Тёмный

DR CASMIR RICHARD DAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO. 

sekoutoure rrh
Подписаться 89
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

Kama unasumbuliwa na tatizo la meno kuuma au kulegea, fizi kuvimba au kutoa damu, pia kuna huduma ya kusafisha meno, kuweka meno bandia na kunyoosha meno.
Unakaribishwa sana katika kufanyiwa uchunguzi wa kinywa na meno kutoka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa waMwanza Sekoutoure.

Опубликовано:

 

12 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@user-uq1yp2ts6z
@user-uq1yp2ts6z Месяц назад
Naomba namba yako
@HoseaMosha
@HoseaMosha 3 месяца назад
Doctor naomba namba yako
@JoyceElias-pl5mo
@JoyceElias-pl5mo Месяц назад
Nateseka jamani meno yameisha munisaidie mi sio skari yanatoboka nakuuma na kupelekea kungoa
@inyasiinyasi3009
@inyasiinyasi3009 23 дня назад
doctor naomba kujua me ninamwanya na siuped naomba kuziba gharama yake ni shgp
@Zimba509
@Zimba509 9 месяцев назад
Weka namba apo, tukutafute docta
@user-vv9wc1em6q
@user-vv9wc1em6q 4 месяца назад
nahtaji mawsiliano yako
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Год назад
nataka kumuekee baba yangu
@user-uq1yp2ts6z
@user-uq1yp2ts6z Месяц назад
Mnasafisha meno kwa pesa ngapi
@sekoutourerrh
@sekoutourerrh Месяц назад
shukrani sna, unakaribishwa kuonana na daktari kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa moja na nusu hadi sa tisa na nusu kwa ajili ya uchunguzi wa kinywa chako na ushauri zaidi karibu sana
@user-qz7ft6rv6q
@user-qz7ft6rv6q 5 месяцев назад
Jino lakuto kutoa shingapi na mnapatikana wap
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Год назад
doctor mimi nauliza kuweka meno ni bei gani
@sekoutourerrh
@sekoutourerrh Год назад
Tsh 25000 kila jino. Karibu sana
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Год назад
yakuweka bila kuyatoa bei gani
@williampetermadirisha5817
@williampetermadirisha5817 День назад
Jeyale yakkuweka bila kutoa shingapi doctor ​@@sekoutourerrh
Далее
HOJA MEZANI || Tiba ya kunyoosha meno
36:46
Просмотров 1,4 тыс.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн
YAFAHAMU MENO BANDIA
4:11
Просмотров 3,7 тыс.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн