Тёмный
No video :(

Dr.Sulle:Ukiota nyoka Umekwisha!! 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 53 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

#drsulle #trending #islaamic #tanzania #islaahislamictv #health #ndoto
Kuna madhara makubwa ukiota Ndoto Nyoka wanakukimbiza au kukun`gata au wakikuzingira.Hii ina maana kubwa na mbaya katika maisha ya mwanadamu.Kupitia kipindi chetu kipya cha TAFSIRI ZA NDOTO ambacho Al-Haj-Dr.Sulle ndiye msimulizi mkuu pata wasaha wa kutazama na kusikisikiliza hapa tuachie maoni yako.USISAHAU KUTU FOLLOW ON INST andika ISLAAH ISLAMIC TV.KARIBUNI SANA

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@FrankKimario-w1t
@FrankKimario-w1t День назад
Nakukubali sana mzee sule kazi njema
@AmiriHumudi-hn6pt
@AmiriHumudi-hn6pt Месяц назад
Walah nakukubali shegh wangu mh alla akuweke sn uzidi kutuelimisha.
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 Месяц назад
Maamini asemayo huyu shee japo ni kristu Mungu akuzidishie hekima ili wengi tujue kweli
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 11 месяцев назад
Allah atukinge na maadui🤲🏾😢
@user-xv4jb9jq7r
@user-xv4jb9jq7r 11 месяцев назад
Assalm alkm niliota ndt ya nyoka na ikanijia tena mchana nikadharau nilipokua narudi masjd wakati wa isha nikamkanyaga mlangoni kwangu lakini allah akaniepusha nae akuwahi madhara alhmdulillah
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
pole sana
@amylohluali7262
@amylohluali7262 11 месяцев назад
Mh! الله المستعان
@AmidaIRAKOZE-uz3in
@AmidaIRAKOZE-uz3in 9 месяцев назад
Ndoto y nyoka hatari sana.mi huwaga naziota mara nying san.n kuziona live .
@shameemahmed1130
@shameemahmed1130 3 месяца назад
Asalam alaikum mimi nimeota ndoto ya nyoka sasa hivi tena mkubwa atufukuza mimi na mtoto wangu mdogo wa kiume...Ndio nikaja direct kutafta maana nikaona alots of Video za tafsiri but mm Sheikh wangu ni Dr Sule nika fungua hii kuskiza na kupata majibu Subhana Allah
@LatifaMbarouk
@LatifaMbarouk 24 дня назад
Sheikh nimeota natafunwa na nyoka 😢😢
@KoisiiEverlin
@KoisiiEverlin 5 месяцев назад
Asante nimekjif
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 6 месяцев назад
Subhana Allha mm leo mida ya saa kumi na moja alfajili nimeota nyoka yupo ndani kwetu kabisa arafu hicho chumba tunakaa kuna shimo ainaingia na kutoka akiwa anawatt wakae baadae nikatoka nje nyoka akawa anatoka ndani anakuja nje akaja akanirukia shingoni akajivirishi shingoni kwangu kwangu mpaka nikaona nimekata pumzi nikastuka na kushika shingo yangu nikaisi kabisa nimekabwa subhanallha Allha atunusuru mara naona panya mkubwa sana kanikalia shingoni
@ConstanceneemaRobert
@ConstanceneemaRobert 8 месяцев назад
Umenigusa maana hii ndoto inanifuata sana
@Sssqw12Aaaq-ck8up
@Sssqw12Aaaq-ck8up 11 месяцев назад
Shukrani Mimi naitasana nyoka naukweri ninamaadukiasiya kwambia awajifichi iranirikuwa naomba namaanaya kukimbizwa na ngongoti tena awaimoja wanakuwa wengi irawaawanipati nini maanatake shee naomba nisaidie
@user-dy8pk6zf2g
@user-dy8pk6zf2g 9 месяцев назад
Asante sana dr Sule
@TobaErty
@TobaErty 9 дней назад
Mm zaman nilikua naota ndoto za nyoka nikawanaota nayakanyaga mayoka makubwa kila sehem ninayopita yamelala barabaran nilipodumu n kusoma qur-an na dua na visomo vya rukia nikaacha kuota ila juz I.ejirudia kua kuna nyoka wawili mmoja ni mwembamba anatembea km hna nguvu na mwengine ni mnene km alo na mimba yy ananitega yaan mda nilioacha kusoma ndio anakuja km ananitaq
