Тёмный

DOTO MAGARI ,KIMEWAKA AGUSWA NA RICH MAVOKO AMUOMBA HARMONIZE AMSAIDIE JUMA NATURE AJE KUCHUKUA LAK5 

BONGO 24
Подписаться 125 тыс.
Просмотров 78 тыс.
50% 1

#bongo24 #harmonize #diamondplutnumz

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Watu kama Hawa wachache kwenye nchi hii wao wamezaliwa kusema ukweli Tu respect brother
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 Год назад
Jamaa mshamba kweli...outlander 2014 ya zamani.254 tunazo 2017 model
@Saidi-x4h
@Saidi-x4h Год назад
2017 nayo ni zamani pia
@mackranmohamed659
@mackranmohamed659 Год назад
doto nakukubali sna humpondei mtu ukiulzwa swali unafaglia tu kwa kiasi chake huna bya kwann mungu asikupe riziki zako
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Ni mitsubishi outlander,sio otelander dah hatari😊
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Год назад
nakuerwa sana doto kuriko mbwa diamond atakufa mapema kama jpm udictetar mungu anawaua mapema kuaribu maisha ya rich mavoko nakina juma na insectar mungu mfanyie unayo weza tukiwa hai tuone
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Год назад
Mganga mungu ,mitishamba Imani na uchawi hela.eeh bwana wee #Bongo misemo kwao.#Konde boy wakati wake sasa
@Combinemedia7569
@Combinemedia7569 Год назад
Acha ajivunie sababu ata mm binafsi sina na ninatamani hakuna haja niponde
@me_adams_
@me_adams_ Год назад
Si alisemaga hamjui harmo
@tigejuma9865
@tigejuma9865 Год назад
2014 Mpka xai...na bado unasema n mpya...hio n reject kwa xaxa😅😅😅
@husseinally4932
@husseinally4932 Год назад
Huyu jamaa yupo sawa tu tena big up kwake
@MkamahDaud
@MkamahDaud Год назад
Huyu jamaa🎉🎉tumpe maua yake br anaweza mganga mung mitishamba iman😅😅
@MamaMtingo
@MamaMtingo 7 месяцев назад
😮😮😮😮 doto apewe mauwa yake
@SufoWazir-s4q
@SufoWazir-s4q 6 месяцев назад
Nankubali doto
@GEZAMABABISTY
@GEZAMABABISTY 7 месяцев назад
good job
@allysudi4429
@allysudi4429 Год назад
Madalali kwa maneno mengi😂😂😂 hatar sana. Sema gari ya mda mzee it's 2014 vehicle ila fresh tu dalali mwendo wa mazoez tu hata vits itapambwa kama bugatti 😅
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
Unajua magar kweli ww
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Год назад
Wanosema gari la kitambo 2014 sijui wanalo kama hili ama zaidi ya hili.Dharau mbaya jamaa.Doto magari Yuko sawa .
@LoxJuma
@LoxJuma Год назад
Wapumbavu tu kikubwa nijipya
@davcodavid8651
@davcodavid8651 Год назад
Nimeipenda singel tiki😂😂😂😂🎉
@halfenmkuki340
@halfenmkuki340 Год назад
Asubuhi tarehe moja..jioni mwisho wa mwezi 😂😂
@MaulidiMagoola-ti1pv
@MaulidiMagoola-ti1pv Год назад
Dott magar nakubali
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Watu wanapenda sifa😅
@HamisKalulumbe-fv8hc
@HamisKalulumbe-fv8hc Год назад
Oto lenda
@Isackkilamba
@Isackkilamba Год назад
Naqbar sana dotto magar❤❤❤
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 Год назад
Ditto magari kila mtu anamsifiaa 😀😀🇹🇿
@timothybanda6034
@timothybanda6034 Год назад
imefika iyo mku
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Год назад
Mtu sio nyau😅😅😅
@ally_star
@ally_star Год назад
Huyu msenge sindio alisema hamjui konde boy leo kamjua au
@shabanipande5379
@shabanipande5379 Год назад
Huyu jamaa nomaaa😅😅😅
@stanleynyale2755
@stanleynyale2755 Год назад
Mkisema milioni 35 tafadhali semeni za Tanzania
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
Kwan kuna milion 35 ya uganda
@stanleynyale2755
@stanleynyale2755 Год назад
@@gustavompemba1781 Kenya tukiskia milioni 35 twashtuka
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Muadhishi kava kanzu ra kulaliah uku oman hayo ya kulalia tz mnatutiha haibu jmn
@aliomaraliomar6078
@aliomaraliomar6078 Год назад
Chawa mshamba
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
Kwenye madigad umesha Piga vipin hili medgard yasije Ukayaacha barabaran Hakuna gari hapo mzee
@bukulutheboss5141
@bukulutheboss5141 Год назад
Dotto magar van boy Alikimbiliwa na wanajesh ilikuwa kongo na sio marekan kaka
