwani ni mbali sana alijiandaa, Na wakati mume kamjengea nyumba nzuri na watoto 6 na anapata anachokihitaji chuki yote hiyo ya nini kwa kweli hata mimi sikubaliani nae, wivu au ni muuaji huyo 😊
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 4 месяца назад
Siyo muuaji tu, ni ushetani uliopitiliza
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 месяца назад
Maitaji Co nyumba tu tendo la ndoa ndio kila kitu kwenye ndoa omba sn yasikukute nyumba eti nyumba na unyumba upati unaweza unawaza ukawa chizi
@ednanyangoro924
@ednanyangoro924 4 месяца назад
kwani kwao hakuacha nyumba? kwani alifuata nyumba hapo... kujengewa nyumba sio ndio ruhuza kuwa na mke mwingine. Abadili dini awe muisilamu basi..Na hiyo kanisa inamzikaje mzinzi? Au kwa vile alikuwa anatoa Sadaka? Double standards... shame on you church!!!! wote wamevunja amri za Mungu. Mmoja kazini ila kasababishia mwingine kuuwa. Wote wanadhambi. Lakini asingezini asingeuawa!!!!.Nani kaanza kosa hapo??
@TheopistaAloyce-ht8kr
@TheopistaAloyce-ht8kr 4 месяца назад
Hakufuata nyumba wala Magazine bali ALIUFUATA UPENDO WA KWELI AMBAO MWANZO ALIMPATIA NA SASA AMEUMEGA NA KUPELEKA KWA MPANGO WA KANDO ,HILO NDO TATZO..
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 месяца назад
Ndio kweri kabisa
@VailethBugali-sr8gx
@VailethBugali-sr8gx 4 месяца назад
Likimpata mwezio kuongeaa nilahisi
@rhodamwakaje778
@rhodamwakaje778 3 месяца назад
Diwan huko vzr huyo muwaji akapate ujira wake
@ErnestineKamuhabwa
@ErnestineKamuhabwa 4 месяца назад
Amri ya Mungu " usiue ". Je mama amempata yule mume ? Je mama kaua mume, sijui pilato atampa hukumu gani,- alitafakari kuwa baada ta kuua mume,nani atalea hao watoto wao maana baba kaua na yeye atasota jela ? Hasira za mkizi a. Atakosa vyote
@KiboChacha
@KiboChacha 4 месяца назад
Wewewe mbaba acha kuongea
@mariasafari1004
@mariasafari1004 4 месяца назад
Kwann mwanaume anajihangaisha na mwanamke mwingne???kama hamtaki huyo mama angemwambia ukweli kama hamtaki,wanaume acheni kuhangaika na michepuko au basi basi dini iruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja.
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 месяца назад
Alichokitafuta kakipata akapambane na tani Saba za mchanga huko chini
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 месяца назад
Pole sana mpendwa, angekua kaka yako, au mwanao ungesema hivyo? Ni mwanaume yupi umjuae ni mtakatifu? Kabla hatujahukumu tujitafakari ni nani aliye safimwenzio akinyolewa tia maji, hajawahi kutenda dhambi?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
​@@HamisiForogouna ungufu wa Afya ya akili
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 месяца назад
​@@dorahmushi-we6ts Kwa akili hiyo unataka kutuweka wanaume wote kwenye fungu la wachepukakaji? Udhaifu wa wanaume wengi siyo wa wanaume wote!!
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 месяца назад
Kwaiyo unashauli alichokifanya uyo mama ni sahihi?