@noahjoshua5649
@noahjoshua5649 24 дня назад
Mimi niliota nyoka lakini wakiwa wengi sehemu moja na wapole wala hawakunitisha na sikuwaogopa! Sijui ina maana gani tu
@ashuraa9079
@ashuraa9079 5 месяцев назад
Kheeee subbuhanallah 😢
@GladynessJohn-mi2kn
@GladynessJohn-mi2kn 4 месяца назад
Daah ahsantee sana ila tuu tuombeane tuu jamanii
@SULEYMANMAGINA
@SULEYMANMAGINA Год назад
Aisee shaikher mim hilo tatzo nnalo tena sana kwahio nnaomba mswaada jaman AS-SALAM ALEYKUM WALAHAMATULLAH WABARAKATUH
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
pole Sana chukua namba hapo kwenye video tuwasiliane
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
pole Sana chukua namba hapo kwenye video tuwasiliane Inshallah
@nyiranshimiyimanamadine6070
@nyiranshimiyimanamadine6070 2 месяца назад
Mimi niliota nyoka mweusi nanika lishwa uwo nyoka Subukhanallah nimeskiya uoga
@oman6024
@oman6024 Год назад
🙏
@MyunaMwalim
@MyunaMwalim 10 дней назад
Assalamu alaykum sheikh nimeota nyoka alikuepo sheikh anasoma Dua na baada ya kumalizia kusoma sheikh alipoondoka alipokua amekaa nyuma yake walijitokeza nyoka 2 sikuweza kuwapiga na walitoka nje maana yake ni nini
@user-uz3ge3tc5f
@user-uz3ge3tc5f 11 месяцев назад
Nihatari sana
@MamaSauda-yr7gm
@MamaSauda-yr7gm 6 месяцев назад
Asalam aleikum mm nikonzanzibar niliwahi kupata ndoto ya nyoka lakni alikua pembeni yangu tukitupiana macho nakuendlea kulala... lakni cha kusitajabisha mm saiv sipati ndoto ila nakumbana na nyoka live ndani mwetu na mm ndo hua naona mwanzo chooni mara mbili...katika kizingiti... ivi shekhe sule inamana gani na haya mmbo...
@BrianOchieng-cs8cc
@BrianOchieng-cs8cc Год назад
Assalamu Alaikum sheikh Al-Hajj 🙏🙏 Ndoto linayo penda kunikujia usingizi ni ya maubwa mengi sana na Sio mara moja ama mara mbili ni mara kadha🙏🙏🙏
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 месяцев назад
Mbwa maana yake ni rafiki waovu omba dua zitaacha hata Mimi ilikuwa hivyo alhamdullillah zimekimbia
@ZulphaMohammed
@ZulphaMohammed 2 месяца назад
Shekh asnte kwa tafsiri
@user-rh7en3kd3p
@user-rh7en3kd3p 8 месяцев назад
asalam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh shekhe shukran mi pia huwa naota ndoto hiyo pia mwanangu wa mwisho halali huwa anapiga kelele kwenye ndoto usiku mpaka akiamka anapiga kelele akisema nyoka inampandiya
@user-yr6bq3ct2w
@user-yr6bq3ct2w 7 месяцев назад
dr sule vzur sana,, ila ukitafsiri tueleze sasa tufanye nn tukiwa tumeota hizo ndoto
@user-ee2dy5ky7m
@user-ee2dy5ky7m 7 месяцев назад
Mim nikiotaga ntoto zanyoka lazima nakuwaga mjamzito
@user-df4kd3zl8g
@user-df4kd3zl8g Месяц назад
Asalam alaikum warahmatulilah wabarakatuh ustadh..mm nliota tukiwa nyumbani kwetu Na familia yetu ,,gafla kkatokea nyokq mkumbwa akainua kichwa kmudona kakangu ..kaka aka mpiga kichwa gafla akiwa chini huyo huyo nyoka alikuwa Na vichwa vitatu akip
@everlastingmiriam
@everlastingmiriam 8 месяцев назад
Habari mutu anisaidie kutafsiri hii ndoto Niliota nikiwa nimesimama nyoka kubwa kama barabara ikanijia mbio Sana kwa minguu yangu mbio nikawa na hofu sana hio nyoka ikanijia katikati ya muguu yangu Nika panua minguu yangu mwili hio nyoka kubwa ika pita katikati ya mingu na ikakwisha huku nikiwa nimepanua minguu na ikakwisha nikawa na hofu sana Hadi ikakwisha na huku nikaamuka nikiwa na hofu sana
