Тёмный

PART 2: TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO MAKONDA/ ASHUGHULIKIWE/ WASITUTISHE/ NANI MACHAWA? 

Dar24 Media
Подписаться 733 тыс.
Просмотров 255 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#TUNDULISSU #MAKONDA #RAISSAMIA

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 547   
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md Год назад
One of the best interview, muuliza maswali katulia akirusha maswali ya akili yenye mabomu ya ukweli, tundulisu anayapooza kidogo na ye anarusha mabomu yake, safi sana I really in joy the best interview,
@johnshirima7069
@johnshirima7069 Год назад
Huyu anayehoji anaitwa nani....yuko well composed and confident. Atafika mbali professionally
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 Год назад
Tundu Lissu anajielewa..anajitambua Yaani Daah Jamaa Anatisha sana..Long life Mkuu uzidi na kutufungua akili.
@habibakowa
@habibakowa Год назад
Daaah huyu mwamba ni hatari sana, anashusha nondo za hatari sana💪💪💪
@jeremiahmushi2093
@jeremiahmushi2093 Год назад
Hii sasa ndio maana halisi ya maswali na majibu sio ujanja ujanja kila swali lina jibu lake ✊✊
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Lissu ni mmoja tu,,,nakupenda sana mzee wang Mungu alikuacha kwa sababu muheshimiwa💪😍😍
@fadhilirashidi7350
@fadhilirashidi7350 Год назад
Jamaa hujutii kufatilia interviews zake he’s bright kweli kweli!! Mungu amtunze
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 Год назад
Yaani naweza kumsikiliza Lissu 24/7 yaani 😂😂😂😂 sichoki yaani!!
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Год назад
Jamaaaa anajua anajuateeeeena
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Kwa kweli
@selemanishabani126
@selemanishabani126 Год назад
Mwandishi ni Genius sana
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Год назад
Hata mjibu maswali ni mwerevu nadhani
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 Год назад
Mr. Journalist You've earned my respect BIG UP...
@danielmgomo717
@danielmgomo717 Год назад
This man Tundu Lisu is superbly intelligent and I have never seen an interview of this kind .It seems as if thia man has been prepared to answer his questions for many years.This is very unique and classic interview which has never occurred !!
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza mbwa nyinyi mkaishi basi ulaya mnafanya nini tz nendeni ulaya
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza mbwa nyinyi mkaishi basi ulaya mnafanya nini tz nendeni ulaya
@Makala360
@Makala360 Год назад
@@kefajoseph158 acha ujinga ww kama hujaenda shule kasome mkundu ww
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Год назад
@@kefajoseph158hahahahaha. Acha husda. Ww kama hutak kuongea kizungu kaa kmyaa
@danielmgomo717
@danielmgomo717 Год назад
Ubarikiwe na Bwana kwa matusi matamu
@mbwanashabani5637
@mbwanashabani5637 Год назад
Dar 24 Media ina waandishi makini sana, sio michezo hata siasa! Bravo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Год назад
Napenda sana Tundu Lissu anavyojibu maswali. Yaani unakuta anahamu sana ya kujibu maswali, anavyoelezea kama alikuwa kaandaa maswali yeye na majibu mapema. Lakini mtangazaji na yeye kasomea taaluma yake nimempenda sana.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Год назад
Lisu anahakili huyooo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Год назад
@@Wamoyothenumberone hatar sana
@joycekalembo2225
@joycekalembo2225 Год назад
Dah nguo za chadema nzuri sana🔥🙏.
@ngwananchambi2403
@ngwananchambi2403 Год назад
safi sana risasi kutetea nchi yetu kwani cc wanyonge hatutaweza kusomesha elimu ya kisasa!!
@masubukopita7201
@masubukopita7201 8 месяцев назад
Nguo Kali sana
@andronicomkuyu1862
@andronicomkuyu1862 Год назад
Hakuna swali halijajibiwa, hoja kwa hoja, asante sana mnyampaa kwakweli Mungu amekubariki kwa hekima tele.
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 Год назад
Akili nyingi sana T.A.L huyumbi ktk misimamo bado ni mtu yuleyule kwenye hoja hata baada ya mengi kutokea....una misimamo ya msingi kufata hoja husika.....hakika Namshukuru Mungu kwa maisha aliyokupa na akili alizoweka ndani yako....kuna mahali umelisaidia Taifa hili pakubwa mno.......Heshima kwake comrade mbowe the mastermind of the game...