@moldinaaliwa1447
@moldinaaliwa1447 3 месяца назад
Wewe baba acha kuchochea uzinifu, tumuombee tu mwanamke mwenzetu atoke salama.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 месяца назад
Angekusudia angemchoma kisu zaidi ya kimoja. Hiyo ni hasara
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 4 месяца назад
Huyu diwani ni falaaa😅😅😅
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 месяца назад
Anyongweeee anajifanya anausikilizia sana utamu 😂😂
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 месяца назад
Tena hawawezi mnyonga na alipelekwa mochwari kuaga mume wake ahakikishe ni yeye atakaa ndani ila Iko ck atatoka akalele watoto wake Sasa nani km mama hakuna hata awe mbaya hata awe mchawi utamfanyaje na ndo mzazi wako inauma ila hamna njia tunaongea tuu
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 месяца назад
Basi endeleeni kuuwana ili mtoke na maisha yaendelee
@nancytuni1206
@nancytuni1206 4 месяца назад
Hapo Mungu asimame kwa kweli Ndio mwanzo wa watoto kusambaratika maskin😢.....diwan upo sawa lkn hujawafikiria watoto 6 alafu bado wadogo jamn wanakuwa mayatimaa
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 месяца назад
Umeua mumeo,umekwenda jela,watoto wamezika wenyewe baba yao,umewaaacha wapweke,kweli wamama hii ni sawa?😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu tucmamie wamama🙏🙏🙏🙏
@pancrasbwena1166
@pancrasbwena1166 4 месяца назад
Anaewatuma mchepuke nan?! Hamjui mama amepitia nn pak kufany ivyo n hzo n hasira tu wew unatetea kwasababu n ww n mchepukaj t.Dear women ukiona red flags km hiz za wa chepkaj kimbia so lazma mzeeke wote
@TheopistaAloyce-ht8kr
@TheopistaAloyce-ht8kr 4 месяца назад
Maswali yote tunayojiuliza majibu anayo MUNGU anayeona sirini..INAWEZEKANA NI MCHEPUKO SIYO HYO MAMA..!!! TUSIONGEE SANA.
@josephmremah4743
@josephmremah4743 4 месяца назад
Kwa kweli hapa mh diwani umenema jambo tukizubaa wanaume tunaisha kabisa
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 4 месяца назад
Huyu diwan anaonekana ni mchepuko wa bi mdogo ndo maaa anaongeaongea tu angejiuliza mfano mkew akawa na mchepuko na amezaa nae watot 6 angemuacha
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 месяца назад
Wanajisemesha tu wenyewe wanayao kibao awauwi kwa visu wengine wanauwa kwa ushirikina ebu tumuachie mungu sio kulaumu wengine
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 месяца назад
Ndio walewale, Mama junior shem kasema eti atakufurahisha siku ukimfuata nyuma. 😅😅😅😅😅
@rosemuna5569
@rosemuna5569 4 месяца назад
Ndio apo sas
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 4 месяца назад
Halifai kabisa. Sawa kabisa Mh. Diwani.
@davidsebastian661
@davidsebastian661 4 месяца назад
Kk uko vyema Mungu awatie nguvu😊
@FekiHappy
@FekiHappy 4 месяца назад
Kweli kbs black and white mama mkatili huyu sana
@VeronicaMasawe
@VeronicaMasawe 3 месяца назад
Acha ujinga ww
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 4 месяца назад
Kwenye Aya tu hapo ulivyo soma hahaha 😂 nimeshituka japo umeongea vyema 😅
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 месяца назад
Hakuna mwenye haki ya kuua.Huyo angaliom a talaka tu na siyo kuua 😢😢Ni muuaji na mjinga mkubwa sana.Anamuua baba wa watoto sita 😢😢Aibu pia kwa wanawake wote 😢😢
@themaestro-24
@themaestro-24 3 месяца назад
Huyu diwani ni chenga anauhakika gani kama huyo mwanaume ndie aliyejenga hiyo nyumba????ndoa zina siri nyingi.Niko kufikiri mwanamke hawezi kujenga.Hivi hamumunio rais na spika na wengine wengi nao wanajengewa???fikra finyu
@EmsonSambo
@EmsonSambo 4 месяца назад
Uko sahihi kabisa
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 4 месяца назад
Mshahara wa dhambi ni mauti Zinaaaa zinaaaa unauwa
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 4 месяца назад
We ni diwani tuu.ya ndoa huyajui.amazaa watoto 6 na nyumba nzuri nio cheating cha kumsaliti?? Wanaume walindwe kkwa kosa la malandokando.acha usiisaidie serikali ina macho pale palikuwa na mke na mc hepuko mlijuaje muuwaji?? Wakamatwe wote wawili wakajitetee mahakamani ..