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp 11 месяцев назад
Duh! Hizi ndoto zinanija maranyingi tofautitofaut mara nimezungukwa na nyoka wengi mara nifukuzwe na nyoka mara natapika nyoka alafu nimechoka kweli
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
chukua namba hapo kwenye video tuwasiliane
@shamsuldeenmayalib3305
@shamsuldeenmayalib3305 11 месяцев назад
sheikh Assalam alyk na sasa tibu ni nini
@hassadfazal3418
@hassadfazal3418 Год назад
Assalam aleikum warahmatullah, je mtuu akiota amevua samaki kubwa mwenzako amevua ndogo
@RamadanPaul
@RamadanPaul Год назад
Duuh hyo, sio kwamba umetoboa zaidi yao
@saidmbedha
@saidmbedha 2 месяца назад
Asalam alekum niliota nyoka mkubwa amenikunja mwengine mweusi akaniuma mkononi je ina maana gani😢😢
@mwamoyomoyo747
@mwamoyomoyo747 Месяц назад
MAADUI WAWILI WANASHIRIKIANA IMA KWA KUJUANA AU LA ILA MAADUI WOTE VITA WANAKUPIGA
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 3 месяца назад
Sasa ufanyeje mana mm naota 😢😢😢😭😭😭
@user-di7zz2si9r
@user-di7zz2si9r Месяц назад
Dr sulle mi nimeota ndoto ya nyoka nikiwa natoka nyumbani nikielekea kazini njiani nimekutana na nyoka mkubwa Sana yani chatu amenivinga alitaka kunumeza nikapambana nae mpaka nimemdhibi nilipo mdhiti t nikakulubuka kitandani hii ina Maan gani
@dianabosibori8476
@dianabosibori8476 22 дня назад
Nyoka simply ni enemies 😅 nothing serious
@JoshuaKisiva-wu7gb
@JoshuaKisiva-wu7gb 7 месяцев назад
Asalam aleyku mwislam
@user-wd9tp7eb7j
@user-wd9tp7eb7j 9 месяцев назад
Mm niko saudia na nliota ya nyoka ambae anaongea ila mm ndio nlijua anaongea hadi nkawa naongea nae akashangaa mbona mm namskia na kumjibu ndoto hiyo alikuwa akimviringa Rais putin wa uingereza shingoni ndoto ya pili niliota kijana wangu alifariki kitambo lkn nilimuota amenijia juu niyy ila miguu yake ni nyoka 😢akiiniita Maa maa
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 6 месяцев назад
🤔putini ni Raisi wa uingereza!?
@ZamdaNyagali
@ZamdaNyagali Месяц назад
NDOTO ZA NYOKA KANGU ZIMESHAKUWA KITISHO SIMALIZI WIKI LAZIMA NIOTE NYOKA MKUBWA MWEUSI ILA USIKU WA JANA NIMEOTA NYOKA MKUBWA SANA MWEUPE ANAELEA ANGANI NYUSO YAKE YA BINADAMU NAKUWA NA HOFU MUDA WOTE
@najatysaid9282
@najatysaid9282 7 месяцев назад
Nyok mkubwa je😢
@user-bc1jg8md3h
@user-bc1jg8md3h 7 месяцев назад
Mimi kila mwezi lazma niote ndoto naona nyoka nateseka muda mwingine na shituka usingizini yaani Shekh Dua tuu niombe ndoto ziniachie na ninaona uaduni ni mkubwa sna hapa mtaani ninapo ishi
@user-lx5cs1zl8e
@user-lx5cs1zl8e 7 месяцев назад
Kama Kuna uwezokano unaweza kugura bana pia uwa kunasaidia kusambaratisha uchawi kidogo
@fatumamussa8397
@fatumamussa8397 8 месяцев назад
shekh mimi nilimuotea mtoto wangu kagogwa na yoka lakini asikii maumivu nikamchukua nikaanza kumkamua lakini anao ishinao awakunionyesha ushilikiano asubhi nikaambia anaumwa usiku hakulala
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 11 месяцев назад
Mm ni mla kabisa uyo nyoka kwenye ndoto na nika ipata alufu yake ya kichoka
@FaridaKessy
@FaridaKessy 15 дней назад
Mm nimeota linawaka nyoka macho taa😢
@user-cd9th6bg3t
@user-cd9th6bg3t 4 месяца назад
