Тёмный
No video :(

NDOTO NA TAFSIRI ZAKE. UKIOTA UNAPAA ANGANI || WEWE JIANDAE NA HAYA YATAYOKUPATA | SHEIKH KHAMIS 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 426 тыс.
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Simulizi Za Ndoto. Ukiota Unapaa Angani Nini Maana Yake?
Fuatana Na Sheikh Khamisi Suleymani.
#Masjidmtoro #Masjidmtoro #Masjidmtoro

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 996   
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 3 года назад
Msifatishe hizi maana za ndoto mtakosa amani ya maisha hata Kama Ni ukweli..kikubwa ukiota ndoto mbaya muombe Allah akuepushe na Hilo balaa na ukiota ndoto nzuri mshukuru Allah (s.w)
@jumahemed9301
@jumahemed9301 3 года назад
😁😁😁
@shabilyjahaa6488
@shabilyjahaa6488 3 года назад
Nkwer
@shanimwinyi691
@shanimwinyi691 3 года назад
Ukweli kabisaa...
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 года назад
Kbs
@cookinglist1004
@cookinglist1004 3 года назад
sawa ndugu yangu sio ndoto zote unaweza kutangaza kwani si vizur kwa ilie ota , kama ndoto ni nzuri usimwanbie mtu kama mbaya na ukashtuka amka na kumlani shetan na kutema mara 3 kulia na kushoto alafu geuka upande wa pili ,shukran.
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 9 дней назад
Shekhe nipo nje kikazi ila ndani kwangu nilikuta kichwa kabatini kwangu kimefungwa kaniki nyeusi kichwa hicho kina jicho la ajabu sana kilifungwa na kamba nyekundu shekhe 🙏🙏🙏tangu mwanzo wa kazi hadi majuzi nikakuta maajabu hayo shekhe napitia ndoto za ajabu sana sina raha sna amani na hiyo ndoto, na nimelala asubuhi ya leo majira ya saa tatu asubuhi nimeota nimepaishwa na mtu simjui wala mim ila sio angani tunapaa tuu kiukweli na mengi ya ajabu inapelekea kukataa tamaa ya kuludi nchi 🙏🙏kwetu salama maana sielewiii shekhe, nafanyishwa kazi zaidi ya mkataba unavyosema ni mtu wa huzuni miezi yote 🙏nipo kwenye kujipatia riziki lakini mauzauza na ndoto za ajabu aziihishi na sna ubaya ila boss wangu ananitafutia sababu mala mavituvitu mala nguo siku na kuta zimechafuka damu wakati chumba changu hakina panya
@MohammedseifAbeid
@MohammedseifAbeid 4 дня назад
Hee pole Allah atakusaidia inshallah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
mm napenda kuwakumbusha tunaoandıka neno ma sha Allah napenda tuandke kwa kuachanisha ndıgu zangun yaan *MAA SHAA ALLAH* maa Sha Allah ma sha Allah ( sio mashallah) n makosa !