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 месяца назад
Juma yupo sawa, japo ashapigwa sana vita lkn Mungu atamsimamia huyu mwamba
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 месяца назад
Tunaongea tuu na tusijiinginze kulaumu tuu mungu pekee ndiye anaejua kwanini yakatokea hayo na hukumu ni yake hivyo bc tujifunze kunyamanza
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 4 месяца назад
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@MarySion-c6h
@MarySion-c6h 4 месяца назад
Anyongwe,iwe mfano kwa wengine. Muheshimiwa diwani naungana na wewe kutoka machame
@EstermsuyaMsuya
@EstermsuyaMsuya 4 месяца назад
Umeongea sahihi. Huyu mama.hajafanya sawa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 месяца назад
Pole sana Shem, lakini ebu acheni tabia za cheeteng. Msalimie bby Jane
@sarahgilbert1084
@sarahgilbert1084 4 месяца назад
Tabia za ulaya, mshahara wa dhambi ni mauti na mauti yenyewe ndo haya sasa.
@rosemuna5569
@rosemuna5569 4 месяца назад
Kabisa
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 4 месяца назад
Diwani una akili kama Mungu angehesabu maovu yetu nani angesimama huyo mama hajawahi kumkosea mmewe jamani tumcheni Mungu
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 4 месяца назад
Hapo huyo mwanaume angeleta Ukimwi nyumban hakuna mtu angeleta mdomo me namuombea huyo Mwanamke Mungu amsimamie atoke alee wanae na wanaume muache michepukoooo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 месяца назад
Kuua ni kuua tuu anyongwe 4:21
@joyce55727
@joyce55727 4 месяца назад
Pia mm namuombea atoke maana ni uchungu mtu mnaanza nae 1 mali mkisha pata anakuona hufai anatafuta wa kula nae laha
@angelaminde1247
@angelaminde1247 4 месяца назад
Tunachojua kila mtu alikosea ila hakuna anaejua hali halisi ya hiyo familia zaidi ya Mungu. Na mimi namuombea huyo mama atoke alee watoto wake. Siri ya familia aijua mke na mume na sio majirani jamani😢
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 4 месяца назад
We nawe ni wale Wale. Ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, na ikitokea kitanzi kimemkosa apigwe risasi ya moyoni.
@lusticabernad9982
@lusticabernad9982 4 месяца назад
Mapenzi yanauma sana hasa pale unapojua mwenzi wako muda huu anagawa utamu ambao ungependa uupate peke yako, maumivu yake sio mchezo, halafu ukute mwanaume hakupendi tena kahamishia mapenzi kwa mchepuko na anaondoka muda wowote anaojisikia bila kujali, ukimwambia haelewi anakuona kama kinyago, aiseee roho inafurukuta sana ni bora mtu achepuke halafu akuheshimu awe anajiiba kwenda, sio kwenda huku mkewe anajua na anaona huwezi mfanya chochote, haya ndio malipo yao pumbavu
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 месяца назад
Mke wa kaka angu amue blaza hivyo haki ya mungu namchalanga mapanga.
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 4 месяца назад
Diwani umeongea vizuri haki ya marhehemu ipatikane. Huyu mama akipatikana na hatia asifungwa maisha bali anyongwe
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 4 месяца назад
Na adipokufa kwa kitanzi spewe risasi ya moyoni na moyo utoboke ili watu washihudie kifo chake😭😭😭
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 4 месяца назад
Ahukumiwe kifungo Cha maisha.ni muuaji kama wauaji wengine.