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
Ukimhoji lissu usiwe na degree moja.
@domicianalphonce8104
@domicianalphonce8104 Год назад
😅😅😅
@josephkulija293
@josephkulija293 Год назад
Mwandishi uko vizuri, maswali ni ya msingi na una nidhamu na taaluma yako.
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 Год назад
Anachofeli ni kidgoo sana kabla hajamaliza kuelezea anataka kuuliza swali lingine
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Год назад
Ukimsikiliza huyu mwamba kiukweli unapata elimu kubwa sana ya maisha😂 Nimependa sana mwandishi hajaogopa kauliza yote na anatoa nafasi ya mtu kujibu hata kama halitapendeza watu fulani. Bonge moja la interview....💪
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Год назад
LISSU BIG UP
@hamzangwele1267
@hamzangwele1267 Год назад
Uyu muandishi anauliza maswali point na is My no 1 muandishi kwangu
@herikaniugu
@herikaniugu Год назад
Yuko vizuri
@grace-neemabuninange-bujik9117
Siku uliyopigwa risasi nililia sana. Nidhani hii akili kubwa tumeipoteza. But God is God he is here again
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 Год назад
Hata Mimi niliumia sana,maana angepotea huyu jamaa,tungepoteza mengi sana! Nampenda bila hiana!
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Год назад
Nakumbuka nilikuwa nakula nilishindwa kuendelea..niliumia sana tena sana
@eliasgoseph1075
@eliasgoseph1075 Год назад
This guy is Genius.....
@Expedito2512
@Expedito2512 Год назад
Daaa! Ku-appreciate mambo anayofanya mtu ni njema sana. Dr. Slaa alifanya kazi sana
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Год назад
Ni kweli alifanya kazi kubwa sana..lkn kama kamanda aliyetegemewa na wengi akiwajibika kuongoza mapambano akiwa msitari wa mbele, ghafla alichomoka na kurudi nyuma na kuwaachia wenzake msala, suruba, mateso nk! Matokeo ni kama yanavyoshuhudiwa sasa...kuganga athari za hasara zilizotokea (damage control), yeye akiwa upande salama wa watesi aliokuwa anakabiliana nao! Ni majanga!
@maimunaabdullabi
@maimunaabdullabi 2 месяца назад
Mungu mpe maisha marefu Tundulisu hakoseyi hata kitu kimoja kinachofanywa ndani ya nchi hii
@aigidiusandrea1915
@aigidiusandrea1915 Год назад
You've earned my respect Mr. Journalist
@morismush4273
@morismush4273 Год назад
Lisu pigania katiba mpyaa ukumbukwe nawatanzania milelee
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Год назад
For sure
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Год назад
An interview,Best ever !
@kenedrocky5964
@kenedrocky5964 Год назад
Mwandishi wa habari uliye mhoji Mh Lissu, umenikosha Sana mtuwangu kwa maswali hevi, maswali yenye kuonyesha uhodari na uwezo wako wa kumfanyia mtu interview. Kongole Mzee Baba.
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 Год назад
Lambat ameonyesha uwezo sana...
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
Yupo vze sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
Lissu kiboko. Hajutii yaliyomkuta,wala hapiganii cheo au maslahi binafsi Bali mstakbali mzuri wa maisha ya watoto wake,na watanzania wa kesho, Heri usiogope kufa, kuliko kuogopa kufa alafu ufe! Lumbert naye, acha kabisa!
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Год назад
Hiyo ni kampeni akisha shika madaraka. Yotehayo anayaongea hutayaona.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Год назад
@@merckmdamu2942 umejuaje ??? Mbona anaongea kubadilisha mfumo wautawala, unaotoa hakisawa kwakila mtz, Wala huelewi hayayote
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Год назад
NIMEIPENDA HIYO ETI MIMI NAZEEKEA KWENYE MAPAMBANO😅😅😅😅 SAFI KABISA.