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 4 года назад
shukran
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 4 года назад
kwa kwa kutukumbusha
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Haha twaibu
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Maa Shaa allah
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Asante twaibu
@shemsasulles8416
@shemsasulles8416 3 года назад
Manshallah, ya Allah tunakuomba utupe katika ndoto nzuri Na utukinge Na ndoto ambazo zinazoweza kututisha
@agapenkya4148
@agapenkya4148 4 года назад
Niliota naongea na mzungu gafla nikapaa juu ila siyo juu saana niojikuta nasema asante mungu asante mungu
@ommyakili552
@ommyakili552 4 года назад
Maashaallah hii ndoto ya kuruka nakutua kilele cha mlima huwa ninaota lkn sijui na sikumbuki pia nn maana yake ila nashukuru kuijua Allah ndiyo mjuaji zaidi
@khumeinshawal6646
@khumeinshawal6646 4 года назад
Hahahaha kwaiy ndo umedanganyika au? Ufukara huooooo
@MARIAMABUBAKAR-y9m
@MARIAMABUBAKAR-y9m Месяц назад
​@@khumeinshawal6646😂😂😂😂
@LiviaMwesige
@LiviaMwesige 26 дней назад
Nami naotaga ila nayoyaota nayaona kweli
@stevensosipita5673
@stevensosipita5673 4 года назад
Hiyo ni kweli kabisa shekhe wangu mimi yashanitokea nasipo nchini kwangu amina
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Год назад
Oooh my God ndoto ya kupaa nao ni ukweli kabisa Nisha hota mara kanza,watching and listening from 🇰🇪 kenya Asante sana brother kwa ufafanushi wa ndoto.mungu akuongoze sana kwa kutafziri
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 4 года назад
Mashaallah sheikh.mm nilikua naota hii ndoto ya kuruka tokea nikiwa mdgo sana nikimsimulia nyanyangu akaniambia kama ulivyo ileza sheikh na nikweli imekuja tokea sasa hvu nkiwa mtu mzima..shukran sheikh
@deusirichard3442
@deusirichard3442 3 года назад
Habari
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 года назад
Kimekutokea kipi Dada,hebu nijuze maana ni muhanga
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 15 дней назад
Tujuze basi maan ake nn ukiota unapaa😂 plz
@Kadzo-jv1ws
@Kadzo-jv1ws 11 дней назад
Walykum salama
@rangmyridua3152
@rangmyridua3152 3 года назад
A.a. asante sana kwa mafunzo yake sheikh, nakuwombeya heri wewe na familia. Nawomba usaidizi wako, mim nimewota nakaribiwa nawatu ambawo ni haghalifu nika amuwa niruke toka pale chini kwa kichwa juu migu chini bila mabawa nikafikia nuymba ya kwanza, badae nikaowona nikaribu nikarikuwa tena miguu chini kichwa juu nikapandisha sana kwenye gorofa mrefu sana. Kutokana na utafsiri wako sijajiweka mahala pake ndotoni. Tafadhali naomba kusaidiwa. Jina langu ni Rangmy Ridua From Mozambique
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 3 года назад
Duh pole
@ahmedchoden9970
@ahmedchoden9970 9 месяцев назад
Bro mtafute namba ipo hapo
@aishasuleiman6320
@aishasuleiman6320 Месяц назад
Hiyo inaonesha unataka kuwa super man
@fatmitahdishar920
@fatmitahdishar920 3 года назад
MAA SHAA ALLAH Naona ni kweli maana mm nilikua nikiota sanaa hizo ndoto zaangani na ndio nikasafiri shukran sheikh
@shadidasaidi3318
@shadidasaidi3318 11 месяцев назад
Amina
@allysaidd4623
@allysaidd4623 4 года назад
Mashaa Allah....mie nimeziota saana allhamdulillah sas nipo ughaibuniii
@fabianmagambo
@fabianmagambo 10 месяцев назад
duuuh bola uote unaenda mbingun kweli
@RukiaJuma-fv3du
@RukiaJuma-fv3du 9 месяцев назад
Asalam aleikum,nishaota nimepaa nikadondoka kwenje gorofa juu kabisa mwisho alafu nikapaa kutoka kwahiyo gorofa Hadi nyingine ,hiyo yamaanisha nn
@RukiaJuma-fv3du
@RukiaJuma-fv3du 9 месяцев назад
26:52 26:52 26:52
@RukiaJuma-fv3du
@RukiaJuma-fv3du 9 месяцев назад
Niliota napaa kwenda chini nikiwa nimesimama juu Kwa blonde,chini zaidi hiyo nini
@khalfanomar7665
@khalfanomar7665 4 года назад
Shekh ni kweli ulio sema mimi ni mzaliwa wa pemba siku moja usingizi ni nilota napaa kwenye eneo lenye milima mirefu iliopitiwa na nyaya za umeme nilipata uhamisho wa kikazi kutoka zanzibar mpaka mkoa wa Manyara wilaya ya Mbulu na yote niliota niliyaona
@salumnassor9425
@salumnassor9425 3 года назад