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 месяца назад
Wewe baba tulia unaongea sn ukute nawe ni shida sn tena ww ni shida zaidi
@athumanfuko199
@athumanfuko199 4 месяца назад
tuliambiwa wanaume tuoe wake wengi kama unauwezo.jamaa alikuwa anauwezo WHY no ha ha ha
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 4 месяца назад
Anaongea ukweli, wanawake mna roho mbaya sana, hasa wachaga tena huyo mwanamke anyongwe pumbavu yee
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 4 месяца назад
Mama kaa tulia lea wanao achana na hvi viumbe utajikuta unawapa wanao shida ambayo hujaitegemea
@allutacontinua719
@allutacontinua719 4 месяца назад
nooop huyu ni mwislam ndio kisa na maana anasema hivo maana Imani yao inawaruhusu kuwa mwanaume anaweza tu kuwa na mke zaidi ya mmoja
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 месяца назад
Shida kidogo
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 4 месяца назад
Usiombe yakukute wmanaume akipata mchepuko make wandani ana kuwa mavi mkewako amekuzaliya watoto wazuri namnahiyo Bado unataka nini ulichokitaka umekipata Mungu atakusaidia mwanamke mwenzangu utatoka
@julianasekela9251
@julianasekela9251 4 месяца назад
Muueni nayeye basii. Mimi ningekuwa Dada wa Msele nasema namimi ningeakikisha mtoto wake anakufa bila kuja mtoto wake ni shangazi yangu
@VictoriaClement-tx3hk
@VictoriaClement-tx3hk 3 месяца назад
Alafu diwani unafisa na dada wa watu
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 4 месяца назад
Vaa viatu wewe vya kusalitiwa...harafu rudi kwa nguvu hiyo hiyo
@rosemuna5569
@rosemuna5569 4 месяца назад
Hhahahahhahhaha watu siwanaongea tu hhhahahHH
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
Asante.
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 4 месяца назад
Hyu mwanamke ni mpumbavu maudhi ya wanaume ni mengi sana ukicheza nao utakufa ww au ufungwe uache watt wanateseka
@brysonmandari5694
@brysonmandari5694 4 месяца назад
Hiyo imeishaa! Gonga like kwa wale waliosikia neno nikiwa nakunywa wine yangu mke akinifuata nitamfurahisha.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 4 месяца назад
Mimi ni mwanamke nakusapoti, mke hafai kufuatia whereabouts za mumewe
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 4 месяца назад
😂 kwani waislamu hatunywi? Wasiokunywa ni walokole wa kikristu na walokole wa kiislamu “sunni”.
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 месяца назад
​@@easternyerembe7271Kabisa
@frankdionis7700
@frankdionis7700 4 месяца назад
Unanifaa mbona ila usije ulawa unatokea Moshi na wewe​@@easternyerembe7271
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 месяца назад
​@@Kijana-wa-TanzaniaKoma wewe mpuuzi jisemee mwenyewe acha kuingiza watu
@cosmaskulaya5297
@cosmaskulaya5297 4 месяца назад
Kuna watu wana uelewa mdogo wa mambo na wameshikiwa akili na mifumo ya sasa tulioletewa na wazungu. Magonjwa yameletwa ma wazungu na hata hivyo haiwezi kuwa kigezo cha kumuua mwenzako.
@kalulumwaiba5483
@kalulumwaiba5483 4 месяца назад
Mama akifungwa utalea watoto wake wew au
@glorymamkwe4360
@glorymamkwe4360 4 месяца назад
Huyu anajiongelesha tu
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 4 месяца назад
Vipi kanisa hapo,au sheria zimebadilika,muumini safi ,mchepuko ruksa,macho ya rohoni,makuhani,makuani haya,hapo hamkuchunga na kumuelewa kondoo wenu
@FaridaHamisi-k6i
@FaridaHamisi-k6i 4 месяца назад
Haki ipi iyo mamtu amekufa aiseee.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 месяца назад
Kuuwa kakosea ssna ila kwnn wanaume amtulii eti.kamjengea nyumba na wtt 6 ..no nyumba wamejenga pamoja hili waishi kujenga familia yso busna wanaume acheni kutngatangaa buana..ila mauji si maxuri atua ichukuliwe lakini wanaume madababisha vitaa mnaumiza wamama mkiwa na pesa mikia juu mkiwa na dhiki mke ndio mkeoo mkipata tuu mnakimbiaa acheni buana nyiee
@rosemuna5569
@rosemuna5569 4 месяца назад
Kabisa
@JamilhaSelemani
@JamilhaSelemani 3 месяца назад
Ndg wanasema wameukuta mwili ndani getini kwa mchepuko sasa utasemaje mkewe wa ndoa ndio kauwa wacha jeshi la police lifanye kazi yake na cio kuukumu
@lucymacha1853
@lucymacha1853 4 месяца назад
Kazi za mahakama unaongelea kwenye familia za watu acha siasa
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 4 месяца назад
Ili wanaume msimalizwe mtulie acheni kona kona
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
HASIRA YA NINI ? HUYO MAMA NI MSHEZI APELEKWE MAHAKAMANI. YEYE ALITAKA UMAARUFU .