@robertmodestmushema1297
@robertmodestmushema1297 Год назад
Ushabiki pembeni... Uzi wa Chadema ni mkali sana. Hiyo shati nimeielewa sana. Mwandishi huyu huwa ana akili. Fuatilia interview zake na Kasesela na hata watu wengine. He is clever and composed. THE BEST INTERVIEW WITH LISSU
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Год назад
Anajitahidi lkn weledi bado sana! Viwango vya wanataaluma fani ya hbr bado...hilo liko wazi ktk mahojiano haya..kakutana na mbobezi wa sheria!
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Год назад
Yupo kama salimu kikeke wa BBC
@victoravelin575
@victoravelin575 Год назад
Dar 24 naomba namba ya ac niwawekee ela kidogoo yakula Mta gazaji pendwa huyu Asante sana kwa interview safi
@bigboyben6932
@bigboyben6932 Год назад
Moja ya watu wakihojiwa na nakuwa na utayari wa kuangalia na kusikiliza mahojiano nao nchini kwangu ni Tundu Lissu
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 Год назад
Mungu akupe uzima tuuu we ni kiongoz makin san
@dinosmack
@dinosmack Год назад
Host uko vizuri
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
Nimefurahishwa na hii interview, Mwandishi yuko vizuri,na Kamanda Lissu yuko vizuri. Watuhumiwa wote waliotenda jinai awamu ya 5, iweje Sabaya peke yake ndio amefikishwa mahakamani?! Awamu hii ya sita inaacha maswali na mshangao juu ya watuhumiwa wengine ambao bado wanafumbiwa macho kana kwamba hawana tuhuma wakati wananchi tumeumizwa!
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Sebaya alikuwa more expose 😳 kuliko makonda
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 Год назад
Rais wangu big🧠✌️
@ngwananchambi2403
@ngwananchambi2403 Год назад
Mwandishi uliza maswali ya maana siyo ya kina sillaa na lowassa
@SimonAbel-u4o
@SimonAbel-u4o Год назад
Wewe jamaa ni bonge la interviewer. TAL ni Super Genious
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Год назад
Congratulations our intellectual Lisu, liberation is so close.
@solomonmwenda2666
@solomonmwenda2666 Год назад
Sahihi kabisa Tindu Lisu. Viongozo wetu wanaishi Kifalme mno......
@patrickmukundichalamila3038
Kama movie vile! Mwandishi uko vizuri.
@olaismollel7162
@olaismollel7162 Год назад
Hapa tu ndo namaliziaga MB zangu pia amepata mtu anaejua kuuliza maswali naamini iposiku fisiem itatupwa mbali
@samuelkayola8427
@samuelkayola8427 Год назад
Asante mkuu wetu lisu mngu azido kuwa nawe na zaidi nazaidi
@harrywarren61
@harrywarren61 Год назад
Asante Sana nimekuelewa mweshimiwa
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 Год назад
SHKAMOO Mhe Lissu
@jofreypinga5885
@jofreypinga5885 Год назад
Lissu ni mtu makini sanaaaaa
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Год назад
TL 💪💪 Brilliant!
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 Год назад
Nchi masiki inatakiwa kuishi kimasikini! Point ☝️
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Big Point
@sethny112
@sethny112 Год назад
Lissu is a very wise person hasa hasa kwenye swala la uraia pacha.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Год назад
Umenifurahisha sana mheshimiwa....
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 Год назад
Journalist very impressive
@maimunaabdullabi
@maimunaabdullabi 2 месяца назад
Sawa kabisa Tundu unaakili sana
@samweljames8947
@samweljames8947 Год назад
Nukimsikiliza tundu lisu najiona kama najua sheria.
@mbembelatv
@mbembelatv Год назад
Jichanganye ss ujipime km nikwel unaijua iyo sheria😂😂
@pascalmanene413
@pascalmanene413 Год назад
For the first time I understand and I will start following you
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 Год назад
Chawa ni mdudu mchafu,😁😁😂,maswali konki na majibu konkiiiii🤗💯👍🏾💪🏿👍🏾Tundu Lissu 🙏🏿💪🏿
@barakalema4358
@barakalema4358 Год назад
Tundu lissu my alltime role model
@SAdoughty
@SAdoughty Год назад
It was one of the best interview ever
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Год назад
Huyu jamaa anaitendea haki taaluma ya uandishi habari
@lonyorilaizer8159
@lonyorilaizer8159 Год назад
Mmekutana kweli,Muuliza Maswali na Anayejibu wote vichwa, Techniques questions and Techniques answers!!