Asalam alaykum warakhmatullah wabaraqatul sheikh mm niliota nafukuzwa nanyoka mkubwa kweli yuataka kuniuma kiguu lkn ilipo nikaribia nkaonyeswa gongo nakaipiga kwa kicha maratatu ikafarika hapohapo nkastuka usingizini naangalia saa nsaa tisa za usiku je inamaana gani
@user-yq7te7ms5p
@user-yq7te7ms5p 4 месяца назад
Nmekuelewa kabsa dr sure
@IsmailKisesa
@IsmailKisesa 4 месяца назад
Mm niliota nyoka wa3 wananikimbiza mbeleni nikakutan na mwanamke mtu mzm kwny nyumba yake aliponiona akanambia ingia ndan tujifiche ila sikumskiza nikaondoka na wale nyoka waliacha kunikimbiza na nikasikia saut yule mama akipiga kelele na wale nyok walikuw wakubwa
@user-yu9os6ld3f
@user-yu9os6ld3f 6 месяцев назад
Subanallah
@NIYONKURUJumaine-fm4sb
@NIYONKURUJumaine-fm4sb 11 месяцев назад
Assalam alaykum warahamatullah wabarakatul Vp hali yako sheikh Samahani kwani mtu aki ota iyo ndoto Mara moja kwani ina kuwa na madhara Gani sheikh Wangu
@HamissMpinga
@HamissMpinga Месяц назад
Shekhe ukiota umewaona wafungwa wanagongwa na nyundo kichwani inamaanisha kitu gani
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Nilishawaigi kuotaga majoka megi na ya kutisha hiyo sehem niliyoota kuna bint alishawai kulala akapandishaga akasema kuna nyoka na mimi nilivyokuja kulala kweye kile kitada nikaota majoka makubwa na ya kutiasha nikasema kwel pale kuna nyoka, nyoka anawakilisha shetan au adui au muotaji anakuwa na mashetan
@christianishengoma7038
@christianishengoma7038 Месяц назад
Mm naota nikoshule au makaburini mala naolewa nazaa nanyonyesha sielewi maanahu
@nurukimea3804
@nurukimea3804 4 месяца назад
Mm nimeota ndoto nyoka ananikimbia kila nikimfwat anakimbia tena kwa speed
@ZainabuSaidi-n7d
@ZainabuSaidi-n7d 26 дней назад
Nimeota mwanangu kangatwa nanyoka mguun
@Users2523
@Users2523 11 месяцев назад
Ndoto nyingi ni matatizo ya kisaikolojia ya mtu mwenyewe. Ni ndoto chache tu ndio za kweli.
@user-mb7oe3pg3y
@user-mb7oe3pg3y 8 месяцев назад
Ndoto mingi ni kweli change ndio za kisaikolojia 80% true
@user-or1nk2th6j
@user-or1nk2th6j Месяц назад
Aslam alykm warhmatullah wabarakatuh ustadhi ata mm nilitoa ikiwa nimelala nayo nanilipoamka ikanitamkia nisiogope nilale ilikuwa ya rang ya dhahabu maana yake nini?
@musnamihayo-ok1sm
@musnamihayo-ok1sm 11 месяцев назад
Shekh haya yote yameshanitokea na kwa sasa niko na matatizo makubwa kiafya na kifamilia natokaje na matatizo haya maaana yameshanikuta tayari nahitaji tiba shekh
@mwajumaally3383
@mwajumaally3383 8 месяцев назад
Sheh mimi Niko arusha nafsnyaje sasa maana mimi niliota yoka kaniuma kweny mguuu
@kwisa4899
@kwisa4899 4 месяца назад
Nimeota nyoka nikawa na lala nao nikawa naona usiku watu wengi sana nikawa na pesa nyingi lakini nyoka walipo ondoka nikafirisika kabisa nikabakia na nyoka mmoja akaishia kuni gonga mkononi tangia hapo hakuna kinacho sogea
@janepherodouri3393
@janepherodouri3393 2 месяца назад
Mimi niliota nyoka mkubwa sana alikuwa amelala kando ya bahari Kisha alipo niona skashutuka na kuingia baharini hiyio
@khamismaestro2524
@khamismaestro2524 Месяц назад
je ukiota uko na mwezako mwezako anakuchukua mukaue nyoka yy ndy ana mpga nyoka mpak anamgawa vipande viwil ina maana gan
@haithamdahillard8746
@haithamdahillard8746 2 месяца назад
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. Je na mimi sheikh nimeota nyoka wadogo wengi napambana nao hawakunidhuru bali Nimewauwa wote kila anae nisongelea ninapambana nao vikali na kuwamaliza. Mmoja mmoja . Tafsiri yake nini Ustadh?