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 4 месяца назад
Limama liuwaji hilo ahetani izalaeli mtoa roho za wenzake nalichukia kweli limemzurumu nafsi mtoto wa watu kaaa
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g 4 месяца назад
Hakuna hasira hapo alidhamiria na sio yeye pekeyake kuna watu nyuma yake,ni tukio limepangwa siku nyingi,huwezi toka nyumbani kwako na kisu useme ni hasira.
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Na wewe ulikuwepo kati ya watu waliopo nyuma yake, ulimuona akitoka nyumbani, ulikuwa nae hacha kuongea sana ujui kesho yako bora ukakaa kimya
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 4 месяца назад
Juma, we ni mbunge wa moshi ujae,hukurupukag, Ungeendela kua mayor, kipande cha barabara kutoka matindigan, MPESA kwenda Shabaha kingekarabatiwa, sio kwa mateso tunayoyapata
@esterkilleo2638
@esterkilleo2638 4 месяца назад
Juma hapo nimekubali ulipokubali na wewe utaivunja sheria mama junior akikufwa sehemu utamfurahisha
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 месяца назад
Afungwe maisha mjinga uyo awe chakula ya bwana jela
@KiboChacha
@KiboChacha 4 месяца назад
Ndomaana halisi yakugawana majengo ya serikali
@ReshimaAbdalla
@ReshimaAbdalla 4 месяца назад
Mie mwanamke lkn naungana na diwani kwakweli Nimejengewa nachotaka napewa👌aoe hata wanawake 10 kikubwa atimize kila ninalolitaka kwisha.
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Wewe umeolewa kufata nyumba na kupewa Kila kitu, kaka kimya wewe subili yakufike hutafungua uwo mdomo kuongea
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 4 месяца назад
Ndugu za mume wameelewa kwa sababu wanawafahamu wanandoa vizuri, na wanamsema vizuri tu mke. Wanayajua yaliyomsibu kwa mapana ndiyo maana wamepoa.
@SabinaKassera-cq9lb
@SabinaKassera-cq9lb 4 месяца назад
Huyu diwani sio hakimu hache kuhukumu huyo hata yeye htujui yuko hali gani
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 месяца назад
Mwanamke mjinga Sana sana 😢😢
@righitkileo
@righitkileo 4 месяца назад
❤kina mama tulieni nyumbani .leeni watoto ,acheni wivu wa kipimbavu.unamfatilia ulimuumba wewe?? Unafatilia nini? Wewe ni mkamilifu !?? Kwanini uwakatili watoto Baba yao kwa sababu ya Mawivu yako ??? Unajikuta wewe ni nani!?? Wewe ni taka taka kama taka taka zinqine.pyuuuui
@RodahKabehe-nu2uo
@RodahKabehe-nu2uo 4 месяца назад
Nikicheouka vp wewe
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Ujui unachokiongea kaa kimya
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 4 месяца назад
Iyo yote Ni dini zililetwa tungekuwa Tunakaa ki africa zaidi mababu Zetu walikaa na wake wengi TU Jmn lkn Wakristo wakaambiwa mke mmoja ndio hayo Sasa
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 месяца назад
Mnajua kuongea sana kwa vifungu vya sheria kabisa mwanaume akiua hapo utasikia wivu wa mapenzi muwe mnatulia kazi iendelee sa ivi mtaipata habari yenu kwani nyie mnavyoua wanawake zenu huwa watoto wanabaki na nani???