Ostaz je ukiwa umelala ukaota unakimbizwa harafu ukapaa inamaanisha mini shekh
@OmarMohamed-cb1tu
@OmarMohamed-cb1tu Месяц назад
Apa ndo nasubiria adi mm
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 3 года назад
Allah atuepushe na mitihani ya ndoto inshallah
@rahimakhalid9668
@rahimakhalid9668 4 года назад
Ma sha Allah nikweli shekh mie sana naota naruka tangu nikiwa mdogo saivi nashkuru nimeruka kweli kwa ndege nasaivi alhamdulilah namiliki ata kamilioni 10 nasiku amini maisha yangu yalikuwa magumu sana
@ladytatu2139
@ladytatu2139 4 года назад
Hahaha
@rahimakhalid9668
@rahimakhalid9668 4 года назад
@WAASI Fort Gangstars lakini tumeambiwa kuruka kuna maana nyingi kama alivoelezea shekh
@chesangvihendah2513
@chesangvihendah2513 3 года назад
Mashalaaa.....nimeota ndoto hiyo ya kwanza na kweli yalitimia....good job sheekha
@husnasalim5569
@husnasalim5569 4 года назад
Asalaam alaykum naomba tafsiri ya hii ndoto nimelala nimeota imekuja radi kubwa sana baada ya hp ardh ikachanika ikawa nyekundu na kiama kikawa mm nalia na kuomba dua na kujiuliza mm nitakuwa katika kundi lipi natetemeka na nguv sina na watu wanapiga kelele na kuku zikipiga kelele nilivoamka nilistuka sana na moyo wnitetema
@sikudhan3378
@sikudhan3378 3 года назад
Namm naota sana ndoto za hivyo mwisho leo lakini Hua naota wakati nikilala sana rabda sambili asubuh nikiwa bado nimelala
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 года назад
@@sikudhan3378 ni makumbusho hayo uamke umuabudu allah
@tukanobakary2005
@tukanobakary2005 3 года назад
Fanya sana ibada . Yaonekana Kuna madhambi unayafanya ambayo mungu hayapendi
@ashuraramathani8997
@ashuraramathani8997 3 года назад
Jamani kuhusu kupaa duu Allah anijalie nime kuelewa ustadhi mashallah
@muslimakassim9791
@muslimakassim9791 4 года назад
Masha Allah 🙏Shukran Sheikh
@Slddhhh
@Slddhhh 2 месяца назад
Mashaallaah nilota napaa amini usiamini nilisafiri Tena kuntumia ndege subah Allaah 🤲🤲
@fatumaamri3743
@fatumaamri3743 4 года назад
Asante sheikh ALLAH akurehem inshaallah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
ma sha Allah shekh nmekuelewa sana Allah akuhifadhi tuzdi kupata elimı
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Shukran sana
@wdeidwdeid8538
@wdeidwdeid8538 4 года назад
Jenikiota msiba inamaana gani
@mwaminikabatooro2632
@mwaminikabatooro2632 3 года назад
Alhamdulillahii rabbilalamienah 🤲 Namuharadhahuu na wakina Masheikh Mingi wanasema eti Ndooto siza Usilam
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 года назад
Ma sha Allah shukrani shek wangu Mimi nilikua nilipenda kuota nafukuzwa na mwanamke habaye yupo mtahani kwetu na mwanamke huyo ni mganga basi katika kupaa kwangu nitahishia juu ya mti kwetu nyubani Yani Mimi nimeoleka sasa hupaa kuelekea kwetu kwa wazazi mwisho nafika juu ya mti uliopo mbele ya nyuba yetu naa ilipo niachia ndoto hiyo hikamjia mwanangu yuwafukizwa na mwanamke huyo huyo basi nae yuwapaa juu kwa juu paka yuwamka nipe tafsiri in sha Allah
@qassimally3876
@qassimally3876 4 года назад
ماشاءاللہ
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y Год назад
Shaikh mm huota sana sana napaa juu lkn baadae nikitaka kushuka chini siwezi na siwezi kabisaa
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Shukran shekhe Khamisi, ALLAH akurefushie maisha. Nashukuru nimepata uwazi wa ndoto yangu kwani niliota nafukuzwa na joka la rangi kijani badae nikaruka angani kwa kunyooka napia hilo joka likanifuta nyuma na halikunipata 🙏🙏🙏🙏
@jemimamagubiki9994
@jemimamagubiki9994 2 года назад
Asante sheikh kwa tafasiri, na je ukiota unapaa juu sana na kabla haujatua ukashtuka nayo inamaana gani
@ashaa2768
@ashaa2768 3 года назад
MAA SHAA Allah
@BarakaMwakalambile-u6n
@BarakaMwakalambile-u6n 21 день назад
❤yesu nikiboko ya wach😢awi ndio ntafsiri mzuri wa ndoto
@yasalaam590
@yasalaam590 3 года назад
Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@jaywest8123
@jaywest8123 3 года назад
Inshallah Shekhe...mi nimeshaota mara kibao napaa.... Kwa hadhi niliyonayo saivi nahisi ni tafisiri tosha ya unachokiongelea.
@nandagohadijah6180
@nandagohadijah6180 3 года назад
Waaleikumsalam warahmatullahi wabarakatuh yaa Sheikh 🤝🤝
@malota2138
@malota2138 3 года назад
Ma sha Allah nilishawahi kuota ndoto nafukuzwa na n'gombe mweupwe alaf nikapaa juu nikaenda kutua kwenye mti mrefu kuangalia chini nikaona karatasi nyeupe inakuja kule nilipo nikaipushi kwa mkono iliirudi ilikotokea lkn ikajaikaingia mdomon mpaka leo sipatii jibu hii ndoto
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin Год назад
Yako nzito aiseee😂
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 4 года назад
Iyo kweli kabisa swadakta Sheikh,mimi nilikuwa napenda kuota naruka navuka miti kwa kuruka,Leo hiyi nipo Marekani alafu ile miti nilikuwa naota sometime napitaga fasi naona najikaza hiyi miti si ndiyo nilikuwa naiota kwenye usingizi.🙏Allahuma Amiiin hiyo kweli.
@iigigijfjffjfif550
@iigigijfjffjfif550 4 года назад
Naam
@SuleimanSalim-ql3ny
@SuleimanSalim-ql3ny 2 месяца назад
Sheikh nmekuelewa vzr asante na tafsiri alizotoa zote ni sahihi nami umeigusa kila ndoto niloota
@nickdeestrong7159
@nickdeestrong7159 3 года назад
Mungu nikomboe kutoka kwa hizi dhiki
@rizikinyarusi5074
@rizikinyarusi5074 3 года назад
Mungu awape maisha malefu tuweze kufanikiwa kupia nyinyi
@jasminali5921
@jasminali5921 4 года назад
Naam shukrani kwa ukumbusho
@ahmedsukeyna8034
@ahmedsukeyna8034 2 года назад
Mashallah jazakalahu khail Sheik
@dysamarcus8462
@dysamarcus8462 4 года назад
hakika kama ni kweli ina maana nitakuwa nasumbuliwa na mizimu na wachawi ee mola wangu ninusuru
@celinaganga2105
@celinaganga2105 2 года назад
Asante Sana Ila tafadhali ningependa kuuliza maana ya ndoto niliyoiota ya kwamba ninamhifadhi adui yangu mahali ya kulala yeye pamoja na mtoto wake ambae alikua hajisikii vzuri yaani alikua anaumwa. Tafadhali naomba nafsiri ya ndoto hii.
@aishakhasim1440
@aishakhasim1440 4 года назад
Maa Shaa Allah
@Adventsumari-dl5mc
@Adventsumari-dl5mc 10 месяцев назад
Amina shee wangu. ubarikiwe sana nime kuelewa
@ramadhanisefujohn7734
@ramadhanisefujohn7734 4 года назад
Asanteni Sana mm nilianza kuota nikiwa na paa tangu nilivyokuwa mdogo na mpaka Sasa ,Ila kwa Sasa huwa naruka na kufika juu zaidi Tena bila tatizo lolote.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Ushakua mzoefu kawaida tu kwako, alafu raha sana mwenzangu
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 года назад
Ushakua mzoefu sasa 🤣🤣
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 года назад
Shukran shekh
@ndayishimiyejacqueline9117
@ndayishimiyejacqueline9117 9 месяцев назад
Jamani hui nikwel mimi miezimitatu iliopit nilikuwa nataka napaa ici niko saudia rabia alhamndulillah shukran shiekh
@mohammedyusuph5909
@mohammedyusuph5909 4 года назад
Maa Shaa Allāh
@SurtanMohamed
@SurtanMohamed Месяц назад
Amen 🙏🏻 sheikh
@productdemos4682
@productdemos4682 2 года назад
Assalaam Alaykum, nilipokuwa mdogo nilikuwa nikiota mara kwa mara ninaruka lakini nikiwa nimekaa na kunyoosha miguu, nikiota kuruka level ndogo ndogo tu, lakini swadakta maneno yako sheikh, hadi sasa miaka 30 nimekuwa nikisafiri nchi hadi nchi mji hadi mji, nimesafiri takriban nchi 35 na baadhi ya nchi hizo nemkwenda zaidi ya mara 60 na miji zaidi ya 110. Namshukuru sana Allah Subhana wa taala kwa neema hiyo.
@zuwenanyerere83
@zuwenanyerere83 Год назад
🥰
@hajigelegeza7532
@hajigelegeza7532 2 года назад
Asnte sana kwa kunielimisha hilo mungu akubariki
@shadiahborandi2687
@shadiahborandi2687 3 года назад
Shukuran yaa sheikh
@ArafaMuharam
@ArafaMuharam 13 дней назад
Shukran
@razakiissa4059
@razakiissa4059 3 года назад
Daah allah ninusuru
@amunaamai8631
@amunaamai8631 3 года назад
masha allah
@shabaniramadhani657
@shabaniramadhani657 4 года назад
Shukrani
@user-rh7en3kd3p
@user-rh7en3kd3p 9 месяцев назад
Shukran Sana Allah akulipe kila lakheri
@maryndomba7028
@maryndomba7028 4 года назад
24 na 25 yangu hiyo ee Mwenyez Mungu wangu ninusuru
@saidbaharia2357
@saidbaharia2357 3 года назад
You tube
@shufaarashid896
@shufaarashid896 4 года назад
Subhannallah mi naota nakimbizwa na mbwa wengi sn..kisha napaa uku nakimbia angani,,halafu naota nakimbizwa na watu wachawi kisha nawaona lkn napaa angani huku nakimbia nikishukachini hawanioni lkn mm nawaona
@mwambakakudji6288
@mwambakakudji6288 4 года назад
Shufaa Rashid@ ondoa nywele za wazungu. Unapo lala vaa chupi. nyeusi.
@salhaaa4996
@salhaaa4996 3 года назад
Ma ashallah 😍😍😍🙏🙏🙏
@halimahassan3031
@halimahassan3031 3 года назад
Mashaallah.... Jazzakallah kheir
@augustinekiprono6404
@augustinekiprono6404 4 года назад
Shukran sheikh
@damianmlembe1446
@damianmlembe1446 3 года назад
Shukran,sheikh
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 года назад
Hiyo ya mwisho ishawahi nitokea mara nyingi tu sana
@Kadzo-jv1ws
@Kadzo-jv1ws 11 дней назад
Ameen Ameen Ameen
@nahyanhareb4053
@nahyanhareb4053 4 года назад
Shukran Sheikh.ALLAH akupe umri mrefu uzidi ku2elimisha
@raphaelsombi5704
@raphaelsombi5704 3 года назад
Asante sana kwa kutuelimisha kwan mm nmekuwa mhanga wa hz ndoto kwa miaka miwil bila kujua nn maana yake.Ila sasa nmejua.Hakka ww ni mwalim.
@tausiramadhan7927
@tausiramadhan7927 4 года назад
Yaa Allah nihurumie Mimi mja wako hakika maelezo ya mwisho yote ya ndoto hizo Mimi naota na ninateswa sana na masheitwan uadui wa dhahiri kwa family nmelia for sure
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Pole sana
@hijarajab5449
@hijarajab5449 4 года назад
Pole sn tausi upo wapi
@tausiramadhan7927
@tausiramadhan7927 4 года назад
Nipo temeke
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 4 года назад
Hao ni ndugu zenu usiseme yanakutesa, dawa ni yesu tu. hutak basi
@samimdhahabu6813
@samimdhahabu6813 4 года назад
Pole xana ndug yangu Mimi miah yananikuta hayo familia had I marafik
@FatumaShabani-k6x
@FatumaShabani-k6x 2 месяца назад
Amina mungu anitimilizie
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 года назад
Mashallah Allah akuzidishie Inshallah kakaangu Na ndoto zetu Allah atakusaidia.In shaa Allah
@nyaobonyaobo8452
@nyaobonyaobo8452 3 года назад
Kheyr
@shadhililipamba5661
@shadhililipamba5661 3 года назад
Inshalaaah
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 2 года назад
Bismillah mash Allah shukran
@jumambwana6351
@jumambwana6351 4 года назад
Maaa shaaa laaah!
@maryamyeri9958
@maryamyeri9958 3 года назад
It Masha Allah dear not mass shaaa laaah
@belamicheal3353
@belamicheal3353 2 года назад
@@maryamyeri9958 yupo sahihi wewe ndio umekosea kuandika sio mashallah unatakiwa kuacha nafasi na mwisho usiandike Allah ni makosa
@saay4273
@saay4273 4 года назад
Shukuran shekhe
@romadanromadan4398
@romadanromadan4398 4 года назад
Mashallah👍
@officialkimclever8486
@officialkimclever8486 3 года назад
Shekh me huwa naota nko naanguka kutoka juu ya ghorofa halafu nikisha fika chini nikiwa naanguka nastop hapo hapo au wakati mwingine naanguka ila siumiii kabusa naamka na kuendea kutembea .. Naomba unisaidie kujibu maalim..
@ludovickjohn2059
@ludovickjohn2059 3 года назад
mbona naota napiga mzigo inatafsir gan
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 2 года назад
Maana ya kuuota na tunda na nimtu?
@nawapatakabisakhalfan8778
@nawapatakabisakhalfan8778 3 года назад
Mashallaah tabarakallaah.
@rashidmmole7842
@rashidmmole7842 4 года назад
Maashallah
@enockhamis5592
@enockhamis5592 4 года назад
sikwer
@idrisshadji9403
@idrisshadji9403 3 года назад
Allah akibar
@saylion415
@saylion415 3 года назад
Emungu nijarie ndoto yangu ikamirike asante sanaa shekhe
@abdulremanesefo9295
@abdulremanesefo9295 4 года назад
Nishelewa shehe asante
@miselemanchimvuno5978
@miselemanchimvuno5978 3 года назад
Shukran sana kwa helium yako nzuri mungu akujaze kheri
@mwanasitituwa7820
@mwanasitituwa7820 3 года назад
Shukurn kwa ujuzi wako
@mariabahati1264
@mariabahati1264 4 года назад
Mimi ndio ndoto zangu hizo lakini ni Kama flight Kama Ndege vile Kama helpcopter na maji naona chini bahari na milima na manyumba na hua natamani nisiamke ni ndoto nzuri ajabu saana
@benmcdream2268
@benmcdream2268 4 года назад
😁 😁 😁
@mejuvigs
@mejuvigs 4 года назад
Hahahaaa
@merhatyup916
@merhatyup916 Год назад
Habari, nimeota nimechuna ngozi ya binadamu nikaweka kwenye begi nikawa naogopa natafuta pa kuificha sikupata hadi naamka naomba uniambie maana yake 👏👏
@Carolyn-ec1jy
@Carolyn-ec1jy Год назад
Allhabdullahi i thank allah mhm c muslam bt nadai kuwa muslaam nataman jamn🧚 mtu anisaidie n catch up n hii deni
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 4 года назад
YESHUWA HAMASHIACH CHRISTU MUANA WA MUNGU ANA UPENDO SAANA JU YAKO MUTETENZ I WETU YU HAÏ
@timejames4590
@timejames4590 4 года назад
Nani kakuiza You hai hio kwio
@latifahissa8581
@latifahissa8581 4 года назад
@@timejames4590 😂😂😂
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 4 года назад
Yesu tu anatosha kukuondolea ndoto za majinamizi kama hayo
@miryamsultannsultann5245
@miryamsultannsultann5245 3 года назад
Yesu hahusiki na hii mada tafuta sehem ya kumtaja yesu wako
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 года назад
@@miryamsultannsultann5245 hapa hapa ndo sahihi pa kumzungumzia YESU, wewe kama nani utoe order kwangu. Yesu ndo jibu la ndoto za giza na majini, hahahaaaaaaa hahaaaaaaa YESU huyu jamani hatari sana
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 года назад
@@miryamsultannsultann5245 sehemu ya kumtaja YESU ni mpaka ndani ya moyo wako, nashukuru sikio lako limesikia habari za YESU na macho yameona jina lake YESU likiandikwa hapa
@mwanakombogodoro141
@mwanakombogodoro141 3 года назад
@@usajiliusajili6511 kalale uko n yes wko, yesu uyo kwioooo
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 года назад
@@mwanakombogodoro141 Hahahaaaaa halafu wewe si ndo godoro njoo nilale usingizi mzuri, godoro weeeee karibu
@akramuakramy4065
@akramuakramy4065 4 года назад
Asante mungu akuzidishie
@chamamaambambi8209
@chamamaambambi8209 4 года назад
Ma sha Allah
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 3 года назад
Asante shekhe wetu.