@user-jq7mo5ev3g
@user-jq7mo5ev3g 11 месяцев назад
Assalam Aleykum Shekhe_ mimi nimeota nyoka wa kijana nilikua bafuni naoga ila nimlimkanyaga hadi nikamuua alafu tena siku ya pili tena nikaota nyoka nilikua bafuni pia yule nyoka wa pili alikua mweusi alafu mkubwa kiasi lakn nilitoka nje nikamuuita baba kisha tukamuua
@MurjyNgose-wc8ep
@MurjyNgose-wc8ep 8 месяцев назад
Mm niliota nakimbizwa na nyoka pamoja na wenzangu lakini yule nyoka alipotaka kuning,ata alikamatwa na wale wenzangu sjajua hii inamaana gani
@mariambashir7261
@mariambashir7261 Год назад
Asalaam aleykum mm nliota napingana na nyoka watatu weusi baada ya hapo nlikua mgonjwa sana
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Год назад
+255752517751 piga simu hii
@MwanaidRamaha-td1hl
@MwanaidRamaha-td1hl Год назад
Mimi niliota nyoka mwenye mabaka anakatiza barabarani nikamkata na panga..basi ule mkia nilio ukata ukawa unanifukuza na kutaka kugonga lakin akufanikiwa kunigonga.
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
chukua namba hapo kwenye video tuwasiliane Ameen
@mussakamando2678
@mussakamando2678 9 месяцев назад
Mimi mara nyingi huwa naota kinyesi Pia kwa upande wa viumbe huwa naota Simba
@user-wg2hd2bc5c
@user-wg2hd2bc5c 11 месяцев назад
Niliota nipo napamba na nyoka huku nimebeba mtoto yule nyoka nilikuwa nikimkimbia na aliendelea kunifata mpaka miguu lakini alipo fika miguuni hakuning'ata kabisa hiyo imekaaje
@InnocentCrescentMoon-vj3sj
@InnocentCrescentMoon-vj3sj 7 месяцев назад
Me nilishawah kuota nyoka ananinyonya damu alafu nimeamka asubuh nimekuta nnaalama na nimekuta alama za damu na maumivu shee
@sukhairamlisho
@sukhairamlisho Месяц назад
Assalam alaykum shekh niliot nasafar alafu mtu ananisindikiz ila ulivo fika usafili nikawa kam nime sahau tiket nikalud nyumban alafu nikashituka kwenye ndot co iyo ndot imeniijia malatatu yot co maan yake nn yatatu nikamuot namtu amekasilik san me kugaili safar
@abdulrahmanhassan3439
@abdulrahmanhassan3439 11 месяцев назад
asalm aleyum mm niliota ndoto ya nyoka alinifukuza nikaja kuanguka akataka kunizuruu kunifikiaa yule nyoka akaniambia sio ww akaniacha ila nyokaa mkubwa sana
@joyjusuf9454
@joyjusuf9454 5 месяцев назад
Mmi juzi niliota nimeumwa na nyoka mweusi,kuamka naskia uchungu kabisa ni kama nimeumwa kweli
@jacklinedeus6068
@jacklinedeus6068 2 месяца назад
Ukiota umeumwa nyoka na ukasikia maumivu wakati umeamka ni kweli tukio hilo limefanyika.tafuta msaada kidogo.kwa mashekhe au wachungaji kulingana na dini yako.pole na Mungu akusaidie
@mwanaishakama3381
@mwanaishakama3381 4 месяца назад
Shekh naomba jibu mana wengi wenu uwa hamjibu kama amekugonga na ukatolewa sumu na kumuhuwa nyoka uyo ndani ya usingizi ina maana gani? Au utakua umeutoa uo uchawi ulio ekewa? Ama bado shuhuli unayo?😢
@TibaibaiOmary
@TibaibaiOmary 5 месяцев назад
Asalam aleikum.nimeota ndoto ya nyoka anaingia ndani sebuleni nikapambana kumuu lkn akaingia chini ya meza baadae nikaona tena uyo nyoka nimempiga kichwani.Madhara yake ni nini? Nanifanye nini juu ya ndoto hii
@user-ge8ti6ru1v
@user-ge8ti6ru1v 5 месяцев назад
Asalamu alaykum sheikh,napenda kujua nini maana ya kuota ndoto kuhusu mtu amekuja kudaiwa madeni na watu wasiojulikana??
