Тёмный
No video :(

DR SULLE ALIPUKA SIRI NZITO KWA WAISLAMU KUHUSU EID YA KUCHINJA HAYA YOTE NASEMA ILI MJUE UKWELI WA 

Maks Media
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
hadithi hizi nikaa za kaka sungura
@GADAUNEWS
@GADAUNEWS Месяц назад
Sawa kaka mkubwa..
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i Месяц назад
Kubukeni mungu ariweka fubo kwawanaumeote wanaopeda wangaga kutoka watoto wao hirineno rayesu risonge mbere kwenye utukufu wake wamirere
@favoritebrayo
@favoritebrayo Месяц назад
waislam mko nyuma sana wakati YESU alikufa pale msalabani kafara zoote zilikatizwa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Mimi Nina kipaji, na so ma habari za moja kwa moja maelezo kutokana na mbinguni kwa namna yake Mungu alivyo nipatia. Kwa mujibu na ilivyo kuwa ni kwamba Yesu ambaye ndiye Nabii Isa, hakutungikwa msalabani wala hakuuliwa ispokuwa Mungu aliwafananishia miongoni mwao mmoja wao katika wale askari waliyotumwa kwenda kumkamata. Na hata walipo jihesabu walijikuta pungufu idadi yao. Nd ipo wakasema kuwa kwa sababu tuliemtaka tumempata huyo mwingine atajuwa yeye mwenyewe aliki enda. Na Yesu alikuwa na alama ya KOVU mguuni kwake ka.a alama ya UTUME wake lakini aliye kamatwa na kutungikwa alikuwa hana alama ya KOVU, na mmoja wao aliye lijuwa lile KOVU akawaambia wenzie kuwa huyu siyo.
@favoritebrayo
@favoritebrayo Месяц назад
@@ismailsoud3634 ndugu yangu hio ni yako na ni roho ya mpiga kristo
@zakariamwamburi-7940
@zakariamwamburi-7940 Месяц назад
Usilam ni urongo musa niwapi na Mohamed ni wapi hao wandishi walikua wapi
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i Месяц назад
Kumbuka serre hiyo kareda ni yamtoto wakwaza nawamwisho kufa nadunia kwasababu yamaovu yawanadamu wenyefikira zakibeberu
@ChristianOduor
@ChristianOduor Месяц назад
Helloo Dr naitwa bosco from kenya mm n mukristo naa umenifunza mambo mengi aki uko sure kwa bibilia na kw mafunzoo uko fit banae but ipo siku nitakufikia ma wenzangu
@Baba-JJ
@Baba-JJ Месяц назад
Amekufunza nini? Kwa mfano hapa umejifunza nini? Inawezekana hujui kwamba uislam ulikuja miaka 600 baada ya UKRISTO kuwepo. Hadithi zilizoko kwenye quran zinazofanana na za kwenye BIBLIA walikopi kutoka kwenye BIBLIA kwa kuhadithiwa, ndio maana zimekosewa. Bado na mwandishi wa quran alikuwa hajui kusoma wala kuandika kwahiyo na yeye alikuwa anawahadithia watu na watu ndio wanaandika. Utaamini kitabu cha waliyoshuhudia matukio au kitabu cha watu waliohadithiwa matukio? Use your common sense bro. 😂😂
@kimsi682
@kimsi682 Месяц назад
Wewe Mkristo wa aina gani unayefuzwa biblia na Muislamu ambaya haelewi na ukristo??
@kimsi682
@kimsi682 Месяц назад
​​@@Baba-JJBingo!! Eti muislamu anafunza wakristo ukristo! Ajabu!! Hadidhi tamu za bibi wakongwe!!
@Baba-JJ
@Baba-JJ Месяц назад
Yaani mtu unaenda kuamini kitabu kinachokuambia ALLAH ana kidevu, ana jicho moja, ana mikono miwili yote ya kulia tupu, ana miguu miwili yote ya kulia na mguu mmoja uko jehanamu, utakuwa na akili kweli kuamini upumbavu huo? 😂😂
@kimsi682
@kimsi682 Месяц назад
@@Baba-JJ 🤣🤣🤣! Yaani umenichekesha hadi machozi! Allah na kidefu na jicho moja!! Hawa watu wazaidiwe na nani kweli?
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Месяц назад
Dio kwa sababu waislamu wakata watu upande wa nyuma sio kule upande wa lamu
@MwajumaKihunte
@MwajumaKihunte Месяц назад
Weunae komenti mwehuu wwe
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Месяц назад
MIMI MWIISLAMU LAKINI NIMESOMA NA KIGUNDUA KWAMBA ALIOTAKIWA KUCHINJWA NI ASIHAKHA NA WALA SI ISMAIL. JAMANI SOMENI VITABU VYOTE KWA MAKINI VINGINEVYO MTADANGANYWA SAAAAAANA NA HAWA WATU.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Dah, huyu jammaa muongo sana. Na hii nie hasadi kuzungumzia habari usizo sijuwa undani wake.nie hasadi kumhasi Mwenyezi Mungu. Si Kweli kuwa ilikuwa hivyo.
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 Месяц назад
Huna haja kusema yote hayo, wewe si ungefanya video yako ukaelezea ukweli ilivyokuwa. RU-vid is free Acha useng* uo
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
sule nikaidi anajua kucheza na akili za watu
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
@@user-tz8zu2gt6u Dr. Sulle yeye anafanya biashara ya Uganda, huenda anashirikiana na majinni kla sina uhakika.
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
​@@ismailsoud3634🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AbedibinRamazanisalum
@AbedibinRamazanisalum Месяц назад
Sule muongo simulizi zaungo jahanamu wa islamu inawasubili
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Месяц назад
Aa shule siku ya kiama atakuwa kuni ya jeanamu kabisa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
Anasema ukweli
@favoritebrayo
@favoritebrayo Месяц назад
story za jaba kumbe ziko uku
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l Месяц назад
Sasa mungu alimpatia Jina gani yahaya ama yohana mbatizaji
@MaksMedia1
@MaksMedia1 Месяц назад
Yohana Mbatizaji..
@kimsi682
@kimsi682 Месяц назад
Hadithi tamu lakini ni old wives tells! Hadithi za bibi wakongwe! Biblia haisemi vile huyu anapohadidhia hapa kamwe! Mbona yeye ni Dr.!! Ndio tena yule, yule anapouliza, (je, wakati Yesu alipokufa, Dunia ilikuwa, inendeshwu'a na nani?) msomi kama huyu, haelew'yi na mambo ya kifo mbali ana title ya Dr.! Waislamu nani asaidienyi kweli? Jisomee Mwazo Sura 22:10-13, mwenyewe!
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Месяц назад
Tua Dani ya Quran issa alika tumboni ya Maryam miezi 9kama wewe sio muongo
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Месяц назад
Dio kwa sababu waislamu wakata watu upande wa nyuma sio kule upande wa lamu
Далее
WANAUME LALENI NA KANGA WANAWAKE TUSIANDAMANE
25:24
Просмотров 15 тыс.