@jubilantkimaro3607
@jubilantkimaro3607 11 месяцев назад
Nakupenda sana Lisu. Heri watanzania wangekujua
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 6 месяцев назад
Well done Mr Lisu I wish you all the best
@obillaezra6205
@obillaezra6205 Год назад
Waandishi bora wanapowahoji mtu kama Tundu Lissu na Fatma Karume basi hiyo interview itakuwa bora sana” Maana hao wawili wanajua mengi sana kupitiliza”
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 Год назад
Maongezi murua sana. Anayehoji anahoji vizuri na Tundu Lissu anajibu vizuri sana 👏👏👏
@sabinasimfukwe8647
@sabinasimfukwe8647 Год назад
Unajuwa sana lisu ixee, u deserve 2be our president indeed...
@brunoh_bx
@brunoh_bx Год назад
Huyu jamaa anajua kuhoji aisee, kongole kwake👏👏👏
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 Год назад
Good work Journalist 👏
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Год назад
Waoo Nice interview ever ( 24) 👍👌❤🇨🇭
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 Год назад
Mtangazaj uko vizur saf sana
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Год назад
Bigup mwandishi ,i see you far
@muyajuma6278
@muyajuma6278 Год назад
Huyu lisu ni kichwa na nusu ,, mungu akujaalie maisha marefu mpaka ufanikishe ndoto zako za kuiacha Tanzania yenye katiba mpya amin
@barakahiluka166
@barakahiluka166 Год назад
Dah mwandishi uko unakosha Santa💯💯💯
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 Год назад
ALLAH AKUHIFADHI
@danielalexd2272
@danielalexd2272 Год назад
Kwa Lissu Huwa sijuti kuweka Bando hata Kama itagharimu Gb 20
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Год назад
Nakubali najua unamkubali kama mm ✌️✌️✌️✌️
@amansalim8518
@amansalim8518 Год назад
Kweli kabisa jamaa Yuko more focus sana
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Lissu sjuw kitu gani hakijuw katika siasa za kidunia dahhh
@1961nungwi
@1961nungwi Год назад
Anajua sana kwasababu tatu. Moja, utashi wa kuzaliwa wa kusoma na kuoenda kujua mambo. Pili kusoma vizuri shule mpaka vyuo. Tatu kuwa mkweli, kwasababu ukiwa mkweli huhitaji kukumbuka. Unafahamu. Kuna ziada pia. Hii hulka ya kusoma mambo mengi na kuielewa Dunia ilikuwa kubwa sana wakati Ukuta wa Berlin unaangushwa Miaka ya 1989/90. Enzi hizo tukisoma high school, tunasoma mpaka 'The New African' magazine la London la akina Enver Versi na Baffaour Ankomah. Vijana wa Sasa sidhani kama wanasoma Magazines za kimataifa kama hizo.
@bigboyben6932
@bigboyben6932 Год назад
This man is Very smart
@rasnchimbi
@rasnchimbi Год назад
Lisu ni kichwa,mitego yote ya maongezi anahisia nayo kabla,BIG UP!👍🏿
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Год назад
Lisu is an extraordinary genius, he deserves to be our national President, is a politician, an economist, international interactionist and a flexible to development issues.
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Kuwa na mtoto mwenye uraia wa marekani au nchi nyingine sio kukosa uzalendo. Ni mambo ya kawaida sana. Tunawajua watanzania wa kawaida kabisa waliopata fursa ya kuishi marekani, kufanya kazi kule na kuzaa watoto wao kule na wabongo hao hao wamerudi nchini kuendelea na maisha
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Ndio umekaririshw au
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Год назад
Big up sn Mr.Stanslaus ur good journalist
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Hate him or love him, Tanzania needs this man
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Sure. I totally agree with you
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Kwa nchi ilivyo na kwa siasa za rafu za nchi hii zilivyo, MBOWE bado anastahili kuwa mwenyekiti mze
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Год назад
@@johngibson3089 Sana. Na ndiyo maana hapendwi. Ni great strategist.
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣nishida hiki kifaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Год назад
Mostly needed
@mastermbarak254
@mastermbarak254 Год назад
Paul Kandonda iyo ni kweli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 Год назад
Lisu Ni mkweli sana
@tounymsomoka7896
@tounymsomoka7896 Год назад
Kila cku huwa namshukulu Mungu Kwa kuniwezesha kumshuhudia huyu kiumbe huw wanatokeaga Mara Moja ndani Miaka milioni Kama Taifa tunapaswa kujivunia na kumshukuru Mungu Mungu ampe Maisha marefu azidi kumlinda
@championtop2
@championtop2 Год назад
Mwanasiasa mahiri kbisa sijawahi kuona! Hongera mwandishi!
@charlesluanda9161
@charlesluanda9161 Год назад
Huyu anayemuhoji Mh. Tundu Lissu anaijua sana kazi yake na ameitendea haki.
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Год назад
Huyu mwandishi ni hodari sana.
@davidheche839
@davidheche839 Год назад
Lissu unaakili sana, tangia umerudi umefanya interview nyingi na zote nikizisikiliza ni darasa huru
@deusmbuge5740
@deusmbuge5740 Год назад
Kwakua huna AKILI iliyojisimamia
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia Год назад
Dah! Lissu🙌🏾🙌🏾
@ayoubpapiy6692
@ayoubpapiy6692 Год назад
Hili jamaa linaongea point tuu kila swali linajibiwa kitaalam Yani nakupata vizuri
@godwinmawanjatz
@godwinmawanjatz Год назад
Thank you Mr.Jornalist....
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Lissu upo vizuri mna watu wasiojua ndo wanapata shida
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 Год назад
My President
@ellyrenalda5883
@ellyrenalda5883 Год назад
Big brain, hazina ya nchi.
@expert5898
@expert5898 Год назад
Kweli kabisa... katiba mpya ndio kila kitu. Hilo linafahamika wazi wazi.
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Ndo hapo unajiuliza hadi. Unachoka. Zambia. Burundi uganda rwanda hawana bandari Lakini mafuta yao yako chini. .Sisi tuna bandari lakini mafuta yako. Juu.
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Viongozi wetu hawatujali wanajali wao kuendesha ma vi8 na maisha yao mazuri na familia zao. Hawawazi wananchi wananchi tupo kuwatumikia wao waishi vizuri na wapambe wao
@danielalexd2272
@danielalexd2272 Год назад
Huyu anatakiwa kuwa raisi aisee
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 Год назад
Lisu ni top 10 CCM wapende wasipende
@chezariboy
@chezariboy Год назад
Safi Santa t.lisu Mtu wa Mungu.
@octavianbarnabas4527
@octavianbarnabas4527 Год назад
Jaman tumpe lissu nchi kama kweli tunahtaji future za watoto wetu wenye IQ kubwa mtanielewa mapema sana hata wakuu mpeni nchi kama kweli mnapenda nchi na vizazi vyenu pindi mtapokuwa hampo dunian
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Год назад
Kampe nyumba yako
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Год назад
Shikamoo Mh.Lissu Ww ni zaidi ya Rais.
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Lissu ni hazina ya nchi. Watanzania wasiokubali hili- wataelewa tu hapo baadae
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 Год назад
Tundu Antipas Lissu ni rais ajaye wa nchi hii tukipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.? Na ikitokea akawa RAIS,nchi hii itapata haki na uhuru wa kweli kwa watu wake , Kwani Lissu siku zote toka ujana wake anapigania Haki Haki Haki. Na kwa ajili ya haki hiyo,Mungu alimnusuru na kipigo cha risasi 16.mwiilini mwake. Huku akimbakizia Afya,Hekima na Busara za kupigiwa upatu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Год назад
Kunisikiliza tundulisu no Raha sna ukimjumlisha na mwandishi fundiiii snaaaa
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Год назад
Lisu Baba naomba ukawe mwenyekiti wa kuipata katiba mpya.... Katibu God bless lema..... Tanzania itakuwa Kama urusi....
Далее
Tundu Lissu ndani ya #Dakika45.
1:05:06
Просмотров 312 тыс.
mood всех бабушек
0:11
Просмотров 396 тыс.
10 CHALLENGE ⚽️ CELINE vs MICHIEL vs BRAM
0:59
Просмотров 2,9 млн
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26