Тёмный

DKT MUCHUNGUZI AWAKA KUHUSU MAKONDA "...MLIKUWA WAPI MPAKA ANAKUJA KUBUNI MAKONDA KUHUSU MATANGAZO?" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 315 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

DKT MUCHUNGUZI AWAKA KUHUSU MAKONDA "...MLIKUWA WAPI MPAKA ANAKUJA KUBUNI MAKONDA KUHUSU MATANGAZO?"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g 24 дня назад
Ahsante sana Mzee mchukunguzi Mungu akubariki Kwa kumtakia Mema mh. Makonda
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 25 дней назад
asante sana DR umeongea vitu vya maana sana...
@deusisindwa616
@deusisindwa616 25 дней назад
Mungu amjalie afya njema Makonda❤❤
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 25 дней назад
Ni viongozi wachache wanaoweza kua wabunifu tulikumisi makonda mungu akulinde na mabaya yote tunakuombea kwa mungu udumu
@forminaformina7694
@forminaformina7694 24 дня назад
Amina...Amina.utukufu.unayeye..alindwe.kwa.dam.ya.YESU❤
@sambulugu9988
@sambulugu9988 25 дней назад
Makonda mtu wa kujiongeza sana!
@Uplifiting
@Uplifiting 24 дня назад
Wow! Dr. Muchunguzi, according to the report or presentation, you have made on RC C Makonda, tuna muomba Mama yetu Mpendwa, jicho la Taifa letu la Tanzania, Dr. S. Suluhu Hassan, If you could validate this message please. Dr.Muchunguzi, Your an asset to the nation. Umetukosha mioyo yetu. Uko wapi? You are the one! ❤🔥✅
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 25 дней назад
Makonda ni MTU wa pekee
@davinaheven4794
@davinaheven4794 25 дней назад
Mama Samia Mzee anaweza mpe kazi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Na bango hilo wangeandika idadi ya mbuga zote na vivutio tulivyo navyo Tanzania...
@paulolmabu7161
@paulolmabu7161 25 дней назад
Wazo zuri sana kiukweli sijui ni kwa namna gani wataliona
@pungopungo411
@pungopungo411 25 дней назад
Huyo anatufaa mpeni nafasi anahekima yauongozi
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 24 дня назад
Mzee Dkt.Muchunguzi uko nondo saana....we ni chuma saaanaaa
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 25 дней назад
Big up sana Dennis. Biashara ni Matangazo.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 25 дней назад
Mungu hanamfano na anatuongoza kila tunalo fanya mhe makonda nikiongozi anae mtegemea mungu yaani anamungu anamuamini mungu sana na anafahamu mungu yupo na ndiewakuobwa kila kitu nasema anae mkashifu mkuu wa mkoa wa Arusha mungu ampe adhabu isio samehewa kwasababu ya kumhujumu mtuanae. Saidia bina Adamu wenzie kwa nguvu za mungu piga kazi mhe Makonda mungu yuko nawe Akupe Afya njema uweze kutusaidia sisi wanyonge. Asnte Mungu Asante makoda ❤🎉
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 24 дня назад
Yes, seeing is believing 100%
@MahamduMduma-j1q
@MahamduMduma-j1q 25 дней назад
Mchungaji ninakuelewa sana kuhusu Mhe. R C Makonda rais wa awamu ya saba. Kuna mchungaji mmoja alikuwa akimponda sana Mhe. Makonda Sasa ajitokeze tena tumuone.
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 24 дня назад
AMINA.
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 25 дней назад
Shida wanawaacha hao wazee wa zamani wanashika madaraka na kuyakalia tu. Halafu makonda akichangamka wanampa sumu. Inabidi pia aweke bango kubwa la Tanzanait.
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 25 дней назад
A m e n.