@arianjrstanslaus4991
@arianjrstanslaus4991 4 месяца назад
We ni fala kisenge
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 месяца назад
Wewe ndo msenge wa mwisho acha kila mtu apate haki yake kwa ujinga wake wa fikra bwege wewe
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 месяца назад
Mna bwabwaja maneno yanawatoka Kama mmekula mavi wanawake wanawawa kila kukicha Leo mkaone huyo kaonewa mfyuuu
@arianjrstanslaus4991
@arianjrstanslaus4991 4 месяца назад
@@HamisiForogo kwenda kenge wa majini wewe.... grow the fuck up.... fuckmalamapa
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED 4 месяца назад
Nashangaa sana wanaume wanavyofoka, hivi ni wanawake wangapi wanauawa na wanaume kwa mwezi, mbona hatusikii hizo kelele?? Yule Saidi wa Mwanza alimuua mke eti kwa sababu hakupokea simu alivyoenda kwa mama yake, huyu diwani mbona hakufoka. Zinaa ina malipo, ndio hayo yaliyomkuta Mr marehemu. No mercy for cheating husbands.
@esterkilleo2638
@esterkilleo2638 4 месяца назад
Ila jamani tujuangalie na tutafakari sana kwakila unalokusudia kumtendea mtu sasa umemuua mumeo sawa wewe unaishia gerezani watoto hao wanabakije basi ungejiua wewe umuache huyo mumeo tunawatesa watoto hapo walipo hawaelewi watafanyaje tuwe na hofu ya Mungu kwa wote sio wanawake tu hata wanaume pia amekuchosha fukuzia mbali asije akakuletea balaa
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 месяца назад
Diwani hauko sawa , juzi mi nilichangia tu kuwa kama ameaamua kuwa na nyunmba ndogo abaki huko ,lakini we diwani kiongozi kabisa unahalalisha zinaa Kwa nguvu sana . ungekemea maovu yasiendelee ili watu wasiuane . hata na hivyo chui hali mnyama Jirani na makazi yake kama wanaume mkitaka kuwa huru na hamtaki kufuatiliwa na wake zenu angeenda Mwanza kuchepuka huko au mtwara aage kabisa ana safari ya kibiashara hata angeoa huko huyo mwanamke asingemfuata huko ,sasa wewe unapigia debe safari ya Toyo hujanibariki ingawa huyo mama ajafanya vizuri
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 4 месяца назад
Diwani yuko sahihi kabisa
@VeronicaMasawe
@VeronicaMasawe 3 месяца назад
Huyu nae anaongea ujinga gani
@rehemamseno6408
@rehemamseno6408 4 месяца назад
Mshahara wa dhambi ni mauti hakunaga dhambi isiyo na malipo kikubwa hapo imeshatokea na huwezi jua amepitia mangapi na sidhani kama alikuwa na nia ya kumuua mune wake maskini
@margaretkariuki5430
@margaretkariuki5430 4 месяца назад
Diwani saidia jamii kwa kuwaelimisha,viongozi wa dini wapitie maswala ya vyeti vya ndoa vina vyowapa wananwake kiburi cha kumiliki wanaume, Imeshaeleweka hakuna monogamous marriages tuwe real
@KiboChacha
@KiboChacha 4 месяца назад
Tena kunakabila la kikyulya mwanaume hata akiwa na michepuko wazazi na ndugu mnashadadia Sasa ndo mjifunze
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Subili wewe ukiwa na mchepuka mke wako afurahie
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 месяца назад
Yani uyu diwani jamani anaongea ovyo kabisa ndoa sio nyumba wala mali yoyote chamsingi nikwamba akufanya vema kuuwa mume ila usifananishe mali na ndoa alafu usiseme wanaume wataisha kemea mauwaji we vipi
@aishamakala8045
@aishamakala8045 4 месяца назад
Huyo mbuge anacheka nn sasa
@KiboChacha
@KiboChacha 4 месяца назад
Nyie mnaoshabikia ndo michepuko mnahatibu sana familia
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 месяца назад
Huyu sindio alipita bila kupingwa
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 4 месяца назад
Shida ipo wapi ss usitushitakie sis
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 месяца назад
@@AjiaMohamed-rt5pb kuna mahala nimekushitakia
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 4 месяца назад
Hiyo no muuaji Jana fadhila hata kidogo! Sasa hayo alipo muua huyo kaka na yy yupo jela je Watoto analea nani???
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5
7:36
Apocalypto (2006): Great Escape Scene
5:58
Просмотров 24 млн