@issaali1797
@issaali1797 4 года назад
Wa alaykum salaam warahamatullah wabarakatuh, Sheikh nimeota katika usingizi wa asubuhi nikiwa natembea mjini mchana kweupe bila ya nguo hata moja hali ya kuwa mwenye akili timamu na kujitambua
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 4 года назад
😂😂😂😂
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 4 года назад
Jiandae na kubakwa
@samxx411
@samxx411 3 года назад
unahitaji mume
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
@@bellalygeomecky1145 😂😂🤣🤣
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
Hata mi pia naota natembea mtaani uchi.Yaani sipendi basi tu.
@tatupita8745
@tatupita8745 3 года назад
Mashaallah
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 4 года назад
حقا يافضيلة الشيخ.
@saidsoud5967
@saidsoud5967 3 года назад
Mwengine wana kuwa kitu flani wakipaa na vooo
@KhalfanHabibu
@KhalfanHabibu 11 месяцев назад
Ma shaallah ❤
@user-qg2sw9bj2i
@user-qg2sw9bj2i 4 года назад
Subhanallah 😥😥😥
@zuhurazuhura7441
@zuhurazuhura7441 4 года назад
Hiiiii
@iradukundahassan2102
@iradukundahassan2102 Год назад
Salaam aleykm aina za izo ndoto nisha ziota hata kipindi niko mdogo kwa sasa.nime kuwa maisha yangu sio waku kosa ao wakupata kati kwa kwa kati pia kuna mambo naona nikiwa na fanya katika kazi zangu nahisi kama kitu icho nisha.kifanya japo kuwa ni mara ya kwanza! Kweli pako ndoto zenye zimejibiwa na.allah
@barakawastewater5222
@barakawastewater5222 2 года назад
Upo vzuri sana shekhe
@meyusuleiman6482
@meyusuleiman6482 3 года назад
MASHAALLAH I always dream that people chase me but I fly without wings
@rosemartin2984
@rosemartin2984 3 года назад
Na Kama ujasoma up utawara unatoa wap na Kama umeota hivyo mwenzangu Mimi sijasoma ndot hizii naziota napaa nakimbizana na watu wengi Napa uku nikikwepe miti na nakwerekea mapangon au kusiko julikana
@khadijambeyurai8522
@khadijambeyurai8522 3 года назад
😂😂😂
@tawhidajizee8014
@tawhidajizee8014 2 года назад
Hata mimi jamani ndoto zangu lol😁
@abdulrahimmohamed4854
@abdulrahimmohamed4854 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mohamedimnembwe1342
@mohamedimnembwe1342 Год назад
Mimi naota nakimbizwa nawatu nisio wajua ndio naruka
@hawajj5768
@hawajj5768 3 года назад
24,25,26 naotaga Sana mwenyez mungu ninusuru
@adelajaksoni466
@adelajaksoni466 3 года назад
Hyo ya 14 dah ninusuru mungu wangu
Далее
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Просмотров 653 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 648 тыс.
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,4 млн
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54