@user-vn9yi3dj4q
@user-vn9yi3dj4q 25 дней назад
Kweli kabisa
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 25 дней назад
Yule ni Mashine
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Utalii hawana wazo la ubunifu wanakula matunda ya enzi waliyoandaliwa tu
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 25 дней назад
WATU WA TZ HAO
@AugustinoSirong-eo3yj
@AugustinoSirong-eo3yj 25 дней назад
Doctor uko sawa. Ukifanya vizuri nchi hii unauwawa
@JovinPeter
@JovinPeter 25 дней назад
Upo sahihi mkuu
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 25 дней назад
ni upeo tu ambao co kila mtu anaweza kuwa nao..watu waaina hii ni wachache sana namuombea sana MUNGU azid kumtunza naamini atafanya mengi zaid ya haya
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 24 дня назад
Sheshelwasheshelwa❤❤❤😂😂😂
@AdmiringTrain-pr3lp
@AdmiringTrain-pr3lp 25 дней назад
Makonda nikiongozi anayejitambuwa
@AburabiyKasimu
@AburabiyKasimu 25 дней назад
Wewe unataka bahasha tu. Dk
@CharlesNdali-b1p
@CharlesNdali-b1p 25 дней назад
Dr umesema kweli Kwani hata m
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 25 дней назад
Kaa na watu wa utalii wakuelimishe
@hajihassan5433
@hajihassan5433 25 дней назад
Kuna vitu havihitaji elimu tunaviona kwa macho yetu.
@AburabiyKasimu
@AburabiyKasimu 25 дней назад
Mama mpe kibarua anaomba kikubwa
@omarkapula588
@omarkapula588 25 дней назад
Na wewe muda wote ulikuwa wapi hukuwa na hayo mawazo Mwache Makonda usijipandishe chati kwa kutumia mgongo wa Makonda
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 25 дней назад
Maoni tu ,,yapo hasi na chanya
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 25 дней назад
Nchi yetu iko nyuma kweny advertisement wa vivutio vyetu,sijui wizara ya utalii wanafanya nn
@AwinaNassoro
@AwinaNassoro 24 дня назад
biashara ni matangazo tutumie makongamano na maonyesho vipeperushi na mabango ya matangazo ili kukuza utalii na utamaduni wa nchi yetu .kila kitu kina nafasi yake tusihadaiwe na technology ni njia za kutufilisi hizo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 25 дней назад
Hata ofisi zao hoi kabisa
@amansanga7813
@amansanga7813 25 дней назад
Acha unafiki.umuhombea.wapi
@pungopungo411
@pungopungo411 25 дней назад
Waambie wasomi majinga
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 25 дней назад
Wafanyakazi w utalii wamelala.siku.zote.Hata matangazo hakuna.Hawajali.Wakenya wanajua kujitangaza.Wazungu wengi huenda Kenya na kutoka huko kuja Kuuona mli m a Kilimanjaro😢😢
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 25 дней назад
Watz tumelala sana. Wafanyakazi wajifunze lugha za kigeni pia zaidi ya kii n gereza😮 Tusiogope lugha,tuache uzembe.hatuwezi kuendelea kwa kutumia lugha moja peke yake😢hata waingereza wenyewe wa m eshashituka wanajifunza lugha nyingine😮
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 25 дней назад
Makomda ameonja kifo na naamini kuwa amejutia hujuma alizowafanyia watanzania wemzake. Mungu atatuhukumu hapahapa duniani. Ukimwangslia afya yake hata kama wanaficha ukweli mungu atawaumbua
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 25 дней назад
Hao watu wa utalii ni aibu tupu hadi vyoo bado vya shimo wapo wanatutia aibu kila kitu ovyo ovyo hawajui utalii pia lazima kuwepo vitu vizuri utadhani mamuma na wanaelimu ya utalii hakuna vitu vinavyo pendeza hata usafi labda privete sector
@PeleSilili-uk3vd
@PeleSilili-uk3vd 25 дней назад
Kweri kuna mapulofesakibao akunawanachofana mzee nchosema
@yohanamabula7088
@yohanamabula7088 25 дней назад
Makonda tunamtaka aje agombee ubunge mwanza nyamagana
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 25 дней назад
Mbona mahali unaongelea kuku anawika wamekurekodi kwenye banda la kuku ? Jamani waandishi
@Uplifiting
@Uplifiting 24 дня назад
Wow! Dr. Muchunguzi, according to the report or presentation, you have made on RC C Makonda, tuna muomba Mama yetu Mpendwa, jicho la Taifa letu la Tanzania, Dr. S. Suluhu Hassan, If you could validate this message please. Dr.Muchunguzi, Your an asset to the nation. Umetukosha mioyo yetu. Uko wapi? You are the one! ❤🔥✅
Далее
Что думаете?
00:54
Просмотров 642 тыс.
Decompress small game, have time to play it!
00:35
Просмотров 3,9 млн
Wakili wa Mbowe azungumza, Sakata la fidia.
3:29
Просмотров 1,6 тыс.