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Год назад
Uyu jamaa mshamba kweli gar ya mwaka 2014 unaongea mbele za watu kwa kujigamba ungesema tu nashukuru mungu mepata usafiri wangu bas sio kwa kijigamba uko
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Год назад
Gari ya elfu 14 kibongo ni gari mpya sana bro gari zote za mtaani tunazo miliki ni 2010 chin huko
@simbaasad5811
@simbaasad5811 Год назад
Mbona kali sana. Au unadhani magari yanatazamwa kama bithday za watu.
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Год назад
Sasa hapa bongo magari tunayo endeshaga miaka nenda rudi unataka kusema kilometa 00? Wanaoendesha kilomea bongo wana hesabika banah we ndo unaonekana unakinyongo sasa. Mwache jamaa ajigambe anamagari ya kizamani sawa lakini anamengi siyo moja. Haya sasa we unagari la mwaka gani mwenzetu?
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Год назад
Ikisha hajigambi hii nibiashara wacha makasiriko
@ugexclusive6674
@ugexclusive6674 Год назад
utakutaaaa Unamponda Mwenzako Lakini wee Hataa IST ya M.4 Hauna
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Год назад
Doto magari kiboko bwana
@joshua.o.makundi3079
@joshua.o.makundi3079 Год назад
😂😂😂😂 MENO YA KUUNGUA
@MasiziaKari-lh6wc
@MasiziaKari-lh6wc Год назад
🙏🙏🙏
@elgringo8592
@elgringo8592 Год назад
Et kitamba kama cha sofa😁😁😁
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips Год назад
Wakati wake
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Год назад
Iv mnaoji ama mnatangaza biashara
@Mr_maamen360
@Mr_maamen360 Год назад
Vyote
@khamisbk8569
@khamisbk8569 Год назад
Huwez kumuuzia mtu Kwa bei iyo. Zanzibar ...Acha kuwavimbia watu Kwa gari ya toleo la 2014
@LoxJuma
@LoxJuma Год назад
Ata kama iwe ya 2014 ila mpya
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 Год назад
Nyoa hizo nywere kaka
@naswiruidrisa-pu2kv
@naswiruidrisa-pu2kv Год назад
😃😃
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 4 месяца назад
Wazungu Wana Akiri Kuriko Wewee Usiseme Sisi Chiizzi Wee
@mackranmohamed659
@mackranmohamed659 Год назад
we unalo ilo la 2014 mwache atangaze biashara yake bwana
@mathanikibuti6676
@mathanikibuti6676 Год назад
MTANGAZAJI UJIPANGE SIKU INGINE UKIMPA NAFASI YA KUONGEA TUUU 😂😂😂
@Mr_maamen360
@Mr_maamen360 Год назад
😂😂
@subrafive4193
@subrafive4193 Год назад
Na kenya zimejaa za 2022 wewe unasema za 2014 enyewe tz muponyuma sana
@frankmgunjimgunji9261
@frankmgunjimgunji9261 10 месяцев назад
ila dotto 😂😂😂😂😂
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Duh
@nomineetz255
@nomineetz255 Год назад
Wanajeshi gani wa marekani waliomkimbilia unadhani ni hao wetu wa Tz?? Kwanza huyo hajulikani hata kwa watu mia huku alafu ulete pelee zako za wamarekani eti kupiga picha nae 😂😂😂 oyaaa alipiga picha na wale makuruti wa DRCongo😊😅😅
@aminiayubu4199
@aminiayubu4199 Год назад
Unasema je new model wakati ni 2014😂😂 wa bongo mnamambo
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
Tulia ujuh kitu kuhusu magar
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Madalali wa magari wanajua kuongea hatari
@mtangacomedy
@mtangacomedy Год назад
😂😂😂😂🎉
@dilanfamous9529
@dilanfamous9529 Год назад
Doto magali nikiboko uyu jamaa
@AbdallahMbeten-w9t
@AbdallahMbeten-w9t Год назад
2014-2022-😂😂You say a new car, leave the farm, but you know if we will talk, but leave the stupid officials
@mapesagreen2436
@mapesagreen2436 Год назад
Anatafuta ugali ndo namna yake ya kupata ugali yuko sawa
@allenbierra8841
@allenbierra8841 Год назад
Blackstage yake😂
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 Год назад
Muslim
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu Год назад
😂😂😂
@HusnaDinya
@HusnaDinya Год назад
Ukifa huozi
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@masizitony9800
@masizitony9800 Год назад
💪💪💪🦣🦣
@nesielias9493
@nesielias9493 Год назад
😂😂😂
Далее
skibidi toilet multiverse 042 Trailer
01:57
Просмотров 3,1 млн
skibidi toilet multiverse 042 Trailer
01:57
Просмотров 3,1 млн