@SULEYMANMAGINA
@SULEYMANMAGINA Год назад
Pia nimeota majuz nimeshikwa ugon jamaa akaanza kunishambulia akanichoma na mkuki kifuan had nikahs kutikezea mgongon kwahio nikawa sjashtuka usingzn had asubh
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 месяцев назад
Angalia mifumo wako wa maisha
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
😂😂.... Daah make kwanza ncheke
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 месяцев назад
@@RamadanPaul 😄 aache ujinga huo haraka
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
@@lifeinmiddleeast8179 umeona eeh .. anaonekana ni mzinzi😂😂
@user-xq3fq7tu5h
@user-xq3fq7tu5h 11 месяцев назад
Je nofanyeje sassshekhe ili niwe katika hali ya kawaida na kuepukana na naadui
@user-bj2nx2lc1d
@user-bj2nx2lc1d 5 месяцев назад
Mimi. Naota .nawafanyaje
@softlee9536
@softlee9536 4 месяца назад
Na maana ya kumuona mara kwa mara😢😢?
@user-ob1tt3oy6e
@user-ob1tt3oy6e 11 месяцев назад
Nini kifanyike Sasa kwa watu hao
@JenifaJulius-x9e
@JenifaJulius-x9e 2 месяца назад
Mama niliota njoka ananingata
@SmilingRockBand-ju2cy
@SmilingRockBand-ju2cy Месяц назад
Assalamu aleykum shekhe mim niliota kuna nyoka wawili wanataka kunigonga ila nilipambana nae atimae nyoka mmoja nilimuua hii inamaana gani shekhe wangu
@logaloga5077
@logaloga5077 11 месяцев назад
Assalam aleikum mimi nilito nyoka ana mmeza samaki ninini maana yake
@willyclever725
@willyclever725 4 месяца назад
Mimi niliota napigana na nyoka, kisha yule nyoka akazaa watoto maana yake nini?
@carolinemrinji9605
@carolinemrinji9605 11 месяцев назад
Asalaam aleykum Sheikh hata kama nimemuua nyoka pia?
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc 11 месяцев назад
Ukimuua umemshinda adui yako kwa kiwango kuku wa👌
@user-ef2fw6wy4s
@user-ef2fw6wy4s 9 месяцев назад
Asalaam aleykum na ukiota umeingia miskitini je?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ndio nyoka ata mimi nilikuwa najuwa hivyo nyoka inawakilisha uadui
@subiraomary7000
@subiraomary7000 9 месяцев назад
Mtoto ameota amegongwa na nyoka mkononi
@alimwanza7356
@alimwanza7356 11 месяцев назад
Mtu akiota ndoto kua nyumba imeja kombamwiko, kunguni na huku anawauwa halafu mtu atoke amwambie usiwauwe alfu amke usingizini. Je Ina dhihirisha nini
@user-gp5lc7wc8t
@user-gp5lc7wc8t 10 месяцев назад
Je ukiota unakimbizwa na ng,ombe utapatikana na nini
@EmmyKanjanja-qi1vl
@EmmyKanjanja-qi1vl 11 месяцев назад
Okoa muda
@asyahaji9268
@asyahaji9268 11 месяцев назад
Zinanijia sana hizo ndoto lakin mara nyingi naishia kumuua yule nyoka,sasa vp nmeshinda uadui hapo?
@nurunhitu3148
@nurunhitu3148 5 месяцев назад
Shekh, nn maana ya ndoto ya samaki aliyeoza anatoka wadudu?
@Mswahili-12
@Mswahili-12 11 месяцев назад
Huyu jamaa amekuwa mfasiri wa ndoto siku hz
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 месяцев назад
Hata mie nilitaka kusema hivyo hivyo
@fat_hyabuge7380
@fat_hyabuge7380 11 месяцев назад
70%ya ndoto nazootaga snahusiana na nyoka nyingine zinahusiana na maji aidha Bahar au mito kua naogelea au natak kuvuka
@tatoo0098
@tatoo0098 11 месяцев назад
Wewe km mie jaman tufanyeje sasa 😢
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 11 месяцев назад
chukueni namba hapo kwenye vidieo zinapita chini tuwasiliane
@DoricasWawire-ff9os
@DoricasWawire-ff9os 9 месяцев назад
Ata mm
@ZulphaMohammed
@ZulphaMohammed 2 месяца назад
Shekh asnte kwa tafsiri
Далее
TAFSIRI YA NDOTO UNAPOMUONA NYOKA USINGIZINI
7:02
Просмотров 128 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
NDOTO UKIUMWA NA NYOKA NINI MAANA YAKE?
13:22
Просмотров 13 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.